Highlights | Gor Mahia 1-0 AFC Leopards | FKF Premier League 21/04/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • MASHEMEJI DERBY | Goli pekee la Austin Odhiambo limeipa Gor Mahia alama tatu muhimu dhidi ya AFC Leopards katika mchezo wa #MashemejiDerby uliopigwa leo kwenye Dimba la Nyayo, Nairobi, Kenya.
    Katika mchezo huo, Gor Mahia walilazimika kucheza pungufu kwa zaidi ya dakika 50 baada ya golikipa wake Kevin Omondi kutolewa kwa kadi nyekundu.
    Tazama highlights...

ความคิดเห็น • 27

  • @user-cx7uz3ri6v
    @user-cx7uz3ri6v 4 หลายเดือนก่อน +15

    Kenya wanapenda sana soka basi tu viongozi wao wa soka walikuwa wanawazingua.

  • @drozedukeoctorina1145
    @drozedukeoctorina1145 4 หลายเดือนก่อน +5

    The first to view
    Wapi likes za team gor jamani

  • @johnchurchill9796
    @johnchurchill9796 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asanteni azam😊😊😊😊

  • @groovy5357
    @groovy5357 4 หลายเดือนก่อน +8

    Hii ndio inabamba

  • @mongeraraban
    @mongeraraban 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe Kenya napo Kuna mashabiki hivo

  • @djsissekenya2321
    @djsissekenya2321 4 หลายเดือนก่อน +3

    kogalo🔥🔥

  • @rajabjaphrey4603
    @rajabjaphrey4603 4 หลายเดือนก่อน +4

    Austine Odhiambo kijana ni hatari

  • @officialyadede3861
    @officialyadede3861 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @Vincent_Okinda
    @Vincent_Okinda 4 หลายเดือนก่อน +7

    Thibitisho tu kua Kenya pana ushabiki

    • @Cocoboy-yg8gu
      @Cocoboy-yg8gu 4 หลายเดือนก่อน

      Bora pol[t[cs iwekwe kando

  • @user-hk2om2ef7m
    @user-hk2om2ef7m 4 หลายเดือนก่อน +3

    Big up KPL

  • @alphanyjames4897
    @alphanyjames4897 4 หลายเดือนก่อน +3

    commentor ana mammbo

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kwann waliita Darby ya mashemej?Mwenye kujua

    • @obalatheone7092
      @obalatheone7092 4 หลายเดือนก่อน +3

      Mimi Ni Mkenya...Kenya Ni Nchi Iko Na Tabia Ya Ukabila Toka Zamani.....Sasa Timu Hizi Haswa Zilianza na Zinaendelea Kuwa Kwa Misingi Ya Kikabila, Gor Mahia ni Timu Ya Kabila Ya Luo Ilhali AFC Leopards Ni Timu Kabila Ya Luhya au Abaluhya.....WaLuo na WaLuhya Wanatoka Eneo La Nchi La Magharibi na Ni Kabila Majirani Ata Watoto Wao Hufanya Ndoa Pamoja Mara Nyinyi Sana.....Hizo Kabila Mbili Zenyewe Huitana Mashemeji Sasa Ndio Maana Derby Pia Linaitwa La Mashemeji

    • @BenardOtieno-q8p
      @BenardOtieno-q8p 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sababu wameowana luo na luhya sana

    • @francisakatsa3178
      @francisakatsa3178 4 หลายเดือนก่อน

      Wjaluo na waluyha wanapenda kutaniana sana ndio sababu

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 4 หลายเดือนก่อน +3

    Eeh kumbe kwa jirani pia ligi

  • @MOZZARTBETCUP
    @MOZZARTBETCUP 4 หลายเดือนก่อน +1

    Caf champions league next season 😊🎉🎉

  • @InnocentSiprian
    @InnocentSiprian 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hayo mekundu mabovu

  • @DavinsOmondi
    @DavinsOmondi 2 หลายเดือนก่อน

    Gor ushindi

  • @Thekidp3702
    @Thekidp3702 4 หลายเดือนก่อน +3

    wakenya bwana 😂

  • @frederickoguttu1244
    @frederickoguttu1244 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gor itafutiwe opponents wa maana bana, sasa hawa ni ma what? Labda ka East&Central Champions League ka round-robin involving Villa, Yanga, Simba, ElMerreikh, Al-Hilal ivo-ivo...

    • @user-kw5nn6kg3u
      @user-kw5nn6kg3u 4 หลายเดือนก่อน

      simba & yanga?!!! unacheza wewe!!!

    • @frederickoguttu1244
      @frederickoguttu1244 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-kw5nn6kg3u atleast wapate uzito on all fronts (tactically, psychologically, financially hadi fitness-physically), huku Kenya imekuwa too obvious lately...

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 4 หลายเดือนก่อน +2

    Makosa yagoal hayo kayataka mwenyewe mbona hakutua mojakwamoja

  • @Cocoboy-yg8gu
    @Cocoboy-yg8gu 4 หลายเดือนก่อน

    wale uuliza mbona Omala apewi nafasi harambee stars bado mko na swali

  • @ZachariaBrian-nu6cz
    @ZachariaBrian-nu6cz 4 หลายเดือนก่อน

    Betting has made Kenyan football very useless.