@@officialzamdy au weyee wasemaje yaani wanaharibu lugha yetu kwa kukosea lafudhi tuu...weyee uje uwaskize wakenya kiswahili chao ni cha namna yao ila lafudhi wanapatia
Wabongo tumezoea kutafuta nasio kutafutana.na waume sio shida zetu😂😂😂😂watoto wa dar piga kelele...ila kitasa roho inamuuma alvojitutumua mume kenda oa tena mombasaaa.afu mkemweza mfupi.hatar😂😂😂kwaza mombasa wanawake wanapenda waume wanang'ang'ania waume hasa wa watu .afu vijitu vifupi ving'ang'anizii kwa mapenzi cjui vile vifupi😂😂😂
Mtangazaji nimependa nguo yako ❤from 🇬🇧
Waswahili kwenye lafudhi ni hoovyo saana sasa huyo mtangazaji ndo nn kusema # balabala khaa cheefuuu
Gauni pambe
@@FirdausyAbubakary-bl2wo😂😂😂Ila firdausi jmn
@@officialzamdy au weyee wasemaje yaani wanaharibu lugha yetu kwa kukosea lafudhi tuu...weyee uje uwaskize wakenya kiswahili chao ni cha namna yao ila lafudhi wanapatia
@@FirdausyAbubakary-bl2woni meno fake walizoziva hata gigy 😂
Kitasa uyoooooo ❤❤❤❤❤ talaka nginja nginjaaaaaaa lov sn ww
Nampenda sana Fatuma
Nakupenda kitasaa❤❤❤
Kweli kabisaaaaa maisha anayosema
I love this lady ❤️
Hiyo chai ni hii tunayokunywa asubuhi na maandaz au embu nielewesheni 😊😊
😂😂😂😂😂😂😂😂
Heheheee
NASEMA KITASA ACHA KINGEEE😂😂😂😂ONGEA KISWAHIL
Kitasaaaaa❤❤❤❤❤ni mmoja tu jiji la dar😂😂😂😂lkn sio liski ni RIZKI😂😂😂
hajui kiswahili anachanganya L na R , unachemka sana
Umejua wewe pumzika ndo ulemavu wake
Namekupenda taking advantage na vurumai lilopo kutengeza hela
Fatma wajina wangu ❤❤❤❤
Wabongo tumezoea kutafuta nasio kutafutana.na waume sio shida zetu😂😂😂😂watoto wa dar piga kelele...ila kitasa roho inamuuma alvojitutumua mume kenda oa tena mombasaaa.afu mkemweza mfupi.hatar😂😂😂kwaza mombasa wanawake wanapenda waume wanang'ang'ania waume hasa wa watu .afu vijitu vifupi ving'ang'anizii kwa mapenzi cjui vile vifupi😂😂😂
Kiswahili 0 English 0 dah hii nimaajabu kwakweli 😂😂
Sana
Weka namba ya simu ya kununua sare
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Una kitasa anakunywa pombe sana Nini maana sio kwa sauti iyo
Mybe anasema sana udimfikirie mwenziwo ubaya
Pambe tu
❤❤❤