Encouragement na Speech ya Gwajima,imenikumbusha,mwamba Magufuli alivyofanya haraka, Bwawa,Reli ya umeme,Madaraja,ndege,stendi mpya,mashule na mengine mengi nk,
@@halunimnenwa5224Ametumia hekima katikati ya watu wasio na hekima maana yeye anaiona kesho yake kuliko alicho ongea.ukiijua kesho yako na ukajua katikati ya kesho yako kuna watu wa aina tatu yaan wakristo waislam na wapagani watu wasio na din yoyote yaan unapaswa uishi kwa akili sana usije ukaharibu kesho yako.
Huwa mimi ninakuelewa sana PhD wangu wewe bwana ni very genius nilipoona tu unatoa hotuba nikajua tu kuna kitu cha maana kitatamkwa na hii ndio nimeona
"Tutimize mission yetu mapema, muda ni mfupi". Wanaotumia madaraka kudhulumu mali za wananchi na hata uhai wao kwa kuwateka, ndiyo mission yao waliyoamua kuitimiza mapema?
Kuna namna ya kutunza imani bila kuyumbishwa na chochote. Kwa nini kusema "Sisi waislamu" halafu kwenye wakristo, "Wakristo wanasema" Mungu atusaidie kusimama kwenye nafasi tuliyoitwa na Mungu.
Askofu you are Too Good. We travelled together on 17Nov for Delhi. Askofu pole sana sana. Rest in peace my Brother. We will miss him.
Big brain
Very professional 🙌
Baba tunakupenda sana❤❤
❤ gwajima unaakili saaaaana hotuba fupi yamaana ina uMungu ndani yake nimefarijika sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
There you Bishop Gwajima, good speech, imejaa Hekima ya kimungu. Asante Bishop 👏🏽👏🏽🇹🇿❤️
Ni kweli kila kilichotoka kwa Mungu ni lazima kitarudi kwake.
Asante kwakutukumbusha Mungu atupe mwisho mwema
Gwajima rais mtarajiwa
Aaa wapii
I salute you for your eloquence
Mungu akubariki mtumishi umeongea point
Nilitaka niulize ila basi, mmenielewa ........
"Janga si Kifo, Janga ni kuwa hai wakati wengine wanakufa na wewe hujui kwa nini uko hai"
Hii ni kubwa sana
Kichwa yako iko vizuri mno. ❤
Point
Next president of tz
Encouragement na Speech ya Gwajima,imenikumbusha,mwamba Magufuli alivyofanya haraka, Bwawa,Reli ya umeme,Madaraja,ndege,stendi mpya,mashule na mengine mengi nk,
Mungu bado anaongea,, Mungu akuongeza zaid, Baba Gwajima
Ndani ya Gwajima yuko Mungu,,asiye elewa nae ni janga tu kama kifo
+254 rais mtarajiwa wa Tanzania
Wanasema wa Islam Eti : Ina lillahi wa ina ilayhi radjiun. Apana ina lillahi wa ina lilahi
Ivi gwajma ulisema unafufua lakin
National brain
HIKI NI MIONGONI MWA VICHWA NINAVYOVIKUBALI SANA NCHI HII....THANK YOU BIG BRAIN UKO SMART SANA BISHOP❤❤❤
Kwani gwajima ni muislam au mkristo au masikio yangu
@@halunimnenwa5224Ametumia hekima katikati ya watu wasio na hekima maana yeye anaiona kesho yake kuliko alicho ongea.ukiijua kesho yako na ukajua katikati ya kesho yako kuna watu wa aina tatu yaan wakristo waislam na wapagani watu wasio na din yoyote yaan unapaswa uishi kwa akili sana usije ukaharibu kesho yako.
@@halunimnenwa5224una manisha nini ni muizilamu😅😅😅😅😅
@@halunimnenwa5224𝐒𝐢𝐬𝐢 𝐖𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐚𝐤𝐞 𝐓𝐮𝐧𝐚𝐦𝐭𝐚𝐦𝐛𝐮𝐚 𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐒𝐡𝐞𝐤𝐡𝐞.
Huwa mimi ninakuelewa sana PhD wangu wewe bwana ni very genius nilipoona tu unatoa hotuba nikajua tu kuna kitu cha maana kitatamkwa na hii ndio nimeona
Mwenyezi mungu amweke mahali pazuriii hakuna aliyependa Ila ni kazi ya muumba wetu
ungemfufua tu mchungaji ungekuwau melisaidia ana taifa
Mh gwajima waga nakukubar sana
Askof umenena hakika Mungu akutuze
Facts remain
Smartest ever
King
Poleniii wakuuu na sisi pia tumeumia lkn mungu ametoa na mungu akatwaa
Msiba wa Dr.Ndugulile uwe funzo tujue kuwa dunia siyo yetu dunia ni ya Mungu ,na kila binadamu ana haki sawa mbele yake.
This man must be Intelligent. Sagt man in Deustch this Mensch muss Intelligent sein.
Janga ni kujiuliza kwanini wewe uko hai wakati wenzio wanakufa,,,Na kila mmoja Maandiko yanathibitisha Duniani sio kwetu tutarudi tuliko toka..
🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
Kumbe gwajima ni sheikh
❤❤❤❤❤
Short and clear
Amina baba
Nimkekuelewa askofu.
POLENI SANA WATANZANIA, ILA WATANZANIA KUWENI MAKINI NA MUNGU, KWA KUOMBA NA KUFUNGA ILI TUPATE NGUVU PIA TUWE NA MACHO YA KUONA MBELE???
"Tutimize mission yetu mapema, muda ni mfupi". Wanaotumia madaraka kudhulumu mali za wananchi na hata uhai wao kwa kuwateka, ndiyo mission yao waliyoamua kuitimiza mapema?
Nani kasikia gwajima ni Muislamu
Amen daddy
Kwanini tunaliibia taifa pia ili tuje tufe?!
Sisi waislamu 😁😁😁
Majestic plural. Pluralis Majestatis
Sisi waislam hadi raha
Rahs ipi?
Mheshimiwa najivunia wewe nikiwa hapa.. hii hekima ni kubwa kuliko
Namuheshimu sana lkn kwa hotuba hii imenikela . Naona madaraka yamemfanya au yatamfanya achuje km hatojiangalia
Duu watu hamnna dogo...how?
𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐖𝐄 𝐍𝐀𝐄 𝐍𝐀 𝐈𝐂𝐇𝐎 𝐊𝐈𝐂𝐇𝐖𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐊𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐖𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐖𝐀𝐙𝐈𝐌𝐔 𝐔𝐋𝐈𝐓𝐀𝐑𝐀𝐉𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐌𝐔𝐄𝐋𝐄𝐖𝐀?😂
Chukxe😂sisi waislam ila muislam guapimao hukusoma sawa aya😂😂 umejaribu vizuri ila inasomwa ama inasemwa hivi innalilah wainnailyh rajuin
Acheni ufisadi wotetutakufa tamanizanini kuweniwazarendo kama makufuri mtanzania wakweri
Muheshimiwa usitoke bira kumufufua ulikua unasema unafufua watu asitutoke
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kuna namna ya kutunza imani bila kuyumbishwa na chochote.
Kwa nini kusema "Sisi waislamu" halafu kwenye wakristo, "Wakristo wanasema"
Mungu atusaidie kusimama kwenye nafasi tuliyoitwa na Mungu.
Maslahi tuu opportunist
Boss yuko pale mama Abdul kumfurahisha
kwasababu uislam ni dini na ukristo ni wokovu