Zari athibitisha kufunga NDOA, ajibu kuhusu Diamond kuwapost watoto "hajawaona zaidi ya miezi 9"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 250

  • @leeron77
    @leeron77 5 ปีที่แล้ว +17

    Congratulations Zarina Hassan, am happy for you, May God Bless your marriage and give U both love, peace and long life. U deserve to be happy baby, enjoy life dear 😍😍😍😍🎊🎈🎉🎈😍👏👍

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 5 ปีที่แล้ว +23

    All the best zarina 👍👍👍💞keep the fireee burning always l like that life is too short

  • @annaupendo4768
    @annaupendo4768 5 ปีที่แล้ว +43

    Mimi sio team Zari ila kajieleza Vizuri kama naanza kumpenda penda hivi 😊😊

    • @salmaothuman9762
      @salmaothuman9762 5 ปีที่แล้ว +3

      Utampenda tu mwanamke anaejielewa

    • @hawantibagirirwa2419
      @hawantibagirirwa2419 5 ปีที่แล้ว +2

      Mpende tu

    • @chainbre275
      @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +1

      @@salmaothuman9762 kabisa

    • @beatricekamengekamenge5543
      @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa yaan hata mie nimemuelewa sanaa zari japo team hamisa zari yup naakiri sanaa

    • @keagleeagle821
      @keagleeagle821 5 ปีที่แล้ว

      @@beatricekamengekamenge5543 Kumuelewa Zari sio lazima uwe humpendi Hamisa.Nami binafsi namuelewa Zari muda mrefu na sasa namuelewa oia Hamisa naona kawa matured pia.Hivyo nawakubali wote

  • @umutoni-roussel5233
    @umutoni-roussel5233 5 ปีที่แล้ว +15

    Congrats mama T ,may God protect you in this new journey 🙏🙏🙏

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +13

    Haya mange sijui ataambia nini watu??? Anyway congratulations mummy T may God bless your married

  • @emmanabwire1292
    @emmanabwire1292 5 ปีที่แล้ว +7

    all the best zari,,be strong and careful,, I you will make it dear

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +3

    Congrat's zari kwa kutimiza ndoto yako all the best mke wa mtu, ishu ya watoto atuna lakusema atujui mkwl nani, naamini mtayamaliza kifamilia.

  • @nancynmbugua7047
    @nancynmbugua7047 5 ปีที่แล้ว +16

    Congratulations to zari the boss lady

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 5 ปีที่แล้ว +12

    😂😂😂😂 I remember me telling one of my friend that pic from diamondplatnumz was TBT but she keep arguing with me. You can tell is tbt coz NEE hair was braided and right now he has short hair. Anyway congrats MA TEE you deserve the best especially getting a man who loves your kids that's a Nike!!!!!

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 5 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations my love zariiiiiiiii kila LA kher ktk ndoa yako 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤

  • @jenambarikiwa4554
    @jenambarikiwa4554 5 ปีที่แล้ว +7

    Congratulations zari God bless you

  • @iptygal
    @iptygal 5 ปีที่แล้ว +14

    hakumpenda zari asingemtuma babu tale south africa akaombe msamaha domo hilo ongo

  • @rahmaismikhan2622
    @rahmaismikhan2622 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana mama kuwafyata midomo waliyosema unatamani kurtosis Diamond. Walisema unaskiya wivu wa 707 party, but you've proved them wrong.Congrats siz.

    • @liverobongo7349
      @liverobongo7349 5 ปีที่แล้ว

      👍👍🙌🙌🙌😍😍😘

  • @royalamina2426
    @royalamina2426 5 ปีที่แล้ว +3

    Atlast its finally settled..
    Big up Zarina
    Congrats on her behalf of the family may they have peacefully mirrage... ❤️❤️❤️❤️

    • @neemaben9989
      @neemaben9989 5 ปีที่แล้ว

      Congrats alot ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @abdullasoudi8361
    @abdullasoudi8361 5 ปีที่แล้ว +3

    All the best zari strength of a woman I lov the way ure putting ua points wel spoken wishing you success from+974

  • @NANCYWARD488
    @NANCYWARD488 5 ปีที่แล้ว +3

    CONGRATULATIONS ZARI. MUNGU AKUTANGULIE KWA KILA STEP

  • @theopistamganwa7752
    @theopistamganwa7752 5 ปีที่แล้ว +3

    Congrats mama T. Zari the boss lady Penda sana mamy

  • @SandraSalomeAngolorctr
    @SandraSalomeAngolorctr 5 ปีที่แล้ว +7

    Naysayers here need to drink some water. I am not a Zari fan but Zari's marriage is probable. People that live abroad get married by law and there's no need to throw lavish parties. I speak from experience.

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +20

    Ila na omba zari asimuoneshe kingbae maana manyakunyaku wanamuotea ile kinoma

    • @maatumkhatib4927
      @maatumkhatib4927 5 ปีที่แล้ว

      Tena aendelee kumficha pia

    • @ninaclaudia1990
      @ninaclaudia1990 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @chainbre275
      @chainbre275 5 ปีที่แล้ว

      @@maatumkhatib4927 kabisa

    • @leeron77
      @leeron77 5 ปีที่แล้ว

      Kweli 😂😂😂

    • @magymagy2156
      @magymagy2156 5 ปีที่แล้ว

      Akuna ndoa apo ASIKUDANGANYE mtu
      Ana wachezeya akili uyo maman

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +6

    Yani interview yake nimemuelewa sana uyu Dada, kaeleza vizur mno

  • @doreennasike6298
    @doreennasike6298 5 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations mama 5🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @asmachambuso5458
    @asmachambuso5458 5 ปีที่แล้ว +5

    💃💃congratulation mm te

  • @cellyjoseph9478
    @cellyjoseph9478 5 ปีที่แล้ว +1

    All de best zarri 😘😘😘

  • @jojoallonzo7781
    @jojoallonzo7781 5 ปีที่แล้ว +17

    😁😀😀😀diamond is a professional lier . We all knew it's old pic who wants kiki every time .Anyway congratulation zee

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 ปีที่แล้ว +8

    Watamuiba anaogopa kumbuka kuna watu Marina yanahifadhiwa walishamfuata marehemu semwanga mpakaka SA

  • @safikapufi422
    @safikapufi422 5 ปีที่แล้ว +2

    hiyo ni ndoa hongera yake mungu amuongozee

  • @cellyjoseph9478
    @cellyjoseph9478 5 ปีที่แล้ว +1

    Zarri ni mwanamke mwenye upeo ila diamond sijuii ni kutokujielewa au elimu pia huwa msaada mkubwa wa kupambanua vitu au sijuii karogwa na aliyemloga kafa naomba ajitambue mapema vinginevyo maisha yake yatakuwa yasioeleweka

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 ปีที่แล้ว +1

    Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatmaalrashdi1577
    @fatmaalrashdi1577 5 ปีที่แล้ว +14

    Nasibu munguogo kusema eti alikua hampendi zar agekua hampendi mbona anisema ataenda na magoti mpaka kwa zar kaona zar ndio kamuacha sasa ndio kusema alikua hampendi

    • @florahangel1718
      @florahangel1718 5 ปีที่แล้ว +1

      Hayo yalikuwa ni Maneno tu

    • @habibabandru9174
      @habibabandru9174 5 ปีที่แล้ว

      @@florahangel1718 mimi na dai alikua ampenda sana zari lkn zari hataki kufanywa viporo sasa hamisa anakubali tu. Na Dai hajawahi kumpenda Hamisa na ndo maana hajawahi kumuonyesha mbele ya watue

    • @florahangel1718
      @florahangel1718 5 ปีที่แล้ว

      @@habibabandru9174 Diamond alikuwa yuataka watoto tu

    • @habibabandru9174
      @habibabandru9174 5 ปีที่แล้ว

      @@florahangel1718 sio kweli Dai aliringa sana na Zari kila anakwenda naye. Kwenye mikataba ya makampuni anaye lkn wanaume hawataki kuambiwa wameachwa. Mbona hamisa hajawahi hata kumpetipeti kwenye halaiki kama zari au tanasha

    • @florahangel1718
      @florahangel1718 5 ปีที่แล้ว

      @@habibabandru9174 Mimi naamini Dai alikuwa yuataka tu watoto,hakuna vile alikuwa Atamuoa Zari na huo umri wake

  • @mjukuumaiige8559
    @mjukuumaiige8559 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera zarina

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 2 ปีที่แล้ว

    Zari zari iko vizuri sana ameshukuwa muda kujega maisha yake kweli.kiukweli alimupenda sana Diamond ila mond alijiona mwerefu sana aya waleye tu watoto ivi tazania wataelewa

  • @boalelaiyoko48
    @boalelaiyoko48 5 ปีที่แล้ว +4

    Congrats to zee👏

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว +3

    Duh ss huyo shem yuwapi sura hatumjui

  • @josej9888
    @josej9888 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyo mange ataendelea kudanga nakunyonya mb...za wazungu maisha yake yote.

    • @marymwita9806
      @marymwita9806 5 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃maneno kuntu👌👌

    • @magesweet6233
      @magesweet6233 5 ปีที่แล้ว +1

      Yan hill lidada linamchukia zari utafikri zar alimchukulia mme?? Lenye lipo uko marekan linaish kwa child support lkn kumsema Zaria daily. Limembuka

    • @josej9888
      @josej9888 5 ปีที่แล้ว +1

      @@magesweet6233 Niwivu tu kwasababu hata akimchukia hawezi kumfikia Zari kwa kitu chochote kile.

  • @magesweet6233
    @magesweet6233 5 ปีที่แล้ว +6

    Nyie si ndo mlisema Hakuna kingbae ni muongo? sasa mbn Leo mnampongeza?

  • @malkoashaali5430
    @malkoashaali5430 5 ปีที่แล้ว

    For the frist time l belive all what zari said zari is queen 💞💞💞💞💞🥀💞💞💞

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 ปีที่แล้ว +3

    Is possible ni picha ya zamani

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 ปีที่แล้ว +4

    Hata mimi nimeplewa ndoa ya Bomani

  • @sophiemuthoni9841
    @sophiemuthoni9841 5 ปีที่แล้ว +8

    I know the truth will be out soon..let's wait en see

  • @diahemed9471
    @diahemed9471 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa mitandao nuksi bora asimpost zari kichwaaaaaa

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera zari wangu mungu awabariki sana katika ndoa yenu KIMAVI utakufa huku unatoka damu za pua haloooo KIMAVI unalo shoga

  • @RynlizzyTheBoss
    @RynlizzyTheBoss 5 ปีที่แล้ว +4

    Ata official Lyn uckute alilala nae sema tu tanasha hajielew na anadatishwa na maneno ya mondi. Iv kama mtu wake aliyekaa nae kwa miaka like 3 au 4 kasema iyo ni tabia yake. Sasa ye tanasha a jipe moyo tu.

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 5 ปีที่แล้ว

    Congratulations Zari

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 5 ปีที่แล้ว +4

    Hayawi hayawi sasa yamekua, Zari nenda kajenge mamii twakuombea kila la kheri mama Tee endelea kujiheshim ipo siku watakubali umekua mfano mzuri. Na watoto 5 lakin mpaka sasa unaolewa bado kweli una bahati za kuzaliwa na sio zakuagiza China.

    • @beatricekamengekamenge5543
      @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂et sio zakuagiza china

    • @nunuuali5316
      @nunuuali5316 5 ปีที่แล้ว

      @@beatricekamengekamenge5543 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndio mamii wengine wanaagiza mpaka kufika hapa zimebaki kama robo

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 5 ปีที่แล้ว +4

    Dmnond jmn sasa anasema hakumpenda Zari kivile ilikuwaje awe nae mpk wazae watoto wawili???? Si vema kbs kuwa na mwanamke hadi mzae halafu badae uje kusema hukumpenda, sasa ulimuaminisha kuwa umempenda nae akaamini kumbe ulikuwa unampotezea muda wake.

    • @leeron77
      @leeron77 5 ปีที่แล้ว +3

      Achana na huyo Zari has started a new chapter of her life. Players don’t know what love is, sijui Zari aliokotana na huyo wapi, but am glad God has answered her prayers. The tears of a woman are never in vain, May long life be your Portion Zari, Mungu akutende mema siku zote 🙏🏾🙏🏾

    • @wennybarny168
      @wennybarny168 5 ปีที่แล้ว

      @@leeron77
      I am Tanzanian but sasa I pitty Tanasha, I amafraid yasimpate machungu. It is very sad and very painful. Shida iko hapo kwamba mwanamke ana invest a lot in a relationship ila mwanaume ana take for granted ana dump mwanamke na maneno mabaya juu anaongezea, but why?? I see Tanasha young and innocent, I feel sorry for her. Seriously!!

  • @fatmaalrashdi1577
    @fatmaalrashdi1577 5 ปีที่แล้ว +5

    Ndio maana tifaa alikua hacheki agekua anaogea na baba yake asige nuna hivo tiffa

    • @jenifajafari7670
      @jenifajafari7670 5 ปีที่แล้ว

      Kwanza my diamond anapenda Kiki Sana ukumbuka siku ili amepost picha za watoto wake tukajua ameongea nao kumbu sio bwana tazama zile picha alafu Kuna kitu utajua vinzuri sana kwenye Tifa amesuka n nywele za lasta na

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama Nasibu hakumpenda Zari angesema.atapiga magoti mpaka South Africa? Aibu zilimshika Nasibu ndio akasema hivo. Speak the truth to ashame the devil

    • @florahangel1718
      @florahangel1718 5 ปีที่แล้ว +2

      Hata boyfriend yako anaweza kukuambia anakupenda na hakupendi

  • @hopechidera
    @hopechidera 5 ปีที่แล้ว +3

    Jaman mimi najua Mandela's day serikali ya South Africa huwa hawatumikagi inakuwaka holiday inchi nzima,sasa mnatuchanganya kusema ilikuwa harusi ya serikali ijapo kuwa 18/07 serikali haitumikagi South Africa🇿🇦👊🏾,basi Mungu abariki unyumba wao💑🙏🏽

  • @melichokisinin3737
    @melichokisinin3737 5 ปีที่แล้ว

    Congz zari u deserve the best

  • @mariammussa2540
    @mariammussa2540 5 ปีที่แล้ว +4

    Mange ataambia nn watu😂😂😂😂

  • @agneschabogo876
    @agneschabogo876 5 ปีที่แล้ว +2

    Jana ilikua public holiday uku southafrica,,,alofungisha hio ndoa kisheria n nani,,,, wabongo mtalalia masikio hadi lini????ata kufikiria pia hamuwezi!!!!nkt

    • @binthassancollection.6308
      @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว +1

      Jamani jamani jamani sina mbavu mm nsiniumize plz😂😂😂😂😂😂

    • @saidahj2543
      @saidahj2543 5 ปีที่แล้ว

      Haiyaaa😲😲😲😲😲😂😂😂😂😂

  • @sophiemuthoni9841
    @sophiemuthoni9841 5 ปีที่แล้ว +4

    We are waiting for our baby boy....a mixed of 254+255....mengine ya vidole kwa harusi...haitutishi.....twajua ukweli with time will be out...truth wins..

  • @hasanzakir1405
    @hasanzakir1405 5 ปีที่แล้ว

    Congrat zarina

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว

    Hongera zari

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sns nyie hata nyinyi mulimpongeza huyo domo ile ni tbt

  • @diahemed9471
    @diahemed9471 5 ปีที่แล้ว +3

    Ata mm nilitak kushangaa kuusu kupost pch za tifa na nillan kuongea na baba yao

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 5 ปีที่แล้ว +2

    You can tell Zari body is king bay but her mind is still on Diamond she wants to destroy Diamond wasafi first tables

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 ปีที่แล้ว +2

    Msiwe mnadoubt ile picha watoto wadogo, Sasa hivi watoto wakubwa.

  • @mgazaathumani3446
    @mgazaathumani3446 5 ปีที่แล้ว +2

    Sawa hongera zake

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 5 ปีที่แล้ว +5

    Sasa Zari Anapaswa kuhachana na mahisha ya Diamond na Tanasha apambane nahaliyake kwaheri Zari na king bar pambanini nahalizenu, hulihisha nyanganya nyumba ya Simba,

    • @carolinemakandi9369
      @carolinemakandi9369 5 ปีที่แล้ว

      Huyo diamond na yeye apambane na tanasha awachane na Zari!!!

    • @Noah-se3ni
      @Noah-se3ni 5 ปีที่แล้ว

      @@carolinemakandi9369 husijali Diamond and Tanasha congratulations supporting each other young couple, kwarahazao

    • @carolinemakandi9369
      @carolinemakandi9369 5 ปีที่แล้ว

      @@Noah-se3ni pia wewe usijali, Zari and her new husband are happily married supporting each other to build their empires... Mature couple kwarahazao

    • @jannyalphonce2589
      @jannyalphonce2589 5 ปีที่แล้ว

      Jifunze kuandika kwanza boya wewe😂

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +4

    Modi anatafuta kiki maana ndo mambo ya wasafi hatakisicho chao lazima watakigeuza ili kiwe chao ilimuradhi tu watrend mitandaoni

  • @nyabendahassan5658
    @nyabendahassan5658 ปีที่แล้ว

    Hakuna jipia mambo ya kawaida zari ongera sana

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 5 ปีที่แล้ว +1

    Godfrey 🤣 🤣 🤣 Njo uskie ulisema zari akiolewa utafanyaje??

  • @teresiamutua4487
    @teresiamutua4487 5 ปีที่แล้ว +2

    Bt all in all,hao watoi ni damu ya Diamond,hata kuwe aji, anyway congrats

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 5 ปีที่แล้ว +1

    Diamond anapenda kiki

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndoa ya mkataba..ila zari ana vituko jamani..wabongo watafanya uwe chizi😃😃

  • @lucywanjiru5697
    @lucywanjiru5697 5 ปีที่แล้ว +8

    Nyinyi watu wa media wa TZ huwa mnaona zari ni kama mungu wenyu , zi mtupe habari za mastar wenyu kama akina Nandy , hamisa , hamo, diamond ...Tumechoka na ujinga za huyu bibi juu kila siku ni mapenzi nyinyi mnapea kiki sana ...

    • @queentivermorgan630
      @queentivermorgan630 5 ปีที่แล้ว +1

      Acha wivu,mtu akikushinda amekushinda jaribu uwe Kama yeye kina jalango wakupe kiki

    • @josephinebishota6698
      @josephinebishota6698 5 ปีที่แล้ว +1

      Wewe si uwapost uwatakao acha wifuuuu

    • @queentivermorgan630
      @queentivermorgan630 5 ปีที่แล้ว

      @@josephinebishota6698 Yani mm hata huwa nashindwa na wanadamu,mtu Hana lolote lakini kaxi kuongea negative things juu ya mwengine

    • @maatumkhatib4927
      @maatumkhatib4927 5 ปีที่แล้ว

      Sasa povu la nini ww kigagula

    • @carolinemakandi9369
      @carolinemakandi9369 5 ปีที่แล้ว

      Wivuuuuuuuu

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 ปีที่แล้ว +1

    Anazeeka kaona bora adandie ndoa, ndoa ya contract mda wowote contract ikiisha anaachwa 🤣😂😂😂😂😂😂
    Bila ivo wangemla mpaka 70yrz bila ndoa #BossBitch
    Sasa vipi kuhusu Mike Sonko si juzi alisema anamtaka?

    • @habibabandru9174
      @habibabandru9174 5 ปีที่แล้ว

      Kwani hizo za kanisani hazivunjiki? Mwacheni dada wawatu jamani. Mbona mama dangote kaolewa sembuse zariy

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 5 ปีที่แล้ว

      @@habibabandru9174 Shida sio kuolewa anajiita #Bosslady alafu anaolewa ndoa ya mkeka...... she is just a #BossBitch Anawahi kuolewa akihisi atamkomesha Mondi ila ndo anazidi kumtibua.... Birthday tu kumeletwa majeshi kutoka kusiko julikana full ulinzi ngoja baby shower na Harusi kama Zari hapandwi na wazimu. Akitaka kushindana na tembo kunya atapasuka msamba

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 5 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭 ndoa wabongo bwana hebu tupumzisheni na hao waongo wa mitandao kutwa kujisifu uongo

    • @binthassancollection.6308
      @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว

      Walia nn jamani??

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 5 ปีที่แล้ว +1

      @@binthassancollection.6308 nalia 😭ndoa ya miaka 60 🤣🤣

    • @binthassancollection.6308
      @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว

      @@sheryphamwenevalley6124 Ndoa haona umri, alafu hiyo ni ya mkataba kama vile ubalozi 😂😂😂😂😂😂😂

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 5 ปีที่แล้ว

      @@binthassancollection.6308 hakuna mkataba wala makubalianoi comedian.miaka yote alikua wapi? Dah kuna watu bila bila kiki maidha hayaendi kabisa 🤣🤣 ss anamtangazia nani.kila siku mitandaono

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh kweli mapenzi nivita

  • @hassan0256
    @hassan0256 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahah Mondi Msenge Sana Ile picha katengeneza 😂
    Na inamaanisha Swala la watoto yy ndio anazingua maana kwann adanganye

  • @rahmaismikhan2622
    @rahmaismikhan2622 5 ปีที่แล้ว +2

    D angejiuliza tu mbona kapigiwa simu na akaongeya na watoto kwenye video call ilihali ilikuwa ngumu, of course she was trying to alert him about something coming which is her coming marriage. Alitaka watoto wasimusahau baba yao

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 5 ปีที่แล้ว +1

    Mondi mshamba kama hakumpenda hivyo kwa nn alimtuma babu Mtu akamuombee msamaha? Well kawaida watu mkiachana vibaya kila Mtu anataka aonekane yeye ndo kaacha. All in all kama kuna watoto ni vizuri wazazi wakachagua la kuongea watoto wa siku hizi hawakawii kuwasemea hovyo wazazi wakijua historic back ground na kumwona nani aliyesababisha wakose mapenzi waliyotarajia. All the best Zari, congratulations I hope this time it will be real love.

  • @magrethmbangama5924
    @magrethmbangama5924 5 ปีที่แล้ว +1

    God be with u mamaa your a Iron women

  • @saumuathuman206
    @saumuathuman206 5 ปีที่แล้ว +3

    si lazima iwe ya watu wengi kuna jirani hapa kavishwa pite na watu walikua watatu tu bora mashahidi wawepo

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 5 ปีที่แล้ว

    Asimuoneshe mana watu ni wanafiki sn mana mitandao mibaya sn bora asimuoneshe tu

  • @sizmaggymaggy5677
    @sizmaggymaggy5677 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni dooa halali

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว

    Uyo king bae kumuona si leo ila je n kweli kafunga ndoa?😂😂😂😂😉😂😂

  • @thebatafly9376
    @thebatafly9376 5 ปีที่แล้ว +2

    ndoa ni mkataba iwe mnaufungia kanisani au kisheria. hata hzo z kanisan huvunjika pia na za boman hudumu

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว +2

    I doobt

  • @Hahaha-yf4ug
    @Hahaha-yf4ug ปีที่แล้ว

    Kama kafunga ndoa ya serekari Hana akili huyo bwana atachukua utajiri wake wote

  • @chimwanakasanda3952
    @chimwanakasanda3952 5 ปีที่แล้ว +1

    Zari sio muuongo

  • @irenesese6968
    @irenesese6968 5 ปีที่แล้ว

    umemuona king bay kwenye ndoa au arusi wakivalishana Pete?acheni mbwembwe

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 5 ปีที่แล้ว

    Daimond muongo sana

  • @priscamasanga2100
    @priscamasanga2100 5 ปีที่แล้ว

    Kwani ndoa ni nini? Hata kama ni ya serikali ni ndoa vyeti ni hivyo hivyo vya ndoa vinavyotolewa kanisani ndo hivyo vinavyotolewa serikalini

  • @lucyngowinimrkorogwe2298
    @lucyngowinimrkorogwe2298 5 ปีที่แล้ว

    Tena sasa hivi kama hamjui ni kwamba ndoa za kidini hazitambuliki kiserikali zinazotambulika ni hizi za area commissioner. Na hapa kwetu wote wanaofanya kazi serikalini wanatakiwa wakafunge ndoa za bomani ndio zinazotambulika kisheria.

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 5 ปีที่แล้ว +1

    Chibu kumbe ametudanganya 😂😂😂

  • @irenesese6968
    @irenesese6968 5 ปีที่แล้ว

    mh Mimi sijahamini kama kweli king bay kweli yupo naona ni mbwembwe tu hakuna cha ndoa wala nini nasikia huyu king bay ni wa kubumba au kukodi

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 5 ปีที่แล้ว +6

    Sasa nyinyi watangazaji kwaziya Leo hatutakitena kusikiya habarizahuyu Zari, tena yeye siyo famous au msani wa Tanzania niwa Uganda ni siyo Tz, tulimjuwa kupitiya Diamond na sasahatutaki habarizake tanguleo

  • @amaranenula8628
    @amaranenula8628 5 ปีที่แล้ว

    Love zari congratulations😍😍😍😍😍

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว +3

    Eti ndoa ya kuandikishana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!!! Eti "japo sio ya kidini lkn ni ndoa !!!"😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Hapo ndo utajua hakuna maisha magumu kama ya ya kutaka kuridhisha wa2.

    • @euniceakudai4203
      @euniceakudai4203 5 ปีที่แล้ว +1

      So you mean you're too naive that you are not aware of civic marriage?

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 5 ปีที่แล้ว +1

      iyo siy ndoa😂😂😂😂😂😂akuna ndoa yakuandikish

    • @binthassancollection.6308
      @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว

      @@zulfamohamed4549 Haipo kwenye bibilia wala Qur'aan tukufu. Yani hapo wembe ni ulele wa zinaa.
      Ni ndoa ya mashabiki hiyo😂😂😂

    • @binthassancollection.6308
      @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว

      @@euniceakudai4203 Ndio

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 5 ปีที่แล้ว

      @@binthassancollection.6308 umeona ususana istagramu😂😂😂😂😂😂ila s ndoa anayo itaka Allah

  • @aminabukenya231
    @aminabukenya231 5 ปีที่แล้ว

    Diamond jamani hta akiwa kwa ndoa bdo hta ruka ruka tu hyo ni kitombi tu wakawaida naofia na hyo dada wngu WA 254 asije akafanyiwa kama hlivyo fanyiwa bi zare jamani wcb mna cfa mbaya shiii

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว

    Zari ni kigeugeu tu

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 5 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍

  • @blackisgold1200
    @blackisgold1200 5 ปีที่แล้ว +6

    Fek ring 🤣🤣🤣🤣

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 5 ปีที่แล้ว

    Yote maisha kikubwa maelewano tuu

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni Play Boy akujua ni mzee na ilikuwaje alimdhalisha Aachen kuponda wanawake

  • @Aaa-nh7gw
    @Aaa-nh7gw 5 ปีที่แล้ว +2

    Anazeeka vibaya huyo

  • @hamzacedricole3673
    @hamzacedricole3673 5 ปีที่แล้ว +2

    Hamna ndoa kabisa wew ndoa ya siri kwa msani uliona wapi sasa kama hajaonana nae kwa mwezi 9 sasa Dylan alikua na umbri gani uyo zari ni muongo sana wallah jiwaze sasa Dylan alikua na myaka mingapi tizam na uso wa Dylan kwanza

    • @fatmarashid2384
      @fatmarashid2384 5 ปีที่แล้ว

      Hujaelewa sio kuonana nikuongea nao Watoto wanaongea na bibi yao tuu mondi muongo