Dogo yupo powa sana huwa unavyo muona Ali kiba ndio kama dogo huwa hafatilii mambo ya mtu na huwa hama MPANGO kumshobokea mtu KIJA KOMAA Mungu atakusimamia KATIKA kazi zako Muhimu HESHIMA tuu itawale
Nmependa alivo zungumzia kuusu wasafi festiv lakn nachojiulza n millard ayo jinsi mlvokua na diamond et saiv buyu lazma ujue watangazaji wako mashabiki wako tunapenda iwe real kwa wote
MAUNO FENI TV , MAUNO FENI TV , MAUNO FENI TV.... PATA BURUNDANI YA KUKATA NA SHOKA HAP KUPIUTI CHARNERL YAKO YA MAUNO FENI . NI WATOTO WA KISWAZI NDANI YA USWAZI WAKIUONNESHA MAUFUNDI YAO YA KUKATA NA KUZUNGUSHA VIUNO NI HATREEE USIPIME USIACHE KUSBUSCRIBE NA KUSHAREB VIDEO ZETU ASANTE
Aslay kwenye hii nyimbo yako bado mapema Nina aidia nzuriii Sana kwenye vidioo please naomba tuwasiliane 0624178120 nitoe aidia ya vidio jinsi itakavyokuwa daah utauza sana
The only bongo flava musician ambae nimem subscribe ni Aslay love this young man.
Aslay and Mario nawakubali sana. 😍😍🙌🙋🙌🙌
safi sana
Love aslay love marioo
Aslay wa kipindi kile alikuwa 🔥🔥 anyway tunasubir Album mzee
Una majibu mazur😍😍👏👏👏
habari
Uko vizuri asley una majibu ya kuvutia
Khadija khadija haaah
kama unamkubali marioo gonga like apo
Exc
Fredric the top of the v
Gerald chugaboy nakubali cn
Gerald chugaboy
Kama unakubali aslay gonga like tujuane
Aslay anajua kujib maswali vzr mpk raha
Lop u
@@caltoncapety7157 lop u too
vp hakat
Mambo
💕💕💕💕💕😍😍penda sana
Aslay the big artist of Tanzania.
Aslay ngoma zako🔥🔥🔥
Rahima Aaaa hatali
Rahima Aaaa igia kwagu u subscriber
Aslay amejibu kweli vizuri sana hana makuu wala hajigambi
Marioo nakupendaa🙈🙈
Aslay nakupenda 🙈🙈
lv u aslay
Love aslay
Big up aslay
Big up bro keep it up👏👏
nic sana bro
Nilipiga picha na Aslay pemben marioo pemben me nilikua kati jaman nampenda sana Aslay
Ww presenter uko vizuri inabid upandishwe cheo na mshahara ila usivimbe !!!@
Nice jitaidi mdogo wangu unajua cn kuimba.
Uko good kijana
Uko vizur asley
Uko vzr kijana mwenze. Like bax kwa kijana mwenze2
Dogo yupo powa sana huwa unavyo muona Ali kiba ndio kama dogo huwa hafatilii mambo ya mtu na huwa hama MPANGO kumshobokea mtu KIJA KOMAA
Mungu atakusimamia KATIKA kazi zako
Muhimu HESHIMA tuu itawale
Napenda sanr hii channel inaleta vitu kiuhalisia zaid wengine wakuoneshe mapicha namaelezo kibao wanaboa kishenz....keep it up
Uko vizur ndug nakukubali sana
Aslay 😘😘😘
One love Brother
U are very talented
Asly napenda nyimbo zko sna
Aslay ufny mazowez mwili unakuja na tumbooo
Big pu sana, Aslay
SRSports Tz fcc
SRSports Tz c nakubalii
fanya collabo na chidi benz before harmonize na jux
tunangoja sana aslay penda ww sana
Nigei like Yako jamani sija wai
Chukua hiyo basi
Dogo aslay unajitambua vzr sana mkubali ally Kiba kwani nimtu asie na mambo mengi sana
Love sana huyu jamaa
Nice
Ndo maaan nakupenda Aslay hunaga show mbovu
Ushawahi kulala nae
@@rashidimanyoka4125 fikira zako ndogo zingatia hii👉kumpenda mtu siyo mpaka uwe ushawahi kulala naye.
🔝
Unajua broo
Safi aslay ,,ndoto zako bado naamini hivyo
Aslay uko sawa mkka
wamekuta mafundii chumaaa🔩🔨🔧
Nakubalii
Super
Aslay is too mature for interviews
nice
Movie 🎥 tunaisubili
Kwan marioo na aslay Nan broo
Hujasikia ama.!?
Aslay yupo vzul
Big up
hongereni, kwa mziki vijana
Jifunze Kiitaliano na Johnson igia kwagu u subscriber
Apo ndipo nilipiga picha na Aslay kipenzi changu nitakufa kwa ajili ake wallah
Liliani Lyaumi Nawewe umetoka Kenya nini😂😂😂
Ndo yaleyale ya mbossooooooo
Mama Hamis apana mama si Kenya ni Tanzania iyo apo alikua mtwara alipokua anaojiwa me nilikua pembeni
💯💯💯💯
Nmependa alivo zungumzia kuusu wasafi festiv lakn nachojiulza n millard ayo jinsi mlvokua na diamond et saiv buyu lazma ujue watangazaji wako mashabiki wako tunapenda iwe real kwa wote
Duu watu waongooo
marezi
Mtoto wako karembo sana Aslay
good
Nona
baba la baba
I lv you so much aslay
Aseleyi ngoma munpy
Uso flex dogo. Ila usisau kama tamzania kuna Sta anajitia kubua anauwa Tanzânia anapleka Nje.
ok😅😅
Nakupeda aslay namupata nje mimi nikikuja uko dar
time aslay mm love you
Weweyatimanajuwa mwenyezimungu akusogeeze mudogowangu
Yamoto band
Wote wakaliii
Pride fm apo
😂😂😂nyota mhhh
nakubal
Huyo mwanamke sio ndugu yako aslay angekuwa ndugu yako usingezaa nae
Mmmm
Boa intervençao jovem Aslay continuas asim
Armando Leonardo kavu
@@josephjelemiah6429 kavu sana
MAUNO FENI TV , MAUNO FENI TV , MAUNO FENI TV....
PATA BURUNDANI YA KUKATA NA SHOKA HAP KUPIUTI CHARNERL YAKO YA MAUNO FENI .
NI WATOTO WA KISWAZI NDANI YA USWAZI WAKIUONNESHA MAUFUNDI YAO YA KUKATA NA KUZUNGUSHA VIUNO NI HATREEE USIPIME
USIACHE KUSBUSCRIBE NA KUSHAREB VIDEO ZETU ASANTE
Kaka ebu Rudi kwenye gemu
Ukovizuri
Duly mwikumba
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Duppe
No
Aslay kwenye hii nyimbo yako bado mapema Nina aidia nzuriii Sana kwenye vidioo please naomba tuwasiliane 0624178120 nitoe aidia ya vidio jinsi itakavyokuwa daah utauza sana
Tazama ngoma kali kutoka kwa MP Billionaires. Watch Miamor by MP Billionaires👇🏽 th-cam.com/video/_bm1C_aL5-k/w-d-xo.html
M
Konck xan
mboso
huyu dogo na ivi visuruali vyakubana bana anakuwa kama binti.
Aslay yuko vizur San na mkubali 100
Benjamin acha unafiki namambo yakitoto
Nikwel aslay kichwa
Anajielewa sana dogo be blessed
Big up
Jaman asley nakupenda Sana urundi bas Kwenye ngoma