Napenda sana mtumishi wa namna hii..unaongea Biblia na si mipasho kama watumishi wengine,mtu anasoma mstari mmoja kisha anaanza kupasha watu mala wanawake wakonkama bajaji,mala sijui nini..lakini hii ndiyo injili isonge mbele. Barikiwa mtumishi Lusekelo
Amina Aminaa MUNGU akutie Nguvu Pastor
Mungu akubaliki kwasomo zuli
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA nyongeza ndogo halumage donia nikati wanaomtafuta BWANA kwa moyo wao wote nawasio mfata BWANA
Asate mchungaji mungu akulinde kweli najifuza mengikupitia wewe
Napenda sana mtumishi wa namna hii..unaongea Biblia na si mipasho kama watumishi wengine,mtu anasoma mstari mmoja kisha anaanza kupasha watu mala wanawake wakonkama bajaji,mala sijui nini..lakini hii ndiyo injili isonge mbele. Barikiwa mtumishi Lusekelo
Amina mtumishi
Unayarudi kweli magoma. Mungu Skype uhai mrefu baba wa upako. Watashindana lkn hawatashinda. Amina.
Yauwiiiiiiii Baba umekasirika Sana na hao wapinga christo. Waambie msaidie Rais wetu. 2020 hawataonekana kwenye mjengo.
Nakupenda.una.mafundisho.mazuri.baba
Nakuelewa 🙏🏿
Amina baba mch
Amina baba.
Amina.baba
Amina
Hakika MUNGU Ukasimame na baba mchungaji,hii kazi ni ngumu
Amen Mtu wa Mungu
Nashukru mchungaji Wangu naitwa Emmanuel Niko musoma
Thanks
Pamoja
Ameni
John 😢
Naona mzee umerudi kwenye mstar
Ameen
Amen
Injili ya toba
Amen
Ameni.....kubwa Sana
Nashangaa mtu anayetumikia nguvu za giza anajifanya anapambana nazo!
Ww umejuaje
We ulijuaje
Amen
Ameen