Huna majivuno wanyonge unawapenda Zaid Haswa pale wanapokuhitji ktk ghfla km hiz,huwangalii udhaifu wa Mahali Bali unaangali wanakuhitaji Kwa ajili ya Nini,likiwa ni jmbo la Allah na mtume wake huchlei.moyo wko laini ktk jmbo la Allah,na ni mkali ktk Jambo la maasi,Allah akubaarik wewe na cc.aamiin
الشيخ سمير إني أحبك في قلبي وعلى لساني أقول.❤❤❤❤❤❤❤
Nikikuona wallah nakuona km sheikh Muhammad aboubakr Allah amsamehe na amrehemu,mnamapenz makubwa sna ktk dini,