MWANAMKE WA AINA HII UTAMFANYA NINI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 265

  • @veronicamawala4760
    @veronicamawala4760 2 ปีที่แล้ว +17

    Huyo jamaa mweny mke anajua sana yan had na catch feelings kbs kwanza kila sector yupo vzur yan Ananchekeshaga sana😂😂🤣

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 2 ปีที่แล้ว +2

    KAZI NZURY KAKA POLE... UMEJITAIDI KUVAA HUUXIKA NA KUMLIDHIXHA MKE WAKO

  • @lindauma982
    @lindauma982 2 ปีที่แล้ว +41

    Hapo bro umegonga ndipo wanawake wasaa hii generation hawa jui wanataka nn but Mungu atusame na atupe roho ya kulinda ndoa zetu

  • @radicalljinari3863
    @radicalljinari3863 2 ปีที่แล้ว +8

    Funzo nzuri sana lenye uhalisia wa maisha ya kisasa

  • @stewardsiame475
    @stewardsiame475 2 ปีที่แล้ว +19

    Brother big up sana mwanamke mwenye akil kuna ki2 kajifunza apo

  • @ibrahimhumbotv
    @ibrahimhumbotv 2 ปีที่แล้ว +8

    good story & fact , jamaa mwenye mke anakipaji kikubwa muendelee kuwa pamoja🤚🤚🤚🤚🤚🤚

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka mwenye mke amevumilia sana aisee ndo hawa wakishachokaga hawarudi nyuma

  • @juliethgwati5918
    @juliethgwati5918 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnajuwa Hadi mnakela yaan

  • @ndayishimiyeantoine3792
    @ndayishimiyeantoine3792 2 ปีที่แล้ว +14

    Yaani tangu niwafatilie ndo melayangu yakwanza kusikia ujumbe wa maana ila zingine zilikua nzuri za kuchekesha bro unaweza share ♥ from BURUNDI

  • @k-qualityFilmgroup
    @k-qualityFilmgroup 2 ปีที่แล้ว +5

    jamaaaa anajua sana ...... siach kumsifia

  • @abeidabdullwarith8991
    @abeidabdullwarith8991 2 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri sana big up timu nzima

  • @paulkebwe8696
    @paulkebwe8696 2 ปีที่แล้ว +2

    Umegusa kwenyewe kaka hakika wanawake saivi ni changamoto sana

    • @rachelbahahazo6362
      @rachelbahahazo6362 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanawake hatujui tunataka nn mbwa sisi nyaash

  • @elizajackson7979
    @elizajackson7979 2 ปีที่แล้ว +4

    Dahaaaaaa wanaume kama hawa cjuwi kama wapo bado katika ulimwengu huuu!😂😂😂 Anachekesha! Na kuuguza piah

  • @nasirsilimaqubanda9307
    @nasirsilimaqubanda9307 2 ปีที่แล้ว +29

    Broo Clam Huyu Mshkaji Mwenye Mke Anabonge ya Kipaji Walahi. Big Up Kwa kazi N'zuri na Crew Yote Kwa Ujumla.

    • @emmakifimbo1244
      @emmakifimbo1244 2 ปีที่แล้ว +5

      Yaani hata Mimi namuna mbali Sana anajua kinoma

    • @munawwarbashir2680
      @munawwarbashir2680 2 ปีที่แล้ว +5

      Tena anajua hasaaa

    • @mrben227
      @mrben227 2 ปีที่แล้ว +4

      Yeah sure, this man he's very talented 👏

    • @nasirsilimaqubanda9307
      @nasirsilimaqubanda9307 2 ปีที่แล้ว +3

      @@mrben227 anajuwa kuuvaa uhusika kabisa hasa

    • @olivanooraladin5436
      @olivanooraladin5436 2 ปีที่แล้ว +4

      , 😂😂😂😂😂Uuuwiii mbavu zangu kwakweli wanawake hawajui wanataka nn

  • @mubalamatheophile4639
    @mubalamatheophile4639 ปีที่แล้ว +1

    Mhhhh big up sana mzee kwa ujumbe mzuri atujuwi tuwapenini hawa viumbe!!!

  • @donatusdavido9577
    @donatusdavido9577 ปีที่แล้ว +2

    Bhailam ni kiboko huge TALENT

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani ila muache kuapa kwa mungu sio vizuli kabisaa mungu sio wakutajwa hovo

  • @niyonzimaissa8275
    @niyonzimaissa8275 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwamafunzo mazuri nawapenda sanaaaa

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว +4

    Ila huyu kaka anajua Sana kuigiza manshallah mwenye mke

  • @suguivan3843
    @suguivan3843 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukiwa huna kazi mwanamke anakuacha, ukipata anakuacha pia.

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Ni tabia ya baadhi ya w’me na w’ke, wenyewe wanajuana hua ni watu wa aina gani

  • @gidionkalinga1833
    @gidionkalinga1833 2 ปีที่แล้ว +1

    Dooh Mr bonge point umeongea kitu kinahusu mateso ya wanaume kwasasa aisee

  • @TwahaHamisi-u6j
    @TwahaHamisi-u6j ปีที่แล้ว

    Dah changamoto sana.Mungu atusaidie tuuu

  • @alfredmahuna5373
    @alfredmahuna5373 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata ununue gar,umpe penzi la namna gani usku na mchana,mpe mahtaji yote,mjengee nyumba,sometimes mpeleke out maeneo mazuri na pengine nje ya nchi,,,,hao huwa hariziki Daaa!Mungu wasamehe bure

    • @francescafrancesca8901
      @francescafrancesca8901 2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka unasema ukweli kabisa. Mara nyingine watakuona wewe fara, sijuwi mwanamke ili aridhike na wewe ni kitu gani utaweza mufanyia. Uzinzi unawasumbuwa toka tarehe moja January hadi tarehe 31 December. Inauma sana.👹

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 2 ปีที่แล้ว +3

    Waaa...hii ni kiboko...pole bro....

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 2 ปีที่แล้ว +7

    Heee Itakua anakifunza uyu😆😆😆😆😆😆

  • @sangojuma9995
    @sangojuma9995 2 ปีที่แล้ว +10

    This guy knows how to act, bravo my brother,

  • @neemakelvin5384
    @neemakelvin5384 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka shikamo unajuw kuigiz hoger

  • @asuzalfan-if6gz
    @asuzalfan-if6gz ปีที่แล้ว +1

    Big up Sana tena Sana walahi umegonga ndipo bro😂😂😂😂

  • @christophecito9710
    @christophecito9710 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana bayilam kaka !! Wewe nikiboko ...mimi ni mshakibiki wako toka congo DRC

  • @mwashashasaid3700
    @mwashashasaid3700 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani huyu jamaa yuko poa kama kwel vile 💯 ww ndo star unajua hataree

  • @kevinmwinuka9531
    @kevinmwinuka9531 2 ปีที่แล้ว +2

    Iyo nyimbo mnayotumia kwenye comedy zenu yanani ivi

  • @mariamomari9581
    @mariamomari9581 2 ปีที่แล้ว +4

    Yan huyu baba nimecheka kwel icee😄😄😄😄🙏🏿

  • @GhaniaJuma
    @GhaniaJuma 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn huyu clam ananichekesha heee😅😅

  • @salimOmar-sv2wg
    @salimOmar-sv2wg ปีที่แล้ว

    Bg up bro iyo imeweza xana

  • @joycenangonga8399
    @joycenangonga8399 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri kaka anajuwa kuigiza sana

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimecheka adi mie😅😂😂🤣🤣🤣

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa kwenye kumchekesha mke wake sasa si kwa miuno hiyo kumbe
    hajui Anataka nn kwa mme wake daah
    Kweli sjuw unatan nn? Kwangu we Adui yangu ww

  • @reggiemuzikira6269
    @reggiemuzikira6269 2 ปีที่แล้ว +1

    Brooo asante kwa hilo

  • @maximillalodio4530
    @maximillalodio4530 2 ปีที่แล้ว

    Nice nimejifunza mengii sana lakini nataka kujua nanii kaimba iyo wimboo

  • @thebantuodyssey
    @thebantuodyssey 2 ปีที่แล้ว +4

    Wanatupa sana stress ndo tunakufa mapema, Tuishi nao kwa AKILI

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @thebantuodyssey
      @thebantuodyssey 2 ปีที่แล้ว +1

      @@maherzain615 acha kabisa watu waajabu sana mama zetu walikua poa Sana (wife material?

  • @hamadkhalfan6587
    @hamadkhalfan6587 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa namkubali Sana lakini anakera shirt hiyo hiyo kila siku.

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣clam wee ni wa ovyo kwel ety akili itazunguka n umekimbia bila kutarajia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 ปีที่แล้ว +3

    Uyu jamaa kwa kuwaaa serious daaaah 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌

  • @cellnet7265
    @cellnet7265 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaaw gonga tano bro

  • @totoclass2470
    @totoclass2470 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante bro team imekaa sawa

  • @ramadhanimukharamy1616
    @ramadhanimukharamy1616 2 ปีที่แล้ว

    Nice nimekubali kazi nzuri kaka nakuelewa saaana

  • @shadiaayoub-yi5zd
    @shadiaayoub-yi5zd ปีที่แล้ว

    Nimeipenda iyo. Bigap saana kwenu👍👍

  • @bonyhenry3937
    @bonyhenry3937 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongern sana

  • @sarhafrancis8824
    @sarhafrancis8824 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣mi ata sjui nataka nn mumewang

  • @isayajonasy4918
    @isayajonasy4918 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo nimekubali wachane ukwel wanawake wa sasa hawajielewi kbc

  • @williammwalusamba7551
    @williammwalusamba7551 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa kila siku wana mpigia

  • @allysamwenguo7262
    @allysamwenguo7262 2 ปีที่แล้ว +1

    Brother hii kali nimekubalu sana

  • @allymadaha9928
    @allymadaha9928 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli uyu jamaa anakuwa sana kuigiza

  • @rejinakalungwana6323
    @rejinakalungwana6323 2 ปีที่แล้ว +1

    We kaka nimekukubari kinoma

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mwenye mke upo vzr

  • @rasulyjumaa8150
    @rasulyjumaa8150 ปีที่แล้ว

    Bailam umetisha sana

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 2 ปีที่แล้ว +5

    Hawalizikazg ao ninom San🙏🙏🙏🇧🇮

  • @aishaaisha2224
    @aishaaisha2224 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sn kaka mwenye mke uko vzr kinomA kz zenu mzr wote kiujumla nawapenda bule😘😘😘

  • @mr.khan_bongofun
    @mr.khan_bongofun 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah hili nifundisho Kabisa kwa wakinadada hawatosheki

  • @eminenceboy8386
    @eminenceboy8386 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe na shafii upo

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 2 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,, Aisee nimecheka ila honestly Leo nimefurahi,, siyee wanawake muda mwengine hatujui tunataka nini kwenye mapenzi 😥

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 2 ปีที่แล้ว +1

    Ume upiga mwingi sanaa duuh Kweli kabisa 👏🇦🇺🇦🇺🇨🇩

    • @epmarkchami2536
      @epmarkchami2536 2 ปีที่แล้ว

      Ss Kama utak kuachwa mbna unadanga😄😄😄😄😄😄😄

  • @fathiyaalmaskari5544
    @fathiyaalmaskari5544 ปีที่แล้ว

    Hahahahah bailam utaniuwa Babu mimi

  • @kamalmohamed1778
    @kamalmohamed1778 2 ปีที่แล้ว +2

    Kicheche We nibala sana chunga mara nyingine usiolewe

  • @tauali1236
    @tauali1236 2 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe umewafika Ila ndio walivyoumbwa tu Ivo Ila ipo siku watakapo kuwa pekee yao wata Kuja kumbuka umuhimu wetu

  • @johnmaalim2066
    @johnmaalim2066 2 ปีที่แล้ว +1

    SoMo jema kwakilamelea

  • @felixwillson3525
    @felixwillson3525 2 ปีที่แล้ว

    Bairam unaweza kabc fundi nimependa Sana hii kituu🥰😍

  • @michaelmarko849
    @michaelmarko849 2 ปีที่แล้ว +2

    mungu wangu baba wa watu ad amekatika maskini

  • @aysha9932
    @aysha9932 2 ปีที่แล้ว +1

    Na uajua kukata mauno hyu mme wa mtu😃😁😜

  • @sultanmwasa657
    @sultanmwasa657 2 ปีที่แล้ว +1

    Sio kwa miuno iyo mwenye make hahahaha

  • @nsengiyumvaplacide6272
    @nsengiyumvaplacide6272 2 ปีที่แล้ว +5

    Hii ndo timu ya kwanza duniani

  • @omarabdallah2974
    @omarabdallah2974 2 ปีที่แล้ว +3

    Good job bro umefanya kazi nzuri. ama kweli ni mama zetu na ni Dada zetu. Lakini Wana danganyika na kitu kidogo Sana. Wana vituko Ajab Allah awape subra....

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂akiii nyie mulifikiria nin lkn adii mukatuandalia kicheko ivii ila nmejifunza kitu kwa kwel wanawake tuachee tamaa yawaa😂😂😂😂

  • @kitunganolw
    @kitunganolw 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa ur very talented, nakubali sana…🙌

  • @koperawasona9551
    @koperawasona9551 2 ปีที่แล้ว +2

    Mumewakomowa wanawake wamezidi kama mke wapastor juzi katoka kupewa Gari

  • @mosesjay9697
    @mosesjay9697 2 ปีที่แล้ว +2

    Wana wake hawa riziki ata Siku moja

  • @zaharaali535
    @zaharaali535 2 ปีที่แล้ว

    mmetisha ,ina elimisha

  • @michaelmarko849
    @michaelmarko849 2 ปีที่แล้ว

    yaan nazungukazunguka zunguka mwenzakooooh

  • @chantalmariesony2996
    @chantalmariesony2996 ปีที่แล้ว

    balamu kuya kwangu 😂😂😂😂

  • @mrkambale7356
    @mrkambale7356 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mwamba anjua kujishebedua ee !!!.

  • @isdorylucas7886
    @isdorylucas7886 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa yuko na kipaji kikubwa sana anafanana na Single mtambalike

  • @pendonamoru6154
    @pendonamoru6154 2 ปีที่แล้ว +1

    Enyewe huyu Dem afanyie poa lakiny

  • @ismailmustafa2649
    @ismailmustafa2649 2 ปีที่แล้ว +1

    Wenye mapenzi halisi wategemeyao mumoja tu nakumupa yote tunaumiya wala atujui lakufanya kugeuza hakuna huhakika wala Fanya kama wengineo hatuwezi

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli mtupu ❤️🇨🇩

  • @geronimofrancisco1825
    @geronimofrancisco1825 2 ปีที่แล้ว +1

    Nnajuwa sana

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl 2 ปีที่แล้ว +1

    Tupeni mahoro yenu ndio tutakayo cc wanawake

  • @difabricebaraka6633
    @difabricebaraka6633 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukwel bro fukuza huyo

  • @naftalmogaka8103
    @naftalmogaka8103 ปีที่แล้ว

    I wish wanawake wote duniani wapate massage ya baihlamu i give you the crown of comedy 😊

  • @manyanyazakaria
    @manyanyazakaria 2 ปีที่แล้ว +3

    This man so talented mwenye mke

  • @reinatave780
    @reinatave780 ปีที่แล้ว

    Bailam anajua harafu anajua tena

  • @fatmafatma2510
    @fatmafatma2510 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice mwamba❤️❤️❤️

  • @niyukurimodeste5661
    @niyukurimodeste5661 2 ปีที่แล้ว +1

    Hamiya kwenye movie.

  • @nsengiyumvaplacide6272
    @nsengiyumvaplacide6272 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi Muna contents kabix am from Rwanda

  • @munanuedward7014
    @munanuedward7014 2 ปีที่แล้ว

    Nimewakubali very talented

  • @jeanberchmas5452
    @jeanberchmas5452 2 ปีที่แล้ว +2

    Good message 👏👏

  • @munaibrahim2054
    @munaibrahim2054 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisaa😂😂😂

  • @SalminiMaulidi-o1r
    @SalminiMaulidi-o1r 29 วันที่ผ่านมา

    Bailam yupo vizuli kinoma kifupi awajui nn wanataka

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 ปีที่แล้ว

    Kanichekesha uyo mumewe iyomiuno doooh sio rizk 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @cutesuu7255
    @cutesuu7255 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanawake tupewe nn jamaniiii

  • @abuuslater9242
    @abuuslater9242 ปีที่แล้ว

    You are good kaka Bhailam you have really presented us(men) well in here.Hekoo broo big up to the whole crew.#Tujifunze humu#Funzo#Wanawake!!!👿