Watoto wenye uzito uliopitiliza wawasili Muhimbili kuanza matibabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 43

  • @user-princs
    @user-princs 11 หลายเดือนก่อน +3

    So pain
    MUNGU wa rehema wasaidie watoto hawa wawe na afya yakawaida tunakuomba Amina

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 11 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanaallah kila la kher InshaaAllah katka matibabu yao

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shabibi imepata kaz leo, Allah akufanyie wepes wanao wapate ufumbuz kwa haraka inshaallah

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 11 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Mungu kwa ajili ya walio jitolea Mungu akaikumbuke sadaka yao.

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 11 หลายเดือนก่อน +2

    Allah awafanyie wepesi inshaallah

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna mkaa huku kwetu alikuwa bonge kama hao watt yan hd huruma " sahv kawa modo had nimeshangaa mana alikuwa hayupo miez 6 alikuwa dar anauguzwa kwa kaka ake yan sahv mzr jmn tena kawa boda boda na hao watt mwenyez Mungu atawasaidia tu watakuwa sawa

  • @JoyceNko
    @JoyceNko 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awafanyie watoto wipes kila ki2 kiende vizuri

    • @stellacosmacy4785
      @stellacosmacy4785 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu mwandishiii hata kuwaficha 2 umeshindwaa jamani wengine wnachukua picha kweli??? Mungu hapendii

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa watu wanashanfaa nini wanamshangaa Mungu?
    Mungu atatenda kwani ni peke yake tunayemuamini na atafanya tuwaombee kila cku kwa Mungu na wawe kawaida wtt wetu wafunikwe kwa damu ya Yesu🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 11 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awafanyie wepesi

  • @vedamusa8033
    @vedamusa8033 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hawaijakaa sawa ilitakiwa wafikie hospital sio stend hawajawatendea haki kama watoto.

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu hawasaidie 🤲

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman imenibd tu nicheke yaan watu wamestop kufanya biashara wamebak kuwashangaa watoto duu,

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 11 หลายเดือนก่อน

    Uyu sio bharesa kweli au namfananisha

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 11 หลายเดือนก่อน +1

    Allaha atawapa nafuu ma watakuwa sawa inshaallha🤲

  • @azizahassan6803
    @azizahassan6803 11 หลายเดือนก่อน

    Jaman watanzania mnashangaa mpka wanajiskia vibaya😢

  • @AtuganileAsubisye
    @AtuganileAsubisye 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mh Mungu amtie nguvu huyu mama anatamani na kulia so pain

  • @200Stella
    @200Stella 11 หลายเดือนก่อน

    Maputo yanawahusu

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yote kwa yote mama atabak kuwa mama hizi shuhur wababa hawaziwez ndio maana huwa wanakimbia familia

    • @mwambage972
      @mwambage972 11 หลายเดือนก่อน

      Acha uongo kama kumbi a ni ww ss tunapambana na familia mpaka mwisho

  • @EvenChesco
    @EvenChesco 11 หลายเดือนก่อน

    Watu wanashangaa mpaka aibu naona mimi

  • @davidgimanwa484
    @davidgimanwa484 11 หลายเดือนก่อน +2

    huyu mwandishii ameshindwa kufuata ethics za uandishi kila kazi ina mila na desturiii zake naelekeza vyombo husika vichukue hatuaaa

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 11 หลายเดือนก่อน

    Wanaumri gani

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 11 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu mwandishi anastahili afungiwe kabisa sio poa kabisa umewazalilisha hawa wa toto na wazazi wao

    • @upendoswai4781
      @upendoswai4781 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaa hakupaswa kuwarekodi wanavyoshangaliwa na watu😢

    • @msowamhokole7714
      @msowamhokole7714 11 หลายเดือนก่อน +6

      Bila vyombo vyahabari wangejulikanaje acha usha

    • @EmmanuelNyinyigwa
      @EmmanuelNyinyigwa 11 หลายเดือนก่อน

      @@msowamhokole7714 we umewajua lini

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 11 หลายเดือนก่อน +1

      Jamani tumsamehe. Je wakitaka watz wawachangie si watawaonyesha? Mbona walishawaonyesha mtandaoni mara kadhaa. Labda wazz ndo wamewatafuta waandishi hao.

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 11 หลายเดือนก่อน +1

      Jamani tumsamehe. Je wakitaka watz wawachangie si watawaonyesha? Mbona walishawaonyesha mtandaoni mara kadhaa. Labda wazz ndo wamewatafuta waandishi hao.

  • @Bashitetako
    @Bashitetako 11 หลายเดือนก่อน

    Wabongo bwana sasa wana shangaa nini stupid