Uongo Umejaa Katika Vitabu Vya Kiislamu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Waislamu Wanaupamba Uongo Kuwa Ukweli, Kama Hii Hadith.

ความคิดเห็น • 73

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wanapenda sana hiyo kauli ya kusema Quran ni usafi. Sawa, ni usafi wa mavazi na mwili tu, si wa Roho. Tunaenda kwa Mungu kwa usafi wa Roho, si wa mwili na mavazi. Hata hivyo usafi wa mwili na mavazi ni muhimu kwa maisha ya hapa duniani, na Wakristo ni wasafi pia.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Hiyo si kweli. Unaenda kanisani umetoka kuzini bila kujisafisha na kuomba Au wapo wanaoenda kanisani huku wamelewa .Mungu hapendi uchafu. Roho watu sote tunafanana kote wapo wenye roho chafu na Safi. Huo uchafu naona ndio sababu hamkemei mambo ya kupakuana vinyesi yaani ushoga. Papa mwenyewe alikosa onyo kali kwa mashpga. Muislam haruhusiwi kushika korani huku akiwa mchafu amezini bla kujisafisha au umelewa Nadhani biblia si hivyo. Inakuaje ushike na kusoma kitabu kitakatifu huku ukiwa una kinyesi au janaba?

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hata bikira maria aliolewa akiwa na Miaka 12. (Christian encyclopedia)

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 5 หลายเดือนก่อน

      Wapi andiko?

    • @sammganga6865
      @sammganga6865 5 หลายเดือนก่อน

      Mnafalijiwa poleni Kwa kuwa wapinga Kristo

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 4 หลายเดือนก่อน +2

    Uislam ni UGAIDIII!! NA USHETANI KAMILI!!

  • @faza4023
    @faza4023 3 หลายเดือนก่อน

    Ndugu,hii dini ina uwongo mwingi, wakawasikilize waarabu walioacha uislamu, ukiisoma quran ukaielewa utaucha.

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 5 หลายเดือนก่อน +1

    THE OLDEST LIE IN THE WORLD
    The oldest concocted lie is to say Jesus is God.✝️

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wakristo wakifuata mafundisho ya AGANO la kale na jipya kikamilifu wanakuwa ni Waislamu. Mfano Yesu alifundisha kutawadha miguu na kichwa na alimuonba mungu kwa kusujudu kama wafanyavyo waislamu lkn Wakristo hawafuati hayo na Yesu alisema msipofanya hivi hamna shirika naye

    • @HellenaMky
      @HellenaMky 5 หลายเดือนก่อน

      Nyie nivipofu kweli. Sisi ndotunahivyo vitabu vyote nandyo miongozoyetu.nyiemnasoma. Kitabugani. Ilachakuflahisha nikwamba ukweli mnaujia kwamba agano lakale najipya nidyo dini ya haki. Sasa fungueni bongozenu.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Yesu alitahiriwa kama ilivyo amri kwa waislam lakini hao wengime hata usopotahiriwa ni sawa tu

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Yesu alivaa nguo aina ya kanzu na ndio vazi kuu la waislam. Kwingineko kuna hadi vimini na nusu utupu makanisani

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 5 หลายเดือนก่อน

    Uislamu ni usafi .ukikubali hayo .upo sawa .hunahaja ya kubaki .kwnye matatizo

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unasema waislamu Wanasumbuliwa na majini na wakati chimbuko lao ni Ukristo. Ukristo katika bibilia unafundisha hata namna ya kuyafukuza majini kwa kutumia moyo wa samaki na nyongo katika kitabu Cha Tobiti 3:7 mpaka Tobiti 8:1-5. Uhusiano wa majini, mapepo na shetani na Ukristo ktk bibilia upo ktk VITABU vifuatavyo:-. Isaya 13:21, Matayo 4:1, I timotheo 1:20, Walawi 17:7, 2 Mambo ya nyakati 11:15, kumbukumbu la torati 32:17, Zaburi 106:37-38, I Wakorinto 10:20, Luka 10:17, Luka 9:37 nk.

    • @HellenaMky
      @HellenaMky 5 หลายเดือนก่อน

      Sikiriza wewe labda tukujuze. Shena. Nikiumbe arikua malaika mkuu. Baada yakujaa kiburi akafukuzwa na MUNGU. MUNGU akamlaani. Kwahiyo. Akatupea duniani.kwahyo. Akashuka kwaghadhabu kubwa. Ilikumwangamiza mwanadamu.kwahyo. Akaanza vita nasisi. Nandyomaana. Wakirsto tunafahamu. Yakwamba. Adui yetu nishetani. Nandyo masna. MUNGU aritufundisha. Watoto wake anatupendao. Akatufundisha namba ya kumkemea. Mpo. Sasa kwanini nyie wsislamu mshirkiane nakiumbe kilicholaaniiwa?etikasrim.kilicholaaniwa toka lini kikawa njema?tieni akilini Hilo.

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 5 หลายเดือนก่อน

      Upeo wako mdogo sanaa unasema wakristo wanafundishwaa kuyakemea na kuyafukuzaa majini ni jambo jemaa maana walilaaniwa na MUNGU. VP SASA MUHAMMAD AWASILIMISHEE NA KUWA WAISLAMU??

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeona comments za Waislamu, hakuna mwenye ana hoja ya maana, ni kejeli tu zimewajaa. Jibuni hoja kwa aya au Hadith tuone ukweli wenu na uongo wa Ex imamu. Vinginevyo mnatuthibitishia kuwa dini yenu ni ya uongo.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Kurani imeshushwa toka kwa Mungu na Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vikiwemo vya wachakachuaji

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Kuna mambo ya biblia na mambo ya kanisa. Ulevi au zinaa haukemewi unaweza kutoka kufanya zinaa bila kuoga au kujisafisha na kuomba ukaenda kanisani. Wengine wanaingia kanisani wakiwa nusu utupu baadhi tu ya makanisa wazee wa kanisa wanakaa mlangoni. Ushoga na ndoa za jinsia moja ruksa. Hapa ipi dini Chafu ipi inajali usafi.Wakati yaliyotokea Sodoma na Gomora yanafahamika Papa mwenyewe hana neno na anakubaliana nao na anasema wabarikiwe tu kama wengine

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Kanisani wengi tu wanaenda kwa lengo la kutafuta wachumba na inataka moyo kusali kwa dhati huku jirani yako yuko mrembo au mtu alievaa nusu utupu. Inakua ngumu kufunga sala huku alievaa nusu utupu anaingia kanisani. Wengine wanapiga picha chafu huku wamevaa misalaba shingoni wanaona ndio dini ya kuidhihaki.

    • @MiziziMti
      @MiziziMti 5 หลายเดือนก่อน

      No ushoga, no mambo yote yaliyo katazwa, lakini kwa upande wa Baraka mtu akitaka kuombewa baraka hanyimwi baraka.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Hivi kumbe Mungu ni Myahudi ametahiriwa ana nywele ndefu mweupe anachorwa mapicha na kubandikwa makanisani pamoja na masanamu. Mungu huyo. Haya ni maajabu dhihaka na kufuru

  • @ashurachanyoya5864
    @ashurachanyoya5864 4 หลายเดือนก่อน

    Kama in uwongo mbona wachungaji wana ingia kwenye uisilam tofauti na shehk

    • @faza4023
      @faza4023 3 หลายเดือนก่อน

      Kote wanahama, angalia waarabu wangapi wanaacha uislamu. Mfano Farid, brother Rachid

  • @godwinmsuya6080
    @godwinmsuya6080 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia inaisha hii na wanang'ang'ania mashetani ni ndugu zao. Uchawi usio tofauti na illuminati, hell is real, tumpinge yule mwovu tumwache aangamie pekee yake. Shetani hana ndugu"

  • @SadockChessa
    @SadockChessa หลายเดือนก่อน

    Kwanini waislamu huwaita israel mtoa roho inamanisha nini?

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 4 หลายเดือนก่อน

    Quran imejaa maneno ya uongo, lkn hutoi hoja hata dhaifu kuonyesha huo ukweli wako ww. Nakuhakikishia Quran ni ya M'mungu na ndie anaeilinda. Ss ww mkosoe na kumtukana M'mungu. Finally siku utakayokua unanyofolewa Roho lako na utakapokua kaburini kabla hujasimama kiama hapo ndio tutakuona mkweli ni wewe au alieishusha Quran.

    • @faza4023
      @faza4023 3 หลายเดือนก่อน

      Uwongo ni kama mtume anakufa anasema hajui atenda wapi, sasa uislamu una faida gani? Uwongo ni mwingi wakawasikilize waarabu walioacha uislamu, acha uvivu fanya utafiti ad tumia akili yako pia,hakuna dini ya kweli inabariki kuua anayeacha kuiamini,,hakunaa

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 5 หลายเดือนก่อน

    KISOMO NA MAELEZO
    Surah Jini ameisoma SAWA lakini maelezo amechanga mambo kuwapotosha Kondoo Waliopotea. [Mateo 15:24].

  • @MpandaMohamedAbdallah
    @MpandaMohamedAbdallah 5 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lako una chuki binafsi bila kujali kua hipo siku utakufa utakaa kaburini nafs yako ukweli inaujua sema mlio wengi mnafanyia mazoea na chuki ila mko tayari kudanganywa na kuambiwa Nabii kamuona mungu wala hamuwabishii unaona uwongo wa vitabu vya kiislam tu nawaskitikia mno ndugu zetu

  • @ashurachanyoya5864
    @ashurachanyoya5864 4 หลายเดือนก่อน

    Je majina hayo uliyotaja ni ya wakirsto au waislam

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi wakristo wanataka tuamini kwamba Yesu ni Mungu. Ina maana Mungu ni myahudi mwanamme ametahiriwa Loooh jamani. Ina maana Mungu ndio huyo anachorwa mapicha na kubandikwa na kutengenezewa masanamu. Haya ni maajabu vichekesho na kufuru
    Mungu ni Myahudi!!!?

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 3 หลายเดือนก่อน

      Mwisho wa yote anasema mbona Mungu wangu umeniwacha teina ametundikwa msalabani ovyoo tupu.

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 5 หลายเดือนก่อน +1

    Rebeka aliolewa akiwa na Miaka mitatu na siku tatu. Hii haimaanishi kuwa aliingiliwa kimwili akiwa na umri huo. Hata Mohammad hakumuingilia mke wake akiwa na umri MDOGO pia.

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 5 หลายเดือนก่อน

      Miaka 9 ni mkubwaa???

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 5 หลายเดือนก่อน

      Lete andiko walipoandikaa miaka 3😂😂 shidaa mnadanganyanaa bila kusoma Biblia

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 5 หลายเดือนก่อน

    Unakumbuka lile andiko linalosema .shetani we kaanyumayangu

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 5 หลายเดือนก่อน

    CHRISTIANS NA CHRISTIANITY
    Neno CHRISTIANS limetamkwa mara tatu kwenye Biblia. Lakini Yesu Kristo (pbuh) hakulitamka neno hilo kwenye Biblia.
    CHRISTIANITY✝️ ni Dini lakini haikutamkwa kwenye Biblia.

    • @simonnjoroge187
      @simonnjoroge187 5 หลายเดือนก่อน

      Christian are followers of Jesus Christ

  • @CosmasMaghanga
    @CosmasMaghanga 5 หลายเดือนก่อน

    Makafiri ni nyinyi waislamu mnaoabudu jiwe jeusi la maka. Jiwe laweza kukufutia dhambi?

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Kuna wanaoabudu mapicha ya myahudi na masanamu makanisani dhidi ya kukatazwa wasiabudu masanamu.

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukafir wenu unawasumbua uongo ni wenu makafir mnadanganya watu mpaka wanakufa

  • @CosmasMaghanga
    @CosmasMaghanga 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna uchafu mwingi katika uislamu

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Hapana uoslam hauruhusu vitendo vichafu kama kupakuana vinyesi kama ilivyokua Sodoma na Gomora. Ukitoka kuzini au umelewa huruhusiwi kuingia msikitini wala kushika korani au kuisoma. Uchafu ni pamoja na kuvaa kishetani nusu utupu kwa kanisani ruksa huku waumini wakichanhanyika kupeana tamaa za kimwili.na kuharibu sala na maombi .

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Uchafu ulio wazi ni kiruhusu au kutokemea kupakuana vinyesi nchi za kiislam zipo hata zenye azabu ya kifo. Kule ulaya na nchi zinazoruhuzu mdoa za jinsia moja ndoa nyingi hufanyika makanisani wengine wakiwa wamevaa misalaba. Hayo huyaoni katika ncbi za kiislam wazi wazi adhabu ni kifungo au kifo

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 3 หลายเดือนก่อน

    😂kati ya vitabu vya kiislamu na wewe nani muongo zaidi

  • @mussamohammedy8014
    @mussamohammedy8014 4 หลายเดือนก่อน

    Yaaaaan nyie mnalazimisha kutengeneza kitabu kilicho chini ya masonik kionekane ni ukweli mbele za macho ya watu unatafuta alipozikwa yakubu kumbuka yakubu eneo alilo zikwa ni husia alitoa halafu wayahud sio miongoni mwa watu wa biblia

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 5 หลายเดือนก่อน

    Wakristo nyote hamuna akili wajinga wapimbavu Wala hamuna dini munajisumbua tu

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli Uislam ni utaahira kabisa.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Utaahira ni huo wa kuamini Mungu ni Myahudi aliyetahiriwa na ndio yeye anachorwa mapicha na kutengenezewa masanamu na kuabudiwa. Kwa hizi dhihaka madharau na kufuru mtaadhibiwa

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 หลายเดือนก่อน

      Hivi ni kweli Yesu ambae ni Mungu wanasema alikua myahudi ? Mwanamme katahiriwa?!?? Ndio huyo Mungu anachorwa mapicha na kubandikwa makanisani naxkufanyiwa masanamu ambayo hupigiwa magoti na kuombwa?!?? Utaahira anao nani? Yesu anafanana na Mzungu hivi wakati huo kulikua na kamera? Matukio mengi tu si tarehe za kweli za kutengeneza tu Yesu hakuzaliwa hiyo tarehe ya krismasi wala hayo mambo ya pasaka sio tarehe halisi sasa kina nani wanadanganya?Mungu alitahiriwa kazaliwa na kuuwawa kwa mateso kama si uongo ni nini? Mungu anaweza kubebwa Mimba. miezi Tisa?!?! Halafu Mungu sasa alikua nani wakati Mungu yuko tumboni kwa bimadamu?

    • @mwinyijuma2686
      @mwinyijuma2686 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu alipigwa mieleka na yakobo mpaka akaomba aachiliwa katika kitabu Cha mwanzo.Sasa mungu Gani huyo wenu ambae hata nguvu hana😂😂😂

  • @abubakarrahim8482
    @abubakarrahim8482 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanza sahihisha biblia maana uwongo umejaa ndani yake na waandishi wakiroma. Isa alitumwa kwa Wana wa Israeli na ukristo mulipandikwa na wapagani huko antokia kwa kuwa dharau .

    • @simonnjoroge187
      @simonnjoroge187 5 หลายเดือนก่อน

      Christian are followers of Jesus Christ

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 5 หลายเดือนก่อน +1

      CHRISTIANS AND MUSLIMS
      IN
      THE QUR'AN AND THE BIBLE
      ​@@simonnjoroge187There is no Muslim who doesn't follow the Prophet Jesus (pbuh), who is mentioned 25 times by name in the Qur'an, but the Muhammad (pbuh) is mentioned 5 times.
      Christians is mentioned only 3 times in the Bible but 14 in the times in the Qur'an. How many times Muslims mentioned in the Bible?
      The is a Chapter dedicated to Mary (RA), Mother of Jesus in the Qur'an unlike the Bible. She is the only female mentioned by name in the Qur'an and the Best female in creation in the world no such thing in Bible.8

    • @FabianPiusMghanga
      @FabianPiusMghanga 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@khatibal-zinjibari6956 Yesu siyo Isa.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@FabianPiusMghangaJina lake ni lipi kati ya yafuatayo?
      1) Yesu
      2) Isa
      3) Jesus
      4) Immanuel
      5) Emmanuel

    • @johnkilimo9520
      @johnkilimo9520 5 หลายเดือนก่อน

      Muhamad alikua Muongo msahaulifu na ukiwa muongo usiwe msahaulifu

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 5 หลายเดือนก่อน +1

    MTUMISHI WA SHETANI NA IMANI YA WATALIANA, UMEZALIWA NA PAULO KTK KAFIRI, HUJAMBO? 😂

    • @CosmasMaghanga
      @CosmasMaghanga 5 หลายเดือนก่อน

      Imani ya makafiri wa kikoreshi. Ndio uislamu

  • @ibrahimmohd6859
    @ibrahimmohd6859 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbe unajitia ubabaifu eee?? Subiria na tuone !!

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 5 หลายเดือนก่อน

    Ujinga mwingi unao rafiki

  • @mohamednyuni2631
    @mohamednyuni2631 5 หลายเดือนก่อน

    Njaa inakusumbua tu jombi ila ulitoa njaa yako tumboni ukaipeleka kichwani!