@@arumasjr2244 hata sijuwi nikujibuje daaaah yani nyumba unaona kabisa ipo katika sehem yajuu kabisa hapo kidogo chake chekundu pakajae maji umeona kama nibondeni hapo
@@SaidiChande-p4l Acha ujinga ww sijakuita hapa nandomana nime kwambia kabisa unapo kuja kupatana kununua hakikisha una mbana mwenye nyumba wa kati wa kupatana ulinde masrahi yangu mm dalali hakwea hakweya ,, huwezi juwa makubariano yangu na muzaji punguza shobo kwa usicho kijuwa
@@elimuvisioncenter Tama yangu ndoina nifanya na fika mbar kwa sababu na ipenda kazi yangu na mtu mwenye akir timamu anaelewa maana yakazi yamtu madalali wapo wengi juu ya kuwa wengi matajir wana kuja kwangu na hinyumba ina tangazwa na madalali wengi lakini hao matajir wanunuzi sm zina ita kwangu kutwa na pokea wagen kuwapeleka katika nyumba kupitia hihi kazi yangu ya udalali nina nyumba kar sana ya kuishi ninga nyumba kwa jir ya wapangaji nina gar kwa jir ya kazi yangu Rumio nyeupe vp kuhusu wewe
Ni nzuri sana, mtihani kupata HAYI ya Serikali
@@oliviaseth4652 Kupata hatati kamiri hati miriki ni mil 4
Nimependa sana Dr Hakweya
@@Nursinghilbank Asante boss tupo pamoja mkuu
Hapatuwam
maji kweli
@@arumasjr2244 hata sijuwi nikujibuje daaaah yani nyumba unaona kabisa ipo katika sehem yajuu kabisa hapo kidogo chake chekundu pakajae maji umeona kama nibondeni hapo
Dah nyumba kalii sanaa aisee
@@thadau-t3y karibu boss ufunge mwaka vizur
@NassorSaid-y3d Una uhakika
Imenyooka nyumba
@@CôngHuynh-b1d pamoja mkuu
Njumba nzuri ilipo jengwe ndio mtihani
@@masoudalriyamy6298 Sawa boss ngoja wataichukua wanao hitaji maeneo hayo
Kuna mtihani gani ilipojengwa
Sawa sawa
@@nicedoortrinh pamoja sana boss
Mimi sikujui Kitonga ya Ilala walau ungesema ukitokea km Gongolamboto unaelekea Chanika mwisho au
@@SalamaBaaliya-zs1ol Yah hata hivyo pia ujakosea maana hikitonga ipo wilaya ya ilala sehem ina itwa kitonga
Safi sana ila imekosa ENEO TU.
@@abdallahsaid8157 Panatosha kwa maisha yetu uwezo wakupaki gar 4 hadi 5 pana tosha
Kwa hiyo hela ni halali kabisa. Tena naona hela ndogo
@@ROZITHOMAS-y4q Kabisa niukosefu wa pesatu jama ametia pesa nyingi
Hapo kwenye document mh? Document za mauziano tu. Hamna hati kiwanja hakijapimwa
@@ROZITHOMAS-y4q Hapana tatizo upimaji shirikishi tayar umesha anza
Dalali acha tamaa uwezi kutaka kulipwa na mtu anayenunua nyumba anayeuza ndio anatakiwa akulipe
@@SaidiChande-p4l Acha ujinga ww sijakuita hapa nandomana nime kwambia kabisa unapo kuja kupatana kununua hakikisha una mbana mwenye nyumba wa kati wa kupatana ulinde masrahi yangu mm dalali hakwea hakweya ,, huwezi juwa makubariano yangu na muzaji punguza shobo kwa usicho kijuwa
Mbona napiga hupokei
@@vantran3541 Boss cm zangu zote zina patikana
@@vantran3541 0765 507040
Nahitaka hii
@@thocam9274 Kimbia haraka boss huwenda ikawa riziki yako
Watu mnakelele ety mnapiga hapokei😂
@@MiriumWajey-lr1tq Biashara haitaji hasira maneno ya watu ukiya fatisha yana huzunisha
Ipo wapi hii
@@DuyênMai-k3q Maelekezo yapo boss hapo Ilala kitonga bara bara ya kutoka chamazi kuelekea chanika
Mie naitaka bei 250
@@MbarakSoud Fika uje ukague jengo usitoe ofa huja fika katika jengo
Kuna watu wana hela
@@ThanhPhongĐiệnlạnh kabisa kaka kuna watu wana ishi
Kiongozi
Weekend nakuj kuichek
@@SiêuĐại-p5h Karibu sana boss kazi ipo muzaji ana shida na pesa
Biashara ni ya uhaki
@@ThanhDuong-h5t haina tatizo hata kidogo ndo kwanza nime ingiza sokoni leo
dalali achukue milioni 19 duh ... hyo tamaa sasa
asilimia 5 ya 380 million ni zaidi ya milion 19
kwa kunionesha nyumba tu au ?

Karibu boss
Imenyooka nyumba
Kuna watu wana hela
Mbona napiga hupokei
Weekend nakuj kuichek
Nahitaka hii
Kiongozi
Dah nyumba kalii sanaa aisee
Nahitaka hii
Kuna watu wana hela
Mbona napiga hupokei
Kiongozi
Dah nyumba kalii sanaa aisee
Kuna watu wana hela
Mbona napiga hupokei
Kiongozi
Dah nyumba kalii sanaa aisee
Mbona napiga hupokei
Mbona napiga hupokei
Mbona napiga hupokei
Mbona napiga hupokei