MWISHO: KIJIJI CHETU - 10/10 SIMULIZI ZA MAISHA BY FELIX MWENDA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2022
  • Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Simulizi Mix na kwa simulizi fupi subscribe channel simulizi fupi bofya hapa / simulizifupi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 58

  • @vero756
    @vero756 2 ปีที่แล้ว +7

    Daaah pole sana Asaa kwa kupoteza mama yko kipenzi na pia hongera kwa kuokoa kijiji chenu Sona nimekuvulia kofia mama,Asante felix na kigotym asanteni sana kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo kwa maana mm nimejifunza kitu hapa good job simulizi mix Entertainment,

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 ปีที่แล้ว +1

    Asate sana simlizi mix fellix mweda Amani kigoye Mbalikiwe sana kwa kazi zuli

  • @BasekakariyoGodelieve
    @BasekakariyoGodelieve 3 หลายเดือนก่อน +1

    Félix mwenda nashukulu kwa kutupa burudani asante ❤❤❤

  • @ashajuma4653
    @ashajuma4653 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante brother Aman kwa simulizi taam but umeniacha na kiu ya Aman na mwenzie hatukujua maisha yao yamekuaje baada ya kuiba pesa!!!

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว

    Shukran kaka felix mwenda na amani kigoye Kwa simulizi mix nzuri

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana baba masauti felix mwenda na mkali wetu amani kigoye mbarikiwe sana

  • @MdBabu-sh4ov
    @MdBabu-sh4ov 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsanteee Amani na ferix nawapenda sannaah

  • @user-iv2qg2hw2b
    @user-iv2qg2hw2b 2 ปีที่แล้ว +1

    😄😄wewe tuliaa😄mizimu mizimu.
    Ok.pongezi kwenu mtunzi wetu na msimuliaji wetu.

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 2 ปีที่แล้ว +2

    Namba 2

  • @rajeshrajesh-lp2oy
    @rajeshrajesh-lp2oy 2 ปีที่แล้ว

    Jamna kazi nzuri saner simulizi mix me nawapenda bureee💓💓💓💓

  • @carolinejohn3660
    @carolinejohn3660 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa simulizi nzuri🔥♥️

  • @neutrineanzilimi9798
    @neutrineanzilimi9798 2 ปีที่แล้ว

    Hii nimeipenda sana. Bonge la simulizi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😘😘👌👌🎂🎂🙏🙏🙏

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 2 ปีที่แล้ว +2

    Congratulations (wanday na Asa) kuweza kupambania kijiji chenu, hongera mtunzi na shukraan za dhati kwa Felix

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana simulizi mix na kaka felix mwenda na amani kigowe kwa kazinnzuri♥️

  • @walid1494
    @walid1494 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana m2nzi imefikia tamati hiii na vip kina Amani maishayaooo

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 2 ปีที่แล้ว

    Kijiji chetu aya twende kazi baba

  • @ayshamisanya9228
    @ayshamisanya9228 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmewahi jamn Ahsanten Jamn Kaka Masauti

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah mzee chambusa huyoooo

  • @julietalex4715
    @julietalex4715 2 ปีที่แล้ว

    Congrats Kwa KAZI nzuri Felix

  • @nickhealthcare5612
    @nickhealthcare5612 2 ปีที่แล้ว +2

    Aya jmn tukutane kwenye, ROHO ZA BINTI SITA🔥🔥😐 MZg wa moto kabisa,simulizi mix baba lao

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 2 ปีที่แล้ว

    Nazipenda sana simulizi zako filix mpaka sauti yako yaani unavojua kusimulia shukran🙏

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 2 ปีที่แล้ว +2

    Naam!!

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka Felix na Amani nice story 👌

  • @aminasinze8500
    @aminasinze8500 2 ปีที่แล้ว

    Mwisho mzur

  • @husnamwinyi8295
    @husnamwinyi8295 2 ปีที่แล้ว

    Shukuran sna msumlzi wetu

  • @mwanahawahamis1321
    @mwanahawahamis1321 2 ปีที่แล้ว

    asanteni saana tunajifunza mengi

  • @mariamhaliki8976
    @mariamhaliki8976 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah. Tam nilitaman kujua emy na Aman malipo yao yalikuaje😥

  • @user-gv6sm9uw2d
    @user-gv6sm9uw2d 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana simulizi mix

  • @charozawadi7217
    @charozawadi7217 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana nimejifunza

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana 💕

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 2 ปีที่แล้ว

    Mashabiki wenzangu wa simulizi yani mwenzenu sio kuchanganyikiwa kwa hizi simulizi. Yani sitaki hata moja inipite hadi Nimechelewa mwisho wa hii simulizi. Shukran Sana kaka felix

  • @kkkdee5776
    @kkkdee5776 2 ปีที่แล้ว

    nzuri sana asanteni simulizi mix kwakutuelimsha na kutuburushisha piya

  • @aishaabdallah8558
    @aishaabdallah8558 2 ปีที่แล้ว

    Simulizi tamu sanaaa🥰 mwisho mzuli ila at ujajua sona na mume we walipata mtoto

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 2 ปีที่แล้ว +1

    Salam kwa wote waliousika kwenye simulizi hii napongezi kwa company yenye kusimamia nambunifu namzee mzima Mr Felix mwenda kwakweli cmuzi hii imetufunza mambo mengi aswa kua natamaa haifai kuana roo mbaya halikadhalika natuta zidi kuzitupia macho simulizi kusudi kuburudika kujifunza nakujipa moyo wakikua baya kumtendea mwengine cpoa asanteni nyote kaka zangu dada zetu mungu awazidishie kubuni zaidi na zaidi shukran.

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee Cha mbuso kaingiaa Cha kikeee😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Shukran sana brother

  • @zobaidhyounis7087
    @zobaidhyounis7087 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @saragh1243
    @saragh1243 2 ปีที่แล้ว

    Asante felix kwa kuitimisha simulizi yetu yenye mafunzo mazuri

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 2 ปีที่แล้ว

    Nzr sana❤

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 2 ปีที่แล้ว +2

    Well done Assa kazi iendelee 💪🏼

  • @mwidadiabdalla3564
    @mwidadiabdalla3564 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @preciousfaa-gp3bz
    @preciousfaa-gp3bz ปีที่แล้ว

    stor nzur sana ila nitmn kuwaon emy na aman likiwakut jmbo

  • @salmakea7797
    @salmakea7797 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumefika mwisho

  • @aishaborandy2231
    @aishaborandy2231 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwel simurizi mix 🥰🥰🥰

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @johnboskomwaya1444
    @johnboskomwaya1444 2 ปีที่แล้ว

    VP kuhusu aman na Emmy ilikuwaje

  • @jamesboy5777
    @jamesboy5777 2 ปีที่แล้ว

    👌

  • @irenecherotich4975
    @irenecherotich4975 2 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @ashurapandu4116
    @ashurapandu4116 2 ปีที่แล้ว +1

    💖😍

  • @joycekazungu4003
    @joycekazungu4003 2 ปีที่แล้ว

    Dhaa pole Sana Assa pamoja na waddey Kwa kupoteza mama yenu Ila hongereni pia Kwa kukomboa Kijiji Chetu Mungu awe nanyi daima

  • @mwidadiabdalla3564
    @mwidadiabdalla3564 2 ปีที่แล้ว +1

    🥺🥺🥺🙄

  • @margretmonday4617
    @margretmonday4617 2 ปีที่แล้ว

    💋💋💋💃💃💃💃👍😭😭😭

    • @wardawarda4903
      @wardawarda4903 2 ปีที่แล้ว

      Aman we kiboko wa story za ajabu na mila potofu wAkomboe wenye mila za kijinga

  • @zainabubahati5661
    @zainabubahati5661 2 ปีที่แล้ว

    Shukraan kaka Felix na Amani

  • @sarahkitindi3420
    @sarahkitindi3420 2 ปีที่แล้ว

    Asante