Unatakiwa kuwa baridi au kama wa moto uwe wa moto ,of course Halima Mdee hapo amejisemea mazima ,ameshindwa kuwa wa Moto au wa baridi Kwa kuwa Hapo alipo Kwa siasa za nchi yetu hatuna Kambi ya watu wacchache ila tu Kambi rasmi ya upinzani ,na hayupo upinzani Wala CCM ,yaani ameshindwa kuukana CCM na ameshindwa kurudi Chadema
Ukakutane na maslahi makubwa kuliko ccm.mungu akakufanye mfano,uwaaharakishe malaika waadhab akutane na ccm wenzio mapema kabla ya 25.haya ni mambo yetu
UKWELI GANI 😮SIKU YAKE MTU YOYOTE IKIFIKA ALIYOMPANGIWA NA SUBHANA ALLAH WATAALLAH HAKUNA SABABU. KULU NAFSI DHAIKAT MAUTI . WAMEFARIKI MITUME JE SISI MANENO MENGI 😮
Halima you’re a beautiful woman and full Confidence ❤❤❤ poleni sana wafiwa
TUMSIFU YESU KIRSTO BWANA ALITWAA NAE AMETOA
Mwakilishi wa watu wachache😂😂😂😂😂
Sijui wachache wapi hao😂
Halima❤,rip ndungulie
Tanguliza kheri....mbele za mungu.....kesho ni fumbo....FAUSTINE IS GONE
Tuwe 🔥🔥🔥
Mm?h kazi hipo kwa hao
Unatakiwa kuwa baridi au kama wa moto uwe wa moto ,of course Halima Mdee hapo amejisemea mazima ,ameshindwa kuwa wa Moto au wa baridi Kwa kuwa Hapo alipo Kwa siasa za nchi yetu hatuna Kambi ya watu wacchache ila tu Kambi rasmi ya upinzani ,na hayupo upinzani Wala CCM ,yaani ameshindwa kuukana CCM na ameshindwa kurudi Chadema
R.i.p
MSIFU ALIYEKUUMBA SIO BABA YAKO SIO MAMA YAKO ALLAH. 😮
Ukakutane na maslahi makubwa kuliko ccm.mungu akakufanye mfano,uwaaharakishe malaika waadhab akutane na ccm wenzio mapema kabla ya 25.haya ni mambo yetu
Watu wachache ilo neno watu wengi wamelielewe
Mtu akishakufa hata kama alikua ana mabaya yake lakin ni muhimu kusafishwa ndio sawa
Kambi ya coved19 sindio @halima😅
Hahaaaa 😂
Ccm sipendiiii wacheee wafeeee woteeee tuuuu wanazambiiii apaaaa dunianii
Watoto wa mh,mmependeza
Hahaha kambi ipo io
Jina la Bwana lihimidiwe.. MUNGU MWENYEZI amlaze mahal pema
POLENI saana wanafamilia imegusa watu wengi T.z na Dunia nzima Kwa wasema ukweli😂😂😂😢😢
Kwa mawazo yangu ikimpendeza rais samia ampe ata ukuu wa wilaya tu
Magu alikuwa wa Moto mlimuelewaaa?
UKWELI GANI 😮SIKU YAKE MTU YOYOTE IKIFIKA ALIYOMPANGIWA NA SUBHANA ALLAH WATAALLAH HAKUNA SABABU. KULU NAFSI DHAIKAT MAUTI . WAMEFARIKI MITUME JE SISI MANENO MENGI 😮
Mbona umetumia ?mmh
Mbona anajiita kambi ya watu wachache? Sio kambi ya upinzan
Tumemuelewa
Kufa upewe maua yako
Kwa ufupi ccm wanawauwa wenzao wakikosoa?