Middle aged woman caught on CCTV stealing a 9-month old baby in Nakuru

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 110

  • @politricks254
    @politricks254 2 หลายเดือนก่อน +64

    Huyo atashikwa within a few days and the baby will be safe

  • @mosesngatiah6365
    @mosesngatiah6365 2 หลายเดือนก่อน +42

    Wakenya ..hiyo sura itrend tupate ni nani huyu.

  • @gww-px8vc
    @gww-px8vc 2 หลายเดือนก่อน +22

    Mtoto apatikane 🙏
    Na hio cctv imecheza pro sana sana....she thot she was too smart walking confidently in the shop lakini Mungu naye ni nani her face imemurikwa kabisa

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 2 หลายเดือนก่อน +24

    *She should be charged as a Child trafficker.!* 😡

  • @wanyonyirobert2735
    @wanyonyirobert2735 2 หลายเดือนก่อน +28

    Her face is very clear unless DCI is not serious on their job

    • @alijama8780
      @alijama8780 2 หลายเดือนก่อน +5

      Huyo si mwanake au binadamu ...ni shetani hatari..mwanamke anakuwa na huruma...naomba mungu amuadhubu ipasavyo Kwa kutenganisha mama na mtoto mdogo...machozi ya mama itampata

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 หลายเดือนก่อน +1

      The only problem is, asitoke na mtoto inje ya inchi. Maybe she's a Child trafficker

    • @Fozzy2020
      @Fozzy2020 2 หลายเดือนก่อน +2

      Help them pliz

    • @danielkaruga7770
      @danielkaruga7770 2 หลายเดือนก่อน

      remember you can help arrest if you report to law authorities

  • @nancykiberenge5597
    @nancykiberenge5597 2 หลายเดือนก่อน +26

    Its very painful 😭 that thief should return that baby ASAP and be apprehended. She doesn't know the pain of a mother!

  • @KevinOchieng2
    @KevinOchieng2 2 หลายเดือนก่อน +9

    Can be clearly seen on the cctv. It's very possible to trace her

  • @fablovesaadi9879
    @fablovesaadi9879 2 หลายเดือนก่อน +12

    This is a painful story. May the Almighty God bring baby rehema bck while she's safe n sound.

  • @AbejaMartha-ri5vu
    @AbejaMartha-ri5vu 2 หลายเดือนก่อน +8

    Children should be tought on the dangers of strenggers

    • @bongythwala9840
      @bongythwala9840 2 หลายเดือนก่อน

      The don't listen or understand some children they love people

    • @t.c7915
      @t.c7915 หลายเดือนก่อน

      Any child less than 12yrs should not be a child minder..

  • @Azzobara
    @Azzobara 2 หลายเดือนก่อน +11

    Hawa ma mubwa wanaiba watoto inafaa wakishikwa Wana chomwa , this very painful si mutu azaee wake😊

  • @WillyLangat1559
    @WillyLangat1559 2 หลายเดือนก่อน +10

    Vle kesi zingine tumeshuhudia zikifuatiliwa kwa haraka, tunaomba pia hii ichukuliwe kwa haraka uyu culprit alatikane mtoto amrudie mama yake

  • @agripinamuhavi5669
    @agripinamuhavi5669 2 หลายเดือนก่อน +5

    Never allow your kids to accept anything from stranger please

    • @fadumonor868
      @fadumonor868 2 หลายเดือนก่อน

      9 month old baby

  • @Abas-254
    @Abas-254 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana kwa yaliyokupata.Try to be patient.Kilicho chako kitarudi tu.Hata baada ya muda mrefu.

  • @DuneJohn
    @DuneJohn 2 หลายเดือนก่อน +5

    Very sad indeed sorry to the family .Kenya should use an amber alert the rate of children been stolen is crazy. She purchased the tumblers via what? If through Mpesa she can be traced.

  • @munaibrahim2054
    @munaibrahim2054 2 หลายเดือนก่อน +2

    Eee mungu wangu lakini binadamu mbona tunapenda kutesana😢😢

  • @djfbikenya2695
    @djfbikenya2695 2 หลายเดือนก่อน +9

    Tuma hio face yake kwa groups........atashikwa....

  • @kwahmah230
    @kwahmah230 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kama ni nakuru nayo sio mchezo wanakuanga mbiombio mtaskia ameshikwa

  • @alijama8780
    @alijama8780 2 หลายเดือนก่อน +7

    Machozi ya mama sio mchezo....huyo shetani atapatikana Tu.

  • @sucdiliban6920
    @sucdiliban6920 2 หลายเดือนก่อน +1

    I have anxiety when my niece leaves my sight in public imagine a parent missing/stolen kids....truly heartbreaking walahi 💔

  • @jacklinengina1456
    @jacklinengina1456 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naona akuna haja ya kuwapeleka watu kama hawa police wakishikwa hivi ni kuchomwa direct wanasabavisha kilio sana kwa wenye watoto very painful

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu alete huyo mtoto akiwa mzima

  • @dafgwg4653
    @dafgwg4653 2 หลายเดือนก่อน +1

    As a mother i geel her pain by God's grace huyo mtoi akuesafe aki

  • @joelrotich3991
    @joelrotich3991 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tuma picha kwa group ya whasap ...na akishikwa wadau mfanye Ile kitu juu huyu na jambas hakuna tofauti

  • @emilyjohn620
    @emilyjohn620 2 หลายเดือนก่อน +11

    Kama Serikali wamempata Hashim si wa msaidie huyu mama jamani. Ni uchungu sana aki

    • @emojongtv3995
      @emojongtv3995 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama ako na pesa ya mafuta kweli? 😢😢

  • @maureenouma-b5e
    @maureenouma-b5e 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa huyu amechukua mtoi wa wenyewe anaenda kufanya richuals na ana wake gasia hii vile kuzaa ni ngumu yeye anachukua TU mbona asichukue wake

  • @MagdalineNaimodu
    @MagdalineNaimodu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Share hii video kila mahali mtoi atapatika Mungu yuko

  • @mikevinsler6
    @mikevinsler6 2 หลายเดือนก่อน +1

    18yr old mom 😢 anyways she is still a kid she'll bore another .. still sad

  • @EvalynMagoma-h5g
    @EvalynMagoma-h5g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Oh, God please 🙏 heal our country Kenya 🇰🇪, it's in your hands only that we are safe.May you, Almighty God, protect that baby and get her back to the family safely, Amen 🙏. SHALOM 😇 KENYA

  • @kmipos
    @kmipos 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo mama siazae mtoto wake?hii ni mateso kwa mtoto mwenyewe na wazazi wake

    • @bethclaris6188
      @bethclaris6188 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wengine wanalipwa to steal children for rituals ...

  • @julicenyabaro5291
    @julicenyabaro5291 2 หลายเดือนก่อน +2

    😭😭😭 may God bring her back safely 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @F7iw59hdrqy8
    @F7iw59hdrqy8 2 หลายเดือนก่อน +3

    Damu ni mzito kuliko maji uyo mumama ata umia sana kuiba mtoto

  • @AbejaMartha-ri5vu
    @AbejaMartha-ri5vu 2 หลายเดือนก่อน +1

    They should be educated

  • @catherinecarter4120
    @catherinecarter4120 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nkt! How can we help?

    • @skyloveofficial43
      @skyloveofficial43 2 หลายเดือนก่อน +2

      Of course pick the clip of her face & share on socials

  • @trizamueni6637
    @trizamueni6637 2 หลายเดือนก่อน +2

    Atapatikana juu sura inaonekana Kwa CCTV

  • @deekiki1924
    @deekiki1924 2 หลายเดือนก่อน +1

    They will catch her within a flash after the CCTV footage so clear sungura mjinga haendi mahali

  • @muthonyannie6321
    @muthonyannie6321 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hehehehe watoto wanaibwa na kuuzwa alot of money na wengine kutolewa kafara. Wazazi na watu wote kueni makini sana. Biashara za haramu zinaendelea jamani.

    • @shikobig3591
      @shikobig3591 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ongeza volume wajue kabisa juu wako kwa giza

  • @JasmineNjoroge-b8e
    @JasmineNjoroge-b8e 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢oooh sorry for that,huyo mtoi atapatikana katika jina la yesu

  • @MbulwaMunyao
    @MbulwaMunyao 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hii serikali ni nn iko safe surely

  • @ruthlisi8487
    @ruthlisi8487 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thank God there was CCTV you will be cought

  • @jaredotieno4632
    @jaredotieno4632 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu haezifika mahali, atapatikana in less than a week

  • @shellykerubo1780
    @shellykerubo1780 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mtoto apatikane akiwa safe

  • @34Zero
    @34Zero 2 หลายเดือนก่อน +1

    For sure someone knows this woman..

  • @SUKIIENTERTAINMENT
    @SUKIIENTERTAINMENT 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anafaa anapigwa kwanza hakishikwa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน

    Subuhanallah. Mungu mkubwa wasimuuetu. Inshaallah poleni familia

  • @MsTatu3
    @MsTatu3 2 หลายเดือนก่อน +1

    This is so devastating

  • @rhymontic
    @rhymontic 2 หลายเดือนก่อน +1

    This is Diabolical

  • @BensonAkhutu
    @BensonAkhutu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Too bad 😢

  • @annienamapii3919
    @annienamapii3919 2 หลายเดือนก่อน

    Sorry God protect the baby and come back sefely

  • @matenyabenard141
    @matenyabenard141 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ghoi si akuje tu nimpee mimba gaki nkieke bono🙄

    • @shikobig3591
      @shikobig3591 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wanauza viungo za mwili😢😢

  • @marrieimmaculate
    @marrieimmaculate 2 หลายเดือนก่อน

    Ooooh, my God, this is heart rending

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 2 หลายเดือนก่อน

    CCTV imeonesha wazi sura yake huyu mama in shaa Allah apatikane mtoto,
    Huu ndio umuhimu wa CCTV

  • @danielkaruga7770
    @danielkaruga7770 2 หลายเดือนก่อน

    Did she pay on cash or through phone?

  • @gladys8683
    @gladys8683 2 หลายเดือนก่อน +2

    What the hell?

  • @vinnette4583
    @vinnette4583 2 หลายเดือนก่อน

    please teach your children not to take things from strangers

  • @monicahmuigo5699
    @monicahmuigo5699 2 หลายเดือนก่อน

    CCTV zinasaidia sana of late

  • @peninahgitamo8717
    @peninahgitamo8717 2 หลายเดือนก่อน +1

    How foolish of her 😢😢😢

  • @PogiShem9
    @PogiShem9 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aiiii bana😢

  • @emilysang2759
    @emilysang2759 2 หลายเดือนก่อน

    Haki Hii nji Yetu Mungu aturehemu tu Sana.

  • @niwemugenimediatrice5640
    @niwemugenimediatrice5640 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu atakamatwa tu,anaonekana tena vizuri

  • @julianomwoyo
    @julianomwoyo 2 หลายเดือนก่อน +7

    So unfathomable!

  • @Iam_Maureen
    @Iam_Maureen 2 หลายเดือนก่อน

    Alaaar i hope atapatwa😢😢😢😢😢

  • @LetTheStreetsGuess
    @LetTheStreetsGuess 2 หลายเดือนก่อน

    uyo dem anafaa mangumi na mawe ka zote akishikwa ... like a proper beating ya mwizi mpaka akufe .

  • @JamaicahPiusNthongoni
    @JamaicahPiusNthongoni 2 หลายเดือนก่อน

    Wah😢

  • @emeldaadhiambo7180
    @emeldaadhiambo7180 2 หลายเดือนก่อน

    Woishee,aki apatikane😢

  • @miss_wavinya
    @miss_wavinya 2 หลายเดือนก่อน +1

    whaaat ? What do we call this God

  • @agnestsumba5989
    @agnestsumba5989 หลายเดือนก่อน

    Imagine mtoi hajawai patikanq

  • @DrSting-vp3hd
    @DrSting-vp3hd 2 หลายเดือนก่อน +4

    This is sickening.....

  • @kwahmah230
    @kwahmah230 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu atapatikana sooon ngojeeni mtaona tu

  • @papahdeh5739
    @papahdeh5739 2 หลายเดือนก่อน

    Tunataka sura ya huyo ghasia tuipost all over!!!!

  • @MercyonyanchaBaby
    @MercyonyanchaBaby 2 หลายเดือนก่อน

    Hii picha hizambazwe kila mahali hii nugu itapatikanq

  • @Lydiah-wk3lm
    @Lydiah-wk3lm 2 หลายเดือนก่อน

    MUUGU saida mtoto apatikane salama

  • @justersmatiko3553
    @justersmatiko3553 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu atashikwa tu akuna mahali ataenda

  • @esiejoe6513
    @esiejoe6513 2 หลายเดือนก่อน

    Anaonekana vizuri mtoto atapatikana

  • @ElizabethNafunamakhanu
    @ElizabethNafunamakhanu 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wanauwa watoto wawatu kuwatoa viongo am kafara aki

  • @sammutuguti983
    @sammutuguti983 2 หลายเดือนก่อน +1

    Atakamatwa

  • @emmanuelsang7885
    @emmanuelsang7885 2 หลายเดือนก่อน

    Mkisii tena.. Nkt

  • @dennisoyoo8560
    @dennisoyoo8560 2 หลายเดือนก่อน

    Very unfortunate.

  • @doreenmwandawiro754
    @doreenmwandawiro754 2 หลายเดือนก่อน

    At least the face is clear atapatikana

  • @skyloveofficial43
    @skyloveofficial43 2 หลายเดือนก่อน

    Uzuri the footage is clear with her face na mwili

  • @samcaptain001
    @samcaptain001 2 หลายเดือนก่อน

    Na mbona mostly thseee kind of evil inafanywa na women?

  • @metrinekhageha9748
    @metrinekhageha9748 2 หลายเดือนก่อน

    Sad

  • @billymankenya
    @billymankenya 2 หลายเดือนก่อน

    leta chips kuku sichips pekee. People can be evil

    • @nibeeboy6482
      @nibeeboy6482 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂sitaki kucheka

  • @davidlubanga5527
    @davidlubanga5527 2 หลายเดือนก่อน +1

    this world is broken completely. Cruelty at its core

  • @ichaihellen2033
    @ichaihellen2033 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ohh God aki some of this stories zinashtua 😢may the baby be found safe

  • @evalynewanjiru9685
    @evalynewanjiru9685 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢huyo dem msupu hivyo ni mwizi wa watoto.jesus.hope kapatikane soon

  • @hindaaidid
    @hindaaidid 2 หลายเดือนก่อน

    0We