Hongera sana serikali , hongera sana raisi magufuli kazi inaonekana , watanzani tumuunge mkono rais wetu na serikali yake kwa kutumia kauli mbiu yake ya hapa kazi tu kwa kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikomboa kiuchumi
Kitendo cha azam two kutorusha,habari kwenye king'amuzi kinawakosesha mamilipn ya watanzania wasio na sim za Android wengi wao wakiwa vijijini hii ni kutunyima haki ya kipata taarifa huku tukilipia sh.18000/23000/28000
NI HABARI NJEMA SANA,ILA TU NINAKWAZIKA KWA SISI WAKAZI WA "ARUSHA" KUTOKUWEKEWA KIPAUMBELE,YAANI HATA "BOMBARDIER" MPYA HATUJAZIONA...UPANUZI WA UWANJA NAO.MMMMHHHYY..HAYA WAH:ILA KUNA SIKU TUTAENDA NA SISI ARUSHA AIRPORT.
Seleman Kishema vyoo vya ndege vinatumika kwa matumizi yote mpaka kunya na vina maji ya kuflash kama kawaida in short vimejitosheleza kwa matumizi na kwa kila kitu
Asanter rais wetu mangufuli Kwa kazi zako kututengenezea nchi yetu fanya kazi hachana na maneno YA watu wasiopenda maendeleo Wewe fanya kazi
Mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza raisi wetu na viyongoz wengine
Hongera sana serikali , hongera sana raisi magufuli kazi inaonekana , watanzani tumuunge mkono rais wetu na serikali yake kwa kutumia kauli mbiu yake ya hapa kazi tu kwa kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikomboa kiuchumi
Wanaokuchukia mh hawatafanikiwa miaka 100 Viva JPM
nice
we dada mtangazaji muulize lisu na nape hao wte walioomo kwenye hiyo ndege ni wanaigeria au wachina
Kitendo cha azam two kutorusha,habari kwenye king'amuzi kinawakosesha mamilipn ya watanzania wasio na sim za Android wengi wao wakiwa vijijini hii ni kutunyima haki ya kipata taarifa huku tukilipia sh.18000/23000/28000
Vizuri anajitahidi lakini angeongeza juhudi japo zifikie 10
Duh niliomba naambiwa nafac imejaa
Nshakata tiket nachosubir nikupanda tu. Ingekua bei yakudum ingesaidia wengi
kwani lazima uende mbele ya abiriia kutueleza kuhusu hii ndege
wapinzani hakuna chenu sasa mwaza malambili jamani haya ni mabadiliko makubwa watazania tunaweza
Sasa mbona ka wamejaza viongozi kwenye hiyo ndege 😂😂😂
Nitajie kiongoz uliyemuona acha chuki ndege ni ya kwako hii, haZina chama boya wee
NI HABARI NJEMA SANA,ILA TU NINAKWAZIKA KWA SISI WAKAZI WA "ARUSHA" KUTOKUWEKEWA KIPAUMBELE,YAANI HATA "BOMBARDIER" MPYA HATUJAZIONA...UPANUZI WA UWANJA NAO.MMMMHHHYY..HAYA WAH:ILA KUNA SIKU TUTAENDA NA SISI ARUSHA AIRPORT.
Kester Kanyala kwani bombardier hukuziona wakati zinatua arusha airport kila siku
Lakini wekeni tangazo kwenye tickets watu wanye kabisa makwao kwani vyoo sio vya shimo humo
Seleman Kishema vyoo vya ndege vinatumika kwa matumizi yote mpaka kunya na vina maji ya kuflash kama kawaida in short vimejitosheleza kwa matumizi na kwa kila kitu
Ongera Rais wetu mungu ibariki tz pia na viongozi wake