Mzozo wa Iran na Israel: Je, uwezo wao wa kushambulia na ulinzi ni upi?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wamebaki 20,000 tuu washauwawa sana mwaka huu

  • @MobigoMobigo-io5re
    @MobigoMobigo-io5re ชั่วโมงที่ผ่านมา

    BACHUNYA family Iran❤

  • @NurdinOzil
    @NurdinOzil 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Akili huna vyanzo ulivyotumia ni uongo vitu vya jesh huwez kuvijua

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Iam dom ainampa makombora ya iran kwanina fathaa yamepita nakushambuliwa.j

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 3 นาทีที่ผ่านมา

    Israel pamoja na vituko vyake vya kuua Raia na viongozi wakubwa.Bado Iran inawadharau sana tena wala hampi uzito wowote.1-Kitendo cha kiongozi wake mkubwa kabisa nchini Iran kuswali swala ya ijumaa eneo la wazi tena ikiwa imetangazwa siku kadhaa waziwazi nikujiamini kukubwa sana.2-Rais wake kuenda Doha Qatar waziwazi tena huku nchi yake ikimimina mabomu israel Na Akaenda kukaa siku mbili kufanya vikao tena vinavyotangazwa.3-Leo waziri wao wa mambo ya nje kuenda Lebanon makusudi huku israel ikiwa imepiga marufuku kutua ndege yoyote ya iran hata ya Abiria.Huu ni uchujaa wa kiwango cha juu sana

  • @Saidesaideinacio
    @Saidesaideinacio 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Na Iran Bila urusi na china Hamna kitu😂😂😂

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yy anatenge na kuuza amuone netanyau kila anapo utubiya bunge irani

    • @iddihamisiharuna8261
      @iddihamisiharuna8261 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeona wapi urusi na China wakiseka wamemsaidia iran silaha au wanajeshi? Mashoga ndio wanasaidiana wao kwa wao. Iran ni vidume wanatengeneza silaha wenyewe

    • @HusseinAli-i9n
      @HusseinAli-i9n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Iran na urusi zote zina nguvu ndugu Nadhani Iran kama haongpzi kuwa ma newclear bomb ni watatu duniani

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muamdish hujui chochot ,hv istael anavyopmabn kila sik itakuwaj awe ana silaha chache ?

  • @Laughter_man
    @Laughter_man 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Israaaelii bila baba yao marekani ni hamna ktu

    • @christianchando7041
      @christianchando7041 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Unaumwa wewe. Marekani inamtegemea myahudi kiteknorojia, wakuu wa kijeshi nchi nyingi duniani wanasoma pale Israeli hata Tanzania maafisa wetu wa kijeshi huwa tunawapeleka israeli kusoma

    • @CharlesMbise-hc2sz
      @CharlesMbise-hc2sz 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wew haujui unachokisema na haujui maandiko embu ngoja nikufundishe (Ezekiel 39)Mungu hajawah kusema uongo na ni lazima urusi iungane na mataifa mengine ili wawe na nguvu Kisha kupitia Israel ndo Dunia itajuwa kuwa Mungu yupo na taifa hilo

    • @Anthonyzombie-d2s
      @Anthonyzombie-d2s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hun unalolijua mzee kale kanye

    • @wazirihamdu6106
      @wazirihamdu6106 46 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@CharlesMbise-hc2szyaan wew ndoo hamnazo kabisaaaaa bado akili yako ipo kwenye maandiko wakati now tupo kwenye uhalisia.

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    IsraHell Watakiona ChaMoto hapahapa Duniani...😂😂

    • @kassioothemiracle1688
      @kassioothemiracle1688 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio kirahis Kama unavyofikilia kaka

    • @samyjonez9468
      @samyjonez9468 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      nenda iran sasa uone kitachokukuta

  • @CharlesMbise-hc2sz
    @CharlesMbise-hc2sz 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Israel haipigiki