Mwakinyo kuzichapa Mei 31, mpinzani wake hajawahi kupigwa na Mwafrika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • “Niwashukuru Azam TV kwa kutupa nafasi hii ya kuja mbele ya Watanzania tena” sehemu ya maneno ya bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo akizungumza wakati wa utambulisho wa pambano lake la Mei 31 dhidi ya Mghana, Patrick Alotey.
    Mwakinyo amesema yeye atakuwa Mwafrika wa kwanza kwenda kuharibu rekodi ya bondia huyo ambaye hajawahi kupigwa na mwafrika yeyote.

ความคิดเห็น • 146

  • @habyhabib7538
    @habyhabib7538 5 หลายเดือนก่อน +14

    Tutakaonunua ticket za vvip mikono juuuu na like kama zote ,all the best champez

  • @jumamarley7964
    @jumamarley7964 5 หลายเดือนก่อน +8

    Ungemnyoosha yule mtt ili ajifunze Adabu

  • @kasimumughuna201
    @kasimumughuna201 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mwamba kabisaaa huyu wengine wapaka piko tu😂😂😂😂😂

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 5 หลายเดือนก่อน +6

    Tuko nyuma yako MWAKINYO champion boy

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 5 หลายเดือนก่อน +6

    Vp jaman uyu azam TV imerudi kwa mwakinyo au vp

  • @HassanSaid-pw8us
    @HassanSaid-pw8us 5 หลายเดือนก่อน +5

    Wana Mogadishu family tunafuraha ya Azam tv kuonyexha pambano la ceptein wetu bila figus mungu wabariki sana

  • @ntimistanley8801
    @ntimistanley8801 5 หลายเดือนก่อน +4

    No dought....We gonna win a fight as usual @ Champez one time

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 5 หลายเดือนก่อน +4

    mwankinyo usituangushe kaka nataka umfunge mdomo yule makonde maana ana mdomo sana nataka umpe funzo ajue mziki na boxing ni kitu tofauti

  • @RamaMgomberwa
    @RamaMgomberwa 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nime furahi Sana kuwaona Azam tv wapo Tena na mwakinyo

  • @allymganga3223
    @allymganga3223 5 หลายเดือนก่อน +4

    Ngumi zako ni ngumi zakumfuraisha mtazamaji naimani kubwa wapenzi wangumi tutapata burudani

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 4 หลายเดือนก่อน +2

    MWENYE NYOTA ZAKE HAPA TANZANIA TUNAIMANI NAE UKIBISHA KAKOJOE KALALE . CHAMPEZ MWAKINYO YEYE NI MMOJA TU WENGINE WAWACHE WAPAKE PIKO

  • @Mwanajah
    @Mwanajah 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kila la kheri mwakiyo wetu❤❤twakuombeya duwa .

  • @sleimanlord98
    @sleimanlord98 5 หลายเดือนก่อน +3

    Likiisha hili inshallah tunatak utunyooshee yule pimbi homonize

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 5 หลายเดือนก่อน +3

    😮😮 Yaani ww mtangazaji umeua hasa. Yaani hongera hasa kwa asilimia zote.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 หลายเดือนก่อน

    Uwongo mtupu, mpinzani wake NDIZI si bondia madhubuti. Na Mwakinyo analijuwa. Hivyo asijitape sana. Tunajuwa atapata knock out dakika za mwanzoni. Kama kweli yeye ni nzuri aletewe ASEMAHLE WELLEM tuone.

  • @JosephKifisha-ml7ju
    @JosephKifisha-ml7ju 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akubariki

  • @habibuhabibu9728
    @habibuhabibu9728 5 หลายเดือนก่อน +4

    Namber one Tz champez

  • @nassoraliy4330
    @nassoraliy4330 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hamonize aanze Na mandonga kwanza ndio kiwango chake,asitafute kufa mapema Na bondia namba moja Wala asione kifua cha jimu ndio kupigana .

    • @juzzaboy8881
      @juzzaboy8881 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 4 หลายเดือนก่อน

    Champez tupo na we we DIAMOND WA NGUMI tanzania

  • @NyumbweAbdallah
    @NyumbweAbdallah 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dua kaka kila la khert

  • @hancemagembe6260
    @hancemagembe6260 5 หลายเดือนก่อน +4

    Tuko pamoja

  • @bilalmbaracka4670
    @bilalmbaracka4670 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akusaidie profenal

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 5 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂sema mwakinyo ana vineno vya kijinga we unadhani maneno Yana mlenga nani

  • @HassanMkika
    @HassanMkika 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubaliiii💯

  • @mropeamadeus54
    @mropeamadeus54 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hicho kimakonde umechapia

  • @MuniniAdrien
    @MuniniAdrien 5 หลายเดือนก่อน +1

    Azam tv mume maliza bifu yenu na mwakinyo niwapongeze sana uzalendo kitu chamaana sana

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tanga moja kama anakuja nyumbani halafu pambano litakupa hela kitaifa,kipaji unacho ila msisahau figisu mkija ulaya bila usimamizi mnawekewa madawa kwenye maji ya kunywa vyakula tangu hotelini,na hii sio kwa wanamichezo mpaka kwa viongozi wetu wa nchi wakija nje kusaini mikataba muhimu ya nchi wajipange ,tunalinda nchi taifa na maslahi.maoni yangu ni hayo tuu.

  • @JonhUrubani
    @JonhUrubani 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mtu ni dhahabu kataa kubar

  • @IssaMohammed-bl6ii
    @IssaMohammed-bl6ii 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu wa maana kabisa

  • @BahatiNdalahwa-vx6wu
    @BahatiNdalahwa-vx6wu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bondia pekee Tanzania na Africa nimwakinyo akina kiduku nimaneno2 ndiyo wanayo lakini ulingoni hawana lolote naamini tunashinda hili pambano 🙏

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakinyo is perfect of boxing

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana brother achana nawarembo ambao wanajiita jeshi uku katoboa pua anavaa hereni

  • @HusseinIsmairy-gj5ux
    @HusseinIsmairy-gj5ux 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mchape na konde Kwanza tukae kwa rah mtaan

  • @MasudJuma-m6l
    @MasudJuma-m6l 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tanga kwanza mandalizi mama mungu akujalia ushinde mwakinyo hana mpizani

  • @MuhammadSayyar-b8f
    @MuhammadSayyar-b8f 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dakika 2 tuu

  • @MuhammadSayyar-b8f
    @MuhammadSayyar-b8f 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dakika 2 2

  • @VedastusMtesigwa
    @VedastusMtesigwa 4 หลายเดือนก่อน

    NAKUAMINIA SANA CHAMPEZ NA NAKUOMBEA SANA UMPIGE KO HUGO PATRICK

  • @HassanMagembe-tu1ox
    @HassanMagembe-tu1ox 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu mkubwa masta utadhinda nitaswali saa nane usiku juu yako

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 หลายเดือนก่อน +1

    Izo kofia zanzibar tunauziwa elfu 60

  • @crayonmaze9970
    @crayonmaze9970 5 หลายเดือนก่อน +1

    Vaa vizuri kuwa Smart, umekaa kama waigizaji wa comedy

  • @SaidiMkinga
    @SaidiMkinga 5 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂 .MUONGO SANA WEWE WAKATI ALIPIGWA ANAPIGA GOTI NA JAIME YULE MZAIFU 2 KAMA WEWE ALAFU ANAKATA TAMAA MAPEMA HAMNA KITU PALE NDIZI ZINAENDELEA TU. UNAJISIFIA KUMBE UNAMJUA KUA NI NYANYA YA MASALU😅

    • @allymwachipanga2486
      @allymwachipanga2486 5 หลายเดือนก่อน

      amesema hajawahi kupigwa Africa acha chuki sikiliza alafu jaime sio bondia kiazi alimpiga Liam smith na sasa ana fight na canelo, tushakuelewa aya mkali ni yule kanjubai

    • @yunussera4146
      @yunussera4146 5 หลายเดือนก่อน

      Tunangoja pambano lako na wewe tukuone 😂😂

    • @SaidiMkinga
      @SaidiMkinga 5 หลายเดือนก่อน

      @@yunussera4146 😃😃😃

  • @wazirikibindo6518
    @wazirikibindo6518 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulinde bondia wetu

  • @barakamushi6686
    @barakamushi6686 5 หลายเดือนก่อน +1

    Champez nakukubali fanya kitu💪

  • @JumaSekievu
    @JumaSekievu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto wa makorora hijawai kufeli,kila la khery

  • @IgarandaIgaranda
    @IgarandaIgaranda 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha kwanza atimize malengo yake kilakitu Kina wakat kwawale mnaosema apigane na twaha

  • @DoctMbegu
    @DoctMbegu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atakujali utashinda ndugu yang

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 5 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni ujinga kimakonde chenyew hujui unaropoka tu hapo.. anzeni na twaha kwanza mbona mnakimbia kimbia!??

    • @mohamediabdalah7650
      @mohamediabdalah7650 5 หลายเดือนก่อน

      Twaa kiwango chake kibovu . Acha chukidogo

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo kwenye maongezi yako mipasho haikosekani 😂😂😂

  • @Bakarisherukindo
    @Bakarisherukindo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja kak mung akutangulie katk hil

  • @DannyMasuka-ut4oq
    @DannyMasuka-ut4oq 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilijuwa anaanza na kundo boy 😂😂😂😂

  • @gabrielhonlat4043
    @gabrielhonlat4043 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuongozee chapeziii

  • @nimbetebwangabwa8521
    @nimbetebwangabwa8521 4 หลายเดือนก่อน

    Kila atuwa Duwa..kila la kheri,bingwa

  • @RichWise671
    @RichWise671 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakinyo ni mtu wa maana kabisa Africa 🔥🔥🔥

  • @JakalinoNzota
    @JakalinoNzota 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazkaz kaka ubingwa wetu

  • @philipomussa
    @philipomussa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kila khery champion!!

  • @IbraahimKhamis-bs6dp
    @IbraahimKhamis-bs6dp 5 หลายเดือนก่อน +1

    Baba natamka Allah akupe nguv

  • @jumaasungwi6574
    @jumaasungwi6574 4 หลายเดือนก่อน +1

    Champenz ❤

  • @gobaonlinetv9690
    @gobaonlinetv9690 5 หลายเดือนก่อน +2

    Binafsi nimefurahi Azam kumsamehe mwakinyo na kukubali kufanya naye kazi tena.

    • @Rahima-v5j
      @Rahima-v5j 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani aliwakosea nini

    • @gobaonlinetv9690
      @gobaonlinetv9690 5 หลายเดือนก่อน

      @@Rahima-v5j lile pambano ambalo hakupanda uwanjani hali yakuwa Azam walishafanya promotion na walilipia haki za kurusha matangazo hayo

  • @Abdul2020-mz5cz
    @Abdul2020-mz5cz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka usiagusha maana tunkumbea 3:59

  • @asharambao8195
    @asharambao8195 4 หลายเดือนก่อน +1

    Respect home boy

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @NasraWaziri-l9f
    @NasraWaziri-l9f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makonde pumbavu zake

  • @NasraWaziri-l9f
    @NasraWaziri-l9f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina tunakuombea baba❤

  • @harrisntibuhera8201
    @harrisntibuhera8201 4 หลายเดือนก่อน

    All the best international champion ☺🔥🔥

  • @sundaysenga7608
    @sundaysenga7608 5 หลายเดือนก่อน +1

    AONGEE YEYE MWENYEWE SIO WEWE THAT'S NOT PROFESSIONAL 😂😂

  • @MohamedMgaya-gx3kt
    @MohamedMgaya-gx3kt 5 หลายเดือนก่อน +1

    Katuchapie mtu mwamba

  • @alonchobasamiye6844
    @alonchobasamiye6844 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tupo nyuma yako mpaka wakuuwe 😂😂

  • @jacksonmbwasi8366
    @jacksonmbwasi8366 4 หลายเดือนก่อน +1

    All the best

  • @Ybrandytz
    @Ybrandytz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Datuna kuamini broo

  • @ClemenceSefu
    @ClemenceSefu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakuombea mkuu

  • @IsayaSamweli-pm4dd
    @IsayaSamweli-pm4dd 5 หลายเดือนก่อน

    You are Tanzania One, lakini acha ujinga ujinga uliokujaa kichwani kwako wa kutaka kupigana na Hormonize, huyo dogo sito level yako hata kidogo, achana naye Focus with your vision kama malengo yako tangu unaanza boxing ni kumshikisha adabu huyo dogo basi pigana naye, lakini kama kwenye focus zako hayupo achana naye kabisaaaaa.......tena mwambie kabisa kuwa sitapigana nawewe nakuogopa utanipigia jambo liwe limeisha awe mshindi yeye.
    Your the eye of National Brother.

  • @mandanjealluminium9873
    @mandanjealluminium9873 4 หลายเดือนก่อน +1

    Twaha nae afate taratibu?

  • @kidykodyyusufukod-ud6vg
    @kidykodyyusufukod-ud6vg 4 หลายเดือนก่อน

    profeshinal Boxing tz wapo watatu mwakinyo ,toni rashid, ibra clasic hizi ni kz

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 4 หลายเดือนก่อน +1

    Les go 🏆 champion boy.. 🥊🥊🥊🎉🎉🎉

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kwa Twaha kiduku hamisemi maneno hayo
    Mnakwepa kwepa tu
    Huu ndio utoto ambao hatutaki

    • @muadhihassan4486
      @muadhihassan4486 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani bondia wakupigana nae ni kiduku tu

    • @denischemba
      @denischemba 5 หลายเดือนก่อน

      We ni fala unadhani hiyo profile ya mwakinyo ameipata kipumbavu

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilifikiri unapigana na mmakonde mx

  • @VenanceMahenge-r1k
    @VenanceMahenge-r1k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyengumizake kaludi

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 5 หลายเดือนก่อน +1

    GOAT IN BOXING...KEEP IT UP BRO

  • @rahelclement4298
    @rahelclement4298 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko nyuma yako

  • @SALUMUKATANI-u8b
    @SALUMUKATANI-u8b 5 หลายเดือนก่อน +2

    Au harmonize 🤔🤔🤔🤔

  • @frankisaya1170
    @frankisaya1170 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uhakika baba

  • @YohanSamol
    @YohanSamol 5 หลายเดือนก่อน +1

    Izi pigo za mwkinyo sio poah

  • @AbdulJumanneKahema-rg8gk
    @AbdulJumanneKahema-rg8gk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Champenz one time

  • @JosephatChristopher-y5v
    @JosephatChristopher-y5v 5 หลายเดือนก่อน

    Uyo mpinzani wa champezi ni harmonize ndo hajawai kupigwa😂😂😂

  • @SuleimanMohommed
    @SuleimanMohommed 4 หลายเดือนก่อน

    Go champion

  • @rahimhemed3370
    @rahimhemed3370 5 หลายเดือนก่อน

    Champeez babaaaakoooo
    We nani kwan date31 burdaaan andaen nanyie roko
    Taree iyo😊

  • @omarikhalfani2573
    @omarikhalfani2573 4 หลายเดือนก่อน

    Wasike wakam badilisha mpinzani tu..!!

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 5 หลายเดือนก่อน +1

    SHIDA UNAUGOMVI NA AZAM MALIZA UGOMVI NAO

    • @gobaonlinetv9690
      @gobaonlinetv9690 5 หลายเดือนก่อน

      Ugomvi umeshaisha,ndio maana azam wenyewe wamepost hii habari

  • @AsedAhadi
    @AsedAhadi 4 หลายเดือนก่อน

    Wateimu champez kk very nais

  • @sidearsenal666
    @sidearsenal666 5 หลายเดือนก่อน

    Tutaka kuona akicheza na yule msouth africa

  • @Matatasaid
    @Matatasaid 4 หลายเดือนก่อน

    Watoto wa ushwaz huwez kutuekea mipaka mogadishu halaaaaaa

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 5 หลายเดือนก่อน

    Mwisho wa siku uyo mpinzani hatokei konde boy anapanda na mwakinyo

  • @MrCovid-md3qv
    @MrCovid-md3qv 5 หลายเดือนก่อน

    Akimpiga utaskia mambwiga wataongea upuuzi

  • @HusseinIsmairy-gj5ux
    @HusseinIsmairy-gj5ux 5 หลายเดือนก่อน +1

    Machipx4realy

  • @jamilachikupa96
    @jamilachikupa96 5 หลายเดือนก่อน

    Apo ulivo kua na sifa usipande ulingoni km skuzile

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 5 หลายเดือนก่อน

    Alituangusha kwa mwingeleza

  • @SAIDIATHUMANINGOMA
    @SAIDIATHUMANINGOMA 5 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana kaka ChampeZy💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @FikiriMgonanze
    @FikiriMgonanze 4 หลายเดือนก่อน

    Kweni yule asemehle welle vp

  • @NusuraSadiki
    @NusuraSadiki 5 หลายเดือนก่อน

    Vp azam mmemsamehe huyu mzee wa mipasho.

  • @MuhammadSayyar-b8f
    @MuhammadSayyar-b8f 5 หลายเดือนก่อน

    Konde boy unapigana nae bro