Nilifikiri Lisu ana akili lakini tangu nimeanza kumsikiliza na kumfuatilia nimegundua kuwa hajielewi kwa anayoyasema ,kwani alikuwa wapi yote yanatokea wakati alikuwa kiongozi tena wa juu katika chama. Je chama hakina miiko na maadili au kamati ya nidhamu. Ni mropokaji na mtu wa visasi.
Mimi naona wanaojihudhuru kwaajili ya mbowe niwajinga, kwasababu kinachomvusha mtu ni kura bas wasubiriye kura,hofu za Nini maana kura ndio zinazo amua
Box likaamue, mbowe na lisu walichokifanya ni sahihi huo ni mfano demokrasia wakipigiwa kura atakaeshindwa atampisha mwezie pigeni kura kura ndo zitaamua
ChaDema kweli ni manyumbu chama ngani hakina demokrasia kwani uongozi ulichanguliwaje?kwani uchaguzi ulikuwa mdomo?au ulikuwa wa kura?kama ni kura basi kura zipigwe .chadema acheni ulopokaje ni nani ameona mbowe akipewa rushwa au wote mmesikiwa kwa lissu ambaye nae amekuwa msaliti wa mbowe
Je Katiba haimruhusu Mbowe kugombea,kama inamruhusu si kura zitaamua!!kwa nini ubwabwaje na kijasho kikitoke au ndio kampeni. Ni hivyo ni ziro maana hatujaona sera za Lisu tulinganishe atakayeendelea kukivusha chama
Uamuzi waajabu angetumia nafasi yake kushauri wajumbe ili wakapiga kura nyingi kwa Lisu ikitokea Mbowe akashinda ndo angejiuzulu sasa hapo kapoteza kura 1ya Lisu
Hao wajumbe nao wanafiki tuu. Kwani walikuwa wapi hadi hili likatokea? Ilikuwaje Lisu akatangaza kugombea uwenyekiti bila hiyo kamati kuu kutoa ushauri? Hili swala wangekaa wakashauriana ili kati ya mwenyekiti na makamu wake watoe mawazo yao kugombea au kutogombea. Wanfemshauri Mbowe kwenye vikao natumaini angewasikiliza na angetoa maamuzi sahihi lakini kwa sababu hawakutumia busara na hekima kwa hiyo na ninyi wanahabari muyaone haya na muwaulize maswali walikuwa wapi mpaka haya yakafikia hapa?
Hiyo huruma anayoomba Mbowe kuwa aongezewe miaka 5 alishachelewa apumzike kwa amani. Km hakujiandaa atajipanga mbeleni awaachie wengine pengine bora km ni ajira anatafuta aombe hata kuteuliwa mahali huko serikali ya ccm.
Naongezea tena. Bwana Mbowe katumia uungwana na haki yake na busara na hekima na demokrasia. Kasema angombea kwa hiyo waamuzi ni wapiga kura na pia kasema akichaguliwa ataongoza kwa miaka mitano tu ,hatagombea tena. Halafu muda wote huo chama kilikuwa wapi hawakuweka ukomo wa uongozi? Saa hii mnaongea tu,je katiba ya chama inasemaje juu ya ukomo wa uongozi? Mihula mingapi na ya muda gani? Tusipige kelele tu kwenye majukwaa. Nilikuwa nampenda sana Lisu lakini sasa hivi ananitia mashaka kwani busara hamna na nimemgundua anapenda sana kuzungumza mitandaoni na hadharani bila kujipima. Acheni kura ihamue msianze kuweka ugumu. Ardhi inawasubiri wote sisi maana hatuna hati miliki ya maisha ya mtu.
Je Lissu anatakiwa apate uenyekiti bila ushindani? Atakuwa fahali gani huyo? Kumbe kuna watu wanaoshabikia ushindi wa mezani kana kwamba CDM ni CCM. Au?
Hivi huyo lisu ipochukua fomu alitaka akashindane na nani? Au alitaka akapigiwe kura ya ndio na hapana? Alitaka mteremko? Pambana kwenye kura. Kwani huyo Mbowe kuchukua fomu ndio kashinda? Mbona hofu nyingi jamani. Let us go to the balot box and let it decide. That is what is called democracy. Hata mie naruhusiwa kuchukua fomu acheni hizo. Piga kampeni watu wakuelewe wakuchague. Usiende na lugha yako ulipigwa risasi 16 mwilini. Ni sawa na Lyatonga alivyokuwa haishi kutaja dhahabu aliyokamata airport. Ilimfikisha wapi Lyatonga? Mwaga sera na sio kashfa. Lisu umeshafeli kwa hilo na achana na chawa watakuharibia. Kwani si ndio wanaotakiwa kukupigia kura? Wasi wasi ni wa ninì? TRUMP walimkosakosa na risasi lakini akakomaa mwisho wake january 20 anaingia white house
Hawana akili timamu haoooo, kura atapiga nani kama watajiuzulu? Katiba inasemaje kuhusu muda wa kukaa madarakani. Mnataka katiba mpya ya nchi kwa kuwa ina mapungufu wakati katiba yenu ya chama nayo ina mapungufu. Kama Mbowe amekiuka katiba tutamlaumu lakini kama hajakiuka basi wengine wote mnaolalamika ni wapuuzi. Kapigeni kura acheni ujinga na kuwapotosha wanachama na wananchi wa Tanzania kwa ujumla
Hongera sana wengine waige mfano wake. Na mtakaobaki mbaki tu ila mumkatae.
twende na lisu
hji akili matope atampambaniaje lisu
Nilifikiri Lisu ana akili lakini tangu nimeanza kumsikiliza na kumfuatilia nimegundua kuwa hajielewi kwa anayoyasema ,kwani alikuwa wapi yote yanatokea wakati alikuwa kiongozi tena wa juu katika chama. Je chama hakina miiko na maadili au kamati ya nidhamu. Ni mropokaji na mtu wa visasi.
Kwa hekima na busara Mbowe anatosha jamani. Lisu anaenda kukimaliza chama na kukishusha hadhi yake kutokana na hasira
Watawapa watu wa mbowe kujaza nafasi
Mimi na lisu
Mimi naona wanaojihudhuru kwaajili ya mbowe niwajinga, kwasababu kinachomvusha mtu ni kura bas wasubiriye kura,hofu za Nini maana kura ndio zinazo amua
mbona kugombea mbowe hamtaki mnataka Lisu hao watu wengine ni Lisu
Mbowe ccm must go
Box likaamue, mbowe na lisu walichokifanya ni sahihi huo ni mfano demokrasia wakipigiwa kura atakaeshindwa atampisha mwezie pigeni kura kura ndo zitaamua
ChaDema kweli ni manyumbu chama ngani hakina demokrasia kwani uongozi ulichanguliwaje?kwani uchaguzi ulikuwa mdomo?au ulikuwa wa kura?kama ni kura basi kura zipigwe .chadema acheni ulopokaje ni nani ameona mbowe akipewa rushwa au wote mmesikiwa kwa lissu ambaye nae amekuwa msaliti wa mbowe
Tunataka lissu .
Sasa wakitoka wote nani atampigia Lissu kura?
Wangekaa huko wapige kura kwanza ndiyo wahame.
Je Katiba haimruhusu Mbowe kugombea,kama inamruhusu si kura zitaamua!!kwa nini ubwabwaje na kijasho kikitoke au ndio kampeni. Ni hivyo ni ziro maana hatujaona sera za Lisu tulinganishe atakayeendelea kukivusha chama
chama ni cha mbowe
No cha wa Tanzania wote wanaolipa kodi za kukiendesha
Tunamtaka lissu habali ndo hiyo anamisimamo ya ukweli
Mda mrefu huo ni ukichaa ni mapambano gani hayo mneshashinda
mbiwe hafaikua mwenyekiti tena
Uamuzi waajabu angetumia nafasi yake kushauri wajumbe ili wakapiga kura nyingi kwa Lisu ikitokea Mbowe akashinda ndo angejiuzulu sasa hapo kapoteza kura 1ya Lisu
Hao wajumbe nao wanafiki tuu. Kwani walikuwa wapi hadi hili likatokea? Ilikuwaje Lisu akatangaza kugombea uwenyekiti bila hiyo kamati kuu kutoa ushauri? Hili swala wangekaa wakashauriana ili kati ya mwenyekiti na makamu wake watoe mawazo yao kugombea au kutogombea. Wanfemshauri Mbowe kwenye vikao natumaini angewasikiliza na angetoa maamuzi sahihi lakini kwa sababu hawakutumia busara na hekima kwa hiyo na ninyi wanahabari muyaone haya na muwaulize maswali walikuwa wapi mpaka haya yakafikia hapa?
Suala ni kwamba mbowe ana tamaa
Mmemkubali Mchungaji Msigwa?
Aondoke takataka hizo
Ndio nawambia hawa watu wa chadema akili ni mtihani. Sasa ukijiuzuru mtu wako nani atampigia kura?
cuf ni ya Lipumba
Hiyo huruma anayoomba Mbowe kuwa aongezewe miaka 5 alishachelewa apumzike kwa amani. Km hakujiandaa atajipanga mbeleni awaachie wengine pengine bora km ni ajira anatafuta aombe hata kuteuliwa mahali huko serikali ya ccm.
Kujiuzuru ni utoto naniuoga uchawa mbona uchaguzi ni bora zaidi kuliko kujiuzuru acheni uchawa kura zimng'oe huyo Mbowe.
Huyu mbowe nimtuwanamna ngani hajui nyakati aondoke tuu chadema nimari ya watanzania tuu
sasa atashindaje akijiuzuli
Mbowe hafai kbsa,aende huko na udikteta wake
Hafai kwa nini.Toa sababu zenye ukweli siyo porojo za kwenye mitandao!
Tunamutaka risu
Naongezea tena. Bwana Mbowe katumia uungwana na haki yake na busara na hekima na demokrasia. Kasema angombea kwa hiyo waamuzi ni wapiga kura na pia kasema akichaguliwa ataongoza kwa miaka mitano tu ,hatagombea tena. Halafu muda wote huo chama kilikuwa wapi hawakuweka ukomo wa uongozi? Saa hii mnaongea tu,je katiba ya chama inasemaje juu ya ukomo wa uongozi? Mihula mingapi na ya muda gani? Tusipige kelele tu kwenye majukwaa. Nilikuwa nampenda sana Lisu lakini sasa hivi ananitia mashaka kwani busara hamna na nimemgundua anapenda sana kuzungumza mitandaoni na hadharani bila kujipima. Acheni kura ihamue msianze kuweka ugumu. Ardhi inawasubiri wote sisi maana hatuna hati miliki ya maisha ya mtu.
Umeona eeeh!
Tundu Lisu ana agenda ya siri na tamaa ya madaraka.
Wanaogopa nini kusubiri sanduku la kura liamuee⁉️
Mmechanganyikiwa wana Chadema
Je Lissu anatakiwa apate uenyekiti bila ushindani?
Atakuwa fahali gani huyo?
Kumbe kuna watu wanaoshabikia ushindi wa mezani kana kwamba CDM ni CCM.
Au?
Ishu sio ushindan Bali uchoyo wa madaraka alionao mbowe huku akijinasibu km kinara wa democracy
Hivi huyo lisu ipochukua fomu alitaka akashindane na nani? Au alitaka akapigiwe kura ya ndio na hapana? Alitaka mteremko? Pambana kwenye kura. Kwani huyo Mbowe kuchukua fomu ndio kashinda? Mbona hofu nyingi jamani. Let us go to the balot box and let it decide. That is what is called democracy. Hata mie naruhusiwa kuchukua fomu acheni hizo. Piga kampeni watu wakuelewe wakuchague. Usiende na lugha yako ulipigwa risasi 16 mwilini. Ni sawa na Lyatonga alivyokuwa haishi kutaja dhahabu aliyokamata airport. Ilimfikisha wapi Lyatonga? Mwaga sera na sio kashfa. Lisu umeshafeli kwa hilo na achana na chawa watakuharibia. Kwani si ndio wanaotakiwa kukupigia kura? Wasi wasi ni wa ninì? TRUMP walimkosakosa na risasi lakini akakomaa mwisho wake january 20 anaingia white house
Hawana akili timamu haoooo, kura atapiga nani kama watajiuzulu? Katiba inasemaje kuhusu muda wa kukaa madarakani. Mnataka katiba mpya ya nchi kwa kuwa ina mapungufu wakati katiba yenu ya chama nayo ina mapungufu. Kama Mbowe amekiuka katiba tutamlaumu lakini kama hajakiuka basi wengine wote mnaolalamika ni wapuuzi. Kapigeni kura acheni ujinga na kuwapotosha wanachama na wananchi wa Tanzania kwa ujumla
Kwani huwezi kutoa comment bila kutweza utu wa wenzio?