YESU NI MUNGU KISHA MWANADAMU KISHA MPATANISHI KATI YA MUNGU NA MWANADAMU (1TIMOTHEO 2:5, AYUB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #MFULULIZOWATATU
    Ibada ya jumapili Mt Sylvester - Kijichi - 11.08.2024
    .....................................................................................................................
    Uungu na Uanadamu na upatanisho wa Yesu kati ya Mungu na Mwanadamu umewachanganya wengi katika imani hata wengine kuiacha imani ya Kikristo na wengine ni wa Kristo (hawajaacha Imani) na hawaelewi na siri hii kubwa iliyofichwa kwenye maandiko. Hii si shida ya siku hizi tu lakini toka enzi za Yesu unaona makundi mawili makubwa ya watu hawakuelewa na elimu hii;
    (A) Kundi la Kwanza ni WANAFUNZI wa Yesu wenyewe: Kwa kujua hilo unaona Yesu akiwauliza swali la Msingi kwao na kwetu hata leo. "Watu wanasema Yesu ni nani, Na sisi (tulio wanafunzi leo) tunasema Yesu ni Nani? Mathayo 16:13-18, Marko 8:27-30, Luka 9:18-21, Yohana 6:67-69
    (B) Kundi la Pili ni Wayahudi: Yesu alipojaribu kuwaeleza ya kuwa yeye ni Mungu katika Mwili waliona ANAKUFURU na wakatafuta kumuua mara kadhaa. Yohana 10:30-33, 5:15-18, Mathayo 26:63-68.
    .................................................................................................................
    Karibu ufuatilie somo hili na ni maombi yetu likuvushe katika Jina takatifu la Yesu Kristo wa Nazarethi aliye Mungu na Mwokozi wetu.

ความคิดเห็น • 3

  • @ShabiruHassani
    @ShabiruHassani หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @emmakulatankelame391
    @emmakulatankelame391 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa Mbinguni akubarki na kukuongeza zaid

  • @ProTitle_
    @ProTitle_ หลายเดือนก่อน +1

    Amen🕊🕊🕊🕊