RAHBY- URUSI IMEKANUSHA MADAI YA KUTAIFISHA MALI ZA BASHAR AL ASSAD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 4 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana Kwa ufafanuzi 🙌

  • @sultanmohammed8634
    @sultanmohammed8634 3 วันที่ผ่านมา

    Yes absolutely yes yes maneno yko kweli kabisa

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 4 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Nakupata vizuri mchambuzi

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mchambuzi uko vizuri

  • @kombatv2069
    @kombatv2069 4 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana ubize asante kwa taarifa za kina

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wote wahuniiii2😂😂😂😂😂😂

  • @marwamonanka
    @marwamonanka 4 วันที่ผ่านมา +1

    Vipi kuhusu kifo Cha jenerali WA urusi unakizungumziaje

  • @yonathanbanyikwa1813
    @yonathanbanyikwa1813 4 วันที่ผ่านมา

    Leo umesahau salam yako,

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e 4 วันที่ผ่านมา

    Naam

  • @Mrsalt-z9m
    @Mrsalt-z9m 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kiukwel urusi awezi kufanya hivyo

  • @husseinc
    @husseinc 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tegeme propaganda nyingi, Usiokoteze ovyovyo habari,
    Habari rasmi utazipata sehemu usika

  • @mosesarchevec8404
    @mosesarchevec8404 4 วันที่ผ่านมา

    Mweshimiwa hujajibu swali vizuri hizi pipe line zimepita Ukraine sehemu gani?maana Urusi pipeline zake zimepita eastern na huko eastern ipo chini ya Urusi ni Russia kwasasa tunataka useme maeneo .

  • @KibabiMtumbaClassic
    @KibabiMtumbaClassic 4 วันที่ผ่านมา

    HAO WAMAGHARIBI WAMEONA ASSAD KAKAA KIMYA WANAANZA KUMCHIMBA CHIMBA ILI WAJUE KINAENDELEA NINI HUKO
    WAMBEA HAOOO😅

  • @JacksonSeleman-e4z
    @JacksonSeleman-e4z 4 วันที่ผ่านมา

    Je eti kwa mjibu wa histolia uturuki itaondolewa ulaya, kwa maana imekaa pale kwa ajili ya kubaransi nguvu za ulaya na kwamba itaondolewa na kuhamia yerusalem au kwa maana hata rais wa uturuki amesema yerusalem ni sehemu Yao au pale Israel na akasema kwamba watailudisha kama ilivyo kuwa inatawaliwa na ottoman empire na kwamba itakuwa chini yake