Hakika wimbo huuu nimeupenda sana kwakweli naombeni like zenu kama tuko pamoja na watanzania wenzangu na wa kenya ngoga like sasa tuone wanao mkubali zuhura othman ❤❤❤
nime watch nyimbo zote nikasau ku like video yenyewe, mwenye atalike hii ili anikumbushe ni rudi ku like basi, mi nimechoka, juu ya hasira but sijapoteza mda
I actually had a plan of featuring Zuchu on my previous release, unfortunately we couldn't reach her, I believed that with just her vocals, the track was gonna be a hit. You're a shining star✨️ 💛
Jaman naombeni like ishirini tu, (nimechokaa baasi)
acha upuzi
Siyo Siri watu watesema ila zuchu atabaki kuwa zuchu. NI nyimbo zaidi ya nyimbo hii ❤❤❤ much love
Ashaachwa uyo
best female artist we proud of (Tanzanian)✊🏿✊🏿✨✨
Nimesikiliza zote Ila hapa 🙌🙌🙌 Nani anadhani Ngoma hii inatakiwa kufika No 1 trending immediately
Tushajua situation ya mahusiano yako kwa sasa😂😂😂😂😂
Kuna cherrie I don't care pia
Eeeeeh hizi zote ni Kali
@@saidissa4741lollipop!!!! Moto
@@saidissa4741wew ndio unajua sana aisee hiyo I don't care bonge la hit yan kidunia kabisa
Mtoto amejaaliwa huyu mashaa Allah
Hakika wimbo huuu nimeupenda sana kwakweli naombeni like zenu kama tuko pamoja na watanzania wenzangu na wa kenya ngoga like sasa tuone wanao mkubali zuhura othman ❤❤❤
Mwaka huu 2025 uwe wa baraka kwa watakao like kwa jina la bwana yesu
Amen
Nakubalisan iligoma jomoni zuchu nouma❤
Baraka haiji kwa kulike unachoandika, usiwe wa kuwapoteza waja wa Mungu, baraka huja kwa kutenda yaliyo mema.
Hii inge nasa wengi pale Facebook 😅
nime watch nyimbo zote nikasau ku like video yenyewe, mwenye atalike hii ili anikumbushe ni rudi ku like basi, mi nimechoka, juu ya hasira but sijapoteza mda
Kenyans show love here❤
Kuna nyimbo nzuri nyingi sijui nichague ipi iwe nambari moja
Aka kanyimbo wacha 2 cc mayatima tufungie mwaka nayo🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲💢🤝💫💢🤲🤲💢💥💫💢✍✍💢💥✍🤲🤝💫🤲🤲🤲✍
Amina
Amiin 🤲🤲
Mdada unajua sana
Kwa sote yaarab
Hahahaha
Ilikuwa naisubiri sana ngoma yangu pendwa❤❤❤
Nyimbo Ina hisia sana😢..Mnipe like zangu jamni Moyo wngu utulie🤦🏼♂️
second favorite on the Album
Love from liberia 🇱🇷 Queen Zuchu
Utunzi na sauti umebarikiwa
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh dada zuhura nimeburudika mno na hii nyimbo mpya na Allah aendelee kukulinda siku zote one love 💕❤❤❤
Ulieandika comment hii Allah akuongoze akutoe kwenye ujinga
Nyimbo imebeba ujumbe imenikuta wakati nimeacha😭😭 mapenzi Mimi bas 💔
Daah pole san najua jins gan utakuw umelia maan huu wimbo Zuchu kajua kugusa mioyo ya watu wngi✍️✍️
Pole sana mrembo,naona huyo kakupoteza maana ulivyokua mzuri, atali sana❤❤❤
Wa kongomani muko wapi tujuwane kwa like zenu APA kama una mupenda zuchu 🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ktk album hii ndio ngoma kali ktk ngoma zote humu hii umeua dada zuchu
Huyu ndo Zuchu tunayemjua wa kuimba kiswahili. vizungu tuachie wazungu.
Zuchu akituliaga Huwa anaimba vizur sana
Zuchu acha kunitoa machozi
Who else have been Waiting for this Song since the Snippet was released.I know I have. Finally!!!!❤
Zuchu hakuna kama wewe tanzania 🇹🇿
Zuchu to the top love her for free❤
Rumba sasa woah.,Zuchu to the world ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🇬🇧💪💪
❤❤❤ music bola kutoka kwa zuhula wetu🇧🇮🇧🇮
Kama una mkubali zuchu like hapa🎉🎉🎉
❤❤❤trank 11 wakwanz 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 namb mmoja na mkubali zuchu zuhura ❤❤ peace and love 💕💕💕💕💕
Daaah wenye song letu wacha tutambe nalo wooote tulio choshwa tujumuike kuomboleza apa💔
Daaah huyu mtot anajua sanaaa
Simba jike ama ukipenda the real hunter🔥
Tuliosubiria hili goma kwa hamu ❤
I actually had a plan of featuring Zuchu on my previous release, unfortunately we couldn't reach her, I believed that with just her vocals, the track was gonna be a hit. You're a shining star✨️ 💛
Album imesheheni utunzi mkali na ulikaa kitako haswa, kazi nzuri umefanya zuchu❤
Hiii kitu alituonjesha kidunchu ndo imekuja rasimi❤❤
Kwan hamuonanag km Wat umechok 😏😏😔😏😔 kwann hatupean like jmn mmetujengea kumbukumbu kweny maisha yet
Nyimbo hii inanifurahisha mpaka natoa machozi😭😭😭
Basi zuchu ❤❤❤
Kama unamkubalii zuchuuu like zake hapaaa ❤🎉🎉🎉😊
Mauwa yako 🎉🎉🎉🎉
Good luck my dear Miss Africa 🌍🤜🏿🤛🏾✌🏿🫶🏿🛖🌍
Unajuwa mama
Umetisha sana zuuuuuuuuuuuu chuuuuuuuujjjj❤❤❤❤🤙
My dear only God knows how i like u 🙏❤
Hongera sana sister ❤
Na penda nyimbo zako zuchu❤❤
R5
Nime penda zuchu Wangu
Nyimbo yngu xxxxxxxxxx💪💪💥💥🇸🇳💯
MSANII NAMBA MOJA TANZANIA KWA WANAWAKE❤❤❤❤
sanaa yaan zuchu number one
Zuchu wherever u are , let u know that , this was the one and only song i was craving and waiting for 😢❤,
Zuhura Othman Soud pokea maua yako. What a great and beautiful album🎉🎉🎉🎉🎉
This song is deeeep............This is from the bottom of her heart.
Hii Ngoma inanikumbusha mbali , inanikumbusha masong ya kihindi ya kna sharuhkhan😢
Na hivi nimeachwa juzi hii imekuwa kama favorite song wallah😢😢😢😢
Njoo kwang
Pole ray jua kuna watu wanakuja na kuondoka kwenye maisha yako
Utamu 🤦🎉 nyimbo nzuri 🎉😢😮
kenyan here🖐🖐🖐🖐🖐❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wapi like za zuchu from Kenya 🥰🥰
Zuchu unajuwa sana
Nimeingoja hii nyimbo kwa hamu san jmni daaah ❤❤😊
❤❤❤
Nyimbo nzuri😂😂❤❤❤
Hivi anajua wadonge kwa muachia mungu
mungu yupo
Hi wimbo imenifanya ni sahau mtu wangu
Zuuuuu you are the best!❤️❤️❤️❤️🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏼
Ngoma ambayo itachukua number one ni cherie ft lavalava itakayo fuata nimechoka✌️✌️✌️✌️✌️🎶🎶🎶🇧🇮🇧🇮
😢😢😢zuche nakupenda ukingali.mtoto dogo achana n'a diamond plz
Zuchu is amazing Artist 🫠let's put Personal Feelings aside jamaniii😢❤this piece it's 🫡
Sijawai pata like kwa comment yangu😢😢 nimechoka 🙌🙌
Na hupat tena😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ndohiyo chukua mkubwaaa❤
Nataka like upeleke wapi
Punguz makasiliko
When I saw the album's tracklist this was the song I predicted it will be my favourite song and I'm really enjoyed the song
Excellente 🎉
Definitivamente ésta chica es una de mis favoritas! 😍😍
Zuchu nakubali kazi zako
TUNAO SUBIRI NGOMA YA D VOICE IPANDE LIKE
Zuchu ni moto wa kuotea mbalii,...queen of afrika❤❤
Wanao mfananisha Zuchu na vitu vya ajabu Mnatakiwa mkapimwe akili. Zuchu ni moto wa kuotea mbali
Saafi Zuchu karudi kule tulikomfahamia na kaua.
Zuchu utatuua sasa❤❤
Most waited🫡🫡🫡🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I was waiting for this song
Burundi wakwanza like zenu jamani
Hii nyimbo angeiimba Diamond ❤❤
Ingekuwaje
Zuchu wewe nomaa...Nakubali hili Gomaa...Kenya tunakubali♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ata mimi nimechoka sana 😢😢
Nyimbo yngu xx ❤❤
Ata mm nimecoka' hi nyimbo aca nikusaidie tuimbane zuch!
We dada jmn hii nyimbo uliimba ukijua nachopitia jmn umetisha sana
Zuchu ww ukovzur sana❤❤❤❤
Zuchu kiboko jameni🔥🔥🔥🔥🙌🏻
Nakupenda Zuchu ❤️
Zuchu anajuwa kweli
Maua Yako jamani 🎉🎉🎉
Iyi nyimbo kali sana❤❤❤❤
Yani zuchu sijakoseya kukupenda ❤❤❤❤❤❤❤
I thought it whose only Kenya🇰🇪 men,ndio husingizia shetani kuumbe pia Tanzania 🇹🇿 😂.anyway much love for dada zuchu 💕
Hakuna wimbo mbya album nzima ila wew dogo unajua aiseee
Jamani zu uta tu ua ju sisi fan wako 3,, songs kuwa mara moja.mshalaah
Nyimbo imetulia
Good song zushu I like this song congratulations ❤❤