Dah! Ht cjui nimelia nn mtoto mzur endelea hivyo hivyo mpend mama yako meng kapitia mpk ulipofikia nabado ataendlea kuyapitia mpk utakapofikia ha2a yakuwez kujitegemea Mungu awa2nze muendlee kuwa nafuraha Aman upendo cku zote
Mapenzi ya mama na kijana wake yakizidi huishia kutembea nae,hata mapenzi ya baba na Binti yake yakizidi sana huishia kutembea nae tahadhali, wazazi usipende kupitiliza hatua ya mwisho ukimpendaaaa saaana nikutembea nae
Kwakwel ktk mastaa wenye watt na adabu zao na busara ni huyu Krish WA Irene hongera Irene Kwa kumlea kijana wako vzr
100%
Sana🎉
Yla ameregea Sana ingawa ndio natural alivo mungu amlinde mabarazuli wasimuone , Ameen
Kijana grow Hadi uzeeke nywele nyeupe kichwani.Nimekupenda Kabisa ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera unamlea vzur sana mwanae
Wow mama mzur kijana mzuri , MUNGU AWATUNZE❤️
Mtoto naadabu huyu na hekima kwakuwa nakuzidi kuwa handsome walimcheka muonekani wake sasahivi anapendeza❤❤❤
MUNGU akutunzie Irene uwoya mtoto wako ni mzur sana. Na azid kukua kwa HEKIMA ZA MUNGU ❤
Irene nafurahi unamfunza kijana wako madili mema Ako n heshima n upendo kwako Mungu akuekee❤
Mama hongera Kwa malezi manzuri mungu akubariki
Mama ndo kila kitu bro very nice
Masha Allah crish amekuwa barobaro la nguvu Tena hb❤❤❤
Napenda hamlei ki star. Màa shaa Allah
❤🎉Wooow Nice Hakuna Kama Mama Jamani Na Mwanae Ana Adabu Sana Hadi Raha
Mtoto ni handsome huyu....mashallah!❤hongera Irene
Mtoto Alie funzwa kuwa na hofu ya mungu ndy huyu Sasa ❤ hongera da Irene
Amen, mama huyo ❤❤
Mashaallah küpsema kweli irine nakupendA sana Allah akupe maisha marefu na awakuze watoto wako kwenye mAadili mazuri
Holy Spirit Of God, Amen 🙏🏼. Greetings from Europe, Amen 🙏🏼
Ireen karibu utaitwa bb na wewe❤
Sura ya mama yake kidogo. Haswa macho
waow mtoto mzuri sana na anadabu nahekima mashallah
Mtoto wa Irene amekuwa mkubwa sana na anaakili kweliii mungu amlindie mwanae ameen
Upo
Saw🎉❤❤
Mwambien dogo akaze dunia haielewek saiv
Irene kamuharibu mtoto machoo,
Machooo jamani sipati picha akiwa na usingizi
😂😂😂😂😂
Mashallah krish baba umekua ❤❤❤❤❤
Dah! Ht cjui nimelia nn mtoto mzur endelea hivyo hivyo mpend mama yako meng kapitia mpk ulipofikia nabado ataendlea kuyapitia mpk utakapofikia ha2a yakuwez kujitegemea Mungu awa2nze muendlee kuwa nafuraha Aman upendo cku zote
mnapendeza Sana Mungu awe nanyi ❤🎉😅😅😅😅
Umekuza Irene hongera Mungu awatunze
Umekuwa haraka sana krish
Daaa nilikuwa naji panga nikirudi Africa nije nimwone Erina uwoya kumbe ana meanae mkubwa kiasi hiyo, masha Allah, 🇹🇿 🇺🇸
Imm ok mwanaoo huyoo mashaalllah mpende sanaa nayeye akupendw
Irene hongera kwa malezi Bora hata ukufingua kabisa sawa tu,mtoto umepata na umelewa Mungu amtunze Krish jamani
Penda sana Irene na family ysko
Safi Sanaa dogo anaadabu🙏✅
Hongeraaà sana
Mapenzi ya mama na kijana wake yakizidi huishia kutembea nae,hata mapenzi ya baba na Binti yake yakizidi sana huishia kutembea nae tahadhali, wazazi usipende kupitiliza hatua ya mwisho ukimpendaaaa saaana nikutembea nae
Daaah natamaniii hataa ningekua bint yakoo I am very sure nisingejutaa❤❤❤❤ penda sanaa ireni ❤❤❤❤
Kwaiyo unamjutia mama ulonae au 😅😅
Eeeh we dada umeandika au umeandikiwa??? Unamjutia mama akoo??😂😂😂😂😂@victoriaEbenezer
😅😅😅😅😅 kaah!!.
Katamn tu Maish ya wenye hera 😂😂
@@khadijaacute kwa kweli 🙄🙄
Hongera jamon❤
masha allah.kuzaa raha
Upate wenye akili kama huyu dogo sio unazaa watoto wanakutoa roho
@@BimHamdiKweli kabisa
Kulea watoto wanaojielewa ndio raha
@@BimHamdi mtoto umuleavyo ndivyo akuwavyo
Kijana ana adabu nzuri mchumgaji wa Kesho🥰🥰
Mhhhh madkini mtoto miubwa anaona madudu makonection duh
Yanimtoto kachukua midomo yamamayake Da
Mapenzi baba mutoto ariye penda mama yake bilashaka kamupenda mamayake.🎉
Napenda xna malez yake aliompa mwanae kawazd wasanii wote
Uyu mtoto amekua araka mashallah
🙏🙏🙏🙏 hakuna kama mama ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masha Allah
Wana fanana na mama very nice jamani uwiii
Safi Sana dada Irene umerea moto wako vizur
So cute
Kijana ana hekima Mungu amuongezee mwendo
Maa shaa Allah kish amekua❤
Maskini haya macho dunia ilivyo haribika 🥹🥹
Hongeraaaaa❤
This young boy is so handsome
Ahusanga yishinga kuyaha abahungu atashunwe bazomuha Bellea pls10000 iteho mama wawe agihema kuko Ahigeze abifisemwo urihara Bella umvimpanuro zacu woroshe umutima kk neaziko abanti turi mubarabu tugira imitoma igunye nivnye nubuzim turimwo mais subiza amaso inyuma wumveko umuvyeyi yama arumuvyeyi
Mbona kma dogo kafanana na azizi k😅
Idear ya Baba yako ivi hauna kbsa! We ni mtoto wamwanamuke tu 😂
May all mothers leave long for their kids
Mpende mama mjikuuu wetuuu❤🇷🇼🇺🇸💐
Honger uwoy mwanao kakua
Huyu mtoto kakua jmn ❤
Akuje amuore mudogo yangu au mutoto yangu mm Nita IPA makuta
Uyo mtoto anafanana na H.baba
Love you boy ❤❤❤❤🔥❤️🔥❤️🔥
Ukiona mapenzi ya hivi sana ujue baba ayuko karibu 😂😂😂na inalazimu watu kuishi kwa adabu juu ushahidi unabakia duniani
Baba yake ameshafariki,baba yake wakati yupo hai,alikuwa anamjali sana
umekuza❤❤
Like mother like son
Kiukwel Irene uwoya unajua jinsi ya kulea dah nimejikuta naenjoy
Kakua Masha'Allah
Mashallah❤❤
Amefanana n mama Ake mpak raha
Adabu njema❤
Krish Hamad Ndikumana katauti
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yani baraka baraka baraka tele
Mtoto mpore ❤
Amakwel ata baba ake alpo anajivunia
Mama ndio muhimu bila yeye haunge kuwepo kweli❤❤❤❤
Wow Mungu akutunze toto
Mbona sisi wengine w kawada tuonyesha kwmamazetu watu hawachunguliangii kw ukubwa wanaona kawaida tu😂😂😂😂 jamani hela wewe pambee kweli
Hongera Sana kwakukuza una baba
Good baby
Kufundishana umaraya tuu hapo
Safiii❤
Amepungua vizuri kijana wako hongera mama
mashaaAllah hundsome boy
Ila mimi sipendi vile wananyoa hao watoto wetu jaman
Wazaz wengne ndo wanapenda
ile Alama ilee nimeiona daa kumbe ipo mkono wa kushoto
Hadi machoz ya furaha yamenitoka
Kama Azizi ki wa Yangaa
Kbs nc🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kuna mm nangangana kila siku mtoto wangu anujue km niko mamake
wow
Waoo crish🙏🙏
❤❤❤❤🎉🎉😂😂
Ma asha alaa❤❤❤❤❤❤
Mashallah amekuw mkubwa
HB Krish ❤
Mbona krish kafanana na Stan bakora😂😂😂
Kabisaa😂😂
Wow nice mashallah ❤❤❤❤