HATMA YA SIMBA SC MIKONONI MWA LIBYA SHIRIKISHO | DROO YAPANGWA | UHAMIAJI VS SIMBA..?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
- Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv - กีฬา
naiona kesho iliyopangwa na baba naiona kesho iliyopangwa na baba ndy kitu unawez kusema
SIMBA NGUVU MOJA 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Utoporo wanaanza awaliiiiii kiwangochao nikidogo
Coastal .....out, feel so sorry for. Lawi..😂
Mameno
Tatizo mameno kibao kabla hata mechi hazijaanza haya
Maneno kivipi hata kama umechapia
Waulize utopolo ukubwa wao afrika uko wapi
Hawana lolote kelele tu
Wanacheza champions league 😂😂😂😂
Ni ya 6 sio 6
Kosto itakufa tu
SIMBA TIMU KUBWA NAMBA 7 BARANI AFRICA AIWEZI KUANZIA MWANZO
Namba 6
Simba number 6 bro
Sio timu kubwa sema ina point nyingi CAF za kufikia hatua nzuri ktk mashindano
Sorry sio namba 7 bali ni namba 6 kwa ubora Afrika .
Hivi wewe unatamkaje "Coastal Union"!!!!. Mna haribu majina
Kost wapigwe kama ngoma
Hata mm nakuunga mkono cost wapigwe kama ngoma wametunyima lamek lawi wapuuz
Usinune.