SAMBARO YA PAPAI BICHI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Mahitaji
Tomato 2 za kiasi ( shemsha usage)
Mafuta ya kupikia kiasi kjk 1 cha kulia
Bizari nyembamba 1/4 kjk cha chai
Kitunguu thom na tangawizi ilosagwa kiasi kjk 1 cha chai
Mafuta ya kupikia kisai vjk 2 vya kulia
Mbegu za rai/halidari kiasi kjk 1 na 1/4 ( cha chai)
Pilipili vyekundu ai kijani kiasi 3 mpaka 5
Kitunguu thom na tangawizi kiasi kjk 1 cha kulia
Papai bichi lilokatwa vipande viferu kiasi 1/2 mpaka kikombe 1 utakavyopenda
Karoti zilokatwa vipande virefu kaisi 1/2 au kikombe 1
Embe iloiva nusu - kaisi 1/4 kikombe au zaidi
Chumvi Kiasi
Sukari kiasi kjk 1 cha chai
Maji ya ndimu kiasi vjk 2 vya chai
THIS RECIPE IN ENGLISH • SAMBARO ( RAW PAPAYA)
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
www.instagram....
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
THE ENGLISH VERSION ON OF THIS RECVIPE CAN BE FOUND HERE th-cam.com/video/vUl9jQEJ9JA/w-d-xo.html
Masha Allah Allah akubarik kwa kazi ya mikono yako
Mashallah nzuri sana❤❤❤
Mashaallah mwenyezi mungu ailinde kazi ya mikono yako
Asalam Alaykum mimi sina maneno zaidi na kuombea dua njema Allah akupe kheri za duniani na kesho kiama Ahsnte love u daima habbty wetu 😍😘
Shukran sana kwa support na dua njema, amin kwetu sote
Masha the best sambaro
Bismillah mashaallah Jazakallahu lkheir habibty😍😘
Mashallah mamy barka inshallah
MashaAllah. Shukran habibty. Jazzaka llahu lkhair ❤
Wa'alaykum Salaam Warahmattullah Wabarakattuh
Ahsante, nimeipenda,hakika!
Mash allah pilipili kwa chakula cha mchana hapo utakula tu Shukran habibty twakupenda sanA
ndio maana akina sisi hatupungui uzito maana vitu hici vinalisha sana
@@aromaofzanzibar kweli habibty wangu mimi ni kiila hiyo pilipili nyingi chakula kidogo
Wallah mate yananitoka
Pole 🤣
MaAshallah
Wa aleykum sallam💐💪
Jazakallah khayran
Maa Shaa Allaah
Alhamdulilah
shukran jazakallahul kheir
😍
😋😋😋😋😋😋😋
Samahn aroma nipo nje ya mada kidogo, iv wap naweza pata sizzling plate??
Wewe unaishi wapi ? Kama Marekani utapata maduka ya restaurant supplies
@@aromaofzanzibar npo tz dada
Walyem mssalam mum na inakaa kwa mda gani?
Wa aleikum musalaam, kiasi kwa wiki bila friji lakini kwenye friji hata wiki 3 au 4
asant mpnz inaonesha tam
Lai naweza kutumia kwenye nn pia
Utakachopenda mwenyewe ukiona kinaenda hamba shida
Nilikuwa naisubili kwa hamu
shukran
samahn habibty nna swali ambalo halihusiani. Ati kwa uku marekani brand gan ya mandi ambayo wewe uliona ni nzuri? Aksante
Brand ya mandi au brand ya mchele
@@aromaofzanzibar oh samahan nlmaanisha zile mandi kama za sambusa ama vidole vya zainab