RAIS WA CAF AWASILI TZ, GOLI LA YANGA VS MAMELOD “NILIFIKIRI GOLI HALALI” KAJA KUTAZAMA FAINALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 90

  • @AmiriMalenge-kc5jk
    @AmiriMalenge-kc5jk 5 หลายเดือนก่อน +9

    Analeta kauli za Kidunduka kwakua yupo kwetu anajistukia

  • @255kessy5
    @255kessy5 5 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu jamaa amekiri lilikuwa goli Hali na anasema Kama raisi wa CAF hakupaswa kuweka maoni yake hivyo anasema wanahitaji kuangalia upya VAR ,waamuzi na wasimamizi wa michezo kuhusu matatizo Kama hayo kwa maoni yangu hata ukimuangalia anaona aibu kwa yaliyotokea lakini timu yake imenufaika kushiriki klabu bingwa ya dunia kupitia mchezo ule na kujihak8kishia kupata bilioni zaidi ya 130 Sasa hapo ndio utaona ulikuwa ni dhamila wao kufanya vili na Kama amekiri Basi Yanga ilidhulumiwa wanatakiwa kulipwa fidia ya mabilioni ya fedha kwa uzembe au njama za motsepe dhidi ya Yanga ili kujihak8kishia kupata pesa hizo

  • @SaumuMndeme-fb9fu
    @SaumuMndeme-fb9fu 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤yan.naipenda❤❤❤❤❤❤.yangaa.jaman❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @255kessy5
    @255kessy5 5 หลายเดือนก่อน +4

    If you regret that was a goal and there was something wrong in VAR, referees and linesmen incompetence Yanga SC should be compensated for what happened

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 5 หลายเดือนก่อน +9

    Huyo anajikosha kwa vile kaja kwenye nchi yetu sasa hiyo kauli yake inatusaidia nini mpuuzi huyo

  • @24seventv99
    @24seventv99 5 หลายเดือนก่อน

    Very good political manager

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa uyu kafata nn mbwa simpendi kama nini uyu

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 5 หลายเดือนก่อน +6

    Pumba mmoja huyu

  • @AntonMbwile
    @AntonMbwile 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ulitakiwa kupigwa makofi matakatifu SEMA Tanzania nchi ya amani

    • @FatmaJumawazir
      @FatmaJumawazir 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yani kama mm ningemtia mbata moja2 mpuuzi uyu🦛🦛🦛

  • @KONGOX399
    @KONGOX399 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa anazani sisi mafala tunaweza kusahau alichotufanyia

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani kafanyajje jamani?

  • @SungesuAngelina-id4tj
    @SungesuAngelina-id4tj 5 หลายเดือนก่อน +1

    Maskini Nafsi inamsuta baba wa watu Kwa dhulma waliotufanyia,but Mungu ni wetu Sote Kwan wao wametolewa Kwa kupigwa nje ndani walipotamani kufika Mungu kawaambia mm Sina masihara ukidhulumu Haki ya mtu😂😂😂😂😂😂

  • @juliusmagoti5650
    @juliusmagoti5650 5 หลายเดือนก่อน +1

    What has CAF done to the referees who denied Yanga clear goal. We will never stop blaming you personally for what happened

  • @bakarmsangimsangi7757
    @bakarmsangimsangi7757 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmmh yani siyo viongozi tuu wasiasa wanao tuzengua mpaka wa mpira nao pasua vichwaa hakuna pakuengemeaa ujingaa mtupuu kwanzaa msimpingiye makofii huyuuuu

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 5 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU AJUI KAMAA ANAJIKAANGA MWENYEWE KWA MAFUTA YAKE,ANAWEZA ASIPIGIWE KURA NEXT TIME ONCE AGAIN

  • @Summarizervonkakwa
    @Summarizervonkakwa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Linafki tu hilo pumbavu kabisa

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ni kina nani walompokea huyo mdhulumati mkubwa malipo duniani akhera kuhesabiwa litimu lake lenyewe ovyooo halikusonga mbele ndo hukumu ya wadhulumat hiyo dadekiiiii😂😂

  • @princemontana4072
    @princemontana4072 5 หลายเดือนก่อน +4

    Dhuruma yake kakosa kwenda hata Final msenge huyo 😅

  • @GodfrryGabriel
    @GodfrryGabriel 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mjinga sana huyo kwanza kuonesha jinsi Gani tuliumia uongozi msingempa mwaliko huyo mpuuzi. Yeye ndio mwenye mamlaka ya juu kabisa kwenye mpira Africa! alishindwaje kuipa haki timu inayostahili?

  • @rehemamkude6766
    @rehemamkude6766 5 หลายเดือนก่อน

    Mkae nae kwa akili huyo
    Katuumiza tayari

  • @KaizaEdwin
    @KaizaEdwin 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaona kafika kwetu ndo anakubali goli wakati alisabisha mikeka kuchanika kenge hyuyu

  • @terrence9477
    @terrence9477 5 หลายเดือนก่อน +4

    Natamani alipokanyaga, nisije pagusa hata siku moja maana yanitia kichefu

  • @JumaNakuhwa
    @JumaNakuhwa 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hana maajabu amalize muda wake aende zake mbele huko,mdomo kama njia ya haja kubwa,Kiko wapi mbona hakuna alicho pata

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yani sasa ndy itasaidia nini mbwa wewe

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nonsense!

  • @babupiza641
    @babupiza641 5 หลายเดือนก่อน +1

    The kalio mkubwa we hebu tulia

  • @anamakyangurogers4604
    @anamakyangurogers4604 5 หลายเดือนก่อน +1

    hajijui huyu analeta kichefuchefu kwetu

  • @KhalidiNinga
    @KhalidiNinga 5 หลายเดือนก่อน +4

    NAmsikia tu na simuelew uyo shoga

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona kama ajiamini unazani malipo yapo mbinguni awapi apaapa ipo siku nawe utalia kama watanzania tulivyoumia mungu yupo🇹🇿

    • @IssacNtacho
      @IssacNtacho 5 หลายเดือนก่อน

      Watanzania tunalia vipi ,mbn unajumuisha wote,,

    • @remidusmwanandenje-yy5gs
      @remidusmwanandenje-yy5gs 5 หลายเดือนก่อน

      @@IssacNtacho Ata wewe unalia kwa kupigwa 7 & 2 kwaiyo kaa tulia kumbuka kexho tunajambo litawafata ukouko 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @IssacNtacho
      @IssacNtacho 5 หลายเดือนก่อน

      @@remidusmwanandenje-yy5gs 7&2 zipi hzo,

  • @elizabethywinnie1090
    @elizabethywinnie1090 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani kaja Tz kufanya nn Tapeli mkubwa yy shubamiti mzulumishi mkubwa mlaa Rushwa takata hiiiii iondokeeee harakaaaaa

  • @mussamaduka6158
    @mussamaduka6158 5 หลายเดือนก่อน +5

    eti kama kiongoz huwez kukoment kuwa lile lilikuwa goal kwa sababu ya kananun huyu jamaa ni kibaka wa mpira

    • @youdya
      @youdya 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 5 หลายเดือนก่อน

      Hahahahahaha 😂😂😂

  • @bahatimbunda2622
    @bahatimbunda2622 5 หลายเดือนก่อน

    A true leader
    Your speech is magnificent
    Our country should be very proud
    5years back Tanzania was a dark football county
    Now we share ideas with caf president
    Tanzania is home of south Africans and all Africans
    Welcome mr president and feel to be at home

  • @User92.invisible
    @User92.invisible 5 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu ni tapeli wa mpira

  • @kingi4432
    @kingi4432 5 หลายเดือนก่อน +5

    Fainali gani

    • @isackyohana2707
      @isackyohana2707 5 หลายเดือนก่อน

      Africa footbool ligi kwa wanawake

    • @KelvinMtavangu-ow8yo
      @KelvinMtavangu-ow8yo 5 หลายเดือนก่อน

      Ni finali za Timu za Taifa kwa Vijana. Ngazi ya CAF. Sawa.

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 5 หลายเดือนก่อน

      Wanafunzi wa shule...😢😢😢

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni wakupuuzwa

  • @georgedaniel4962
    @georgedaniel4962 5 หลายเดือนก่อน

    Uzungu mwingi mjomba sisis mashabiki wengi wao shule zetu za mpimbamaze,tulegezee ili tukupate vyema.

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 5 หลายเดือนก่อน +2

    Unasema
    Leo ili iweje mzee we kausha tu

  • @ErickLeonce
    @ErickLeonce 5 หลายเดือนก่อน +2

    Lina tabasamu lina jua kabisa goli ila alichofanya anajua yeye na malefa pumbavuu sana ilo jamaa😂

  • @MorrisErenest
    @MorrisErenest 5 หลายเดือนก่อน

    Kuuu mama mama akeee

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ovyoo

  • @MarckyCholla
    @MarckyCholla 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mnaochangia kwa kumtusi nashindwa elewa ni lugha inawachanganya au vipi.mbona anachoongea musepe safi sana acheni mihemuko football haihitaji mihemuko.

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 5 หลายเดือนก่อน

      Half minded people hao... lugha haipandi😊😊😊😊

    • @mwanahamisijuma7270
      @mwanahamisijuma7270 5 หลายเดือนก่อน

      Anatukanwa coz kwa nni hkusema Cku ile ssa saa hii lina nguvu gani kwetu kma goli na malengo ya team ilikua wcheze nusufainal na sio kufahitia fidia hio inauma na kupelekea matusi

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 5 หลายเดือนก่อน

    Ohhh sasa nimeelewa ni kwanini hii fainali imepelekwa Zanzibar na sio Babati. Ni kwasababu huyu jamaa anakuja kuitazama hii fainali. Hahahahahaha

  • @zakwetuupdate3387
    @zakwetuupdate3387 5 หลายเดือนก่อน +5

    MngeuliA sasa hilo swal mbona mlikuwa kimya😂😂😂

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 5 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba uturudishie goli letu

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 5 หลายเดือนก่อน

    Mshamba shobo. Kwann hakusema siku zote

  • @IbrahimMwasene-me6rq
    @IbrahimMwasene-me6rq 5 หลายเดือนก่อน

    Hawa Hawana utu tuliwapigania uhuru tuwalaani

  • @ShukuruLazaro
    @ShukuruLazaro 5 หลายเดือนก่อน +8

    Jinga tu hilo

  • @HansTobias-n8q
    @HansTobias-n8q 5 หลายเดือนก่อน

    Tanzania, zanzibar ndio nin? Zanzibar ndio iyo iyo Tanzania

  • @jumasuleymani
    @jumasuleymani 5 หลายเดือนก่อน +1

    2:22

  • @HeryethAleck
    @HeryethAleck 4 หลายเดือนก่อน

    Atuache tusha sahau

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 5 หลายเดือนก่อน

    Na ili kuonesha namna alivyopuuza the same refa kaamua mechi ya final fala kweli

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 หลายเดือนก่อน

      Hicho ndicho kilichokosewa, kukosea kama refarii ni ubinaadam lakini wakati vipo vyombo vinasimamia vilipaswa kumzuwia japo mechi mbili tatu kuonesha kilichotokea sio sawa.

  • @mwanahamisijuma7270
    @mwanahamisijuma7270 5 หลายเดือนก่อน +1

    Matako yako msenge wwe

  • @sospeterlaurent4428
    @sospeterlaurent4428 5 หลายเดือนก่อน

    Fainali ya kitu gani??

  • @mwanahamisijuma7270
    @mwanahamisijuma7270 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtieni makofi kdgo

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 5 หลายเดือนก่อน

    Now if u thought it was a goal why ur organization doesn't take any action until now, there just embarrassing the game of football

  • @leonelleo4425
    @leonelleo4425 5 หลายเดือนก่อน +4

    Kadi yako ya uanachama Simba sports club inakusubiri mzee Baba..Uliupiga mwingi sana..Karibu msimbazi 😂😂😂

  • @KentiDensi
    @KentiDensi 5 หลายเดือนก่อน +2

    K2

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mm sielewi Kuna Tanzania ,na Kuna Zanzibar?halafuna nyinyi Ayo mmeanza lini kuandika kichwa Cha habari ,na kinachoongelewa?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 หลายเดือนก่อน

      Hapa anadhibitisha tu kwamba Zanzibar inadhulumiwa na Tanganyika. Michezo sio suala la Muungano lakini HAKI zote CAF na FIFA zinabaki Tanganyika. Ili uwe mwanachama wa Jumuiya za Kimataifa ni LAZIMA uwe sovereignty state. Sovereignty state ni Tanzania.

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 5 หลายเดือนก่อน +4

    Roho inamsuta

  • @maharusimedia8310
    @maharusimedia8310 5 หลายเดือนก่อน

    Hahahah........Kaona ajihami mapema kabla ya kuhojiwa 😅😅

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 หลายเดือนก่อน

    Lile halikua goli 😊😊😊

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 5 หลายเดือนก่อน +2

      Aibu 😂😂😂

  • @HabibuSalumu-iv5wl
    @HabibuSalumu-iv5wl 5 หลายเดือนก่อน

    Kamati yake tendani ilitoa maamuzi gani

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 5 หลายเดือนก่อน

    Kaongea vizur nyie mlitakaje

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 5 หลายเดือนก่อน

    Falazooo...

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani yeye ndo kachezesha yaani vyura bwana😅

    • @FPJofficial
      @FPJofficial 5 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 5 หลายเดือนก่อน

      Pambaneni na mzoga wenu na kesho tunawafata huko huko arusha

  • @ELIPHAZAMON-ex9zc
    @ELIPHAZAMON-ex9zc 5 หลายเดือนก่อน

    Huna akili pimbi wewe kwan wanaomtukana huelewi wanachokilalamikia ,ushashamba lugha yako ni kiswahili bro kingerza ni utumwa wa fikra

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 หลายเดือนก่อน

    Tanzania bhnaaa 😂😂😂

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 5 หลายเดือนก่อน

    Mpumbavu

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 5 หลายเดือนก่อน +1

    Corrupt football leader