EASTLEGH ST.TERESA DAY 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu azidi kukufunulia mengi uzidi kutufundisha kweli ya Mungu nasi tubadilike na kumfuata Mungu

  • @issackabdi7001
    @issackabdi7001 ปีที่แล้ว

    Young and learned ustadh mohamed❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @issackabdi7001
    @issackabdi7001 ปีที่แล้ว +1

    Mohamed yarith kijana mdogo lakini elimu .....ubarikiwe ndugu .....

  • @issackabdi7001
    @issackabdi7001 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha talented commedian from africa...

  • @starletkhafhuner6535
    @starletkhafhuner6535 ปีที่แล้ว +1

    May God bless you ndaacha and protect you🙏🙏🙌🙌

  • @kusweymohamed
    @kusweymohamed ปีที่แล้ว

    Yesu awambia mayahudi ufalme wa mungu utaondoshwa kwenu na upelekwe taifa lingine na watu watauendea mlima ule kutoka mataifa mbali mbali mlima gani makka tazama saa hi watu wanatoka mataifa mbali mbali wanaenda makkatulmukaram ukipenda safi na ukikataa shakahola

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza hakuna wakristo zama hizi. Hawa ni mushrikeen. Wakristo halisi walikuwa zama za Yesu, na walikuwa wanamuabudu mungu mmoja na kufuata mafundisho ya Yesu.
    Hawa wa zama hizi ni washirikina kwa sababu wanamuabudu Yesu badala ya Mwenyezi Mungu. Allah awaongoze kwa sababu wengi wao hawana elimu. Wanapotewa na wachungaji waongo kama Ndacha.
    Uisilamu ndio dini ya ukweli na haki.

  • @josreenajojo4982
    @josreenajojo4982 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi Wa Mungu Ndacha

  • @evangelistusengimanaelie9589
    @evangelistusengimanaelie9589 ปีที่แล้ว +1

    Kwakuwa mafundisho imekuwa ngumu sasa nime kubali mwalimu ndacha kwa kusema ukweli ambaye ni bibiliya mutumishi wamungu mungu akubaliki na akuwongezea

  • @aliemdogo
    @aliemdogo ปีที่แล้ว +1

    Mwalim wangu ndacha nakukubali sana❤

  • @countercheck887
    @countercheck887 ปีที่แล้ว

    Mwalimu Ndacha Mungu akubariki na akulinde pamoja na your entire

  • @SpeckHagai
    @SpeckHagai ปีที่แล้ว

    Barikiwe mwalimu,ile elmu na itaji 🙏🙏

  • @aliemdogo
    @aliemdogo ปีที่แล้ว

    Amina amina

  • @JoviniFaida
    @JoviniFaida ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndancha ameshiba neno

  • @jessicaesthermakungu1693
    @jessicaesthermakungu1693 ปีที่แล้ว

    Na uzima wa milele ndio huu ,wakujue wewe na yesu kristo uliyemtuma

  • @RECOLONIZE_RIGHT
    @RECOLONIZE_RIGHT ปีที่แล้ว

    Quran haijui imani ya Kristo ...inasema wakristo wanaamini mungu baba, mwana na mama... jeee Allah alipotoshwa na nani?

  • @ravineotieno3688
    @ravineotieno3688 ปีที่แล้ว

    We must uproot apostasy by pointing Bible and SOP as the basis of our Faith