Kafue, hongera sana ,jamani watoto ndio watetezi wetu, upo sawa kabisa umeongea fact kabisa ,yaani nimekupenda bure kafue, mama ni mpole sana, alafu wake wakubwa wanakuwaga wapole sana .
Mama kafue usikufe moyo everything happened for a reason tunaombea mungu akufanyie wepesi urudi kwako😢meanwhile upcoming youtubers nipitie nikupitie asanten❤🎉🥳
This moment brought tears to my eyes as I witnessed Kabue embrace his mother and recount the hardships they have endured together as a family since childhood. Their journey is a testament to resilience and the unbreakable bond between a mother and her child. May God lead the way and provide an everlasting solution to this family, granting them peace, unity, and the strength to overcome every challenge they are facing 🙌🤲🙏
In the bible there was vashti and when vashti have pride infront of king Ahaserisu there was Esher somewhere so Annita Dave or Annita maina think twice ondoa kiburi my advise
Ukweli kabisa umemuambia ukweli Ata lia siku moja Ata mimi niliangukia mwanaume juu mwenye alikua na yy alikua na kiburi na dharau na analewa kila siku kulala kwa Club
Kusema ukwweli Kafue anaongea poa ,mam amka muwnde na Mungu awatangulie,,na roho wa Mungu awatawale,,,Kafue usikue Mpole react kabisaa,,,,,nimejua kwa nn familia wanauana
Hi. Kabui Asante Kwa kusikia mwito wangu... Nilikuwa najiuliza huyu mam anateseka hivi kabui akiwa wapi... Kweli kuzaa ni kitu ya maana... Shughulika vile mum ata survive..
Kabue uko sawa pia mimi siwezi calm down mum akiwa anahangaishwa na wanawake wengine ata kuna mambo haiwezi kushika watoi juu wazee huanza ni laana wanaachia watoi
Mama Kafue Ako very soft 🍦 why??! Mbona unakataza Kafue to take action and he is talking the truth everything they did to you hakukuwa na police 🚓! And even if you go to report police will say hiyo ni family issue! They don't act until someone dies! I like Kafues persistent! Mimi haja yangu ni documents whatever that ndongomothi ya Mzee does with his life is none of my business!! Secondly kutoa Mama kama huyu kwa nyumba yake that's so unfair! He could have taken huyo Malaya yake kwingine sio kwa Mama Kafue!! I pray 🙏 justice prevails!!
Why are some kikuyu men like this... Mkule shinda na mtu.. Alafu mkipata Mali mtu anageuka mwenye walitafuta naye..justice for mama kafue.. Big up kafue...
That is a real son that Mama Kafue gave birth to. That is Kafue original, what a son indeed!!! Iam proud of such a son, every hard nut to crack, he does not want stories at all. A man of absolute ACTION, let him go and teach the father an everlasting lesson.
Kafue umeongea vizuri,, MAMA YANGU ALALE NJE!!!! Pigania mama yko na najua Mungu atatangulia 😢😢😢😢
Tuombe wasiturogee kafue sasa pia yee ageuke mamake😢
Nimejisikia kulia sana juu ya.mama.kafue hii story huwa nafutilia nipo tanzania
Hy ndo mambo inaendelea hii kenya yetu
Mimi machozi inatiririka oredi
Thanks 🙏
Nafatilia pia from Tanzania
I was emotional 😢😢
Huyu mama ni very humble,God fight for this cucu
I like the way kafue reacted😂 huyo ndiye mwanamme Sasa.
Pride of being mother's boy.finally mama atapata justice.
I love the strength of this man,,,,good job kabue ,simama na mama kabisa
Wooi I shed tears of joys nikiona vile kabui ame hag😮
Kafue cheza kama wew mum apate justice
❤❤❤🎉🎉😊
I love you kafue God bless you bro
Protect your mum
Baba kafue aende kwa rent 😢😢😂😂😂😂😂
🎉🎉
Kuzaa si kupata jamani ona raha ya kuwa na mavijanaa jamani😅😅😅hadi raha😅😅
Aki nimefurahia sana😂😂😂
God Job broh.Mungu Akubariki Sana Kwa kusimama na mama yako.
Kafue is breathing fireee....
May our Heavenly Father protect guide and give you wisdom Kafue
Kabue aende akafungishe hizo document amkeni amukeni
Kafue, hongera sana ,jamani watoto ndio watetezi wetu, upo sawa kabisa umeongea fact kabisa ,yaani nimekupenda bure kafue, mama ni mpole sana, alafu wake wakubwa wanakuwaga wapole sana .
I wish I could have a son like kafue😂😂
Pia me nataka kupata mtoto strong kama kafue😅😅😅😅
Kafue ❤❤❤❤
❤❤❤kafue❤❤ you have to your❤ mum❤ 😢😢😢😢😢😢😢
Tunaomba amani iwe kwa hii family mungu wetu wa rehema fanya jambo kupitia hii family
I wish ungekuwa bro wa mine hii ingekuwa imeisha kitambo
Sai na imagn ma fans wengi sai Wana wish studio ingekuwa ni face to face waende Kwa Baba kafwe wote😂😂😂😂 loyce aone moto
Nakwambia weee 😂😂😂
Mbona unaongea kama wezee Mia moja wakiwa pamoja anyway ni ukweli tunawenza enda huko
Aki sieziachwa
Uki Sa mapema huwezi skia haya ya kusimama na watoto wako mbele ya maadui zako tafakari ya babuu
Kama mm
I love the courage ya kafue , justice for mama kafue watoto wote wakuja
Wamboi unafanya kazi nzuri
JESUS remember mercy to every woman who is trusting you for the fruit of their womb..TEAM KABUE hooiyeee
Mama kafue usikufe moyo everything happened for a reason tunaombea mungu akufanyie wepesi urudi kwako😢meanwhile upcoming youtubers nipitie nikupitie asanten❤🎉🥳
This moment brought tears to my eyes as I witnessed Kabue embrace his mother and recount the hardships they have endured together as a family since childhood. Their journey is a testament to resilience and the unbreakable bond between a mother and her child.
May God lead the way and provide an everlasting solution to this family, granting them peace, unity, and the strength to overcome every challenge they are facing 🙌🤲🙏
I love this man he is standing like a man I love that....be you fight for your mom...may God give you strength bro.
Kafue nkoll nikuletee J z tutoe huyo mzee nimekupeda saana❤❤❤
Kafue is a man 💪💪🎉🎉twende home tuone uyu mzee na loise the milayas🤸 justice for mama kafue is loading
💪💪💪💪💪💪
Hapo bro hata mimi siezi kubali saidia mama
God do something please 😢
Ni kweli kafue malizana na yy mzee hata ana Meno anagongea mizigo😂😂😂
This is a really man only that kafue ukuwe a bit patient naukuwe na calculated moves...
Aki huyu angesaliwa kwetu kwa waluhya tungepika watu wajue
Am just happy
Huyo msichana kuna kitu anatumia hapo si bure
That's the energy kafue. Simama kabisa.
Wakutaka kugrow konga ❤ we grow together
Nipitie pia
@@Winnie-n3sdone
In the bible there was vashti and when vashti have pride infront of king Ahaserisu there was Esher somewhere so Annita Dave or Annita maina think twice ondoa kiburi my advise
😂😂😂😂😂
Makubwa hayaa 😢😢
Nilimwambia hivo wakati mwingine ukimuita but hio kiburi yake sio wanaume wa siku hizi wanalingiwa,,
Well spoken 🎉🎉
Ukweli kabisa umemuambia ukweli Ata lia siku moja Ata mimi niliangukia mwanaume juu mwenye alikua na yy alikua na kiburi na dharau na analewa kila siku kulala kwa Club
Asante sana team Dave 💪, kafue ongera huyo msichana anjifanya mke wa tatu atoke kwa wenyewe period
Wooh despite going through all that ,,mama kabue welcomes kabue so well,,A mother is wooh
Kafue haki yetu haki yetu 💪💪💪💪🤜🤛🤝👏🏿👏🏿👏🏿hapo sasa aki usirudi mombasa tena Linda mamako❤❤❤❤
I wish nigekuwa sister ya kafue😅😅😅
Amka Mama kafue twende we don't wont peace
Anita anaona kazi safi ya huyu msichana.
Aki Na vile alikuwa Na roho chafu
@@ruthmwaura238uyu ndiye anafaa senior Dave,wambui Dave
Mama maboys hoooyee 😂😂😂vijana niwa mama always
Mama Kafuei heartbeat has landed....
Nimependa Kafue anvyomjali Mama yake. Kafue Mungu Akulinde, wewe ni Kijana mzuri sana
For better for worse am with Kabue twende nalo mbio mbio💪💪💪💪💪💪💪
Senior Dave thanks for good job,kafue good son Bambi be blessed more
We thank God this is what we were waiting 🙏🙏
May God be with you🙏 atleast am happy Kabue si mpole kama mamake👍
I think kafue atasaidia mamake 😢woie Gos intervene because its not as easy as we think😢😢😢
Kabue good boy haki watoto wakiumw na mama kiboko wau
Kweli kabisa! Bro peleka mathe nyumbani
Mother is always a mother 😢
I like the strength of and understanding of kafue
Kusema ukwweli Kafue anaongea poa ,mam amka muwnde na Mungu awatangulie,,na roho wa Mungu awatawale,,,Kafue usikue Mpole react kabisaa,,,,,nimejua kwa nn familia wanauana
Aki imwniuma sana kuwona mama kafue akiteseka ivi😭😭😭😭
Kafue tafadhali mamako ampeleke mbali na ubadilishie lain plz
Msafiree kuja uku na daktari aki USAIDIE uyu mama kafue 😢
Baba kafue ni maraya ya kitambo hajaaza sahii kumbe😢😢😢😢.
Hi. Kabui Asante Kwa kusikia mwito wangu... Nilikuwa najiuliza huyu mam anateseka hivi kabui akiwa wapi... Kweli kuzaa ni kitu ya maana... Shughulika vile mum ata survive..
Please wambui dont let this mama to stay in that house ju watamumaliza haraka sana
Kabue uko sawa pia mimi siwezi calm down mum akiwa anahangaishwa na wanawake wengine ata kuna mambo haiwezi kushika watoi juu wazee huanza ni laana wanaachia watoi
Ahsante Mungu wangu ulinibariki na vijana tu nimeona watanitetea.....sijui nilie kwanza nimejua kuna Mungu mbinguni 🙏🏾 mama kabue enda home😭😭
Vijana ni wamaana walai🙏🙏
Ata wasichana wanajua kutetea wazazi wao
Let's go, kama mbaya mbaya😮😮😮😮😮
Ungeita kafue wakati mamake alipotea,hizi matope yote ya slay queen ingekua😢😢😢😮😮thanks kafue act quickly God is with you.
Mzee na hiyi jangiri yake waende wakaoane 👉👉👉👉 nyumba aachie mama kafue
Aki mungu kumbuka mama kafue naumuondolee hizi stress
Mama Kafue Ako very soft 🍦 why??! Mbona unakataza Kafue to take action and he is talking the truth everything they did to you hakukuwa na police 🚓! And even if you go to report police will say hiyo ni family issue! They don't act until someone dies! I like Kafues persistent! Mimi haja yangu ni documents whatever that ndongomothi ya Mzee does with his life is none of my business!! Secondly kutoa Mama kama huyu kwa nyumba yake that's so unfair! He could have taken huyo Malaya yake kwingine sio kwa Mama Kafue!! I pray 🙏 justice prevails!!
😭😭😭aah aki uyu kijana anaongea n hisi kulia n mm tu ama kunamwingne oiyee mamah y mtu God is with u mamah
Kavue is right,mam kubali kweda home, na uedi jela kavue...
Justice for mum kafue😭😭😭😭😭
Why are some kikuyu men like this... Mkule shinda na mtu.. Alafu mkipata Mali mtu anageuka mwenye walitafuta naye..justice for mama kafue.. Big up kafue...
That's how they are
Aki siwezi shikilia machozi.😢😢. Huyo baba kafue atakuja tu kulia hivi tu karibuni
Good job kafue pigania your mum kabisa
Wow I love how kafue is fighting for his mom,,,,,,pliz mathy amka muende
Justice for mama kafue 😢
I wish Kafue angekuwa bro wangu ,,,,,,,napenda sana vile umesimm na mmko
Tuko pamoja kafue , okoa mum yako from this situation
KAFUE GO GO GO
Kafue do your worse,baba Yako amekata wasimu,wafuruke pamoja na yule Malaya yake bila huruma,musamaa baadaye., good boy be strong .
I miss the part...mathe nimemiss chakula yako
Dave akirudi a hand over the case to fredy am sure mama kafue will get the justice
Mamakafue ni mpole sana.siwezi nikaondokea mwanamke kwangu
I already ❤❤❤❤❤kafue for protecting the mom
Congratulations, kafue for your arrival aki your mum has suffered alot infact,ungelelezwa story yote😢
Good job 👏👏 be strong 💪💪💪💪💪💪💪 man look for your mom life please 🙏 wambui good job
Big up to mama boys tuangalie haya maboys wetu vizuri ndio watetezi wa kesho❤
Am the solution waaaah!!! God bless what you have
Mzae na huyo maraya yake ata hao waende hospitali ata hao wakaange uko😂😂i agree with that
Kafue mpiganie mamako
Huyu kijana anapenda mamake sana kuwa na hiyo roho man
Najivunia kuwa na vijana wawili naomba mungu awalinde watoto wangu 😂😂😂😂
Huyu kafue amenifurahisha sana
That is a real son that Mama Kafue gave birth to. That is Kafue original, what a son indeed!!! Iam proud of such a son, every hard nut to crack, he does not want stories at all. A man of absolute ACTION, let him go and teach the father an everlasting lesson.
Hapo si bure kuna nguvu za ngiza zimetumika kusambaratisha mama kafue
Aki huyu kijana amefanya mpaka nimelia aki huyu mzee ako na ujinga 😭😭😭😭😭😭 ni ujungu aki 😢😢😢😢
Tulio n vijana tushukuru mungu vitombi awatatusumbua watolewe
Kafue aky leo amenibamba😂😂😂😂😂eti ww ndio unaolewa tena😂😂😂😂😂😂
❤❤❤kafue❤ you have to your ❤mum❤😢😢😢😢😢😢
Kudos kafue justice for your mum
Mungu simama na hii family aki🙏🙏