SHALOM M.
SHALOM M.
  • 32
  • 21 023
Wangu by Shalom Mwizerwa ft. Lilian Kabaganza (official video)
WANGU(WA KWELI)
2 Timotheo 2:19 NEN Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: “Bwana anawajua walio wake”; tena, “Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.”
WANGU (wa kweli)
Wale ninao waita wangu
ni wangu kwa kweli
wananitafuta kwa bidii yao yote
Na nguvu zote
ni wangu kwa kweli .
Wapendao kuishi Maisha takatifu
ni wangu kwa kweli.
Wanaojikana na kuacha ya ulimwengu kwa ajili yangu ni wangu kwa kweli
wale ninaowaita wangu ni wangu kweli
wanaonitafuta kwa Bidii ni wangu kabisa.
Wajitengao na anasa ya ulimwengu huu
Ni wangu kwa kweli
Ninawapenda na kupendezwa nao maana ni wa thamana machoni pangu
Nimeapa kwamba...
Chorus 1
Sitawaacha kamwe
nitakuwa pamoja nao
siku zao zote
Katika mapito yao
Kati machozi
Nitawafariji
Sitawaacha kamwe
nitakuwa pamoja nao
siku zao zote
Kwa wakati wa raha
Na wakati wa furaha
Wataimba sifa zangu
Verse 2
Heri mtu yule Mungu wa Yakobo
ni msaada wake
Na tumaini lake ni kwa Bwana Mungu wake
Naye yule ampendezae Yesu Christo mfalme wetu
Heri mtu yule amwaminiye
Jehovah kama Mwokozi wetu
Wahepuka anasa za ulimwengu wawe sawasawa na Mungu
Wahakikishe ni nini impendezae Bwana na kutenda haki na kweli
Maana wajuwa kwa kweli Faida ya kujulikana na Mungu
Kinacho mfurahisha Mungu Hicho ndicho wanacho furahia
Oh oh Wajapo
Chorus 2
Wajapopita katika
ya shida na hatari
atawahuisha.×2
Hata mapito yao huyashiriki na Bwana hawatahaibika×2
WATAKUWA NA FURAHA MAISHANI
milele yote
Kama mti uliopandwa kando ya maji hawanyauka
Milele Yote
Oh hata katika vita watashinda
milele yote
Watakuwa salama milele
Milele yote
Hakuna kitakacho waweza
Wamefichwa milele
Wamefichwa ah ah
wamefichwa milele
Wamefichwa milele
oh hata
Wajapopita katika
ya shida na hatari atawahuisha.×2
audio by Solva music/trinity record
video by hirwa sincerite
SPECIAL THANKS
Audio:solva music(shalix)& trinity records
Video:Hirwa Sencerite
Lilian kabaganza
All participants
All supporters
God bless you.
Hata mapito yao huyashiriki na bwana hawatahaibika×2
#gospelmusic #worshipmusic #wangu #kabaganza #lilianakabaganza #shalommwizerwa
มุมมอง: 3 120

วีดีโอ

BWANA UPEPO WAVUMA _ Shalom ft Christine Kash
มุมมอง 6182 หลายเดือนก่อน
#bwanaupepowavuma #nyimbozakristu ZA KRISTO/Master the tempest is raging Luka 8:22-24 Neno: Bibilia Takatifu Bwana Yesu Atuliza Dhoruba 22 Siku moja Yesu alipanda mashua na wanafunzi wake akawaam bia, “Twendeni ng’ambo ya pili ya ziwa.” Kwa hiyo wakaanza kuvuka. 3 Walipokuwa wakivuka, akalala usingizi. Upepo mkali ukawa unavuma na mashua yao ikaanza kujaa maji; wakawa katika hatari ya kuzama. 2...
LIKO LANGO MOJA by SHALOM ft CHRISTINE KASH TENZI 121 #tenzizarohoni #tenzi
มุมมอง 5K2 หลายเดือนก่อน
LANGO NDIYE YESU BWANA..... Yohana 14:6 Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu. #LIKOLANGOMOJAWAZI #LANGONDIYE #TENZIZAROHONI #TENZIGOSPEL #shalom #SHALIXMUSIC #SHALIX #morning_worship Audio Producer : Shalix/Solva music studio Music arranger : shalom Video Director : Director Hirwa Sincerite location : Nairobi 121.Liko Lango Moja Waz...
KIJITO CHA UTAKAZO by SHALOM ft CHRISTINE KASH #kijito #tenzi157
มุมมอง 3.1K3 หลายเดือนก่อน
#KIJITOCHAUTAKASO #DAMUYAYESU #TENZIZAROHONI #TENZIGOSPEL #shalom #SHALIXMUSIC #SHALIX #MORNING_WORSHIP Audio Producer : Shalix/Solva music studio Music arranger : shalom Video Director : Director Hirwa Sincerite location : Nairobi TENZI 157 Kijito cha Utakaso 1. Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu, Bwana anao uwezo kunipa wokovu Ref: Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo Namsifu Bwana kwa hiy...
NATAKA NIMJUE YESU-SHALOM ft CHRISTINE KASH #tenzizarohoni #Tenzi92
มุมมอง 3.5K3 หลายเดือนก่อน
2 Petro 3:18 SRUV. Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele. #NATAKANIMJUEYESU #ZAIDIZAIDI #TENZIZAROHONI #TENZIGOSPEL #shalom #SHALIXMUSIC #SHALIX #MORNING_WORSHIP Audio Producer : Shalix/Solva music studio Music arranger : shalom Video Director : Direstor Hirwa Sincerite location : Nairobi TENZI 92 NATAKA NIMJUE YESU/...
Nyuzwe n' ubucuti bgo mw ijuru/109 MUGUSHIMISHA(Shalom Mwizerwa)
มุมมอง 1496 หลายเดือนก่อน
please keep supporting me by viewing liking and sharing 🙏... DON'T FORGET TO SUBSCRIBE TOO 😉
WAMWENDEA YESU by Shalom Mwizerwa/official video lyrics
มุมมอง 3876 หลายเดือนก่อน
thanks for watching,please help me share contents from this channel. thanks
Endelea na maono yako/EGEMEA
มุมมอง 292 ปีที่แล้ว
help us Share the good news please #egemea #solvamusic
A TRUE FRIEND/PASTOR SILAS/EGEMEA
มุมมอง 752 ปีที่แล้ว
do you have a true friend?
WHAT IS GOD SAYING ABOUT YOUR SITUATION?/EGEMEA
มุมมอง 1032 ปีที่แล้ว
sometimes Faith is activated when you have nothing
SIGNS OF PROGRESS IN LIFE OF THE 4 LEPERS/EGEMEA
มุมมอง 882 ปีที่แล้ว
let your restlessness make you think. Watch,like,comment please don't forget to subscribe and share
THY KINGDOM COME/THERE WILL BE AN END/EGEMEA
มุมมอง 742 ปีที่แล้ว
THY KINGDOM COME ..... DON'T FORGET TO SUBSCRIBE TO THIS CHANNEL PLEASE
NOT THE LORD'S PRAYER BUT OUR PRAYER/EGEMEA
มุมมอง 682 ปีที่แล้ว
what we mean when we tell God Hallowed be thy Name
YOU NEED TO HEAR THIS/DON'T BE QUICK TO SETTLE
มุมมอง 1872 ปีที่แล้ว
YOU NEED TO HEAR THIS/DON'T BE QUICK TO SETTLE
DID GOD SPEAK TO YOU THAT WHICH YOU ARE DOING?/EGEMEA
มุมมอง 872 ปีที่แล้ว
DID GOD SPEAK TO YOU THAT WHICH YOU ARE DOING?/EGEMEA
BUY PURE GOLD FROM ME/EGEMEA
มุมมอง 1482 ปีที่แล้ว
BUY PURE GOLD FROM ME/EGEMEA
IN WHOSE HANDS ARE YOU SAFE?/EGEMEA
มุมมอง 1402 ปีที่แล้ว
IN WHOSE HANDS ARE YOU SAFE?/EGEMEA
DID GOD REALLY SAY?GOD DOESN'T WANT TO LOSE YOU/EGEMEA
มุมมอง 2042 ปีที่แล้ว
DID GOD REALLY SAY?GOD DOESN'T WANT TO LOSE YOU/EGEMEA
NEVER LOSE THE JOY FROM GOD/EGEMEA
มุมมอง 632 ปีที่แล้ว
NEVER LOSE THE JOY FROM GOD/EGEMEA
YOU HAVE SO MANY REASONS TO GIVE THANKS TO GOD/Egemea
มุมมอง 802 ปีที่แล้ว
YOU HAVE SO MANY REASONS TO GIVE THANKS TO GOD/Egemea
Egemea/God himself will provide the sacrifice..
มุมมอง 1702 ปีที่แล้ว
Egemea/God himself will provide the sacrifice..
EGEMEA#5/WHAT THE LORD INQUIRES FROM YOU THE MOST
มุมมอง 1352 ปีที่แล้ว
EGEMEA#5/WHAT THE LORD INQUIRES FROM YOU THE MOST
EGEMEA#4/GOD'S DWELLING PLACE IS IN YOU KNOW/Min Edwin John
มุมมอง 672 ปีที่แล้ว
EGEMEA#4/GOD'S DWELLING PLACE IS IN YOU KNOW/Min Edwin John
EGEMEA#3/Min Edwin John/Worshiper Christine Kash(REDEFINING WORSHIP)
มุมมอง 2242 ปีที่แล้ว
EGEMEA#3/Min Edwin John/Worshiper Christine Kash(REDEFINING WORSHIP)
EGEMEA #2/PASTOR LONESOME LEVINITE/WORSHIP BY ADVISOR BUKURU(Redefining worship)
มุมมอง 1432 ปีที่แล้ว
EGEMEA #2/PASTOR LONESOME LEVINITE/WORSHIP BY ADVISOR BUKURU(Redefining worship)
EGEMEA #1/PSTOR LONESOME LEVINITE/WORSHIP BY CHRISTINE CASH(redefining worship)
มุมมอง 2822 ปีที่แล้ว
EGEMEA #1/PSTOR LONESOME LEVINITE/WORSHIP BY CHRISTINE CASH(redefining worship)
Sema Amina by Shalom Shalix Official Music Video
มุมมอง 1.5K5 ปีที่แล้ว
Sema Amina by Shalom Shalix Official Music Video
Yanciriye Inzira By Shalom
มุมมอง 3185 ปีที่แล้ว
Yanciriye Inzira By Shalom
Ever love me by Shalix
มุมมอง 1965 ปีที่แล้ว
Ever love me by Shalix
Tetea okovu by Shalix ft Bruce Alex
มุมมอง 1855 ปีที่แล้ว
Tetea okovu by Shalix ft Bruce Alex

ความคิดเห็น

  • @grevelworship2687
    @grevelworship2687 วันที่ผ่านมา

    Endeleeni mbele❤🎉

  • @valerineu4224
    @valerineu4224 วันที่ผ่านมา

    Wauuuu❤

  • @user-hz2ov7ud1q
    @user-hz2ov7ud1q วันที่ผ่านมา

    God bless u guyz

  • @Muziranengemuzaire
    @Muziranengemuzaire 2 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙌

  • @MDTVSHOW1
    @MDTVSHOW1 2 วันที่ผ่านมา

    Wowwww nice song kbs big up bro

  • @MaryMwangi-c7y
    @MaryMwangi-c7y 2 วันที่ผ่านมา

    Wow good one

  • @PacificerickGasima
    @PacificerickGasima 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki kazizenu muzidi sana

  • @maetawycliff1
    @maetawycliff1 2 วันที่ผ่านมา

    🔥 🔥 Great works

    • @shalommwizerwa
      @shalommwizerwa 2 วันที่ผ่านมา

      Thanks for listening

  • @Mitema_kenya.
    @Mitema_kenya. 3 วันที่ผ่านมา

    Kazi mzuri sana brother...

  • @advisorbukuru5046
    @advisorbukuru5046 4 วันที่ผ่านมา

    This is a powerful Song God bless you 🙏

  • @francinenashimwe3437
    @francinenashimwe3437 4 วันที่ผ่านมา

    🙏 🙏

  • @faithachy6060
    @faithachy6060 4 วันที่ผ่านมา

    Amina🙏

  • @essymallow40
    @essymallow40 5 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @margaretmutuota660
    @margaretmutuota660 5 วันที่ผ่านมา

    I love the song, good job.

  • @Billy-qe5yr
    @Billy-qe5yr 5 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @justusmyelloofficial2773
    @justusmyelloofficial2773 6 วันที่ผ่านมา

    Kazi safi sana bro. You are going places.

  • @NdayizeyeChance-zq3yi
    @NdayizeyeChance-zq3yi 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubalike sana mwalimu 🙏

  • @Magutu-tj3ml
    @Magutu-tj3ml 6 วันที่ผ่านมา

    Good music ❤

  • @liliannyambura7375
    @liliannyambura7375 6 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mercimukwizatv
    @Mercimukwizatv 7 วันที่ผ่านมา

    Be blessed 🙏🏿🙏🏿

  • @christinekash4205
    @christinekash4205 7 วันที่ผ่านมา

    Powerful...I love this song, I fell in love with this song the moment I heard it.. keep up bro

  • @dimpanobienfait6808
    @dimpanobienfait6808 7 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @drummerobed7724
    @drummerobed7724 7 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @EsperanceMunezero
    @EsperanceMunezero 7 วันที่ผ่านมา

    Nc song❤keep up

  • @Museveni-uk6pd
    @Museveni-uk6pd 7 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen 🙏

  • @eliasmuhalirwa1373
    @eliasmuhalirwa1373 7 วันที่ผ่านมา

    Kumujua Mungu ni kitu muhimu kabisa . Bwana azidi kuwabariki na kuwainua

    • @shalommwizerwa
      @shalommwizerwa 4 วันที่ผ่านมา

      Amen asante baba mzazi wangu

  • @MELINDANABIGAZI
    @MELINDANABIGAZI 7 วันที่ผ่านมา

    Amen Ni kitu cha Maana sana kujulikana Na mungu kwa kweli... 🙏 endelea kaka

  • @lifebonus-yl3wn
    @lifebonus-yl3wn 7 วันที่ผ่านมา

    Wow what a beautiful song.. be blessed 🙌

  • @shalixmusic7280
    @shalixmusic7280 7 วันที่ผ่านมา

    Maana wajua kwa kweli Faida ya kujulikana na Mungu 😂

  • @joshuashukuru9749
    @joshuashukuru9749 7 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 amenable ❤❤

  • @FranklinMziki
    @FranklinMziki 7 วันที่ผ่านมา

    Frank Mziki has acknowledged this one. Nice one brother.

  • @EstherJosephine-ob6zi
    @EstherJosephine-ob6zi 7 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @uzamukundarosine561
    @uzamukundarosine561 7 วันที่ผ่านมา

    Woow nice song

  • @perusinyirajurama1816
    @perusinyirajurama1816 7 วันที่ผ่านมา

    ❤ Amen 🙏

  • @bonifacenjenga8563
    @bonifacenjenga8563 7 วันที่ผ่านมา

    Blessings 🙏🙏🙏🙏

  • @janewachira3904
    @janewachira3904 7 วันที่ผ่านมา

    congratulations 🎉

  • @EuniceKSaidi
    @EuniceKSaidi 7 วันที่ผ่านมา

    Powerful song with great message

  • @user-pf8ux2uk5s
    @user-pf8ux2uk5s 7 วันที่ผ่านมา

    Glory to God be blessed Man of God Shalom

  • @hypepiuder9588
    @hypepiuder9588 7 วันที่ผ่านมา

    Ontop bro

  • @nzabigarurajames4031
    @nzabigarurajames4031 7 วันที่ผ่านมา

    Waoooo nice one kazinzuri sanaa.

  • @MisengoKirenga
    @MisengoKirenga 7 วันที่ผ่านมา

    Imbere cyaneeeee Uncle love 😘😘

  • @franciskamau2461
    @franciskamau2461 7 วันที่ผ่านมา

    Good job.keep up bro

  • @zahabuyvette5383
    @zahabuyvette5383 7 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏

  • @EuniceMoshi
    @EuniceMoshi 7 วันที่ผ่านมา

    Good job 👏

  • @nkunzidiana
    @nkunzidiana 7 วันที่ผ่านมา

    Amen God bless yu

    • @shalommwizerwa
      @shalommwizerwa 6 วันที่ผ่านมา

      THANKS SO MUCH FOR YOUR SUPPORT

    • @Kampala-gb2rm
      @Kampala-gb2rm 6 วันที่ผ่านมา

      Kazi nzuri be blessed

  • @gajusandra5523
    @gajusandra5523 7 วันที่ผ่านมา

    Turanezewe kubwanyu nukuri 😊

  • @uwinezalolita6051
    @uwinezalolita6051 7 วันที่ผ่านมา

    🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @gajusandra5523
    @gajusandra5523 7 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah ❤❤

  • @EvBizoza
    @EvBizoza 7 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉