Mwalimu samahani sana mimi naitwa chobo nipo mtwara kwanza nakushukuru sana kwa kwa muda wako umenifundisha naomba kama hutajali mipe mawasiliano yako ili unipe msaadae zaidi
mwalimu muzuri sana nakushukuru sana kwani sisi wa congolais uwaga kingereza ninatusumbuwaka ila nakiona kama si kigumu tena kwani nimepata mwalimu muzuri
Mmmmh...ulikwenda nilianza kuongea kakingereza kiaina furani hivi kwa sababu ya somo lako kuanzia mwanzo kabisa,,,ukaondoka bira kuaga...si na mi nikazira! sasa si umerudi nami narudi nyuma kwenye masomo yako harafu nakuja kuunganishia hapa, tafadhari usitukimbie tena, tunataka kwenda mipakani hata si mbali tukafanye biashara na watu tofauti hii lugha ni muhimu sana.
Asante mwalim unafundisha vizuri Sana dada Dorothy binafsi nakuelewa sana
Tunashukuru umerudi, umetuacha wanafunzi wako muda mrefu sana
Mungu akubariki San kwa kaz yako
Dada hakika unajua sana Mungu azidi kukutia nguvu
Asante sana mwalimu wangu mzuri.Mungu akujaze nguvu iliuhendelee kutufundisha.asante .
Thank you so much hakika nakuelewa vizur sana na nitazid kukufarilia ili niweze kuelewa zai na zaidi
Nipo pamoja na wewe dada angu hata kama nimekuelewa ila nafatilia kipindi hadi kipindi ,Mungu akubariki dada angu 🙏🙏
Thanks for teaching
Mwalimu Asante naelewa sana
Ticher Dorothy Mrema mungu akubark
Good lack my teacher
Nakupenda kwa ajili ya Allah
Na mim nampenda kwa ajili ya allah
God bless you my teacher
Shukran sana mwalimu Mwenyezi Mungu akubaliki 🙏🙏🙏🙏
Mashaallah kumbe umerudi habibty ❤️
Asante mwalim nataka kufunza kwel sasa inakuwaje
Ndio
Welcome back teacher I am happy
Bora umerudi mrembo wetu mwalimu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇧🇮🇧🇮🇧🇮
welcome back teacher tunasubir na la 15 tusonge mbele
iyo back inamaana gni mpnz
asante mwalimu tulikumiss sana asante kwa kurudi
Thank you nishakua nachkua wazungu tena kupitia wewe dada
Nampenda sana kusoma englidh
Blessed 🙏🙏
Safi sana dada tunakupenda kwa elimu unayo tupatia
Asante mwalim 🥰
Mbona ulipotea sana Doris
Asante sana
Welcome back Dorothy
Tulikumisii sana dada yetu
Asant sana mwalimu mungu akubarki 🙏🙏🙏
ASante saana
Thank you teacher
Ahsant kwa somo jipya
Mwalimu samahani sana mimi naitwa chobo nipo mtwara kwanza nakushukuru sana kwa kwa muda wako umenifundisha naomba kama hutajali mipe mawasiliano yako ili unipe msaadae zaidi
Napenda ulivyo mwandikiya atupatiyenamba miminaitwa furaha sijuikamawewe unaitwanani miminatokeya marekani naomba unipatiye jibu leokama autajali bay
Nijibu mimi naomba usipo nijibu sitojisikiya vizuri naomba
Nitumie no zko ntk niwe nakupa shkran mwalim wangu nitakua nakufondoshea pesa ya vocha
Ninakielewa kile unakifanya god bless you
Nakupenda sana murembo
Mwalimu wangu mpendwa
Teacher una darasa dar es salaam nihudhurie
Asantee sister😘😘
Everyday I work, at oman, Sasa nimejua kiingereza ❤😂
mwalimu muzuri sana nakushukuru sana kwani sisi wa congolais uwaga kingereza ninatusumbuwaka ila nakiona kama si kigumu tena kwani nimepata mwalimu muzuri
teacher always im sleep
Jamanii da kitambooo 😍ila sikuiz una pendeza teacher
Saf dada tupo pamoja na wewe
Ja.m Okada dorythy mimi nahitwa furaha nipo marekanikazi juri usikate Tamara
Napenda ulivyo mwandi kiya kakayangu mimini dadayako makene naombajibu sasahivi bay
Madame kwenye mitandao ya jamii unatumia jina gani
Karibu tena
Jambo dada .
❤❤
Asant san
Tulikumiss kweli madam
Thank you
Dah n mda mref San madam nimekumss san
Naomba mawasiliano yako ili uwasiliane,
Umeludi wakati sahihi sana kwangu mana nimeishia pale pale ulipo niacha
🎉😢asante sana
🙏
Thanks
Nam
We dada upo nimekumiss mpaka naumwa yani mwalimu wangu endelea kutufundisha
mmmh
I miss you teacher,long time a go.ulipotelea wapi?
👍👍👍
🥰🥰
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🥰🙏
Mwalim weka namba ya WhatsApp kwa video ili tupate miongozo hususan kwa sisi wa gen
Ubarikiwe sana Da Dorothy mrema
Weka email yako
Tupo nawe pamoja
Naomba unipatiye namba yako ya WhatsApp kwamajina naitwa furaha unipe namba today
Nitaziptaje no zake huyu jaman nisaidien mwenzenu umenisaidia sn ddngu
Munga mkubwa tuliku-miss mda mrefu
Dorothy ulikuwa unakwenda wapi? Tulikukosa myaka mingi
Ulipotea wapi
Shuree hatujaaa endaaa tufundisheee tuuu tutajuaa
Tukimaliza Kuna cheti
Dada ulipotelea wapi
Mm nilikuwa naomba namba yako ya mkononi 🙏🙏
Hee mbona umetutupa ivyo,jamaniiii
Mbo a mimi nachindwA kuonge kutamukA
Mmmmh...ulikwenda nilianza kuongea kakingereza kiaina furani hivi kwa sababu ya somo lako kuanzia mwanzo kabisa,,,ukaondoka bira kuaga...si na mi nikazira! sasa si umerudi nami narudi nyuma kwenye masomo yako harafu nakuja kuunganishia hapa, tafadhari usitukimbie tena, tunataka kwenda mipakani hata si mbali tukafanye biashara na watu tofauti hii lugha ni muhimu sana.
😂😂😂
Tuko pamoja nawe usikate tamaa dada
Katika walim ambao wanafundisha vizuri wewe ni mmoja wao Mana atakama mtu ni mgumu kuele ataelewa tu bora umerudi
Nahic ni number 1
naomba namba yako ya whatsapp
Asante sana
🎉😢asante sana
❤❤
Anzsha whatsApp mwarm
Uliendaga wapi
Asante sana
Asante sana