RAIS WA ZANZIBAR AKAGUA UWANJA WA AMANI/UJENZI WA KISASA UMEFANYIKA/ASILIMIA CHACHE..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, MHE. Dkt Hussein Ali Mwinyi amefanya ukaguzi wa Uwanja wa Amani Leo Aug 27.
    Baada ya hapa MHE. Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi atahudhuria Usiku wa Vitasa ndani ya Mao Tse Tung kama Mgeni Rasmi wa Usiku huo.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 5

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good president 👍👍👍💯

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 11 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa camera 🎥 hawakutoa picha nzuri

  • @muhsinali5536
    @muhsinali5536 11 หลายเดือนก่อน +2

    WATU ambao wanahakikisha usalama wa mheshimiwa RAIS hivi kweli mlikua makini kweli ata kofia ngumu hamkumvisha umakini jamani

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jenga viwanda vidogo vidogo ambavyo vijana watafanya kazi na kuepukana kuvuta mabangi na madawa ya kulevya na pombe na kupunguwa kwa umalaya mana mtu akitoka asubuhi kurudi jioni ni kulala Tu

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 9 หลายเดือนก่อน

    Kama majukwaa hayatkuw na viti japo vya plastic basi bure tu