inaonekana kama ni nchi mtu sio ya watanzania. kwa kweli haijawahi kutokeya huyu mtoto wa makufuli alisema atafata unayo za makufuli udicteta aibu tupu uchafu 🇹🇿
Viongozi wetu wa tanzania wanatumia nguvu nyingi sana kuliko akili ndomqnq tunakufa kama mbwa na tutakufa sana watqbaki wao na watoto zao na wakitumqliza sisi waanza kuuwana wenyew kwa wenyewe
Watu baada ya kufanya kazi wakapata pesa mbili tatu tukale na familia zetu eti nende nikaandamane unataka wakati wa kwenda haja eti niombe ruhusu nchi ina amani tudumishe amani Mungu alotuwekea hao mwisho wa siku utawakuta wanaishi nje ya nchi wanakula maisha wewe uko segerea,keko,ukonga n.k
CCM IKO SIKU ITAANGUKA MUNGU HALALI NA HATA NYAMAZA CCM MKO NA JESHI LA POLICE MKO NA JESHI ILA WENYE HAKI WAKO NA MUNGU NA MALAIKA WA VITA.. IKO SIKU HAKI ITA TAWALA TANZANIA UTAWALA WA CCM WA KIDICTETA MUNGU ATAUANGUSHA.......
Jamani viongozi wa vyombo vya usalama, Polisi, nk. Wakumbukeni kuwapelekea chakula walioko kwenye Lindo Ili waendelee kuimarika kiafya. "KAZI IENDELEE", TUNACHOTAKA RAIA WATANZANIA, NI AMANI KTK NCHI YETU.
Watu wa Kwanza, Kuonyesha Mfano wa Maandamano, ni Viongozi wa Chadema, na Wake zao, na Watoto wao, Lema Mke wake, Watoto wake, Wapo Canada, Wake wa Viongozi, Tundu Lisu, Freedom an Mbowe, Mnyika, Wanatakiwa wawe Mbele Sisi tuwe Nyumba Yao.
WEWE MTANGAZAJI NA KIGUGUMIZI CHAKO FARA SANA..KWAHIYO UPO HAPO KAMA KADA WA CCM AU UNARIPORT TAARIFA JINSI ZINAVYOTAKIWA...ACHA UMAMA KUHUTUBIA KUHUSU AMANI NA USALAMA WA NCHI....WEWE KAMA NANI KIAZI WEWE??? HUJUI MAJUKUMU YAKO HUFAI HATA HIYO KAZI UNAAIBISHA KUNDI LA WANAUME LEFT GROUP KAMA VIP
inaonekana kama ni nchi mtu sio ya watanzania. kwa kweli haijawahi kutokeya huyu mtoto wa makufuli alisema atafata unayo za makufuli udicteta aibu tupu uchafu 🇹🇿
📞MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA✨ KUPITIA: 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.🫲🩻
Ni swala la muda tu sisi tuna Mungu wa Mbinguni tutashinda chadema
Sio maandamano ya chadema ni maandamano ya watanzania waliochoka na utekaji na mauaji !
Siku ya kupiga kula watanzania wote tuta baki majumbani ili watumishi dio wataeda kupiga kula
Mbona sisi wakongo tuna zania ninyi watanzania mna amani sisi kwetu Congo manji Yana endelea kuzidi unga😭😭🙏
Wanaona Kuna amani wanataka kuiondoa amani Hawa.... Watugeuza palestina na Gaza.... Subhanallah allah atuhifadhi... AMIIN
Hii nchi jaman aisee mimi sio chadema wala ccm lakini naumia kwa mambo yote mabaya yanayofanyika ila moto wenu mtaukuta mbinguni
Sawa kabisa watu wa endelee nakazi zao
Sawa kabisa Christina,Maandamano yafanyike kuandaa mashamba,
Jamani jamani tuangalie nchi ya Libya mfano hai wanahuta ss
Tz amani hamna mungu ajalie tu daaa, so powa mung anawaona
Mungu yupo nasi
Lewis Laura Harris David Clark George
Wa ssm mungu anawaona mtalipwa
Me namsubiria philmoni mboe na tundu lisu maana kisu ata akipigwa risasi uwa hafariki
Iritakiwa tanzania nzima mikoa yote ifanye maandamanao lkn sisi wa TANZANIA hatuigi mfano ws. Kenya
Maandamano mazuri, Ni Kuandaa Mashamba, Mwezi huu wa Tisa na Kumi, Ili Mvua Ikianza Tutokomeze Njaa, Hili ni Jambo Jema.
Kabisa
Ukija kutekwa shambani ndo akili itakukaa sawa..
atekwe kufanya Nini mbona ww hujatekwa@@leonardyona1462
Wewe unachoendekeza ni njaa tu na ndivyo mnavyonunuliwa hata kwa kopo la mahindi
Kwel kabisa
ubaguzi tu
Tanzania akuna amani Kuna utulivu wa uoga!!!!
kwahiyo nyinyi mnaona ni makosa kufanya mandamano. au watu ni wajinga
We are very close to our freedom
Tumpindue mama Samia tumemchoka
Kwa nini mandamano ya kupinga mauwaji mnayakataa mnataka muendelee kutuuwa CCM must go
Polisi wameamua kuwa wavunja katiba,kwani nikifungu kipi wanatumia kuzuia Maandamano?najua hakipoo
Amani ndo kila kitu
Njia za kutatua Changamoto za nchi yetu ziko nyingi,,,,, Si lazima kuandamana. wa Tanzania tutumieni
busara tusiburuzwe tukaharibu amani yetu.
Haya taja hizo nyingine
Achana nae@@Emmiz_boy
Bro Tanzania hakuna amani, watu wanatekwa mchana kweupe kisha wanauawa au kupotea kusikojulikana.
Aman gani iliyopi?mtu akiikosoa serikali anapotezwa ndo amani hyo ,au njia ipi hyo nyingine embu ielekeze
Hayo maandamani ni ya amani kabisa
😂😂😂😂😂bongo bana cc tubaki tu tule ugali bas maandamano hapa hakuna labda mbowe na tundu ndio wajasir wenyewe
Maandamano siyo suluhisho la tatizo, suluhisho ni kukaa na kujadili tatizo linalo jili.
inaonekana kama ni nchi mtu sio ya watanzania. kwa kweli haijawahi kutokeya huyu mtoto wa makufuli alisema atafata unayo za makufuli udicteta aibu tupu uchafu 🇹🇿
Hiyo iko mama malalamuko ya watanzania kns
Sasa huyo sam nujoma anatuhusu na nini
Viongozi wetu wa tanzania wanatumia nguvu nyingi sana kuliko akili ndomqnq tunakufa kama mbwa na tutakufa sana watqbaki wao na watoto zao na wakitumqliza sisi waanza kuuwana wenyew kwa wenyewe
Ngoma ikilia sana imekaribia kupasuka
Enyi mliounga mkono maandamano, hakikisheni viongozi na wake zao wapo mbele ya msafara
Hii nchiii hiii
Hii pia n maandamano ebu leteni kakitu tuwafunze kuandamana
Katiba yetu inaruusu maandamano ivyo basi akuna uvunjaji wa Sheria uoni unyayasaji Tanzania akuna amani
Huyu mtangazaji anaonekana anaogopa sababu anteater sana jeshi la police hayupo kwenye ukweli
Nyie police mtakuja kufa biya sana kumbukeni hamtaishi melele
Mungu tutee
Hiki kidada kinachoomba kimeweuka nini hata sikielewi😂
Sio pow kwakweri hayo maandamano
je yaliyopo ni mema watu kufa kiholela njaa iliyo kithiri wachache tu ndio
Watu baada ya kufanya kazi wakapata pesa mbili tatu tukale na familia zetu eti nende nikaandamane unataka wakati wa kwenda haja eti niombe ruhusu nchi ina amani tudumishe amani Mungu alotuwekea hao mwisho wa siku utawakuta wanaishi nje ya nchi wanakula maisha wewe uko segerea,keko,ukonga n.k
Huoni tatizo ndugu? Hivi mwanao aliye kwa na kupotezwa utajiskiaje? Labda Uwe siyo mwanadamu Ndiyo Utaona ni kawaida tu…
Roho mbaya ni uchawi, kwa sababu hakuna ndugu yako aliyetekwa unawaona wajinga..
@@leonardyona1462jiulize mpk katekwa kafanya Nini mbona hawaandamani kuhusu majambazi kwani c Wana ndugu
Hizo hela mbili tatu ndizo zimewafanya kuwa watumwa na mateka kwa wachache wanaowaburuza na wao wakiishi kama wafalme
Tuko pamoja
mimi naungana nawaandamanaji kwani. ni haki yao
Global mmefilisika ki habari imebaki blaa blaa😂😂😂😂😂
Tanzania nimeona wote waoga tu ujasiri tunao mdomoni mlichokitangaza na kinachoendelea. Mbona ni tofauti au bado mda???? Naomba jibu tafadhali
Police njo wezi tena watekaji😂😂😂
Kabisa wężi na wabakaji wauaji watekaji wanaongoza na CCM yao
CCM IKO SIKU ITAANGUKA MUNGU HALALI NA HATA NYAMAZA CCM MKO NA JESHI LA POLICE MKO NA JESHI ILA WENYE HAKI WAKO NA MUNGU NA MALAIKA WA VITA.. IKO SIKU HAKI ITA TAWALA TANZANIA UTAWALA WA CCM WA KIDICTETA MUNGU ATAUANGUSHA.......
Chadema mmnataka nn jaman aman turio nayo bado hamjqrizika nayo dah mnataka mama awafanyie nn
Maandamano ya aina hii ni kukiuka katiba, na pia kuharibu amani nchi ni.
Maandamano y chadems
Mimi cjajua kuandamana juu ya nini !
jaman jaman mh?
Jamani viongozi wa vyombo vya usalama, Polisi, nk. Wakumbukeni kuwapelekea chakula walioko kwenye Lindo
Ili waendelee kuimarika kiafya. "KAZI IENDELEE", TUNACHOTAKA RAIA WATANZANIA, NI AMANI KTK NCHI YETU.
Alisema yatakuwa maandamano yasiyosahaulika ni kweli ya stahili yake ni kinyume chake haya hata Afrika Mashariki na kote Afrika hayajatokea
Acha uchovu wa akili,nchi ina amani mnataka ninyi mbele ya Mungu,
🙄🙄🙄🙄 YESU NI MUNGU
Wakodishe wa Kenya wajekuwafanyia mandamano
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Je viongozi wa chadema wapo wapi kwa sasa?
Alomonzi siku 4😊
Chadema wajinga kama wao wanaume watie magumu sugu mlema mbowe lisu wawe mstari wambele😅
ww ndo mjinga maana mbowe kafika na s yeye tu pamoja na mtoto wake
Nani ameskia kigugumizi cha mwandishi
Watu wa Kwanza, Kuonyesha Mfano wa Maandamano, ni Viongozi wa Chadema, na Wake zao, na Watoto wao, Lema Mke wake, Watoto wake, Wapo Canada, Wake wa Viongozi, Tundu Lisu, Freedom an Mbowe, Mnyika, Wanatakiwa wawe Mbele Sisi tuwe Nyumba Yao.
Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake
LAW AS IT IS......
Ulinzi wa wananchi na Mali zao ni kazi yao ya kila sikuu? Siku nyingine wanakuwa wapi? Hii ni danganya toto tu!!
Wapuuzi hawa waandamane nini wagonjwa
Serkali so kitu Cha kuchezewa Kama mtoto wa sanamu lazima some time uheshimu Kama unavyohesimu mzazi au mlezi wako sikio haliwezi kushinda kichwa
Huna hoja wewe au ujafikiria umeandika tu
Mbona sionii kuwa Kuna kikubwa?!?!
S.alikum mtangazaji hiyo camera inaonesha polic tuu kwani anae kamati hiyo kamera hayopo watu wanafatilizia matukio sio kutizama polic vizuli kujilekebisha
nyie mmeliowa na serikali ya sisisem kurusha matangazo love ili kuwatisha watu ila mnakula haramu iko siku itawatokea puani
Mbowe na lissu waanamana nn kwa mufano wakati ndio tunaelekea uchaguzi siwasubiri uchaguzi upite Kama amedhulumiwa ndio aandamene waache ujinga bana
Hujaguswa uko sahihi kabisa
🎉🎉😢
Ninoma
Duu!! Polisi waandamana ,TZ
jitu lenyewe unaitwa mabwai unaanzaje kuwa na akili
Polisi nao wamepata kazin ya kufanya maana huwa hana
😂
WEWE MTANGAZAJI NA KIGUGUMIZI CHAKO FARA SANA..KWAHIYO UPO HAPO KAMA KADA WA CCM AU UNARIPORT TAARIFA JINSI ZINAVYOTAKIWA...ACHA UMAMA KUHUTUBIA KUHUSU AMANI NA USALAMA WA NCHI....WEWE KAMA NANI KIAZI WEWE??? HUJUI MAJUKUMU YAKO HUFAI HATA HIYO KAZI UNAAIBISHA KUNDI LA WANAUME LEFT GROUP KAMA VIP
Mbona naona Amani kabisa wasiwasi ya nini
😂😅😅
Watulie bwana woyiiiii raisi anaelewa anachofanya wasimfundishe kazi yake
Polojo wewe anachokifanya we unaona ni sawa subili utekwe nha wewe
Waonyeshwe haoo wanaotuharibia amani yetu wachapike haswa
inaonekana kama ni nchi mtu sio ya watanzania. kwa kweli haijawahi kutokeya huyu mtoto wa makufuli alisema atafata unayo za makufuli udicteta aibu tupu uchafu 🇹🇿