Baba kafue was hiding another small girl in the kitchen😭But what kafue Did to his father made me cry

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 542

  • @felistafelis567
    @felistafelis567 4 วันที่ผ่านมา +58

    Tangu nimefuatilia hii series ya baba kafue sijawai pata like ata moja,,pia nipitie nikupitie 😊

    • @Morgan-k8q
      @Morgan-k8q 3 วันที่ผ่านมา

      swa mama pita nami pia😅😅

  • @MargaretNjuri-wk8ue
    @MargaretNjuri-wk8ue 5 วันที่ผ่านมา +74

    Proud of you wambo good job girl 💕💕💕💕💕

    • @KalalaErick-n7d
      @KalalaErick-n7d 5 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo anaongea sana,

    • @mahghee
      @mahghee 5 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@KalalaErick-n7d Aje sasa kwni hafai kuongea?

    • @MargaretNjuri-wk8ue
      @MargaretNjuri-wk8ue 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@KalalaErick-n7d she's ok pia confidence iko Top Notch

  • @KELVINBRANDK
    @KELVINBRANDK 5 วันที่ผ่านมา +89

    Huyu Mzee amezidi
    100peoples mnipitie niwapitie right now unasema uko number ngapí

    • @JudJudieh
      @JudJudieh 4 วันที่ผ่านมา +1

      71

    • @LovelyChizi-vt5jy
      @LovelyChizi-vt5jy 4 วันที่ผ่านมา +1

      Nipitie

    • @KELVINBRANDK
      @KELVINBRANDK 4 วันที่ผ่านมา +1

      @LovelyChizi-vt5jy Done ✅ THANKS

    • @annnekesa8103
      @annnekesa8103 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@LovelyChizi-vt5jynipitie nikupitie pia

  • @FranciscaPeter-rm1hx
    @FranciscaPeter-rm1hx 5 วันที่ผ่านมา +237

    But the girl wambui, can work better than the slay Anita, how many can see it nipitieni na like wezangu

    • @ruthmwikali3450
      @ruthmwikali3450 5 วันที่ผ่านมา +5

      I second you

    • @Linnet-z5i
      @Linnet-z5i 5 วันที่ผ่านมา +3

      Wambui n sidechck wa SD ama

    • @Djconfy_official
      @Djconfy_official 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@Linnet-z5iNimufanyikazi wake

    • @SoziSozi2020
      @SoziSozi2020 5 วันที่ผ่านมา +5

      wachatu ni ulize nasikwaumbaya huyu wambui dy Aninta alimchukulia s Dave 👆

    • @LucyMukiri-yx8lh
      @LucyMukiri-yx8lh 5 วันที่ผ่านมา +4

      I was thinking the same thing

  • @MuthoniMercy-w8r
    @MuthoniMercy-w8r 5 วันที่ผ่านมา +48

    Kafue usicheke na huyo Mzee,sura ya kazi,,

    • @Kerubos
      @Kerubos 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hivyio ndio tunataka Sasa kama ni kifo ni kifo kwa huyu mzee malaya

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 วันที่ผ่านมา +3

      Kwanza loisa achapwe tu

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 5 วันที่ผ่านมา

      Huyu makafue akera sana​@@RoroRoserororo

    • @MuthoniMercy-w8r
      @MuthoniMercy-w8r 2 วันที่ผ่านมา

      @@RoroRoserororo 🤣

  • @MelisaJustus
    @MelisaJustus 5 วันที่ผ่านมา +18

    Mungu nakuomba uzidi kunilindia ndume Wangu watakuja kuni protect one day 💪

  • @miskii-m6t
    @miskii-m6t 5 วันที่ผ่านมา +42

    Kafue Kafue Kafue help your mum ❤🎉🎉🎉🎉❤🤛🤛💪💪💪💪

  • @markkemboi5301
    @markkemboi5301 5 วันที่ผ่านมา +8

    Mama kafue is a God fearing lady.God bless her.

  • @ConceptaNasimiyu
    @ConceptaNasimiyu 5 วันที่ผ่านมา +77

    Huyu Anita n mjinga alidani akienda TH-cam itasimama 😂keep going bro l love ❤ you so much,,,God bless you and your team🎉💪💪

    • @lovelyrose2383
      @lovelyrose2383 5 วันที่ผ่านมา +8

      Mjinga wewe kwani Anita ndio alikua akifanyia dave kazi kila mtu alikua na you tube yake

    • @ShamimokisaiOkisai
      @ShamimokisaiOkisai 5 วันที่ผ่านมา +1

      Wacha ajifanye Zita mtoka tu

    • @MargaretNjuri-wk8ue
      @MargaretNjuri-wk8ue 5 วันที่ผ่านมา +1

      Sio lazima umtusi kubaf zako 😢😢😢

    • @rahema907
      @rahema907 5 วันที่ผ่านมา +4

      Kuna watu wanapenda kufatilia maisha ya watu hapo inje ss matusi niya nn baadhi ya watu wanajifanya watakatifu usithani utabomowa nyumba ya mtu ukithani utadumu hii ndio dunia

    • @mastertv2545
      @mastertv2545 5 วันที่ผ่านมา +4

      But they were helping each other

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 5 วันที่ผ่านมา +42

    Mama kabue is disciplined mama❤

    • @werelawrence4686
      @werelawrence4686 5 วันที่ผ่านมา +2

      eti baraka hutoka kwa baba hio ni kupumbazwa

    • @gladyswambui1641
      @gladyswambui1641 5 วันที่ผ่านมา +1

      Displine my 🦶 ndio maana anachezewa ivi .Hawae wanaumee wanataka vichwa ngumu unabebeleza mwanauma kamaw mtoto

    • @asiimwesolomon3732
      @asiimwesolomon3732 5 วันที่ผ่านมา

      Very true 100%

    • @CharityWachira-zw9cf
      @CharityWachira-zw9cf 5 วันที่ผ่านมา

      Ni displine ama ni uoga?

    • @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
      @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw 5 วันที่ผ่านมา

      Goat Wife obvious hubehave hivi👏👏👏🙏🙏🙏🙏👍

  • @JanetJanet-q8p
    @JanetJanet-q8p 5 วันที่ผ่านมา +9

    Huyu Mzee ni Malaya Sana... Kafue should try to Protect his Father's Property... Those are Golddiggers... .😂😂

  • @MargaretWangui-v2i
    @MargaretWangui-v2i 5 วันที่ผ่านมา +10

    Aki kafue goodwork ata umenunulia mama yako nguo may God bless yuo

  • @AnnStacy-p2e
    @AnnStacy-p2e 5 วันที่ผ่านมา +18

    Senior Dave huyu wambo nimekupea na mtu asilete shida🤣🤣🤣🤣

    • @consolatanechesa3004
      @consolatanechesa3004 5 วันที่ผ่านมา

      Kabisa juu annita ametuzoea nkt😂😂😂😂

    • @AnnStacy-p2e
      @AnnStacy-p2e 4 วันที่ผ่านมา

      Tena sana na tutasaidia senior kulipa mahari 🤣​@@consolatanechesa3004

    • @sabinawairimu5731
      @sabinawairimu5731 4 วันที่ผ่านมา

      Alitoka wapi juu nimekuwa offline siku kadhaa

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 5 วันที่ผ่านมา +11

    ❤️❤️❤️❤️. KAFUE PAMBANA MAMA AMENIFANYA NILIE❤️❤️❤️❤️❤️❤️NAFAMILIA nikiwa Tanzania

  • @AishaElizabeth-j6h
    @AishaElizabeth-j6h 5 วันที่ผ่านมา +18

    This old man needs prayers senior Dave please call pastor Joshua to come and prayer for this mzei 😢

    • @marynjuguna438
      @marynjuguna438 5 วันที่ผ่านมา

      Baba kafue ni Batazah wa Kenya

    • @shinehusnah6572
      @shinehusnah6572 5 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni Malaya mzaee acheni kupima mungu imani maombi wp hapa ..kama umesikiza story ya huyu kafue amesema aliwacha akiwa wadogo akarudi wamekua ..so huyu mzae ni Malaya tuu ..anataka ndogondogo mbwaa huyu

    • @hellenkathambi8694
      @hellenkathambi8694 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@shinehusnah6572ukweli

    • @anngateri2015
      @anngateri2015 4 วันที่ผ่านมา

      Haki wanataka maobi, hujui nini atayule mumama alimufanyia

  • @rachelwaweru1309
    @rachelwaweru1309 5 วันที่ผ่านมา +5

    Thanks so much kafue you been very calm when talking to your dad

  • @PeterMunene-xm2bs
    @PeterMunene-xm2bs 5 วันที่ผ่านมา +11

    We are very happy for you kabui,let's your father tell you what is going on please

  • @JulietKuria-oq2qt
    @JulietKuria-oq2qt 4 วันที่ผ่านมา +3

    za ovyo anita is a very good girl ame support Dave Dio afike hapo

  • @Gracemuhia418
    @Gracemuhia418 5 วันที่ผ่านมา +4

    Wambui 🎉🎉🎉🎉🎉 good job ur doing a good job continue helping Sd he is a very hard working man he need a caring girl like you Wambui,i hpe God's will be the best

  • @EstherMagondu
    @EstherMagondu 5 วันที่ผ่านมา +17

    Baba kabue amekuwa Baba Njuguna mwingine.

    • @JoyceBaya-py8dn
      @JoyceBaya-py8dn 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @reginamutei
      @reginamutei 4 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂Baba junguna drama na rude

  • @LUCYNDABI
    @LUCYNDABI 5 วันที่ผ่านมา +17

    Huyu mzee nikaa merogwa na second wife, this is not normal now

    • @MargaretWangui-v2i
      @MargaretWangui-v2i 5 วันที่ผ่านมา

      Sio second wife huyu loise si uliona vile alifanya bwanake

  • @marydavid9635
    @marydavid9635 5 วันที่ผ่านมา +17

    Jameni huyu mzee ni kurongwo amerongwo ama ni kujifanya 😢

    • @JanyfferNyambura
      @JanyfferNyambura 5 วันที่ผ่านมา +1

      huyu amerogwa😢

    • @JoycevineMugeci
      @JoycevineMugeci 5 วันที่ผ่านมา +1

      Ako na sprit ya umaraya

    • @paulinemuugu8773
      @paulinemuugu8773 5 วันที่ผ่านมา

      Sidhani ni kurogwa si Kafue alisema,,huyo baba ya aliwaneglect kitambo..Anakaa tu alikuwa na roho ya usherati from the word go.

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna uchawi hapa hsusikii mzee alikuwa na hii tabia

  • @janenjenga8906
    @janenjenga8906 5 วันที่ผ่านมา +17

    Huyu dame anaongea saaana....leave them waongee kifyao..wapee time

  • @kiplangatsylvester4791
    @kiplangatsylvester4791 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wambo, congratulations on exuding remarkable wisdom, a true testament to your ability to address and resolve the family matters between Kabue's father and mother with insight and understanding👏👏👏👏👏. May God exceedingly bless you. You'll go far 💃💃💃.

  • @paulinemuugu8773
    @paulinemuugu8773 5 วันที่ผ่านมา +3

    Kabue,, please avoid anything that can land you in jail,,,fungisha documents,,simamishemi harusi,,distabilize those plans

  • @kerechaednah
    @kerechaednah 5 วันที่ผ่านมา +9

    Kabue ushicheke na huyo Mzee kabisa tunataka kuona mama akirudi Kwa nyumba

    • @werelawrence4686
      @werelawrence4686 5 วันที่ผ่านมา +1

      hawa watu wanasema eti baraka hutoka kwa mzee wananiudhi kabisa. They have been indoctrinated beyond repair.

  • @ignatiusekina9770
    @ignatiusekina9770 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwn senior dave ameoa huyu wamboi

  • @rachelranyawa8866
    @rachelranyawa8866 5 วันที่ผ่านมา +28

    Kafue usiguze mzee juu ya laana but huyo chiwawa gonga Hadi na nyundo

    • @MuthoniMercy-w8r
      @MuthoniMercy-w8r 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@rachelranyawa8866 🤣chiwawa🤣🤣🤣agongwe kichwa

    • @rachelranyawa8866
      @rachelranyawa8866 5 วันที่ผ่านมา +2

      @MuthoniMercy-w8r chiwawa agongwe chiwawa

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 วันที่ผ่านมา +3

      Eeh kabisa

    • @rachelranyawa8866
      @rachelranyawa8866 5 วันที่ผ่านมา

      @RoroRoserororo yes

  • @zippyjamesmwangi6551
    @zippyjamesmwangi6551 5 วันที่ผ่านมา +14

    Kama loise hayuko kwa mzee ameenda kushugulikia hizo title d

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 5 วันที่ผ่านมา +1

    ❤dada na ww unaongea sana wape mda wajielezee

  • @Wfidelis
    @Wfidelis 5 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mbaba hafanyi poa aty his age very shameful 😢 kafue anakaa shinda baba akiwa na hizo pesa zote 😢😢😢

  • @MAGRATEWACHERA
    @MAGRATEWACHERA 5 วันที่ผ่านมา +5

    Wambu gud Job.Aki uko mature sana una handle io case ya ma kabui poa.Huna maringo utaenda fat.Sr Dave hapo alijua

  • @LydiaGesare-ji4dn
    @LydiaGesare-ji4dn 4 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mzee ataleteq mama ukimwi akae mbali na mamako kafue aki take care of your mom 🙏 🙏 tangu nifuatilie hii nimelia sana but I'm glad watoto wake wamefika

  • @JoyRwere
    @JoyRwere 5 วันที่ผ่านมา +1

    Waoo I love this gal ,Wambui good job

  • @wyckliffechikali3154
    @wyckliffechikali3154 4 วันที่ผ่านมา

    This mum is very wise and God will bless her for the wisdom

  • @rosemarykihara9596
    @rosemarykihara9596 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wanjiku you are very beautiful. I dont know what this devil of a man is looking for. GOD HELP HER I PRAY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @Fouziaabdi-bq1rz
    @Fouziaabdi-bq1rz 5 วันที่ผ่านมา +6

    Kijana tafuta mali umsaidiye mamayako tafadali

  • @NelOduary
    @NelOduary 4 วันที่ผ่านมา

    Wambui very talented she shld open her own show🎉

  • @rachelranyawa8866
    @rachelranyawa8866 5 วันที่ผ่านมา +3

    Nyinyi director mbinguni mtaoana 😅😅😅😅😅😅ati saa ngapi uiiiiii

  • @kelvinogeda
    @kelvinogeda 5 วันที่ผ่านมา +3

    Atleast tulisahau Anita the lady wambii is safe

  • @sarahwanjiru191
    @sarahwanjiru191 5 วันที่ผ่านมา

    That. Nks Kabui for standing up.. The law says you cannot throw your wife out of matrimonial home.

  • @zippyjamesmwangi6551
    @zippyjamesmwangi6551 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wooii mama anajali watoto wake wasipate laana ya baba yao

  • @Jojo_jd-f4p
    @Jojo_jd-f4p 5 วันที่ผ่านมา +2

    God is good watoto wamekuja

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb 4 วันที่ผ่านมา

    Wambo ako poa na senior Dave 😅😅😅 am happy to see that

  • @marykamau6625
    @marykamau6625 5 วันที่ผ่านมา

    Mama kafue she is a God fearing woman wisdom kama suleiman good job mama

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 5 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂😂😂😂Another small girl na loise ako wapi huyu mzee jameni aii alirongwa si bure husema anapenda uji power 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @VioletNyanchez-xl6xg
    @VioletNyanchez-xl6xg 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wazazi kama Hawa Ni heri ukuwe yatima 😭😭😭😭my daddy wherever you are may the thunder locate to you Na umaraya wako.

  • @konekone8045
    @konekone8045 5 วันที่ผ่านมา

    Good job wambo, mungu awape nguvu na kafue jikaze usaidie mama

  • @SimpleLady-k6m
    @SimpleLady-k6m 5 วันที่ผ่านมา

    Mama Kafue God bless you for honoring your husband even if He's evil

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 5 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu mzee anaongea sana mhh sijui maneno anayapataga wapi, hata waje watu mia, yeye ndie atakaeongea peke yake. watu wa aina hii ni wale ambao wanajua wana makosa, ndio maana wanajihami kwa maneno mengi.

  • @henrymose1840
    @henrymose1840 5 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu mzee akiwa job alikula pesa ya mtu mbaya. Ndio hiyo inamkula.Usitumia mamlaka kunyanyasa watu.Majuto nimjukuu
    Huja baadaye

  • @petermaina1951
    @petermaina1951 5 วันที่ผ่านมา +1

    Senior Dave, changamkia wambo uache story za Anita....

  • @evelinemose9959
    @evelinemose9959 5 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo mzee anafanya ivo juu vijana Ke wananyamanza ndio maana anaendelea na ujinga kama kijana wa 20yrs

  • @NelOduary
    @NelOduary 4 วันที่ผ่านมา

    Wamboi welldone🎉

  • @johnkasyoki6950
    @johnkasyoki6950 4 วันที่ผ่านมา

    Good job wamboi👏👏👏

  • @janendegwa6293
    @janendegwa6293 5 วันที่ผ่านมา

    Thank you Kapue for supporting your mither

  • @dorcaskadoll7406
    @dorcaskadoll7406 5 วันที่ผ่านมา +2

    Baba kafue...nimekuita mara gapi😂😂😂...uyu akona sprit ya umalaya

    • @SoziSozi2020
      @SoziSozi2020 5 วันที่ผ่านมา

      ama nimngojoa anakatembeza🧏

    • @GladyKalekye
      @GladyKalekye 5 วันที่ผ่านมา

      Unamuita na haskii😅akili imebebwa na wanawake

  • @TabithaMiddle
    @TabithaMiddle 5 วันที่ผ่านมา

    Am just speechless to this muzee naye God is in control 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @ndichuwanjiru4856
    @ndichuwanjiru4856 5 วันที่ผ่านมา +2

    kafue usichape mzee njuu ni laana babako anahitanji maombi

    • @shinehusnah6572
      @shinehusnah6572 5 วันที่ผ่านมา

      Lana pia inajua ukwel haishiki MTU hivihivii

  • @SarahMwikali-s3r
    @SarahMwikali-s3r 4 วันที่ผ่านมา

    Proud of you kafue❤❤❤ justice to our mum

  • @manniebarume2154
    @manniebarume2154 5 วันที่ผ่านมา

    Kafue utoshe ulemwanamuke nje , haiwezekane mama Kafue njo aondoke nyumbani ule kahaba wamwana muke akaee !!

  • @christineasinga8721
    @christineasinga8721 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu bariki huyu mama aki ana roho safi jameni justice justice justice

  • @JulfaKhatun-r8r
    @JulfaKhatun-r8r 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wambo lovely

  • @hadijakangu5508
    @hadijakangu5508 5 วันที่ผ่านมา +1

    Baraka utoka kwa mama sibaba

  • @FrancisMusee-d3y
    @FrancisMusee-d3y 5 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu naye n kitombi😅😅😅

  • @beuvanmgana4274
    @beuvanmgana4274 5 วันที่ผ่านมา

    Good job Wambui infact unafanya poa kushindwa Anita

  • @JNgaruiya
    @JNgaruiya 5 วันที่ผ่านมา

    Wambo, you've done well. Utaenda mbali.

  • @ClaraChenjema
    @ClaraChenjema 5 วันที่ผ่านมา

    Kafue, this is good, taking care of your mother

  • @ndichuwanjiru4856
    @ndichuwanjiru4856 5 วันที่ผ่านมา +2

    Baba kafue amerogwa aki asaidie na maombi

  • @josephbongo8272
    @josephbongo8272 5 วันที่ผ่านมา

    Wambui you are doing great job 👍 and you have good experience

  • @ClaraChenjema
    @ClaraChenjema 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wamboo, pongezi kwa kazi yako

  • @JaneWaweru-s4o
    @JaneWaweru-s4o 3 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢thanks GOD watoi wa mama kabui wamekuja

  • @MargaretWambua-p8g
    @MargaretWambua-p8g 4 วันที่ผ่านมา

    Mzee nikuchenge tu wanawake,akitosheka ndio Sasa atakubuka familia yake,saa ii Ako Moto Moto,lkn lazima moto uximwe,kwa huwezo wa mwenzio mungu

  • @WiiniieKarugie
    @WiiniieKarugie 5 วันที่ผ่านมา +6

    Ni baba juguna mwingne😂😂😂 😂

    • @susanlikokhe4361
      @susanlikokhe4361 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂🙃🙃🙃🙃🙃

  • @marymary8313
    @marymary8313 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu anipee nguvu ya kulea watoto wangu, this story is so painful, hii miaka badala ya kukaa wakule wazeeke pole pole baba ni kuleta stress haina miguu 😢😢😢😢 nikiangalia ivi nasikia kununua shamba yangu nikae na watoto wangu, aky kama ni mimi mama kafue ningekua nimekufa😢mama kafue Mungu akulinde na hiyo roho uko nayo

  • @shikusteve
    @shikusteve 5 วันที่ผ่านมา

    Wambu your doing a good job keep it up

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 5 วันที่ผ่านมา

    ❤Mama unaanza niboa unasaidiwa halafu unajitia woga ukivotupwa msituni

  • @ZenabAli95
    @ZenabAli95 5 วันที่ผ่านมา

    Good boy kafue.shikilia mom.ndoo hajui kuzaa si kunya.

  • @HarrietWawira-s3x
    @HarrietWawira-s3x 5 วันที่ผ่านมา

    Anita wee ni mama mzima ki maisha jipange hii Dunia ni noma sana

  • @KahindoDaisy
    @KahindoDaisy 5 วันที่ผ่านมา +2

    Kafue asate sana saidia mama yako kabisa

  • @DebbieDebs-l1u
    @DebbieDebs-l1u 5 วันที่ผ่านมา

    Aaah this girl Wamboi🎉❤

  • @Swat029
    @Swat029 5 วันที่ผ่านมา +2

    Inauma Anita sai akiona Wamboo akisaidia dave

  • @elosynyei4331
    @elosynyei4331 5 วันที่ผ่านมา

    Aki Mzee ananga ata salamu

  • @duncankyalo-ck6wz
    @duncankyalo-ck6wz 5 วันที่ผ่านมา +3

    Kwani wabui ni trained juu anauliza maswali vizuri sd pita na yye

    • @elosynyei4331
      @elosynyei4331 5 วันที่ผ่านมา

      Ata anazida Dave

    • @victoryisours
      @victoryisours 5 วันที่ผ่านมา

      Hati Dave afanye nini

  • @margaretkamau231
    @margaretkamau231 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nikama ule Mzee wa Dada Sarah.😢

  • @WinnieResian
    @WinnieResian 5 วันที่ผ่านมา

    Congrats Wambo🎉🎉🎉

  • @FelixMacharia-y3w
    @FelixMacharia-y3w 5 วันที่ผ่านมา

    Wambo congratulations unajuwa kazi,,uko fiti na job kuliko goat wife Annita...kaede kaede...

  • @EdinahMogire-d4w
    @EdinahMogire-d4w 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mama kafue baraka sinatoka kwa mungu si kwa binadamu

  • @dianaolianga4996
    @dianaolianga4996 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ghai huyu mzee amerogwa tena mwingine ama ule kachingwa mwingine 😂😂😂😂😂😂

  • @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
    @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw 5 วันที่ผ่านมา

    Kafue jikaze Boy Child ,inaitwa life,Mzee kisirani dawa Yake ni ww,saidia mama sasa,happy to c you reacting venye inafaa

  • @elizabethmatolo6512
    @elizabethmatolo6512 5 วันที่ผ่านมา

    Wambo she is doing a good job

  • @LucyJeptoo-w3q
    @LucyJeptoo-w3q 5 วันที่ผ่านมา

    Congratulations Wambui

  • @emilybor9633
    @emilybor9633 4 วันที่ผ่านมา

    Kafue, stand with your mum. She has suffered alot

  • @KahindoDaisy
    @KahindoDaisy 5 วันที่ผ่านมา +2

    Iyo nikweli kafue mama ya ko apate sheya yake kabisa

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wambo English is on top notch,hata utamufudisha Dave😂😂

    • @marynjuguna438
      @marynjuguna438 5 วันที่ผ่านมา

      Walai Dave ako kwa shida yoh

  • @IreneWasike-pn4mx
    @IreneWasike-pn4mx 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa hakuna kusema ati baba yako baraka mzee aundwe proper jinga kabisa

  • @gracenyambura1638
    @gracenyambura1638 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wambu
    Go go go girl

  • @magdalinewangari7329
    @magdalinewangari7329 5 วันที่ผ่านมา

    Ooh my goodness 😢😢😢a girl tena 😭 Mzee needs prayings kwani number 3 wife ako wapi sasa ooh nooooo wambui call pastor justice to mama kafue , kafue be strong 💪💪 man sure ya kazi 😢😢😢so sad woiiiii uuuuuuuuu guka............

  • @EuniceOchieng-k5s
    @EuniceOchieng-k5s 4 วันที่ผ่านมา

    Kafue rudi uishi karibu na mama yako ndiyo um protect your mather

  • @JanyfferNyambura
    @JanyfferNyambura 5 วันที่ผ่านมา +4

    ndio maana alkw anaitwa wakatumbo😅😅😅😅