Shamba darasa kilimo Cha matikiti maji kibaha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @monicamajebele9165
    @monicamajebele9165 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu Baba wa mbinguni akubarikisana kaka mimi niko Arusha

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi yenu ni nzuri KABISA.

  • @nordbrowntz1665
    @nordbrowntz1665 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka kazi yako nimeipenda sasa naomba kuuliza mimi nitakupataje kujifunza zaidi

  • @madafajulius3257
    @madafajulius3257 ปีที่แล้ว

    Nataka shamba brother began hekari

  • @omaryngasinda6967
    @omaryngasinda6967 3 ปีที่แล้ว

    mm nakukubari tatizo wataalamu nikipiga cm haipokelewi

  • @omaryjumanne5863
    @omaryjumanne5863 5 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri sanaaa keep it up

  • @edwardvalentine614
    @edwardvalentine614 2 ปีที่แล้ว

    Good job but ulianza na mtaji was sh.ngap?

  • @josephatgabriel8730
    @josephatgabriel8730 6 ปีที่แล้ว +1

    vizuri saana kaka

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 6 ปีที่แล้ว +1

    MAA SHA ALLAH
    PENYE NIA PANA NJIA,,
    SWALI,, JE MATUNDA HAYO HUSTAWI ENEO LENYE ASILI YA BARIDI ???.......

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  6 ปีที่แล้ว

      matikiti huitaji kiwango cha jua kuanzia 26 hadi 30 ndio hufanya vizuri

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  5 ปีที่แล้ว

      Kama nyuzi joto 26 yanastawi tu

  • @Akidu-nb8hq
    @Akidu-nb8hq 7 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali naomba nisaidie namb yako

  • @rizikimwasandube7072
    @rizikimwasandube7072 4 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana

  • @iddramadhani8206
    @iddramadhani8206 3 ปีที่แล้ว

    Mm Nilikuwa Nawashauri mutoe CD Ili Muuze na Sisi Tupate Knowledge

  • @zakayomasige5295
    @zakayomasige5295 4 ปีที่แล้ว

    Mnamwagilia kwa namna ipi drip au mnatumia ndoo?

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 5 ปีที่แล้ว

    Big up Bro. Ntakutafuta kaka

  • @florianmwaibabile5308
    @florianmwaibabile5308 5 ปีที่แล้ว

    Naomba niunge kwenye group lako bosi

  • @nengemganga7284
    @nengemganga7284 5 ปีที่แล้ว

    yana mda gani mpaka apo?

  • @francismagembe9400
    @francismagembe9400 5 ปีที่แล้ว +1

    Nitakapo toa Tikiti shambani naweza kuludishia tena kulima Tikiti kwenye shamba hilo2???kama ntaludishia ushauri wako nifanyeje?

  • @elizabethnnko4144
    @elizabethnnko4144 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka naomba no yako

  • @kuchagammole8738
    @kuchagammole8738 5 ปีที่แล้ว

    Nataka kulima ya mvua (si ya kumwagilia) ni nini ushauri wako?

  • @malegesibwire4978
    @malegesibwire4978 5 ปีที่แล้ว

    Kwa Mwanza kuna sehemu gana umeweka shamba darasa?

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi namba naomba please

  • @josephissara3599
    @josephissara3599 2 ปีที่แล้ว

    Hivi hapo ni Kibaha mtaagani? maana mimi ni mkazi wa Kibaha Miembesaba naitaj kulima maeneo ya Kibaha;je mtaani kwetu panalimika pia?..... naomba majibu!!!

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  2 ปีที่แล้ว +1

      Vikuge shuka kongowe kisha twaga 0717274387

  • @hilmiyayah9311
    @hilmiyayah9311 6 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana

  • @neyhassanimsulwa4993
    @neyhassanimsulwa4993 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mutowe na mawasiliano basi jaman

  • @telesphorymwashem948
    @telesphorymwashem948 4 ปีที่แล้ว

    Bro naomba namba yako

  • @allyyussufshuwari4508
    @allyyussufshuwari4508 4 ปีที่แล้ว

    Mm ni kijana mwenye uchu wa maendeleo naomba numba zako kaka

  • @hilmiyayah9311
    @hilmiyayah9311 6 ปีที่แล้ว

    Swali:je ni mbolea gani nzuri kwa kilimo cha tikiti?

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  6 ปีที่แล้ว +1

      Npk,can,dap

    • @hilmiyayah9311
      @hilmiyayah9311 6 ปีที่แล้ว

      @@kangetakilimo6268 asante kaka wewe ni shujaa big up bro sie tupo Zanzibar uku

  • @iddramadhani8206
    @iddramadhani8206 3 ปีที่แล้ว

    Toeni CD TUPATE KUJUFUNZA TUKIWA HATA KAMA HATUNA INTERNET TUMEKAA HOME TUNWEZA KUWEKA KTK KTK DVD PLAYER TUKAZIDI KUPATA MATERIALS

  • @josephinekasendamila9087
    @josephinekasendamila9087 4 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kujifunza

  • @alexchungu8823
    @alexchungu8823 6 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako mkulima

  • @agastynelucacmshoro1519
    @agastynelucacmshoro1519 5 ปีที่แล้ว

    Am serious ndg yng naomba rply ya no yako hapa

  • @kuwanzestephen8627
    @kuwanzestephen8627 5 ปีที่แล้ว

    Unavuna baada ya muda gani

  • @gloriankungu9799
    @gloriankungu9799 5 ปีที่แล้ว

    naomba kujifunza kilimo cha tikiti maji