NATAKA NIMJUE YESU-SHALOM ft CHRISTINE KASH
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ส.ค. 2024
- 2 Petro 3:18 SRUV. Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele.
#NATAKANIMJUEYESU
#ZAIDIZAIDI
#TENZIZAROHONI
#TENZIGOSPEL
#shalom
#SHALIXMUSIC
#SHALIX
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Shalix/Solva music studio
Music arranger : shalom
Video Director : Direstor Hirwa Sincerite
location : Nairobi
TENZI 92
NATAKA NIMJUE YESU/MORE ABOUT JESUS
1.Nataka nimjue Yesu (More about Jesus would I know)
Na nizidi kumfahamu (More of His grace to others show)
Nijue pendo lake na (More of His love and)
Wokovu wake kamili (More of His saving fullness see)
Refrain:
Zaidi, zaidi (More, more)
Nimfahamu Yesu (More about Jesus)
Nijue pendo lake na (More of His love and)
Wokovu wake kamili (More of His saving fullness see)
(Repeat)
2.Nataka nione Yesu (More about Jesus let me learn)
Na nizidi kusikia (More of His holy will discern)
Anenapo kitabuni (Spirit of God, my teacher be)
Kujidhihirisha kwangu (Showing the things of Christ to me)
(Refrain)
3.Nataka nifahamu (More about Jesus, in His Word)
Na nizidi kupambanua (Holding communion with my Lord)
Mapenzi yake nifanye (Hearing His voice in every line)
Yale yanayompendeza (Making each faithful saying mine)
(Refrain)
4.Nataka nikae naye (More about Jesus on His throne)
Kwa mazungumzo zaidi (Riches in glory all His own)
Nizidi kuwaonyesha (More of His kingdom’s sure increase)
Wengine wokovu wake (More of His coming, Prince of Peace)
You can support this ministry through
Phone: +254705932774
Email : solvamusic@gmail.com
#tenzizarohonisongs #kenyagospel #dinuzeno #tenzizarohonibydinuzeno
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic #Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
#Kelsy Kerubo #Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
#israelmbonyi
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA
GOD BLESS YOU FOR YOUR SUPPORT - เพลง
Nice song to play in the morning as you pray
Nataka nimjuwe yesuuuu oooh amen
Amena
Amen
Lovely inspiration gospel 🙏
Amen Amen 💖
Haleluyah , mubalikiwe sana kwa wimbo huu.
Nice song
Amen 🙏
Go far br
Hallelujah nice song
Very blessing
More of you Jesus
I'm so blessed by the song
Here for my classmate Christine 🎉❤ thank you for loving Christ ever since
But God is faithful
Amen Apostle 🙏
Ndiyo baba
Nice one
Mungu awabariki Sawa
Amen 🙏🏽
Beautiful voices
Awesome
AMEN
❤Amen Mungu akutanguriye kwayote una itaji 🙏
Amen Amen Mama yangu
Amen amen mbarikiwe sana
Hallelujah mubarikiwe Tena sana
Mu barikiwe kila leo🙏🙏
Nice song mbarikiwe sana
beautiful song 🙏🙏Blessings
Hallelujah 🎉🎉🎉🎉🎉
Amen Thanks 😊
Barikiwa
Wooow,,what a nice song,,
Thanks Margaret...purpose to support and share this song. More are coming. Thanks again
Mbarikiwe kabisa nice song nataka ni mjue Yesu zaidi❤
Amen 🙏
Ndagufana Sana Mama kabaganza
Wao! I love it. God bless you. Nimjue Yesu zaidi.❤
I love the warmth in the voices 😍
A powerful prayer. Awesome
Amazing and blessing I love it
Thanks for listening
Very powerful worship song,sweet voices, stay blessed. Nipitie pia
Thanks kabisa
Najengwa tena nahuu wimbo❤❤
Zidi kubarikiwa... Friday tunakuletea Tenzi ingine
Shalom weeee haki Mungu akubarikiii mpaka ushangae umenibariki sanaaaa
Amen Amen tubarikiwe sote... nashukuru kwa support yako
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏 thanks Lolita
Wow what a beautiful song and voices. May God continue to grace you.
Amen 🙏 we need your prayer and support
Awesome... Stay blessed ♥️
Mubarikiwe sana nduguyangu cz Shalom
Wow congratulations 👏
Be blessed 🙌🙌🙌🙌🙌
Thanks 👍
So calming..... awesome execution 👌👌
Waooooh! Wimbo nzuri sana! Courage!
Asante sana 🙏
This has to be my favourite version.... Mungu awabariki zaidi na zaidi 😊
Thanks Lilian nyambura ...
👌👌👌
👏🏻👏🏻👏🏻
Thanks lolita
Wow What a beautiful Tenzi,God bless you for this. We need more of that.😢
Oooh what a beautiful song !!! I like everything about it❤
Thanks Maries,thanks for encouraging us, let's keep sharing it ifikie wengi 🙏
Woooow nice song for sure 🙌🙌🙌🙌
Please support me by viewing/subscribe for more to come 🙏 THANKS
Done
🎉🎉🎉🎉
Amen amen amen ❤❤ courage kaka wanjye
Asante sana Dada yangu
This is so soothing to my soul.
Be blessed sir 🙏
Good song 🎵 😊may God bless you Uncle Shalix
Thanks Uncle 👍
What a song siz ....the Lord bless you both .Lord I want to know you more
Thanks for encouraging us.. keep supporting us 🙏
zaidi na zaidi nimjue yesu...nawapenda sana kwa kazi nzuri
Kazi nzuri Sana
❤ Amen,zaidi nimfahamu Amen
Wimbo WA Baraka Sana
Wimbo mzuri
Courage
Hallelujah, you’re blessed🙌🏾♥️
Amen thanks brother
th-cam.com/video/Ill_CMeWDz0/w-d-xo.htmlsi=y_20s6OWsmM54yXm
Amen
Nice song
Mu barikiwe kila leo🙏🙏
Amen 🙏
Amen
Thanks Grand
Amen
Amen