EXCLUSIVE: NYUMBANI KWAO ZUCHU ALIPOKULIA KAKA YAKE AFUNGUKA/TULIISHI MAISHA YA SHIDA SANA/NILIMPIGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 327

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 3 ปีที่แล้ว +57

    Khadija kopa ni mtu mwenye imani sana na mkareem saana ..Allah ampe afya na furaha yarabb

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว +13

    Mashallah kaka yake zuchu ume fana na mama yako kweli

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 3 ปีที่แล้ว +13

    Mtoto anamzungumzia vizuri sana mzazi wake Good thing ana appreciate mama yao kapambana kuwalea

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 3 ปีที่แล้ว +14

    Mashaallah bro mungu akuzidishie umrii mrefuuu

  • @mahmoudvuai8017
    @mahmoudvuai8017 3 ปีที่แล้ว +16

    Big up to Suma....mshkaji yuko real....Nimeinjoy sana interview

  • @sibonikesarikie42
    @sibonikesarikie42 3 ปีที่แล้ว +35

    mshikaji nimemkubali,hana shobo anajieleza vizuri yaani safi sana kaka

    • @NehemiahRotich
      @NehemiahRotich 3 ปีที่แล้ว

      Wah ! Am learning alot of Swahili ..Shobo ni show off ama ? Haki Tanzania

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

      Haaa haaaa Shobo mimi sijuwi nini maana yake neno jipya hilo kwenye Kiswahili...

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 3 ปีที่แล้ว

      @@NehemiahRotich its street language which means being too erratic and flattery 😆.

    • @NehemiahRotich
      @NehemiahRotich 3 ปีที่แล้ว

      @@jumahamis227 Wow thanks

  • @salemkambuteh1409
    @salemkambuteh1409 3 ปีที่แล้ว +19

    Mungu ajaalie siku moja mufanye maamuzi ya kuacha kuimba, mziki mtihani.

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndio Suma kitambo sana mwanangu Salute from🇩🇪🇩🇪

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 7 หลายเดือนก่อน

    Duniani hakuna mkamilifu, mkamilifu ni Mungu tu. Tuache kuhukumu kila mtu ana dhambi yake. Kaka wa watu yuko vizuri, mashallah. utapata mke usijali. Muda ukifika utapata.

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +42

    Jamaa kaongea fresh Sana ndio Maisha Binadamu tunatoka Mbali sio nyie tupo wengi tumeanza kula ngumu lakini Mungu ni mwema saivi Afadhali kidogo

  • @dewjikitumbu4957
    @dewjikitumbu4957 3 ปีที่แล้ว +14

    Jama anajieleza vizuri sana

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 ปีที่แล้ว +8

    Tumefurahi sana kuona story ya Zuchu
    Mchabga Og Shukran

  • @mohddalali1008
    @mohddalali1008 3 ปีที่แล้ว +33

    Nimependa jinsi anavyojibu maswali

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 3 ปีที่แล้ว +4

    Hadija Kopa Mama etu mzuri sana wa Kizinjibar mwenye roho thabiti lakini tamu is ishafika tena ya kuacha mambo ya kidunia sasa hivi inshaallah lazima to focus na Ahera okay¿thanks

  • @esthermhavile1566
    @esthermhavile1566 3 ปีที่แล้ว +48

    Kafanana na mama yake kabisa

  • @papaamasauti5964
    @papaamasauti5964 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda sister duu
    Legendary of zenji flava

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 3 ปีที่แล้ว +11

    Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu¿ukumbusho kwa waislamu wote na hasa kwa ndugu za wa Kizijibar,nafuteni njia yoyote ile ya kutafuta risk za halali lakini msijiingize katika hambo ya gharamu katika kutafuta kwenu risk kama vile kuimba na mambo mengine hizo ni aamali shaitwan ,tufanyeni wema na dumuabuduni Muumba wetu kama alivyo tusimulia kwenye Qur'an tukiuchezea tuu huu wakati aliotupa tutakwenda kulia kilio kisichonyamazika,tunako elekea kuna mawili tuu Janaah au Jahanamu,Shukran..

  • @lulually5209
    @lulually5209 3 ปีที่แล้ว +8

    Hamna mtu mwembamba shida tu zinatuendesha lkn Allah kareem one day yes

  • @victormartin9208
    @victormartin9208 3 ปีที่แล้ว +12

    Smart Guys Tuliobaki Tanzania Kama Sio Afrika ni Mimi Na Huyu Mwamba..! We Do Live Our Life

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 3 ปีที่แล้ว +6

    Kaka unasautii y utangazaji ❤️❤️

  • @maulidmtaji3767
    @maulidmtaji3767 3 ปีที่แล้ว +8

    Leo hii malkiya wa bng fleva zuchu

  • @Swahili14
    @Swahili14 3 ปีที่แล้ว +9

    Young Zuchu is so beautiful 🤩

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 ปีที่แล้ว +12

    Jamaa yuko Real ukizingatia alikuwa anakula jani watu wa hivi hata wakiacha uwa wanakua straight😀😀😀😀

  • @natasha7969
    @natasha7969 3 ปีที่แล้ว +5

    Ñimempenda Sana.....mkweli hana maringo💙

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

      Sasa yeye kasema ukweli interview yake...watu wengine wamewatafsiri vibaya.... Dunia hii....

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว +10

    Jamaa Yuko vizuri Sana 👍🏼👍🏼👍🏼

  • @ramlatumba3965
    @ramlatumba3965 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah Barik Family Ya Babu Yangu.

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 3 ปีที่แล้ว +30

    Kaka kamfanana sana na mama yake Hadija Kopa.

  • @hafidhsaid2435
    @hafidhsaid2435 3 ปีที่แล้ว +9

    Home sweet home Kwaalinatoo,Melanin media @suma kopa 🤩🥰💯💥🙏

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 ปีที่แล้ว +3

    Nyumbani ni nyumbaniii😍😍😍

  • @MohammedAhmed-ob8dq
    @MohammedAhmed-ob8dq 3 ปีที่แล้ว +21

    I see ile nyimbo ya Sister duu hadi leo nimetoka kuiangalia... 🙏

    • @mankamasswe5478
      @mankamasswe5478 3 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo zuchu anauri gani

    • @saidali3557
      @saidali3557 2 ปีที่แล้ว

      Hata mim bro..Ile ngoma naikubal Sana haichuji

  • @swalehkhamis508
    @swalehkhamis508 3 ปีที่แล้ว +1

    Hilo Neno, Uwaa. Mjamaa hakushika kitu. Kiswahili kitamu sana, ukikielewa.

  • @NAYLAH1111
    @NAYLAH1111 3 ปีที่แล้ว +22

    Haya mambo mengine hata hayaeleweki au mama hakuwa makini,Zuchu alipozaliwa bi Khadija alikuwa super star so Zuchu alitakiwa kuwa mtoto wa ki-sure

    • @rahmaidd6277
      @rahmaidd6277 3 ปีที่แล้ว +12

      Mziki zaman ulikua haulipi

    • @salmaabdull9872
      @salmaabdull9872 3 ปีที่แล้ว +10

      Taarab ilikua hailipi kihivyo ndugu yangu

    • @jabirnext
      @jabirnext 3 ปีที่แล้ว +3

      Tatizo umeanza kufuatilia mziki Diamond ameshakuwa Star.

    • @aminasuleiman6402
      @aminasuleiman6402 3 ปีที่แล้ว

      @@jabirnext 😂😂😂Ni kwelii itakua hivyoo!!

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 3 ปีที่แล้ว

      @@jabirnext kwakweli hahahahaha

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 3 ปีที่แล้ว +8

    All the best.

  • @TerryTeicy-or4db
    @TerryTeicy-or4db ปีที่แล้ว

    Twapenda vitu positive

  • @joellengine4348
    @joellengine4348 3 ปีที่แล้ว +1

    Sharot sana Broo numekukubali Bure 💯🙏💯💯💯

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 ปีที่แล้ว +5

    Kaka km kaka 💪💪💪💪💪

  • @sylivanusmutayoba4349
    @sylivanusmutayoba4349 ปีที่แล้ว

    Safi kijana unajua kujieleza

  • @nervenb2831
    @nervenb2831 3 ปีที่แล้ว +15

    Zuchu 💓

  • @ulfatis-haq6009
    @ulfatis-haq6009 3 ปีที่แล้ว +2

    sister duu ni hit song kwenye zenji flavour

  • @moshimgaza5642
    @moshimgaza5642 3 ปีที่แล้ว +1

    Kafanana na mama yke hafi jicho

  • @uwitekamimy3431
    @uwitekamimy3431 3 ปีที่แล้ว +14

    Gang Star wa Zanzibar 🤗💯🔥

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa kila kitu kina mwisho kikubwa kupambana na kuwa na iman natuzid kumuomba Allah

  • @ahmadsureboy7623
    @ahmadsureboy7623 2 ปีที่แล้ว

    Baba nilikuwa naikubali sana kazi yko ya Sister du yn kpnd kile ww ni Star Suma kopa pembn kira kirami Umeupiga mwingi

  • @hamisaomar5828
    @hamisaomar5828 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanangu nakukubali maneno mazima kabisa

  • @khatibbinhaji9804
    @khatibbinhaji9804 3 ปีที่แล้ว +3

    mchizi li2tesa na ile ngoma ya "sister duu"
    big up @sumakopa

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 ปีที่แล้ว +10

    Suma Kopa 👍

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana wasafi mko juu

  • @herysabur7747
    @herysabur7747 3 ปีที่แล้ว

    Kweli namuelewa kwasababu nilimsomesha skuli ya Rahaleo.cema hawezi kunijuwa miaka mingi sana ss kaishi katia maisha magumi.acha ajidai .m.mungu hamtupi mja wake.

  • @erastotoshz4672
    @erastotoshz4672 3 ปีที่แล้ว +8

    Kusema ukweli huyu jamaa anajibu maswali vizuri kuliko korosho

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 3 ปีที่แล้ว +2

    NAMPENDA SANAAAAA.....#ZUCHU...Maashaallah

  • @benjamineuronu2142
    @benjamineuronu2142 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni MWEMA

  • @DeborahBalveer
    @DeborahBalveer 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi Khadija kopa ana watoto wangapi

  • @suleimansalim7194
    @suleimansalim7194 3 ปีที่แล้ว +26

    Namafahamu San huyo Dogo asitusahau tukija hko Dare-eslam

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 3 ปีที่แล้ว +14

    nimemkumbuka classmate wng Asha apo nyuma kwa mzee masoud

    • @47mtv7
      @47mtv7 3 ปีที่แล้ว

      Asha chifu 🤣🤣

  • @SbahHiai
    @SbahHiai 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @joookahjokah8430
    @joookahjokah8430 3 ปีที่แล้ว +10

    Zuchu 🔥🔥🔥

  • @rizikingao3648
    @rizikingao3648 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mzuri na mkweli

  • @nannakhamis5350
    @nannakhamis5350 3 ปีที่แล้ว +6

    Khoo nimependa bureee sasa kashaoa au bado na hao walokuwa wanakataa posa washamba wajui maana ya usanii

  • @donpablo2651
    @donpablo2651 3 ปีที่แล้ว +2

    Suma nimesoma nae mwembe shauri skul

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว +20

    ZUCHU 🤩💖

  • @munnahsaid7329
    @munnahsaid7329 3 ปีที่แล้ว

    Mm nipo na hadija kopa ni mama kma mamangu so cmuogopi baly na muheshimu...leteni iyo posa kenya 🥰

    • @fatumahassan1371
      @fatumahassan1371 3 ปีที่แล้ว +1

      Ushayamaliza ww ailete uku kwetu Kenya😂😂

    • @munnahsaid7329
      @munnahsaid7329 3 ปีที่แล้ว

      @@fatumahassan1371 kabsa

  • @elizabathfabian8997
    @elizabathfabian8997 3 ปีที่แล้ว +1

    Zuu mzuriii

  • @Crokfarm_Hse
    @Crokfarm_Hse 3 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sura yake kama ka kibwana.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah maisha jmn watu wanatoka mbali

  • @suleyhaji5313
    @suleyhaji5313 3 ปีที่แล้ว

    Yes real bro tuwakilishe kitaani kwetu kwaalinatu

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว +4

    Kaka una sauti ya kua mtangazaji kipaji icho kitumie kaka suma

  • @zezezeze8408
    @zezezeze8408 3 ปีที่แล้ว +6

    my lovelly county .........zanzibar ma home

    • @zezezeze8408
      @zezezeze8408 3 ปีที่แล้ว

      noooooooo

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว

      Zanzibar kubaya

    • @zezezeze8408
      @zezezeze8408 3 ปีที่แล้ว

      @@nilansaid2927 hhh kwani nani kakwita

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 ปีที่แล้ว

      @@nilansaid2927 Tunashukuru na ubaya wetu

    • @mbishkula1875
      @mbishkula1875 3 ปีที่แล้ว

      @travelstylish nurse Sikushangai Hujui Ukisemacho ZANZIBAR
      Tuna Rais Wetu Mawaziri Wetu Baraza letu la Wawakilishi( BUNGE) Mahakama KUU Vitambulisho Vya Mzanzibari na Katiba ya ZANZIBAR So Ukerewe na Mafia ndio Visiwa Zanzibar ni Nchi

  • @انبنداملبن
    @انبنداملبن 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah kaka yake zuchu

  • @zubeirislam9068
    @zubeirislam9068 3 ปีที่แล้ว +10

    Nic

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +4

    Amefanana na Mama yk

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

    maa shaa Allah

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +4

    Polen sana maana chote mumeangamiya hakuna hata wakumsomeya mwezake duwa maisha ya duniya yamewahadaa sana km c waislam namenye aklzake tmamu hamuozeshi mwazawe ukoo huo

    • @ALIMOHD-bk9lr
      @ALIMOHD-bk9lr 3 ปีที่แล้ว +2

      Tuombeane mwisho mwema tuu. Hata ukimuona mwenzako anakosea dhahir shahir, jukumu LAKO la kiimani ni kumuombea Dua na kujiombea na wewe ILI usikutwe na Hilo Jambo baya. Aijuae kesho ni MUUMBA tuu 🙏

    • @lkshmykomar5472
      @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +2

      @@ALIMOHD-bk9lr nkwel ila wamezd daima mama huwaongoza watt wake njiya njema ya kwenda pepon ilaajabu ya huyu bb yy anasimama kdete kuwapoteza watt wake inaskitsha sana

    • @official_yuram6711
      @official_yuram6711 3 ปีที่แล้ว +1

      Sahihi

    • @lkshmykomar5472
      @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +1

      @@official_yuram6711 umeonaee

    • @tatusaidi7451
      @tatusaidi7451 3 ปีที่แล้ว

      Ww unaehukumu utajua Kama utaenda pepon?.achen kuhukumu mungu ndo atajua mwisho wake

  • @saumumasha4900
    @saumumasha4900 ปีที่แล้ว

    Uswahili mwingi sana hwa kumbe

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 3 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar...

  • @MaadamAisha-qx5pu
    @MaadamAisha-qx5pu 10 หลายเดือนก่อน

    Familia nzima haijielewi,murudi kwa Allah kama sio ivo moto wa Allah unawasubiri

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว +15

    Pitia na hapo bomani kwetu usalimie majirani 😉😁❤🇨🇭🇹🇿

    • @tumababy8194
      @tumababy8194 3 ปีที่แล้ว

      Umehama bomani?

    • @nurually8466
      @nurually8466 3 ปีที่แล้ว

      Jamani na me bomani nimekaa

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว

      @@nurually8466 oooh pia mimi baba yangu alikuwa polisi

    • @tumababy8194
      @tumababy8194 3 ปีที่แล้ว

      @@nurually8466 ata mm pia

  • @killayzone7256
    @killayzone7256 3 ปีที่แล้ว +3

    Wapi alipo sema awasaidi

  • @mzenjikichaa8695
    @mzenjikichaa8695 3 ปีที่แล้ว +9

    Gansta wa Zanzibar

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 3 ปีที่แล้ว +10

    We are enjoying exposing People. This is all about!!!!!!

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 3 ปีที่แล้ว +1

    Kafanana sana na baba yake kibwana

  • @ommyzokassim7617
    @ommyzokassim7617 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up brother

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 3 ปีที่แล้ว +5

    Zuchu nmetembea nae kipind nakaa jran yake ila kwa sasa nipo mwanza hata namba zake sina alafu DM hajibu sms zangu na nikikumbuka hatujawah kukosana 😭😭😭😭😭

    • @ikramalmas7039
      @ikramalmas7039 3 ปีที่แล้ว +6

      Weee kweli msenge,kwa hiyo Kama umetembea nae unataka iwe matangazo? fala weweeee

    • @sangajestina5461
      @sangajestina5461 3 ปีที่แล้ว

      Bado uNaweza temBeaaa naeeeeee mbnah

    • @leahfanuel254
      @leahfanuel254 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅daah nacheka lkn naumia

    • @perfectinnocent1875
      @perfectinnocent1875 3 ปีที่แล้ว +1

      @@leahfanuel254 😀😀😀, imebidi mimi nicheke comment yako et

    • @judithkatembwe277
      @judithkatembwe277 3 ปีที่แล้ว +2

      Yaaaani we huna akili ata kidogo

  • @PeacefulCardinal-we7uz
    @PeacefulCardinal-we7uz 6 หลายเดือนก่อน

    Njoo unioe

  • @mussajuma8535
    @mussajuma8535 3 ปีที่แล้ว +1

    sistaduu hee kali hio ngoma

  • @nasramohamedi5314
    @nasramohamedi5314 ปีที่แล้ว

    uko vizuri una maringo mtu pis suma kopa

  • @shamomar629
    @shamomar629 3 ปีที่แล้ว +5

    Enzi zangu za utotoni tulikuwa tunachota maji hapo jirani kwa khadija kopa

  • @tabiangonyani3526
    @tabiangonyani3526 3 ปีที่แล้ว +1

    Umefanana na mama ako

  • @lulually5209
    @lulually5209 3 ปีที่แล้ว +3

    Babu umekuwa bonge mashallah

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว +7

    Zanzibar kama 🇴🇲

  • @jeda1234
    @jeda1234 3 ปีที่แล้ว

    😘😘umenikumbusha mbali

  • @furahajonas7425
    @furahajonas7425 3 ปีที่แล้ว +1

    Akojenga nyumba wakaa kwa mzee wko

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 3 ปีที่แล้ว +1

    Suma nakukumbuka tulikua jirani nyumba yenu jirani na na bimwana kwao nyanyaa kundembaa.. unaongea ukweli mlitoka mbali......

  • @khadijashaban3218
    @khadijashaban3218 3 ปีที่แล้ว +17

    Huyu kk mzur km mm yake

    • @kitomondo
      @kitomondo 3 ปีที่แล้ว

      Jamaa amekaa kilaini sana yani kama naniliu vile ...

    • @ubahalfan105
      @ubahalfan105 3 ปีที่แล้ว

      @@kitomondo 🤣🤣🤣si ameiga mwili wa mazaa

    • @ikramalmas7039
      @ikramalmas7039 3 ปีที่แล้ว

      Hahaa mpe K basi

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว

      @@kitomondo 🤔🤔🤔

    • @kurwaroti3449
      @kurwaroti3449 3 ปีที่แล้ว

      Jaman maixha yana badilika

  • @abdallahsalehstar8221
    @abdallahsalehstar8221 3 ปีที่แล้ว

    jama anajielezia vidhuri sana wallah hadi rah

  • @maryamhadid7753
    @maryamhadid7753 3 ปีที่แล้ว +2

    Itapendeza Zaid zuchu na mama hadija muiboreshe nyumba iko poua
    Nawapenda mnoo

    • @hassanmagali6098
      @hassanmagali6098 3 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo nyumba ameijenga Bi Khadija peke yake wakati Zuchu bado ndio kwanza mchanga mpaka ime maliza Zuchu bado hajaanza ata kuimba bado mdogo .

    • @dianamonyo1960
      @dianamonyo1960 ปีที่แล้ว

      Anaishi Dar, hii amepangisha

  • @sadiyosiman7136
    @sadiyosiman7136 3 ปีที่แล้ว +2

    VP sidey

  • @salumjuma5937
    @salumjuma5937 3 ปีที่แล้ว

    We ndezi weee

  • @doubleimpact9749
    @doubleimpact9749 3 ปีที่แล้ว

    Ni kwa Ali Natu na siyo Ali Natu unaanza na neno "Kwa Ali Natu"