Wallahi nahisi machozi yakinuvuja kwa faraja nayoihisi kwa kumpata kakangu Sudeis kaipokea nusra ya Mwenyezi Mungu. Alhamdulillah kwa kuipata Neema kubwa ya uislam. Allah atujaalie kheir na mwisho mwema In Sha Allah
MashaAllah sheikh Ramadhan...... Allah akujalie kila la khery kwa kzi yko yakutangaza dini Yake....... InshaAllah yote unayoyafanya uyapate kwenye mizanii yko ya kherysiku ya Kiama
MashaAllah, Allah akulipe yalo mema fil dunniyah wal akhera 🤲 I love what you do I couldn't control tears of joy while seeing new Sudeis, Allah amuongoze
Alhamdulillah...Allahu Akbarr Allahu Akbarr Allahu Akbarr....MWENYEZMUNGU AMEMPA HIDAYA YAARABBI ATUPE HIDAYA SOOOTEEE NA WENGINE WALIOPOTEA ALLAH AWAPE HIDIAYA NA AWARUDISHE KATIKA DINI YA HAQI YA USLAMU...AAMIIIN AAMIIIN YAARABB..
mashaAllah sheikh wetu Ramadhan kuria mwenyezi mungu akulipe na akujaalie uwe miongoni mwa waja wa pepo ya juu , hatuna lakukulipa linalo shida dua mwalimu wetu
Assalam alaikum dada , alafu somo yangu, dada nina kakaangu mmoja anatafuta mke, anataka msichana aliyeshika dini , waonaje tujuane hatuwezi kujua Allah kapanga nini, bi idhn Allah in sha Allah
@@aminaamiri7684 Ok in Sha Allah dadangu, kwanza ahsante kwa kujibu comment yangu, kisha ningependa kujua upo maeneo gani ili nkamuelezee kaka afu akiwa na interest nitarudi tena hapa kwenye comments ili nikupe number yangu ya whatsy ili tupate kuwasiliane vizuri
@@aminaamiri7684 Ok sawa, kama hutojali basi nitumie number yako, yeye pia yuko nje ya nchi ama nikupe number yake kisha nimtaarifu kua utamtumia message
MaashaAllah. Ndugu welcome back. Please get educated about the deen and be nice to your parents. Serve humanity no matter who they are because that's the prophet SAW has told. One asked . How can I serve God. He replied if you want to serve God , serve humanity.
@@StraightPathDawah shukran sana sheikh kwa niaba ya wana familia ya straight path niogekuomba sheikh utuletee kina mpotimo na wenzanke back on camera najua uko busy sanaa sheikh in shaa Allah ukipata nafasi kwa mdaa wako sheikh kheri ramadhan
@@hansmswagara2789 Kafiri ni wewe unayeguata eti dini ys Mashetani. Ambao katika hema zao za kuabudia zinaweka nafasi ya majini kuswali. Pia kafiri ni wewe ambae dini yako imeamzishwa kwa kisasi na hasira na wivu tu😎😂
@@editrudesmbonde9051 enda toa hizo contradictions kwa bibilia, understanding the book and shame on you for worshipping a human being like you.... Just try your best to think beyond your nose
Na tafadhali usi- delete .....uki-delete inammaana unaogopa kuwa exposed as a deceiver like the devil allah....' wacha watu wasikilizie wafanye maamuzi wenyewe, th-cam.com/video/qz4KFAbZ8-I/w-d-xo.html
Masha allaah kwakweli shekh Ramadhan Allah akulipe janna frdausi ❤
Ma sha allah
Allah umwuongoza amtakaye na humwuacha apotee amtakaye
Allah tujaalie neno letu la mwisho liwe laaaiilaaha illlah laa
Wallahi nahisi machozi yakinuvuja kwa faraja nayoihisi kwa kumpata kakangu Sudeis kaipokea nusra ya Mwenyezi Mungu. Alhamdulillah kwa kuipata Neema kubwa ya uislam.
Allah atujaalie kheir na mwisho mwema In Sha Allah
MashaAllah Tabarak Llah anapendeza Sana tana Sanaaaa. Sheikh wangu plz usimwache nataka ewe Mfano Bora katika vijana wetu InshaAllah.
MashaAllah sheikh Ramadhan...... Allah akujalie kila la khery kwa kzi yko yakutangaza dini Yake....... InshaAllah yote unayoyafanya uyapate kwenye mizanii yko ya kherysiku ya Kiama
Ameen Ameen
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
MashaAllah, Allah akulipe yalo mema fil dunniyah wal akhera 🤲 I love what you do I couldn't control tears of joy while seeing new Sudeis, Allah amuongoze
Ma sha allah c
Sheikh wetu ramadhan allah akulipe duniani na akhera
Alhamdulillah...Allahu Akbarr Allahu Akbarr Allahu Akbarr....MWENYEZMUNGU AMEMPA HIDAYA YAARABBI ATUPE HIDAYA SOOOTEEE NA WENGINE WALIOPOTEA ALLAH AWAPE HIDIAYA NA AWARUDISHE KATIKA DINI YA HAQI YA USLAMU...AAMIIIN AAMIIIN YAARABB..
MashaAllah MashaAllah Allah amuongoze njia ilo nyooka ya Rabbi
Sheikh Allah akulipe kheri duniani na kesho akhera.hakika unafanya kazi nzuri.
Maa shaa Allah, Mwenyezi mungu a uongoze kijana huyu na wengine waliopotea
MaashaAllah, Allha awazidishie imani na nguvu na waliopotea wapate tauhid ,Kwa kweli Alhamdulilla Alhamdulilla rabilalamin,
Mansha Allah Sheekh Ramathan May Allah bless you
Masha Allah Allah Akbar Hakika Uislam ndio dini ya MwenyeziMungu Allah akulipe mema sheikh
Ustadh ramadhan ALLAH awalipe hapa duniani na kesho akhera kwa kazi ya kuilingania dini ya haki na ndugu yetu nyaga ALLAH azidi kumuongoza
ALLAH atuongoze sote katika njia iliyonyooka
mashaAllah sheikh wetu Ramadhan kuria mwenyezi mungu akulipe na akujaalie uwe miongoni mwa waja wa pepo ya juu , hatuna lakukulipa linalo shida dua mwalimu wetu
Mashallah ma sheikh zetu Mwenyezi Mungu azidishie Mashallah
MashaAllah una ulivyopendeza kaka yangu..Allah akuongoze
MashaAllah MashaAllah Allah awabarikieni kila la kheir na baraka inshaAllah Amiin
Masha Allah
Subhanallah
AllahuAkbar
Lailaha Ilallahu Wahdahu Lasharikalah Lahulmulku Wala Hulhamdu Wahuwa Alakulisheiin Qadir wa Anna Mohammadan Rasulullahi Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi.
Maa shaa Allah, uisilamu rh Sn Ona kijana alivyo pendeza
Wallahi maamuzi hayo ya ajabu...nimefurahi sana
Baarakallah Allah amjaalie ithbaat
Maa shaa Allah karibu sana katika dini ya hali ya kiislamu.
MashaAlha😭😭hadiRaha
MashaAllah Allah grant us jannatul fridhous In Sha Allah
Maa shaa llah tabarakah llah mfundisheni haswa na akitak mke niko hapa inshaallah
Assalam alaikum dada , alafu somo yangu, dada nina kakaangu mmoja anatafuta mke, anataka msichana aliyeshika dini , waonaje tujuane hatuwezi kujua Allah kapanga nini, bi idhn Allah in sha Allah
@@aminaamiri7684 Ok in Sha Allah dadangu, kwanza ahsante kwa kujibu comment yangu, kisha ningependa kujua upo maeneo gani ili nkamuelezee kaka afu akiwa na interest nitarudi tena hapa kwenye comments ili nikupe number yangu ya whatsy ili tupate kuwasiliane vizuri
@@aminaamiri7684 Ok sawa, kama hutojali basi nitumie number yako, yeye pia yuko nje ya nchi ama nikupe number yake kisha nimtaarifu kua utamtumia message
@@ggmuswahili7074 yupo nch gani
@@aminaamiri7684 yupo Doha wala sijui ndo Qatar 😂
Allahuma thabit qulubanaa 'alaa diinak🙏🤲
Ameen yarab
wallah uslamu ni nuru kijana amependeza cna Allah akuzdshie kher
mashaallah tabaraka Allah Allah akuongoze ktka uwongofu wa uislam🤲
Ma sha allah kijana Amependeza alhandulilah
Maasha Allah kijana mungu amuongoze ishallah
Mashallah jazakallah kheir
Masha Allah Mungu amuongoze ndugu wetu Sudeis
Amiin
Amiin
Mashalah nungu awazidishie
Mashallah takbir allahuakbar allahuakbar allahuakbar walilahilhand
Kapendeza masha allaah uislam nuru kawa nanuru
AMEEN YA Rabbi
Hewa anayo ipata kichwan anashindwa kuielezea kichwa chepesiiiii❤️🌹
Masha Allah, Allahu Akbar. Allah atupe mwisho mwema sote Allahuma Amiin
Allahumma Amiin
Maa shaa Allaah may Allaah be pleased with you all.
Assalam alaykum warahamatullah,Allah atawalipa malipo mema kutokana na kazi yenu mnayoifanya ya kuwarudisha wale ambao wanapotea.
Mashaa Allah, uislam ni usafi, basi jisafisheni hatoingia peponi ila msafi
Masha Allah Maalim Kuria
اللهم اهدنا بهداك واجعلنا من من يسارع في رضاك
Allah akuongoze ndugu sudes na waisilamu wote
Mashallah amependeza.
Mashallah mashallah tabarak Allah
MaashaAllah. Ndugu welcome back. Please get educated about the deen and be nice to your parents. Serve humanity no matter who they are because that's the prophet SAW has told. One asked . How can I serve God. He replied if you want to serve God , serve humanity.
Masha ALLAH ALLAHU AKBAR..
Asalam Alaykum! Karibu KTK DINI ya haki SUDIES ! MASHA ALLAH
Mashallah kijana mzuri lakini alikuwa anaonekana vibaya kwa hayo manywele
WALLAH USTADH JAZA YAKO KWA ALLAH IN SHAA ALLAH JAMENI USTADH WENGINE MSAIDIENI
Amin
Mungu atuongoze sote tufe kwennye uislamu wavitendo na kufuata matendo ya mtume wetu kipenzi chetu ❤️ Mohammad SAW 😭😭
Amiin yarabal alamin
MashAllah kijana kapendeza
Mashaallah kapendeza
Alhamduliah
Masha Allah alhamdulillah
Allahuakbar
Walaykum salam warahmatullaah wabarakatuh
Kapendeza mwenyewe kazi ya mungu unafanya kzi kweli tunaona
Maashaa Allah Allahu Akbar
Mashallah takbir Allah Akbar
MashAllah
ALLAHUMMA AAMIIN YAARABB
ALLAHU AKBAR
MashaAllah
Takbiiiiiir
Allah akbar
ALHAHUAKBARU
Allahu akbar Alhamdulilaah
ALLAHU Akbar
Allahu Akbar
Ma sha Allah
Allahu akbar
Lakini Ramadan unafaa kupromotiwa sana Allah aturuzuqu tu promote daawa allahuma amin
Mashaa llah
Asalm alkm waramatullah wabarakatuh..sheikh Ramadhan vipi sheikh yusuf nikitambo sijamuona toka uwende tz
Yupo kwenye shughuli kiasi
@@StraightPathDawah MashaaAllah Allah awafanyie wepesi
😢😢 alhmdulilah
Wallah kapendeza
Mashallah
Masha Allah Hadi raha
Kapendeza k8jna😊
Aamyn Aamyn Aamyn 🤲🤲🤲
MashaAlhaKapendezaUISLAM.RAHA.MWANZO.ALIKUWA.AELEWEKI.MUNGU AWALIPE.PEPO.NASHEHEWETU😭😭
Masha Allah
Madam fatma samahani kuna information I want to share with u kindly I want u to assist me with ur contact
@@mahdinuradan6687 information!!about what!!
Allah Akbar
Sheikh ramadhan vipi kuhusu kina mpotmo na kikosi yake wanaendeleaje how are they catching up
Alhamdulillah wako salama na wanasoma dini
@@StraightPathDawah shukran sana sheikh kwa niaba ya wana familia ya straight path niogekuomba sheikh utuletee kina mpotimo na wenzanke back on camera najua uko busy sanaa sheikh in shaa Allah ukipata nafasi kwa mdaa wako sheikh kheri ramadhan
Huyo ni Chizi pia ana njaaa tu.
Angejaali njaa angeenda kw kafili mwenzenu Ezekiel
@@hansmswagara2789 Kafiri ni wewe unayeguata eti dini ys Mashetani.
Ambao katika hema zao za kuabudia zinaweka nafasi ya majini kuswali.
Pia kafiri ni wewe ambae dini yako imeamzishwa kwa kisasi na hasira na wivu tu😎😂
@@editrudesmbonde9051 enda toa hizo contradictions kwa bibilia, understanding the book and shame on you for worshipping a human being like you.... Just try your best to think beyond your nose
Na tafadhali usi- delete .....uki-delete inammaana unaogopa kuwa exposed as a deceiver like the devil allah....'
wacha watu wasikilizie wafanye maamuzi wenyewe,
th-cam.com/video/qz4KFAbZ8-I/w-d-xo.html
Sheikh mnafki kila akiongea lazima ataje kanisa ama biblia mbona unapenda kushindanisha dini wewe muislamu pambana nq dini yako achana na kanisa
Ukristo ni Ukafiri lazima autaje kawausia walio ifata
Mola ampe hidaya
Ma sha Allah
Amependeza
MashaaAllah
Mashallah
MashaAllah
Mashaa-Allah
Allahu akbar
Ma Sha Allah
Maashallah
Masha ALLAH
ma sha Allah
MashaAllah
Mashallah
Maashallah
Mashallah