BODI ya MIKOPO YATAJA SIKU ya WANAFUNZI WATAKAYOPANGIWA MIKOPO KUPITIA RUFAA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2024
  • BODI ya MIKOPO YATAJA SIKU ya WANAFUNZI WATAKAYOPANGIWA MIKOPO KUPITIA RUFAA...
    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefunga rasmi jana dirisha la rufaa Jumapili Novemba 20 mwaka huu.
    Dirisha hilo la rufaa lilikuwa wazi tangu kwa takribani siku 7 kuanzia Novemba 13 hadi 20 mwaka huu ambapo jumla ya wanafunzi 32,777 wamekata rufaa.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 6

  • @RomanaJames
    @RomanaJames 3 วันที่ผ่านมา

    Jamani mtuonee huruma bodi ya mikopo mm kama Mimi hamjanipatia naishi maisha magumu sana 😭😭😭😭

  • @MwajumaAlly-m7z
    @MwajumaAlly-m7z ปีที่แล้ว +1

    Vp kuhusu kupata mkopo Kwa vyuo vya kati

  • @SubiraJames-we8lh
    @SubiraJames-we8lh ปีที่แล้ว

    Samahani mm kitambulisho changu kina.marekebisho naomneni mnisidie

  • @wadhazahor-pp8db
    @wadhazahor-pp8db ปีที่แล้ว

    mbona mm account yangu haifunguki na nimefata hatua izo izo? nkifika hapo kwenye login for registreted user nkiclick hapo inakaa tuu haifunguki
    samahani unaweza kunisaidia hapo nifanyeje

  • @adamlumumba7686
    @adamlumumba7686 ปีที่แล้ว

    Nimesahau password na namba niliyotuma kuomba mkopo napataje kuingia helsb account yangu tena

  • @TheAmosam
    @TheAmosam 2 ปีที่แล้ว

    Mbona wanafunzi wa wanaoendelea katika chuo cha IFM Mwanza wanalalamika bado pesa zao hazijaingizwa kwenye akaunti, tatizo lipo wapi?