RAFIKI KINDAKINDAKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 114

  • @OmarChai-td5wp
    @OmarChai-td5wp 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh bujra Leo ibilisi amekuzidi nguvu wasema wangechelewa ulikuwa wachinja ng'ombe sio umle kabisa na maini yke,twafaa kuwa na nguvu ilishetani asitutawale mwilini mwetu huo mtihani mkubwa Sana kwa wenye ndoa,tuko pamoja sana watu wangu

  • @chenaizakache5713
    @chenaizakache5713 7 หลายเดือนก่อน +8

    Kuanzia Leo Sitaki urafiki nyumbani kwangu 😂😂 Urafiki uwe wa barabarani 😊

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 7 หลายเดือนก่อน +9

    Mafunzo mazuri sana mwanamke upaswi kumsifia mmeo mbele ya yeyote hiyo Siri yako nae ila skuhizi wanawake wamekosa midhamu wamekosa Siri .haipo Siri Tena atupe hekma Allah subhana wataala tujuwe yapi ya kuyaongea njee ili tulinde ndoa zetu inshallah 🤲🥺🙏

  • @Abal-Hakam40
    @Abal-Hakam40 7 หลายเดือนก่อน +4

    Eeeh huo mtihani si wakufaulu kabisa,ni wa kufeli tu moja kwa moja 😂

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mmedona huyu mashaaAllah nlimpeza mda

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 5 หลายเดือนก่อน +1

    Lesson nzuri sana congratulations my guys

  • @مريوعبدالله
    @مريوعبدالله 7 หลายเดือนก่อน +2

    Haya ni kweli walahi hakuna rafiki mzuri

  • @zhshsh-us8tf
    @zhshsh-us8tf 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂uliambiwa ukakana Beka angalia kwa macho rafiki rafikio funzo kwa wengine wanao tabia wacha weee😅😅😅😂😂😂😂dole

  • @HassanGuro-c9n
    @HassanGuro-c9n 6 หลายเดือนก่อน +2

    Halooo haloooo ni tajuwa miye

  • @KhadijaKeysmohd
    @KhadijaKeysmohd 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa urafiki barabarani

  • @leylaabuu7025
    @leylaabuu7025 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bujra jamani na mi naomba kuigiza napenda sana MashaAllah

  • @mwakaathuman5637
    @mwakaathuman5637 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera mama umeweza

  • @HassanGuro-c9n
    @HassanGuro-c9n 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jongo alikuwa Hana macho ukamwazima

  • @HassanGuro-c9n
    @HassanGuro-c9n 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤mpokonye sifazote hizo usichelewe❤❤❤😂😅

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mavya nakupenda ❤ niozeshe mwanako wamwisho

    • @nurianaramadhan
      @nurianaramadhan 7 หลายเดือนก่อน +2

      Mwanawe wa mwisho ni bekah ruga😂😂😂

    • @missindependent1893
      @missindependent1893 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😅😅😅😊😊​@@nurianaramadhan

  • @SharifaMwalim-y7k
    @SharifaMwalim-y7k 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wah wah wah jamani walikuwa wachelewe kidogo mambo yangekuwa sawiya kabsa😂😂😂😂

  • @MhomdAshry
    @MhomdAshry 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂rafiki huyo

  • @maggieluvuno4666
    @maggieluvuno4666 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama vyaa nimekupenda tuu sana kwa ushauri wako

  • @JumanneHunda
    @JumanneHunda 6 หลายเดือนก่อน +2

    Madikodiko wa mtoa mumeo mwenyewe 😅😅

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 7 หลายเดือนก่อน +2

    Makubwa.mambo.ya.meanza😂😂😂😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah, kweli mke na mume mambo yao ni yao tu

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mamkweeee Jamani mashaAllaah ❤

  • @zainabramadhan1809
    @zainabramadhan1809 7 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤ leo w kwanza hpa

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umeona madiko mume alikua bdo kidgo tuu ungechelewa ww😂😂😂😂😂😂

  • @nurianaramadhan
    @nurianaramadhan 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bujra wasema wangechelewa kidogo sio😂😂😂😂😂

    • @NassraSoud-ou3qv
      @NassraSoud-ou3qv 7 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JumaHija-mx1ev
    @JumaHija-mx1ev 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ama kweli nimeamini kikulacho kinguoni mwako

  • @monarose6091
    @monarose6091 7 หลายเดือนก่อน +3

    Bibi mkaza choka hongera bibi mumgu akujalie kipaji chako

  • @citykibonge2999
    @citykibonge2999 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maa Shaa Allah,mama mkwe hongera❤

  • @AshaMbeyu
    @AshaMbeyu 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂mwana kulitafuta mwana kulipata

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nawapenda bure ❤❤❤

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 7 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nawapenda from uk 🇬🇧

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mafunzo mazuri sana 😂😂😂😂😂 madikodikoo😂😂😂😂

  • @mikyfosikama8752
    @mikyfosikama8752 7 หลายเดือนก่อน +1

    Rafiki mnafiki nimejifunza kitu😂😂

  • @abubakarmaphox7132
    @abubakarmaphox7132 6 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉wah... what about

  • @FatumaMwinyi-ox8qi
    @FatumaMwinyi-ox8qi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ilikuwa bdo kiduchu upindue serekali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @richbird.123
    @richbird.123 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza kitu humu wacha kusifia mume tu hata maisha yako unayo ishi mazuri

  • @saidbiggy2609
    @saidbiggy2609 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee bujra unawaambia lakini mumewahi kuja😂😂😂

    • @Sarah-tq2vc
      @Sarah-tq2vc 7 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅

  • @OmanOman-e8m
    @OmanOman-e8m 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kitakuraba ww madikodiko na uyoo na shonga wako😢

  • @ZulfaSaidigavunaZulfaSaidigavu
    @ZulfaSaidigavunaZulfaSaidigavu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sitaki marafiki nyumbani kwang😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-ju9mi1ft4v
    @user-ju9mi1ft4v 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bujira usifeli mitihani utamuuwa madikodiko😂😂😂

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 5 หลายเดือนก่อน +1

    Siri ya mtungi aijue kata pekee usifanye kichwa pia kikajua

  • @MwanasaadaAsha-es6ov
    @MwanasaadaAsha-es6ov 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂madikodiko utakoma peana sifa za mumewe kwa rafiki

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ndio kindaki ndaki,wamsifia mgema kugema pombe uliyataka mwenyewe madikodiko 😂😂😂😂.

  • @HanifaHamadi-yg9bc
    @HanifaHamadi-yg9bc 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo pesa mkatoe sadaka huko

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 7 หลายเดือนก่อน +2

    Leo hakuna matikiki😂😂😂

  • @Mesalimmwadarashi
    @Mesalimmwadarashi 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hahaha kidogo tuuu apewa cucumber 😂😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 หลายเดือนก่อน

      Mambo ya tango vimemkifu vibamia 😂😂😂😂😂

  • @quintahariri8552
    @quintahariri8552 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mafunzo mazur jamani

  • @nuruboga4565
    @nuruboga4565 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha wee 😂😂😂

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 6 หลายเดือนก่อน

    Kimekuramba madikodiko❤❤❤

  • @theeKK101
    @theeKK101 7 หลายเดือนก่อน

    Bujra ati "mlikua mchelewe kidogo tu"😂😂😂😂

  • @aishabarua6857
    @aishabarua6857 7 หลายเดือนก่อน

    Tobaah, pole pole, mkono na paja

  • @NancyKahindi-t2v
    @NancyKahindi-t2v 7 หลายเดือนก่อน

    Madikodiko kimemramba leo😂😂

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 7 หลายเดือนก่อน

    Asanteni kwa mafunzo mazuri❤❤

  • @noramaxha9645
    @noramaxha9645 7 หลายเดือนก่อน

    Rafiki namkaribisha kwangu kamamume kasafiri 😂😂

  • @UmmuAisha-xk8mj
    @UmmuAisha-xk8mj 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂rafiki kindakindaki amekuwa handaki

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 7 หลายเดือนก่อน +1

    Rafiki Kindakindaki😂😂😂

  • @RehemaMakuka-q4e
    @RehemaMakuka-q4e 6 หลายเดือนก่อน

    Ilibidi wachelewe kidogo

  • @aminahhasan1509
    @aminahhasan1509 3 หลายเดือนก่อน

    Koma rafiki😂😂

  • @mwanashadele1856
    @mwanashadele1856 7 หลายเดือนก่อน

    Mama sidi❤❤

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaaaaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂😂

  • @فطومفاطمه-ش2و
    @فطومفاطمه-ش2و 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂mamkweeeè🎉🎉🎉

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Madikodiko wewe sema yote bujra aja twaliwa ulie peke yako.

  • @FatimaFatima-xu2ff
    @FatimaFatima-xu2ff 7 หลายเดือนก่อน +1

    Toba ilikua bado kidgo tu😂😂😂

  • @HgJ-d2t
    @HgJ-d2t 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 7 หลายเดือนก่อน +1

    Rafiki mnafiki pole pole madikodiko 🤦‍♀️

  • @Karyma-g3n
    @Karyma-g3n 7 หลายเดือนก่อน

    Madikodiko sbr kikurambe mama 😂😂😂

  • @missindependent1893
    @missindependent1893 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😅😅😅😅😊😊😊

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 7 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉😂😂😂

  • @richbird.123
    @richbird.123 7 หลายเดือนก่อน

    Cameraman bwana hutuliii

  • @Mabangi123
    @Mabangi123 7 หลายเดือนก่อน

    ❤🔥🔥🔥🔥

  • @bintyusuf5
    @bintyusuf5 7 หลายเดือนก่อน

    Kindakindaki😂😂😂😢😢

  • @ShafiaNzugah
    @ShafiaNzugah 7 หลายเดือนก่อน

    Rafik bas🙌😂😂😂

  • @MerrryMammy
    @MerrryMammy 7 หลายเดือนก่อน

    Ata mjirani wakiona tu bali na rafiki

  • @RamdaZachou
    @RamdaZachou 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂shoga ninyoka

  • @mwisholibondo7847
    @mwisholibondo7847 7 หลายเดือนก่อน

    Medona zuberi umepatia😅

  • @tatomary1375
    @tatomary1375 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @MariamAhmadaMwikalo
    @MariamAhmadaMwikalo 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂kula chuma hicho madiko diko

  • @peteswalehe236
    @peteswalehe236 7 หลายเดือนก่อน

    Keep it up😂

  • @ZaytoonaKarama
    @ZaytoonaKarama 7 หลายเดือนก่อน

    Mume hasifiwi kw marafiki

  • @KhalidAshjaie-cz7vg
    @KhalidAshjaie-cz7vg 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂

  • @fatumakale7004
    @fatumakale7004 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 7 หลายเดือนก่อน

    Shkamoohoo mavyaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mebakarimohamed686
    @mebakarimohamed686 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @bindawood978
    @bindawood978 4 หลายเดือนก่อน

    Madikodiko!

  • @Helen-vl8lb
    @Helen-vl8lb 7 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hila mamadikodiko hicho kipini cha puwa chako sio staly yako kabisa ni manbo ya vijana nawe uko kio cha jaami wafunza jaami kwenye kazi zako

    • @CrsAlzaid
      @CrsAlzaid 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani kina maana mpaka unasema hivyo mm naona niurembo tu kwa mtu yeyote ama chatukana niambie hata mm nijue manake bas ju mm naona niurembo tu

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 7 หลายเดือนก่อน +1

      Urembo pia unatizama na umri wako la sivyo vinakushusha thamani kimtizamo

    • @BintHassan-o1y
      @BintHassan-o1y 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@CrsAlzaidurembo na umri..kuna umri ukifikia kuna vitu unaachia wajukuu na wanaoo

    • @MariamAhmadaMwikalo
      @MariamAhmadaMwikalo 7 หลายเดือนก่อน +2

      Mmh jaman kipini Cha pua kina umri ndo nasikia kwako😂😂😂

    • @Zainab-f9w5x
      @Zainab-f9w5x 7 หลายเดือนก่อน +4

      Vipin vyasikuhizi sivyema kama ngombe alie tiwa kamba si heshima kwa mtu mzima

  • @HassanGuro-c9n
    @HassanGuro-c9n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jongo alikuwa Hana macho ukamwazima

  • @MwanaJumaali-q8n
    @MwanaJumaali-q8n 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @annamarymakala1233
    @annamarymakala1233 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @RehemaMakuka-q4e
    @RehemaMakuka-q4e 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @mariamshaban9651
    @mariamshaban9651 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @aminamwaega8654
    @aminamwaega8654 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @Mumy564
    @Mumy564 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @rukiagambere8050
    @rukiagambere8050 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @bihosaomar5231
    @bihosaomar5231 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂