Khai😂😂😂Morini ni peck inafanya ucheke hivyo😂😂😂....Pungiza hiyo kicheko na let him lead or else utajipata umekuwa milayas😂😂😢. Mnakaa poa but Steve is a red flag at this moment lol
@@naomie3221 does that mean morin doesn’t love her kid? Coz the guy said he hates kids, which mother Would love such a person. It brings the question of what kind of a mother Morin is. Her friend carol Sonia is so much present in her own kid’s life.
Kama hapendi watoto don't dare date him wacha aende akadate msichana mwenye hapendi watoto to be honest,husiforce issue,u beautiful and hardworking babygal ❤❤❤❤, nipitieni guys pale kwangu youtube channel tafadhali
Whoever who brought this 2 2gether ubarikiwe ju therapist alikua ameniambia mahali nimefika sasa nijaribu maombi 😢😢with this 2 my mental state is awesome😊
Hata Mulamwah na Ruth walianza hio ya bestie bestie 😂, bebii na bebii wa bebii started like " you are not my type, you too you3are not my type 😂😂. Look at them today😂
Morine that man doesn't deserve you, you are so beautiful in and out to fall in love with such a guy.... Of course he's handsome but if hapendi watoto Sasa huyo mwapelekana wapi? Au ni WA starehe
Morh unakuanga umekufia yeye na sio vimbaya, juu ukishindwa kuficha your feelings it's okay we understand, but like your fam, msinichukulie kwa umbaya, kuwa makini sanaa asikuone kama uko desperate na mwanaume, a take advantage the end of it aku dessapoint, please pesa sio kila kitu kwa peace ya mtu love you much moh❤❤
Steve wa massage anakaa wale machali wakiachwa they make you feel like your the worst like hawezi admit amekosea ...moh take care love with your 5 common sense but ukitumia your hrt utaenda kulilia kwa bafu na hot shower 😢
Morin ameamua hizi podcast yake na Steve lazima nichekange ka fala tu😅😅😅😅😅nlikuwa naskia kupiga nduru steve atamwaga drink kwa kiti kumbe ako rada mbwa mimi😅❤❤❤
Kila kitu ni content, without content no one would watch it they dont spice things up, thosnos maureens job, creating content!!!haroooooo!!!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅
@@MORINSLIFSTYLE go go go mamaa🥰...if you are happy while with him na unafeel kabisa unampenda why not,yoh...pia Steve ako ithaa yako mbaya sana..pia yeye anakurushia tumistari bt unaona ni jokes,then anafurahia ukimshikashika...we love you 😍😍😍,do it mamaa
Kitu naweza sema somaneni 1 year hivyo ...time is always the best to reveal true vibes and the real sparkles ✨ between you two....usikulwe moh plz avoid at all cost
Mwenye alifanya hawa wajuane barikiwa sana mahali uko......wanamatch vibaya sana....wako in love bt hawataki kutuonyesha directly
hii morin huwezi tuskiza,unakuwanga umekufia steve mbaya,your reactions,wacha to
Hawa wanatuona kama dina zao😂😂😂😂😂pendaneni iishe ata bebii na bebi wa bebii walianza hivi😅😂❤
😅
@@JanneMwekinae nipitieni
😂😂😂❤
BT ya bebii ishakua content after obi got his typ
@@aminawangui3124 nipitie
Khai😂😂😂Morini ni peck inafanya ucheke hivyo😂😂😂....Pungiza hiyo kicheko na let him lead or else utajipata umekuwa milayas😂😂😢. Mnakaa poa but Steve is a red flag at this moment lol
Morin unapenda Steve....so evident on how you behave mkiwa na yeye
True 💯💯 haiwezi fichika at all
Nipitieni @@naomie3221
@@naomie3221nipitieni
@@naomie3221 does that mean morin doesn’t love her kid? Coz the guy said he hates kids, which mother Would love such a person. It brings the question of what kind of a mother Morin is. Her friend carol Sonia is so much present in her own kid’s life.
@@ivachristie6802 hii ya Morin ni ngumu sana.. wacha wapendane tu labda kijana atapenda watoto baadae,💀😂😂
She love it here😍☺️we females we dont hide what we love
Hawa watu Ile mapenzi wanapeana ni kufa dereva,makanga❤❤❤❤❤
Morin amefall in love😂😂😂
when too people are best friends ND love each other wee ❤❤❤ Nipitienii team moh tuko wengii Kama unaelewa
Kama hapendi watoto don't dare date him wacha aende akadate msichana mwenye hapendi watoto to be honest,husiforce issue,u beautiful and hardworking babygal ❤❤❤❤, nipitieni guys pale kwangu youtube channel tafadhali
Done nipitie pia
😂😂😂
The moment you start simping on a man even before he does your toast...Morin amefall deep in love 😂
Morin n Steve Been friends from kitambo, check 1 yes ago videos , them doing content together even before Steve was known
Mkae kwa kiti moja Fundaaaah i like the touchy touchy thing moooh i started like this sai niko n mtoi wa first sight guy
Morin uko in love Na huyo msee,Wacha kutupima
Whoever who brought this 2 2gether ubarikiwe ju therapist alikua ameniambia mahali nimefika sasa nijaribu maombi 😢😢with this 2 my mental state is awesome😊
😂😂😂😂😂😂umewachana na maombi ukaletwa uku
😂😂😂😂😂 ss utacha maombi ama utaendelea kujaribu
My favorite gal ... personally l really love listening to you..
I love you all...moh and Steve you are such a vibe..... May you live long and happy together
These two are in love ❤ but they match well Wacha tudhani tu vile tutadhani please
He doesn’t like kids, she has a kid
Uyu ata delete homework ya mtoto
@@zuritash8799 😂😂😂😂
Mtu anachukia watoto😮
akii😂😂
I love seeing a galdem happy 😁😁,,,, You guys are rhyming and still a vibe together 🔥🔥🤜🏽🤛🏽
We need more of the content you're doing together please,,vibes yooh inagive ata mtu akiwa stressed ,anyway acha tusidhani😅 venye tunataka kudhani,,,
These two should just go book an airbnb and finish with that curiosity they have. The chemistry is burning hot like fire❤🔥❤🔥❤🔥ITS HOT IN HERE!
Washa fan tujipepete😂😂😂😂it's so hot in here😂❤
MAUREEN IS SO IN LOVE.M HAPPY FOR HER.
Morin ako in love ata haifichiki ❤️❤️....😂😂😂 anyway nawapenda big Tym 🫶
😂❤Moh kitenge iko ready hapa tumekubali n yes😂
Tutapimwa na wakairu 😂
Aki Maureen you are in love walai... I hope Steve sees it coz weeeh
Na nlijua Steve unataka tu moh,,,, na mna match shoot it🫴
Aki mama morin mnapendeana😂😂❤❤❤I love the laughter 😅
Eh eh eh, mimi naye nishadhani... Hii ni kama imeenda kabisaaa!!
Na msiwahi peanana coz the segzual tension inafanya niblush bure:)
Morin is laughing alot eeeeeeeeiy 😂
Uuuiii that's why I love you moureen❤❤❤feel loved baby gal ❤❤❤❤❤
Inaanzanga tu hivi😂😂bestie bestie chubbbwiiiii
Hata Mulamwah na Ruth walianza hio ya bestie bestie 😂, bebii na bebii wa bebii started like " you are not my type, you too you3are not my type 😂😂. Look at them today😂
@@hannahrhodah2018usidhani 😂😂😂be very kin about what you're saying 😂😂😂wanatuona kama misheveve I'm done
Morine that man doesn't deserve you, you are so beautiful in and out to fall in love with such a guy.... Of course he's handsome but if hapendi watoto Sasa huyo mwapelekana wapi? Au ni WA starehe
Most men don't n that's why we have single mums, if tgey said it out loud ladies won't have to give birth to fatherless kids
Morrin unacheka sana, your reaction can show us yu in love, mnaryme btw steve propose bana😂😂😂
Morini this is the best combo❤🎉🎉
Na ile hug nliona TikTok iko wapi😂😂
Morh unakuanga umekufia yeye na sio vimbaya, juu ukishindwa kuficha your feelings it's okay we understand, but like your fam, msinichukulie kwa umbaya, kuwa makini sanaa asikuone kama uko desperate na mwanaume, a take advantage the end of it aku dessapoint, please pesa sio kila kitu kwa peace ya mtu love you much moh❤❤
Ukiona dem anacheka sana hivyo ako in love
😂😂😂
😂😂
It's gud because uta m change Steve kwa kukata watoi maybe ata kuwa sw it gud,, keep going ed All the best ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Steve ni red flag mbaya Sana and Maureen ako so much in love aki and this guy
Steve wa massage anakaa wale machali wakiachwa they make you feel like your the worst like hawezi admit amekosea ...moh take care love with your 5 common sense but ukitumia your hrt utaenda kulilia kwa bafu na hot shower 😢
This guy loves her too, he really protects her and that's a plus
@@Lilianmuriithi-nx3pvsijui hadi mbona watu wanamuingililia and their feeling is mutual
Kama mama steve anaulizia sisi n nani morin ❤❤😂moh go on
I love this girl ❤❤❤❤ she is a viiiiiibe......
Dem is in love🥰
But wanaeza kaa poa pamoja 😍
😂😂😂😂wah morin hii imeenda
Mmegongana sindio🎉
@@gettymetto1993 lazima 😄 🤣 😂
I just love ❤ when Steve says "Damnn!! ❤"
Nmeanza kupenda hawa venye napenda bebii na bebii wake
Morin ameamua hizi podcast yake na Steve lazima nichekange ka fala tu😅😅😅😅😅nlikuwa naskia kupiga nduru steve atamwaga drink kwa kiti kumbe ako rada mbwa mimi😅❤❤❤
Mimi mwanaume wa ear ring hapana hata wa bure mmmh any happy for you moh . Mtu aguze comment yangu ajue bora niko na ongoya
Love is in the Air...Morin that's yo bsst friend.
Unaona bebi na bebi wa bebii😂😂😂😂walianza ivi❤❤❤
Lkn yao n content lkn.hii inakaa real😂😂
@@Magdalydiah nipitieni
@@Magdalydiahilikua almost real until him akapata his btype ikakua content
Aki Mimi acha nihamie uku Sasa..coz uko kwa bebii na Obinna kiliniramba after kujua ni content..hope pia huku mambo hayatabadilika😂😂😂😂
@@MavellaMavella ata huku no content BT atlesst huna expectations
Watu wanatafuta pesa wengine wanadhani ni mapenzi 😂😂😂😂
Exactly,,,,
Kila kitu ni content, without content no one would watch it they dont spice things up, thosnos maureens job, creating content!!!haroooooo!!!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅
She is just a happy gal.
Maureen amezama ndani ya mapenzi 😊
Someone is in love ♥️
I love the combo but maureen laughs alot
Si kwa ubaya though😢
Ee anacheka sana iko too much😂😂
😂ana over do nkt
Anaforce kicheko kuimpress steve
Moh chunga kisikurambe,tunakupenda but ile furaha uko nayo.The gal is in love
Nilidhani mko in love😂❤🎉
Venye nimetoka ticktock nikakuja kuonea uku ki hug nimeona ticktock 😂😂😂😂 you have disappoint me 😢
Morin ashapeana kasusu wanatuona kama matako yao😂😂😂
Morin can't even control herself..red flags saa hii anaeza ona zinakaa pink😂😂😂
Red flags niliziona from the first show...omg morini you're not ready for the shege
😂😂😂😂
@@mainchick6631😅😅
Ama yellow 😂😂😂
wamama waaaah!!!! washana na sisi morinii
Morin unaexplain sana hii imeenda 😂😂😂
Alafu sijui mbona nawapenda❤❤❤❤
😅😅😅😅😅😅mimi ata sielewi morin anacheka niniii..whats funny?ama ni mapenzi aki😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅love is a beautiful thing dont get ot twisted
Moh amemkufia mbaya😅
Moh anasema hakuna kuficha ni directly mbiombio tukisonga....Steve hutaambiwa tena na moh...she is madly in love with you vibaya sana
Woi 😢
@@MORINSLIFSTYLE go go go mamaa🥰...if you are happy while with him na unafeel kabisa unampenda why not,yoh...pia Steve ako ithaa yako mbaya sana..pia yeye anakurushia tumistari bt unaona ni jokes,then anafurahia ukimshikashika...we love you 😍😍😍,do it mamaa
Yoh
Lazima nidhani mimi
Mnaeza kuwa couple 🎉cute❤ walaii Steve fanya iyo kitu🎉
I thought Morin was ithe wa Nderitu girl friend (Jay Kahiu)😢but kairitu seems in love with our lecture 😂😂 anyway their decision matters
I love you too our guy is happy our girl is happy ❤
Moh mi nayo nitadhani 😂
Mm napeda morin but punguza kicheko ama ako in love
This two are in love 😂❤❤❤
This people are in love walai ama tunadhani sana😂😂❤❤❤tupitiane lkn guys
Tupitiane
@@ritahkymm nimekupitia mamaa nipitie pia
@@Trizahgitonga4850 done
Moreen hii kuchekacheka inabore,we know ur happy bt just control babe girl,
😂😂😂this
Nyinyi ndio mko boring na humor zero
Mimi nawapenda hiyo nayo sio siri.
But Steve anapenda wamama so Mama morin it iiiiis........yaaaaay!!!!
Team morin, tupitianeni hapa ❤❤❤❤❤
Heey nipitie nikupitie
Am hoping that you guys are good friends....kumbavu zangu ubwa mimi😂😂😂
Ndiramwonera 18......
Kenyaa tuuu ndio unaweza bebwaa ujinga na u comment ooo,eeee na mtu anaona tu wapenzi
Nipitieni tugrow woteeee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii ni moto siwezi pitwa walai🥳🥳🥳🥳♥️💯
aahh mimi nayo kitenge naanza kushona
Huyu ni wa kwetu Narokooo 46shoe size inaeleweka, you two are go getters get each other 😂😂
😂
❤❤❤❤❤❤nawapenda bure
hii kicheko ni ya mtu ako in love na fisi...mimba wewe..
😂😂😂why are you saying the Truth 😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂mimba wewe got me na sijanyesha miezi tatu
Hope ziko njiani zinanjoo😂😂😂😂
Nipitieni niwapitie kindly
Morin anakua confused na presence ya steve
Mnatuona matako yenyu kunavile tunawaonea 18 luv in the air
Sasa nyinyi wasee kuchekacheka ya moh inawasumbua na nn sasa
Nashangaa! That's her personality I'm like that too... She makes people laugh mbona hawataki yeye acheke
Juu anapenda wamama ,vaanga kama mama morin ataanza kukufia😅😅😅😂
Morin come on gurl you can do better😊😊unaangusha points joh😂😂
Kitu naweza sema somaneni 1 year hivyo ...time is always the best to reveal true vibes and the real sparkles ✨ between you two....usikulwe moh plz avoid at all cost
Kwani na Morin ana gift tu ... Steve should reciprocate as well.....
😂Morin uko in love pekee yako...lkn si men can pretend 😂😂
The key words here are "everytime am in a relationship "❤❤❤❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣then denial
Hiyo kichrko ya Morin says alot wanawake na mapenzi
They are Lovers 💓 bt swali ni huyu dame Ako na mtoi,na jamaa alisema.hawezi penda mtoto 😢😢😢
@@SantaSantaa-q6dWacha kimurabe
So thiiis is loovee🎶🎶🫠🫠😂😂😂
Team morin mnipitie niwapitie please 🎉❤
Hawa wanakulana if not watakulana sooon😂😂 but nawapenda ❤
Hii nayo ni must
Nipitieni guys we grow together
C wivu but be careful morin ngoja upedwe
I love the combo❤
❤❤❤❤❤