Mbarikiweee. Natamani tuje kuingia wote Mbinguni na mkawa mojawapo wa kuimba nyimbo zenu pale Mbinguni. KIUKWELI mnaimba nyimbo zenye jumbe za wokovu na faraja sana🙋
more than beutiful! Powerful song!! MUNGU awabariki sana kwa uimbaji mzuri! mmekuwa baraka kubwa sana zaidi kwa baadhi ya wetu wengi tulioko katika nchi za kigeni tukihangaika na kutafuta maisha! nyimbo zenu za baraka zinatusaidia kujisikia kama tuko nyumbani! once again GOD bless you so much!!!! from Furaha Choir-Swahili service LONDON
Amina!! Huu wimbo naupenda zaidi.
mbarikiwe sana kwa nyimbo zenye ujumbe
Really blessings song
Amen Amen Amen ❤❤mungu awabaliki mukaimbe hata mbinguni
Napenda huyo guy venye ako passionate 1.14 na huu wimbo....Maranatha.
Hongereni sana Watumishi MUNGU awabariki sana
Mungu awabariki kwa kazi mnayofanya
Wow! All saint look forward time when sin out sight cograts nice work!
Hallelujah🙏🙏🙏
Thanks Njiro,am really blessed with yours songs at Laiser Hill Camp Meeting.God Bless you all.
Wapendwa munaamusha kweli kweli
Nimebarikiwa saaaana na huu wimbo mbarikiwe sana waimbaji.
My favourite choir doing it again for the Lord Jesus Christ your crown is being decorated day by day
Mbarikiwe sana
Mbarikiweee. Natamani tuje kuingia wote Mbinguni na mkawa mojawapo wa kuimba nyimbo zenu pale Mbinguni. KIUKWELI mnaimba nyimbo zenye jumbe za wokovu na faraja sana🙋
Amina
Nice❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ameni mubarikiwe Sana songs mbele
Mbarikiwe sana nyimbo nzuri zina fundisha neno
Mbarikiwe sanaaa
😮mbarikiwe nakuwa drc
Mmetisha mbarikiwe sana
Amen.... mbarikiwe mno
Nabarikiwa sana zaidi ya we ulieimba, mbarikiwe sana.
Barikiwa sana Njiro Kwa uinjiloshaji uliotukuka
I can see that guy at the back,hes making it for God Amen 🙏🏽
Nabarikiwa sana na Hy kwaya mbarikiwe sana wapendwa
Amen amenn
Barikiweni sana watumishi wa Bwana
Be blessed....I listen to this song everyday!❤❤❤❤
Mbarikiwe saana
Be blessed my fellows
Amen wapendwa mbarikiwe
NJIRO ; KWAYA NZURI SANA(NAWAPENDA SANA).
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Na iwe hivyo
Yombo
Nimependa sana huo wimbo wa millenium
Mi pia
Mubarikiwe na Bwana
Thanks so much u really bless my heart joshua from kitengela sda
Hongera wapendwa wa Mungu awabariki 🙏
Amiina
🎉
☦🤲☦🤲☦🤲☦🤲☦🤲☦🙏🙏🙏
Do bless people with good song s.
mungu analikiMuende mbali mile
Where's the song majitu marefu launched on the same day with this
Mungu awabariki
God bless you for the sweet and encouraging words
i dont understand a wordin swahili but god bless this choir. connected in spirit
Amen
🙏🙏🙏🙏🙏 amen
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊God bless YOU
Balaaaaa😅😅😅❤
Amen 🙌 God bless you
more than beutiful! Powerful song!! MUNGU awabariki sana kwa uimbaji mzuri! mmekuwa baraka kubwa sana zaidi kwa baadhi ya wetu wengi tulioko katika nchi za kigeni tukihangaika na kutafuta maisha! nyimbo zenu za baraka zinatusaidia kujisikia kama tuko nyumbani!
once again GOD bless you so much!!!!
from Furaha Choir-Swahili service
LONDON
Barikiwa sana Mtu wa Mungu....unaweza nitumia Namba zako nikuunge kwenye group whatsapp la Nyimbo tu uendelee kubarikiwa zaidi
za kwangu ni +255713365252 Utaniandikia na jina
barikiwa na ww pia mpendwa
A letra da música p nos entender o q diz a música
@@bencaredigitalstudio72ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana asante sana kwa Hilo
Milenyo amanii
mbarikiwe tu sana
A good song, it makes me feel blessed, God bless u so much
Glória deus 😢
Amen🙏🙏🙏
❤❤❤1000 year stay with God Amen Amen Amen good choir from Tz God bless in jesus
AMEN 🙏🙏🙏
Amenn
Ameeen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Ameen and Ameen
Amen 🙏🙌
Zaidi ya kishindo❤ Amen mbarikiwe 🥰
Nice song, where is a lyrics
Mko na cd nitaipata wapi?
🔥
Kisii Kenya manuniko
Nice song❤❤❤
Jamani nyimbo zenu zinaujumbe mzur pia mnaimba kwa moyo thabiti wa kumtukuza Mungu.
Tradução em português
👌👌👌🙏🙏🍓🇿🇦
Powerful
amen very encouraging song🙏
Where is a lyrics of this song?
lovely❤❤
Tradução da letra
Q
Mungu awabariki sana
Do bless people with good song s.