kupika donati nzuri bila mayai wala maziwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • *vipimo
    .unga nusukilo
    .siagi gm 100(vijiko 7 vya chakula)
    .sukari vijiko 4 vya chakula
    .chunvi kidogo au robo ya kijiko cha chai
    .hamira kijiko kimoja cha chakula
    #kanda ukikadilia maji mpaka unga wako uwe laini na wenye kuvutika

ความคิดเห็น •