Zuchu Ft Mbosso - Ashua (official Audio) Sms SKIZA 8549165 to 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 เม.ย. 2020
- Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
zuchu.lnk.to/iamzuchu
Set As Caller Tune👇🏼
SKIZA - Sms 8549165 to 811
TIGO TZ - Sms RH kwenda 15050
Song No6 On I AM ZUCHU EP
Produced By Mocco Genius
Written & Perfomed By Zuchu & Mbosso
For Bookings:
Contacts -- bookzuchu@gmail.com
Connect With Zuchu On:
Instagram: / officialzuchu
Facebook: / officialzuchu
Twitter: / officialzuchu
#Zuchu #Ashura #Wasafi
Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved. - เพลง
Wangapi wambao wanataka hii video ya Mbosso na zuchu ..munipe like
Kmk
😢😢😢😢😢
They haven't done video
Kama unaamini mwijaku hajui anachokisema kuhusu zuchu onesha ishara ya like..
Yt?
😁😁😁😁😁😁
mshamba tyuu yule
I still will NEVER EVER EVER understand why they didnt do a music video for this fantastic song. I was so looking forward to it .
Too bad they didn't consider it
Yaani! This is a perfect song! It deserved a video 😪
Videooooo😥😥😥
Me too I like the song
Sometimes it is best not to mess with perfection.
Watu wa Uganda muko wapi mpe like 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 from Saudi Arabia
yan zuch pamoja napaca.wake yani izi sauti zinanimariza kama umekubari hiyi sawuti ya hawa tupia like
uwiiiii uwiiiiiii uwiiiiiii napiga yowe kichagaaa bonge la ngomaaa leave your comment for the Good chemistry
Hii ngoma na reply mara nafikiri hamsini nakuzidi toka asubui yani utamu hauishi nalaza njo yazidi mbosso we mtoto hayo.maneno huyatowa wapi yani mautamu mnahuwa hadi mnakera, afu zuchu kacinja kwa sauti kali yakumtowa nyoka pangoni i say mnajuwa hadi mnakera tulikuwa tunakisubiri ngoma kali kama hii.hakika mnauosha moyo wangu nawapenda sana aye wapenda hawa anipe apa vi like twende mbele.apa chuoo kikuu ca burudani wcb chama lao
kama unakubaree kam mmi kwamba mbosso khan X Zuchu ndo mafundi wa ngoma z mapenz n kubembelezana gonga like bc 😋❤👏🙌💪
Wapi likes za fans wa zuchu kutoka Kenya 🇰🇪
Sisi hapa...we love the song....
🇰🇪#🇸🇦
@@binthysaid2764 na ngonga ndipo mtoto wa nyoka ni nyoka Ana sauti mtoto
Tupo hapa. ...nice song
@@khaltumaali4038 nakwambia
Kama umetokea Kenya 🇰🇪 🇰🇪 gonga like
Siku gani watatupea video.
The best song Kwa hii album na bado wanatuwekea
Nimechelewa juu ya lockdown huku Mombasa lakini nimefika mnipe likes basi
Usiwaze.Kwahilo mamakee
Tuko pamoja
😂😂😂😂🤠
Wa kwanza kuview na kusikiliza like zenu jaman km mdogo wake zuchu
Mlisema hamtawahi nipa like hataa moja..Sijui mshikwe na Rona mtakao ninyima likes😭😭😭🤧🤧😏😏,Mbosso wewe ni Fundi bro,mmepatana mwishowe na Zuchu💯💯🚀🚀🚀
🔥🔥🔥
Salim The Don uko poa ashua
Wow wow th-cam.com/video/DtcD4wF0YOY/w-d-xo.html
Good
wanaosikiliza hii nyimb huku wanasoma comement like hapa
Nc
Mashallah mukopoa
😂😂😂😂😂🤗
It's my 100th time ,kusikiza huyu wimbo ,,,na bado😋😋
Izo like cjui huwa mnazipeleka wapi,,.. Na mi leo naombeni like zenu
Coly Gie hahaha
Na www unazipeleka wap 😂😂😂😂
Wacha yangu nikupe
#log hahahahha
th-cam.com/video/lQo6_79iUl0/w-d-xo.html Anza biashara hizi kama unahitaji kuanza biashara..
HII NGOMA WALLAH NI HATARI SANA ASHUA BBY WANGU WEEEEEEEEEEEEE
kizaz san kk
Mimi namalizaMB
Forlife
Buda nakucheki
@@allansifuna6325gud
Zuchu To The World.
Kenya Tuko Na Wewe +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Moko!!!
Wapi Likes Zangu?
نحن العرب نحب اغانيك اتمنى ان تتم ترجمتها جميعا 😢
Mimi sijawaiyaga kupata like mara moja na mimi pia mshabiki wa WCB
Kwa heshima yake mbosso gonga like twende sawa 💪💪🔥🔥👍
Eeeeeh aiseiyii!!!! mbana hii Ni hit song mbosso ft zuchu mumesababisha hii collabo Kali Sana Kama mwakubaliana na mimi Nipatieni like nawaomba please.
Upepo wa pwani umenipeleka bara. Dah zuch unanimalizaga sana.
ZUCHU UMEKUJA KULETA MABADILIKO KWENYE BONGO FLEVA ASA KWENYE HUU MZIKI WA DADA ZETU NAKUONA MBALI SANA KIBAYA KWENYE SAUTI Y
Bonge moja la Chemistry ,,, Wimbo mzuri sana
Chemistry cku izi zinasikika🤣🤣🤣
@@sheilaluyeko8051 Yaaap Muunganiko wao umeleta ladha nzuri Sana
Wow wow th-cam.com/video/DtcD4wF0YOY/w-d-xo.html
Kitu alichonacho zuchu Ni cha kipekeee nakubali Sana anae amini zuchu atakuja kuwaumiza vichwa wakina tiwa gonga like apo twende sawa
This song is so underated t needs recognition so bad....my medicine 💉
Hivi hio sauti mnaisikia ya kihindi sio upepo wa pwani nataka like kwa msanii wetu mpya👈❤👉
LINUS PROJESTUS daaaaaah wewe dada 😚😚😚👌👌♥️♥️♥️
Tante mamy zuchu udid what people waiting for a long time
Hii song mliandika tu jana night en it's already a vibe big up go go zuchu we kenyans support you🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️
hatare eti nampigia kelele "ha ha hahhaaaaaah"... All in all mmeua xxx
Love this music. I follow a lot of East Africans on Instagram more than anyone else. Ive put this video clip on my Watsapp status today. It’s my brothers birthday today. They were born on the same date but different years but one is late. This song is so good to my ears although i do not understand a word. Lots of love from 🇬🇧
Zuchu is coming for that crown.
That Ep am buying an original copy haswaa.. Talented woman
💖💖💖💖💖
Kongoleeee zuchu ngoma zote kal mama waoooooo
Asante
1♡
@@adijamsemo2215 kongoleee
The combination that i was waiting for...
Mbosso in the male and famale version...
👌👌👌👌👌
caetano luis remedio th-cam.com/video/WAeX8Esj4Sk/w-d-xo.html
Who else was astonished by #Zuchu when she hit #WhistleNotes at 👉2:16?
Damn
What a vocalist!😱😱😱🙌😍😭
Wewe unajua whistle note kweli😂😂🤣 labda watumie autotune..whistle note achia mariah carey
Nandy kalime tu😔😩😭
Mwenye sauti yake amerudi👌🔥🙌
THE LAST AIRBENDER Hhhhhhhha Hhhhhhhha Hhhhhhhha Hhhhhhhha Hhhhhhhha Hhhhhhhha Hhhhhhhha Hhhhhhhha Hhhhhhhha Hhhhhhhha
Haha 😂 iyo nikweli
hata hawana mahadhi ya kufanana na kila mmoja anatendea haki miondoko anayoimba huezi kuwafananisha hawa
Ww uyu mtoto tia Maji tia maji
🤣🤣🤣🤣
Hatariii mboso ft Queen Zuchu kama unawakubali nipe like zangu
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪....welcome to wasafi zuchu
th-cam.com/video/lQo6_79iUl0/w-d-xo.html Anza biashara hizi kama unahitaji kuanza biashara
Façon j'aime mbosso na zuchu❤️❤️ 💫 na mipenda Sana kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥
Samosa ya nyama tele.. I like zuchu!!!
Kweli dada angu unakuja moto et mungu akusimamie ufike salama.
Due kweli nimeamini #Mbosso ni fundi bila kumsahau mbosso wa kike #Zuchu 😘😘
Yan hapa wamekutana wote wahindia yalikozaliwa mapenzi kama unakubari kua hawa ndio wahindi wa love wa tz gonga like tusepe na kijiji
2024 gonga like hapq
Love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Drop your like kama hii song imeweza
Huyu Dada atawatoa machozi madada wanzake waimbaji.
Sioni...
@@selestineosoo5045 utaona tu subil
Kweli
@@selestineosoo5045 hata mie sion
💥💥💥💥💥
If you like zuchu na mbosso gonga like bas kwangu na kwa zuchu hapo juu
So much soul. This song is heaven. Mbosso and Zuchu what a beautiful duet.
Nmefika sijachelewa sanaaa
Npeeni likes jamani from kenya
Yule msaniii wa konde haioni ndan Afu jana anaaandika upumbavu wake aliniuzi. Huuuu ni mda wetu
Rip ibraah
Long live #zuchu
😂😂😂
We #ibrahhh niangalie ngoma ambayo haina chochote naacha radha nzuri ety upumbavu wako afu subscribers WA zuchu ni wengi kuzidi wako una jipya mwanaume gan unapigwa na Mtoto wa kike
Wivu unakusumbua 😂🤣🤣🤣
#ibrah me shabiki damdam naona huyo mjinga wako konde anakudanganya ye mwenyewe kapitia hapa
#ibrah kama unafikilia kumkomesha zuchu sahau pole 😢😢😢😢😅
Burundi 🇧🇮 tunavyo mpenda Mbosso ❤ jmn Dada angu sasa hoi 🤗😄🙏🏻🔥
Fan WA zuchu like hapa
wcb4life....zuchu mm na wewe mpka mwisho...gonga likes za ashua
Jmn likes kwa mbosso akeeeee👌👌💓💓💓 wap zuchuuu💯💯💜
Bado
Huyu mbosso kheee misamiati kma yoteee....zuchu sasaaa😅😅😘😘 yan hii collabo 🙌🙌🙌
Aman john yaan co poah namkubal kwa maneno yake tyuh matamuuu na lainiiii😘😘😘😘
Nampeenda zuchu all the way from hargeisa Somaliland, mtoto anasauti hiyo.
Zuchu you're the best thing in this word.maze, Saudi ya kutoa nyoka pangoni we all love you from Kenya.I love u baby just the way you sing.You're killing us. Bravo keep on keeping on,!
Aya jaman nimekuja na buti langu LA Jeje kutoka sumbawanga Aya mnipe izoh like ss
Mwenzako hapo nina langu ja jeje
Ha ha ha
Aaah aah, naa aaah ooh
(Mocco)
Marahaba, marahaba habibi
Tunda koma manga la kupachua
Oooh mahaba, mahaba yanizidi
Kindi muchanga chaku chachua
Mmmh tamu zaituni
Tunda la peponi nalila (Nalila)
Game ya sakafuni
Tunadundisha na kipira (Kipira)
Napewa penzi sabuni
Linalonitakasa madhira
Huniita hunny hayuni
Mkali wa tatu bila (Bila)
Upepo wa pwani
Umenipeleka bara
Niongoze usukani
Kwenye penzi barabara
Wakati wako tamba
Ashua ashua ashu ashua
Okey beiby jishongondoe
Ashua ashua ashu ashua
Na roho zao ziwaume
Ashua ashua ashu ashua
Lololo lolololo
Ashua ashua ashu ashua
Tuwachome mapaka shume
Ooooh ooh ooh ooh ooh
Kweli mambo mazuri
Hayataki haraka ooh
Haraka ooh mmh
Kwa dua nimesubiri
Nimepewa nilichotaka ooh
Nilichotaka oooh mmh
Penzi linaninogesha (Noga)
Nampa mchicha ale (Noga)
Vinono vya kunenepesha (Noga)
Sambusa ya nyama tele (Noga)
Kisha namchangamsha (Noga)
Namchezea segere (Noga)
Mwali kujineng'emsha (Noga)
Huku napiga kelele (Aaah aah aah)
Upepo wa pwani
Umenipeleka bara
Wewe wangu usukani
Kwenye penzi barabara
Wakati wako tamba
Ashua ashua ashu ashua
Okey beiby jishongondoe
Ashua ashua ashu ashua
Na roho zao ziwaume
Ashua ashua ashu ashua
Lololo lolololo
Ashua ashua ashu ashua
Wakikuuliza mbona huonekani
Tunacheza solo na zumari ndani
Kuingiza kete shimoni
Tunacheza solo na zumari ndani
Makopa kopa kwa malavidavi
Tunacheza solo na zumari ndani
Michezo ya karata kulambishwa mavi
Tunacheza solo na zumari ndani
Game ya sakafuni, tunadundisha na kipira 💃💃💃💃
Guys enjoy with this lyrics
👇👇👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/t3hMAzkboCI/w-d-xo.html
Marihabaaaa
Verse ya kwanza ni "tunda komamanga la kupachua"
This lady Zuchu has a nice voice she's talented
Swaleh Muslim th-cam.com/video/WAeX8Esj4Sk/w-d-xo.html
adding Mboso in there make is even more glorious
Aseee MBOSSO ni Nyokooooooooooooooo
Bado ya kwaru leteni ngoma iyo💪💪
“Tunacheza solo na tunaringa” Diamond 💎 platinumz
Tuna cheza solo na nzumar ndan
Tunacheza solo na zumari ndani
Zuchu tunataka Amina Zuchu ft Mbosso
A big threat to Nandy...zuchu sauti yako kweli imenoga!!Ashu
Kama unamkubali zuchu like zake hapa
Omary mud atari
Wcb 4 life gonga like kama umesikia sauti ya 🦁 simba katika iiiih ngoma
michezo ya karata kulambishwa Maviii, kama umeskia huo mstari like 👍
Mafundiiii
This is out of this world mbosso again this guy was created by God indeed, botswana
I see a GRAMMY nomination for this Lady. She's gat it!!!
Exactly
th-cam.com/video/WAeX8Esj4Sk/w-d-xo.html
It’s two years now iko wapi!? 😂😂 acheni ujinga em
@@FootballHubPod she was already nominated, she didn't make it to the draw but it's something for her!
Unafkiiiii sjapenda hii comment
Daaah ....Hii tumekua tukiisubiri sanaa...😂😂😂😂asanteni...#WCB4Life#ASHUA
Mody Cruz Tena Sana na imepenya kweli duuh
Ashua audio 1M soon...
I love this song i've been waiting for the video but nikama walisahau🇰🇪
Kumbe bint mtamu ivi do!
Corona 💥💥💥
Mtamu kivipi
I hope Mbosso and Zuchu will sing together again. Hii collabo imeweza!
They just did 2 days ago
Zuchu love you kwa mdau wetu mbosso kweli ashua hhh haya.
My favorite song
These people clicking thumbs down are they for real???🤦🤦ama wamekuwa coronized jeees! Gerr ourra here if you feel you can't like these music,komesha!!!
Nyimbo hatari
Mbosso kaweza kweli.
Zuchu pia apewe likes
Fellow ugandans come here n we just listen to the vocals thou we dont understand anything 🤦♂️
Jaman zuchu anajua mnipe like kidogo nione faida zake
Wow Zuchu you are super talented 😋😋
Zuchu is such a performer too yaan msanii in full sense
Official Zuchu the next African princess
Who is listening this song for the first time, helo late September, I dint miss this hit!
Waswahili wamekutana mashallah ❤️❤️❤️😍
Who else expects #1M views for this audio in a month???🔥🔥🔥😍
Shabiki wa zuchu,mboso,WCb walioko south Africa tujuwane kwa like hapa
You are doing very well my sister
Uyu diamondi anastaili sifa, Yani akiseama anamtoa msanii anamtoa kweli
MARAHABA MAHABA YANIZIDI KINDA MCHANGA ❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 WAPI MBOSO LIKE ZAKE WAPI LIKE ZA ZUCHU WAPI LIKE ZA WCB 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
th-cam.com/video/WAeX8Esj4Sk/w-d-xo.html
Zuchu zuchu Dah I can't mention ma feeling
Dah zuchu & mbosso, those are another things leave them.
Ebana nomaaaaa mafundi wamekutanaaaa WCB FOR LIFE hiyo sauti ya zuchu ni motooooo
Zuchu mbosso mko vizuri sana wasanii, ukakasi pale tu kulambishwa ma*"**"
Nice one
Bonge moja la nyimbo, one of my favorite song from Zuchu, this song is beyond 🔥🔥🔥
Japo nimechelewa ila nisipo comment itakuwa dhambi. Mziki mzuri unatoka WCB epuka matapeli mjini kipindi hiki cha quarantine 🙉🙉🙉
Ashuaaaaa weeeeee ebanaaa hii kituuu achaaa safii Sana Zuchu sambamba na Khan boy yanii Ni 🔥🔥🔥 Mmmmh Ashuaa weeee Mambo mazuri hayataki haraka
Zuchu what happen to video of this song until today am still waiting
Talanta double 👌🏾👍🏾,
lyrics ✅
Vocals✅
Diaspora we're locked 🔒 +49...
Wo in Deutschland?
@@johnohando2390 Yes
all the way from +46
In Abu Dhabi 🔒.. This woman is talented.
Locked but enjoying this beautiful artist@ashua
MASHABIKI WA WCB SISI NI WAZEMBE SANA AISEE YAAN NGOMA HAZIEND KABISA I MEAN HAZITREND KMA HII SASA HIV ILKUWA TRENDING NAMBA 6 IMESHUKA GHAFLA HAD NAMBA 7,mashabiki weng hawacomment kwenye video,hawalike wala nn unadhan ngoma itatrend kwa kuview tu jmn tuamkeni mbona hii team WCB ni kubwa tunakwama wapi?
Marhaba, Mapenzi wewe!!