Sumu ya Amani ni kukosa Haki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @SuleymanMussa-k7m
    @SuleymanMussa-k7m 2 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu ndio omo wa kweli sio mnahubiri Aman nyuma mmeficha mapanga

  • @HajiJuma-k3l
    @HajiJuma-k3l 2 วันที่ผ่านมา +6

    Omo unasafisha vizuri machafu yaliomo ndani ya nguo za Baadhi ya Wazanzibar.

  • @SuleymanMussa-k7m
    @SuleymanMussa-k7m 2 วันที่ผ่านมา +2

    BILA YA HAKI HAKUNA AMAN kweli profesa omo

  • @MISAMBAA
    @MISAMBAA 2 วันที่ผ่านมา +6

    Mkuu wa Mkoa mshamba...moyoni mwake anaonekana kama anapania flani iv na makamo ambae amemzidi kila kitu. elimu na mambo kibao ..atulie aache ushabiki maandizi omo ni kichwa

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ndio wale wale vichogo waliokuja na boat ya bakharesa

    • @binmasoud4150
      @binmasoud4150 2 วันที่ผ่านมา

      Yeah anaonesha wazi na uyo OMO atakuwa kashajua toka anaonana nae. Halafu wamepania siasa kuliko lilowaleta 😅

  • @kassim1262
    @kassim1262 2 วันที่ผ่านมา +4

    Hkuna ccm anaeweza kusimama akataja neno haki hicho kitu kwao nisumu naco ccm tu dhalimu yoyote yule neno haki kwake yeye nikitu kigumu

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis วันที่ผ่านมา +1

    Ccm hamumuwez uyo ni msomi nyinyi na rais wenu hamumuwez

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 2 วันที่ผ่านมา +1

    Haki kwanza Alafu ndio amani. Nyinyi ccm ni dini gani. Hamukusoma nyinyi. Kua amani inasababishwa na haki tuko na othmn rais wetu 2025❤❤❤❤

  • @mshiraziahmad9633
    @mshiraziahmad9633 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mwakavu live

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 2 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤ napenda kumskiliza Omo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud วันที่ผ่านมา +1

    Msimamo ndio huo bila ya haki hakuna amani

  • @FahmiAbdallah-x9w
    @FahmiAbdallah-x9w วันที่ผ่านมา

    DUNIANI KUNA VITU CJUI NISEME NINI LKN NAFKIRI NA NAAMINI HAKUNA USAHIHI ZAIDI ALHAMDULILLAH YA(ALHAMDULILLAH

  • @SmilingBlackKitten-pu3yc
    @SmilingBlackKitten-pu3yc 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli bila haki hakuna amani.

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mh OMO naona upo darasani na wanafunzi endelea kuwaelimisha hao maana kwao ni amani2 hakuna haki hao

  • @FatmaRashid-fv6pe
    @FatmaRashid-fv6pe 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kawanyoosha machawa

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 2 วันที่ผ่านมา +2

    Black and white

  • @RidhwanfakiRifa2020
    @RidhwanfakiRifa2020 2 วันที่ผ่านมา +1

    CCM hawawezi kulitamka neno haki midomoni mwao Kwa sababu moja kubwa ,nikwamba Hawa watu hawana utu .ukiwaona Ni kama watu ila mioyoni mwao utu umetoweka .utawaona kipovu cha midomo kinawatoka kusisitizia Amani Amani .tambuweni CCM Ni kizazi cha wazayuni WA Israel .Kwa matendo yao .

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kutakuwa na AMANI pale inapotendeka HAKI, watu wakichaguwa kiongozi wanayemtaka na aliyeshinda ndie ataongoza nchi sio kiongozi zliyechaguliwa na tume ya ccm, Mamlaka ya nchi yanatokana na Wananchi.

  • @MwajumaHaji-y7m
    @MwajumaHaji-y7m 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 2 วันที่ผ่านมา

    AMETUMBUA MACHO KAMA WACHAWI🤣🤣🤣! HAKI HAWATAKI KUISIKIA WAKATI MWANAADAMU KAUMBWA KWA HAKI!

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 2 วันที่ผ่านมา

    Yajayo kweli yanafurahisha 😅

  • @muhamadsalim5295
    @muhamadsalim5295 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi nyinyi ccm mbona neno haki kwenu inakua ngumu kulitamka shida ni nini

  • @SuolFat
    @SuolFat วันที่ผ่านมา

    Kwa ccm wanachukia haki

  • @SulemanAli-s9k
    @SulemanAli-s9k 2 วันที่ผ่านมา

    Kila sehemu kuna uchawa

  • @AliMselem-t1d
    @AliMselem-t1d 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa nyote c c m hamumuwezi tatizo LA c c m munaona hii znz ni yenu pekeyenu munafanya munavyojisikia leo mtu anamaliza darasa LA 10 ajiriwa kisa wazazi wke c c m ila mitaani wapo watu wenye digiri hawaajiriwi kisa wazazi wawo wapinzani wangapi wamepata ajira ikisha unaona Jina Lao limepigwa choro limeandiwa LA mtoto wa c c m Amani itawale haki ipatikane ila km c c m mulazimiche kutawala kwanguvu basi Amani haitokuwepo watu wamechoka manifaa wapata wachache leo ardhi ni Mali ya serekali wanawaumiza raia nakuwadhulumu tumuogopeni Allah s w ipo sku tutakufa nakuhukumiwa kwa yote tulioyafanya kila uchaguzi wauliwa watu wapigwa waacha mayatima wajaje viache ni wangapi wameuliwa wapo walemavu wangapi mayatima wangapi yote haya kila aliye chiriki kuuwa basi moto wamsubiri

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 2 วันที่ผ่านมา

    NENO [HAKI ] LINA UKAKASI WANINI KWENU VIONGOZI WA ZANZIBA ???
    ANAE IBA KUKU NA MUIBAJI WA YAYI (MWIZI NINANI ACHUKULIWE HUKUMU KATI YAWAWILI HAO ??
    NANI APEWE SIFA YA 《AMANI NA NANI APEWE SIFA YA YEYE ANAHAKI》 ???

  • @NassirSaid-e4i
    @NassirSaid-e4i 2 วันที่ผ่านมา

    Hahahahhahahahhahahahahahahhahhaha