Waandaaji wa tuzo walijua kumuwek king👑 kuimba hap anaimba sio kupafomu watu mjue kutofautisha hilo watu wamevaa suti unatak kuwa chezsha msondo ndo maan imewekwa live band inatakiwa kujua kinachoimbwa Respect 🔥🔥👑👑🙏 ni mmoja tu👑👑👑
Msanii hana tatoo,hana dreads,hanaga micheni cheni shingoni na hakosi uwezo mara wimenomeno,sijui mara visuko, shingoni,mazi yake yautulivu na kieshima kama njisi nyimbo zake zilivyo tuliya huto sikiya matusi mntimbo zake ,jina lako la Kong kiba nilikuba 💯ubatikiwe kaka...
Hiyo ni live band sio stage ya playlist unatakiwa kutofautsh hapo watu wanakula chakula Cha ubongo sio kutoka jasho kama fiesta ama festival elewa hivyo kk 😂😂😂
Team kiba like zenu hapa
Tukopamoja Alikiba
King of my life only one king in tz
That's really king 👑 man big up broo
Mfaime huyoooo wa music kiba❤
😂😂😂😂😂mfalme wa maskini 😂😂😂😂😂
Masikini anadinywa n.a. diddy
yep
Waandaaji wa tuzo walijua kumuwek king👑 kuimba hap anaimba sio kupafomu watu mjue kutofautisha hilo watu wamevaa suti unatak kuwa chezsha msondo ndo maan imewekwa live band inatakiwa kujua kinachoimbwa
Respect 🔥🔥👑👑🙏 ni mmoja tu👑👑👑
Kabisa brother wajue hilo
Huyo mkaka atali ❤🎉 King kiba😊 🤴
King 👑 👏🙌
Napenda sana saut yko unaweza wakukufikia akuna sema ndo ivo9oo 2
Mungu akupe maisha marefu nakpenda sana kaka angu❤❤
Na hapa ndipo kunapo mfanya king kiba akuwepo mbaka leo hii
Ndo king ❤wetu
This is the best song pole umebarik7wa 2024
Wapi ameshindwa hata na Yammy
King kiba💥
King all d way I love yo songs Kiba u r d best.🇹🇿🇿🇲
King wa maisha
Kushika Mic ni Elimu nyingine ya sound Engineering wasanii wetu wasiogope kujifunza,sauti inatoka lakini haielekezwi Kwa usahihi kwenye Mic.
Hutumii nguvu kaka kwenye jukwaa safi sanaa❤
Duuu nakupa jna lipya kiba wew 🔥
Huyu jamaa kashindikana kbs big up my King 👑
❤❤ Kazi nzur kaka
Ninakubali team Kiba kwa kazi kubwa muyo fanya
Unyamaa mwing huyu ndy King 👑 wet
👑💖💖
King 👑 himself
Congratulation kiba
Raha sana king kama king
King of the music
❤king kiba for realioo
Ndo mana mademu awaishi kumsifia bonge la gentleman
King
Zuchu anajifanya iko busy na simu ili tu asimuangaliye kingi
Na tale anaimba hana baya
Hongera sana kig kiba❤❤❤❤
King ni mkali na nusu
Hapa kwa live band wasanii wengi ndio wanafail....that's why huyu ndio king 👑
King kiba❤
King 👑❤❤❤
Hongera kwako kaka kiba🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yeee Baba 🎉🎉🎉🎉
Kwan mfalme si mmoja2
Adi raha
Zuchu Alisimama kweli???ama nilipitwa mahali......
Kuitwa king 👑 ni haki yake
Maisha marefu kwako mtu waheshima king kiba
😂😂😂😂😂😂😂 nonsense
Nonsense kwako
King kiba🇨🇩🙌🥰
❤❤❤❤mashalla ❤❤❤
Kuna tofauti kubwa sana ya king kiba na diamond yaan angekuwa hapo diamond ungeona bodygud kibao wachukua movie kibao
Mfalume 🔥🙌
Ongera❤❤❤
king kama king
King of live
1:19 ❤ 4:36 ❤
Alikiba hakuwa sawa Leo... Sijui tatizo ila alikia out mood kbs
Nikweli kabsa hilo nimeliona
Me naona we umecomment ukiwa nje ya mood
Baba la baba king kiba
hii bendi wameitoa wapi wanaover play kila kitu wanaharibu sasa
❤❤❤❤❤Alikiba ❤❤
King himself
Zuchu sio kujiskia tu ila waswas kuwa mbn huyu jamaa htr kuliko mwanaume wake hapa qa jukwa
KING KIBA 👑
Alikiba kweli una juwa kabisa
Hakika nakukubali kinoma.
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nimependa mwisho
Msanii hana tatoo,hana dreads,hanaga micheni cheni shingoni na hakosi uwezo mara wimenomeno,sijui mara visuko, shingoni,mazi yake yautulivu na kieshima kama njisi nyimbo zake zilivyo tuliya huto sikiya matusi mntimbo zake ,jina lako la Kong kiba nilikuba 💯ubatikiwe kaka...
watu wakubwa ndio wanafanya vitu vikubwa nimojatu the king😂😂
Kuimba Live Nd Uku Sasa
Mfalme wa live band
Umeweza mpaka umeweza tena
Bravooo
mheshimiwa, huyu niwazili wasekta flan, ............
❤kiba
Zuchu na simu hata sio vizuri
Wa nini hy
Mfalme ni mmoja tu siku zote
Zuchu anazarau sana
Waandaji wa tuzo hapa mlitisha sana
Amefanya jambo la maana kabisa
Kweli kabisa❤
King uyo ndo mwanamusc bora 👑❤
👑👑👑👑👑👑KIBA
❤❤❤❤
❤
King kiba
Mtuu wa maana kabisaa huyu
Mwijaku sasa😂😂😂
Salute
Kiba upo juuu
King kiba ,Ngoma hizi utoki jasho, na pale mbele kunaviongozi wakubwa ,Safi kabisa
We jamaa hatari
Yan vocal ya live na kwenye wimbo ndo ile ile oyaa uyu jamaa hatariii
Good songs
😊❤❤
Kibaaaaaaaaa
Mfalme huja na ufalme wake
Unalolote kufa wewe kama unaona Sawa jibu wivutu🎉🎉🎉
🎊🎊🎊🎉🎉🎈🎈🎈🎈🎈🎌
King kiba
😊😊❤🎉🎉🏆🇧🇮🇰🇪
Mtaalam
Manajua saana ila ajiongeze performance zake zinapooza saana watu wanataka vibes hata Kama siyo piano kuna Zille hamsha hamsha 😂
Nikweli Kaka wewe kaimbe basi tuone parfomance yako binadam kwann tuko angecheza angekuja mtu angesema pia anacheza vibaya pambana namaisha yako mzee muache mwamba ajui kitu wewe unajua kafanye
Hiyo ni live band sio stage ya playlist unatakiwa kutofautsh hapo watu wanakula chakula Cha ubongo sio kutoka jasho kama fiesta ama festival elewa hivyo kk 😂😂😂
Ww kenge hii sio wasafi festival, hapo kuna hitajikana umahiri mkubwa, usifikiri hapo mbea au mwanza kwa fiesta au mziki mnene ww
Mimi sioni shiw yoyote hapo!!! Sioni nyimbo nzuri naona wanamuonea huruma ...huyu jamaa aliisha kitambo sana!!!!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂alikufa akazikwa akaoza ...😂😂😂😂😂 Nonsense......
Huna akili we boya
Njo tukuone wewe mzuri
😂😂😂😂😂😂😂😂hakuna mtoto wa Haram hta mmoja anaweza kuelewa hapo😂😂maana huskii inama nichomeke , huskii vua niingize gogo huwez kuelewa kenge ww😂😂😂😂
Wewe make was p did uwezi elewa ki2 apo
Kati yako na Ally nani wa kuonewa huruma?!😅 kimaisha amewazidi ukoo wenu wote, ata mchangishane hela na mali hamumfikii ata robo
Kama umemuelewa kiba gonga like, afu uingie kwa channel
UKITAKA KUJUA HUYU JAMAA NI HATARI KWA LIVE SIKILIZA ARANGEMENT YA MWIMBO KWA WIMBO NDIO TAELEWA NINI HUYU JAMAA NI HATARI WA HIZI VITU