MAGIC SCHOOL | ep 12 |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025
  • #magicschool #dubu #dubutz

ความคิดเห็น • 637

  • @OfficialDubu_tz
    @OfficialDubu_tz  หลายเดือนก่อน +324

    TUNAOMBA MTUSAMEHE SANA KWA KUCHELEWA ILA NI KUTOKANA NA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO WETU DUBU ALIKUA ANAUMWA SANA NA TULIWATAARIFU KUPITIA ACCOUNT YETU ILA HII NI KWAAJILI YA WALE AMBAO HAWAKUFANIKIWA KULIONA LILE TANGAZO🙏 TUNAWAPENDA❤

    • @JoyceJoseph-k8v
      @JoyceJoseph-k8v หลายเดือนก่อน +14

      TUNAWAPENDAA PIA❤❤❤

    • @Mwanamisi-q2v
      @Mwanamisi-q2v หลายเดือนก่อน +14

      Usijali dubu alhamdulillah uko sawa kiafya mungu akupe nguvu na Afya tele uzidi kutupa burudani

    • @muhammadshaka8414
      @muhammadshaka8414 หลายเดือนก่อน +8

      tunawependa sanaaaa

    • @BabyCharles-jl3gv
      @BabyCharles-jl3gv หลายเดือนก่อน +8

      Tunakupenda pia ❤❤😊

    • @How-s24
      @How-s24 หลายเดือนก่อน +6

      Usijali kiongozi,..pole na changamoto...appreciate sn

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD หลายเดือนก่อน +13

    Dubu mungu amekuponya wacha tumshukuru na hongera sanaaa kwa kazi nzuri unacheza kiwewe dubu kitorondo anakupenda sanaa kaa ukijua

  • @AllyMsuya-ut5qf
    @AllyMsuya-ut5qf หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzuri dubu pole kwa matatizo yalokukuta tuunganishieni kazi

  • @JobMbanga
    @JobMbanga หลายเดือนก่อน +12

    Dah pole sana dubu ila mungu yuko nawe bas muwe mnatuwahishia bas❤❤❤

  • @Shaibuissa-v9k
    @Shaibuissa-v9k หลายเดือนก่อน +4

    Pole mway penda sana pia mungu akuponye uendelee na kazi nzur

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande หลายเดือนก่อน +4

    Kazi ni yamoto sana ila niseme tu asante sana kwa kazi mzuri👏👏👏👏🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏👏

  • @alyngwaly5600
    @alyngwaly5600 หลายเดือนก่อน +4

    Movie kali sas inaendea kuzur big up dubu allah akupe wasaa wa kuwez kufny vzr xaid ili uimalze kaz salama

  • @UrbanMunyalo
    @UrbanMunyalo หลายเดือนก่อน +7

    Hongera Sana dubu kazi nzuri unaoifanya .....much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤

  • @morishoissa4155
    @morishoissa4155 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana dubu kwa magonjwa yaliokua na kusibu mwenyezi mungu akuzidishie afya njema na salama🎉🎉🎉🎉🎉
    ndugu yangu akin nikua naombi kwenu dubu pamoja na hajra kama ile tatazo la hajra imesha malizika na yule alie kua Mme wake amesha mtoleya talaka basi ombi langu kwenu mu owane mufunge ndoa namitakia maisha marefu ❤❤❤❤❤❤❤

  • @PerezQuenisha
    @PerezQuenisha หลายเดือนก่อน +8

    Kazi nzuri sana dubu🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Joanmemusi
    @Joanmemusi หลายเดือนก่อน +26

    Waah!dakika ya 3 kidogo nimechelewa.....Bila shaka Mungu amejibu maombi yetu na ninaimani sasa DUBU amepona.....Walio weka Imani zao kwa Mungu tujuane

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzuri mno tulisubir kwa hamu ❤❤🎉🎉🎉

  • @MaryamKhamis-w9s
    @MaryamKhamis-w9s หลายเดือนก่อน +8

    Pole sana kaka dubu mungu akusaidie

  • @upendofuraha
    @upendofuraha หลายเดือนก่อน +5

    Pole sana Dubu,
    Hongera mno kwa kazi nzuri

  • @benitoleconse
    @benitoleconse หลายเดือนก่อน +9

    Kazi nzuri sana Dubu, na pole kwa ugonjwa, uzima na afya za toka kwa Mwenyezi Mungu.

  • @kingoziMovie
    @kingoziMovie หลายเดือนก่อน +9

    Mapema sana kutokea DRC, Congo mashabiki wa dubu naomba like zenu

  • @hamisibabu1948
    @hamisibabu1948 หลายเดือนก่อน +12

    Move kali kaka umetisha naomba like jaman

  • @KubelwaIlungaMardochéeSalama
    @KubelwaIlungaMardochéeSalama หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana dubu unafanikiwa kumshinda hata mama yao asante sana licha ya kutuburuza

  • @NdanuMukula
    @NdanuMukula หลายเดือนก่อน +5

    Movie zuri jamani msicheleweshe Sana ❤❤,

  • @SalhaHarimenshi
    @SalhaHarimenshi หลายเดือนก่อน +6

    Hujawahi niangusha, you are number one for me

  • @Fbmovie254
    @Fbmovie254 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri sana endeleeni kutuburudisha tunawafatilia sana kutoka kenya ❤ from nyota arts

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 หลายเดือนก่อน +6

    Siri niya watu wawili au umoja wa tatu atawaalibia kazi nzuri sana ❤❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +4

    Hajra mashallah leo umependeza zaidi na hicho kilemba

  • @SuzannMukuna
    @SuzannMukuna หลายเดือนก่อน +7

    move nzuri ila mnachelewesha sana nawaomba msiwe mnachelewesha sana jamani nawaomba sana❤🎉

  • @JoyceJoseph-k8v
    @JoyceJoseph-k8v หลายเดือนก่อน +8

    Dubu msalimie ma mkubwa🙌🔥🔥😆😆😆😆

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa หลายเดือนก่อน +5

    Hongereni sana kwa kazi yenu nzuri ila pole sana dubu

  • @mussahosseni8229
    @mussahosseni8229 หลายเดือนก่อน +6

    Anae fanya naangalia hii move kila siku ni kitorondo nampenda sana kitorondo jmn

  • @marthamwanyiva1814
    @marthamwanyiva1814 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉❤ongera dubuu

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k หลายเดือนก่อน +5

    Waoooh Leo dubu katukumbuka jmn tunawapenda jmn

  • @NtacobanzizaLeatitiazilfa
    @NtacobanzizaLeatitiazilfa หลายเดือนก่อน +5

    Dubu kazi nzuli kabisa inaenekana kitorondo Anakuelewa🎉🎉🎉

  • @Geraldkimathi-vl8ef
    @Geraldkimathi-vl8ef หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awabariki hii movie msichelewe is so best

  • @MaqiuletPaul
    @MaqiuletPaul หลายเดือนก่อน +12

    Waooooooo niliwamic sema mnachelewa mno❤❤❤❤❤

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri bro dubu big up sana kazi nzuri

  • @Mwathethe-qx3de
    @Mwathethe-qx3de หลายเดือนก่อน +6

    Kutoka254 nakubali Sana hii series big up 💪 dubu

  • @EmilyNurahn
    @EmilyNurahn หลายเดือนก่อน +8

    Daaaah mlitukomoa kwa kweli but twawapenda piah pole dubu ila please msicheleweshe tenah tuombe afya kwenu inshallah muwe na afya nyote muendelee kutupa buludani❤😊

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 หลายเดือนก่อน +5

    Dubu kitorondo anakupenda sn unalijua hilo kwel😂😂

  • @Msaniitz
    @Msaniitz หลายเดือนก่อน +3

    Dubu kazi nzuri sana pokea ua lako🌹🌹🌹,dubu natumai unahisi vizuri maana tulipata abari unahisi vibaya,

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  หลายเดือนก่อน

      Nashukuru Mungu nipo sawa sasa🤝

    • @Msaniitz
      @Msaniitz หลายเดือนก่อน

      @OfficialDubu_tz Kama unahisi vizuri Basi Sisi Kama fans wako tumefurahi Sana

  • @MAKOLOSTUDIO
    @MAKOLOSTUDIO หลายเดือนก่อน +8

    wow npen maua yangu jaman nmewahi❤❤❤

    • @MAKOLOSTUDIO
      @MAKOLOSTUDIO หลายเดือนก่อน +1

      dubu kaka napenda sana kitu unacho fanya siku moja nitafia ulipo❤🎉

  • @BonithNimpagaritse-s4d
    @BonithNimpagaritse-s4d หลายเดือนก่อน +7

    Watching from 🇧🇮🇧🇮. Nawapenda sana

  • @JulyKay-u8u
    @JulyKay-u8u หลายเดือนก่อน +5

    Jamani mimi natokeya Congo 🇨🇩 nawapenda sana❤

  • @AshaNzara
    @AshaNzara หลายเดือนก่อน +3

    Good job brother mungu akuzidishie na akuondolee mitihani ya dunia inshaallah

  • @JolieMunezero-m7k
    @JolieMunezero-m7k 29 วันที่ผ่านมา +1

    Waouh Dubu kazi nzuri sana nawapenda wote wan group🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤pokeyni kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ZainabAlly-un2yw
    @ZainabAlly-un2yw หลายเดือนก่อน +4

    Dah pole san dubu mungu yupo pamoja na wew

  • @AgnessMirisho
    @AgnessMirisho หลายเดือนก่อน +5

    Na nyie mnachelewesha sana mv jitaidin muwaishe

  • @mwanamisi1808
    @mwanamisi1808 หลายเดือนก่อน +9

    Dubu much appreciation MTU wangu unajua sana baba

  • @RafiqueSaide
    @RafiqueSaide หลายเดือนก่อน +18

    Leo mapema kabisa kutoka Moçambique wale mashabiki wa dubu gongeni like 👍👍apo from 🇲🇿❤️❤️❤️❤️❤️

    • @DominosAdremane
      @DominosAdremane หลายเดือนก่อน

      Pamoja mwamba from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dubu mungu azidi kukupa afya njema uzidi kutupa burudani❤🎉

  • @DalmondLaurent
    @DalmondLaurent หลายเดือนก่อน +4

    Dubu unaweza sana pokea❤❤❤ maua yako we ndo actor

  • @tumainimkwizu6055
    @tumainimkwizu6055 หลายเดือนก่อน +4

    Move yangu pendwaaaaa❤❤❤❤

  • @lizchepkorir2000
    @lizchepkorir2000 หลายเดือนก่อน +3

    Chuma hili hapa🔥🔥🥳🥳nimependa kabisa 😊mama kafupi uyo pongezi sana🥳🥳👏👏Dubu all the way❤️🇰🇪🥳🥳🥳🔥🔥🔥

  • @OmarMakame-j6q
    @OmarMakame-j6q หลายเดือนก่อน +3

    Kitorondo chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 uko vzr saana

  • @MuhammadJaffary-uu6zl
    @MuhammadJaffary-uu6zl หลายเดือนก่อน +4

    Aise unyama ni mwingi saana pongezi kwa washiriki uote🎉🎉🎉❤❤ Dubo msaada ume kuchongea😅😅😅 itabi umpende mtoto kakwelewa

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI หลายเดือนก่อน +13

    Dubu br nakuomba uharakishe hii movie ju n nzur Sana nahakka kupitia hii itakuweka kiwango chengne

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 หลายเดือนก่อน +4

    Kwakweri mumechelewa sana navile naipenda kutoka episode 1 hadi 12 sijaboeka❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @RamahMgimba-l5x
    @RamahMgimba-l5x หลายเดือนก่อน +4

    Hongereni mnakuwa haraka🎉🎉

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂kwahiyo mkuu ndopozi gani hilo unajulikana kabisa dume😂😂😂 kazi nzr🎉🎉🎉

  • @MichelleSwai
    @MichelleSwai หลายเดือนก่อน +7

    Jamani Dubu lo❤..... U much ❤❤❤❤ because wangekujua what will happen to you Uncle nakuomba Niko chini ya magoti yenu tupeni episode 13 Tafadhali mwambie mkuu aendelea 😢😢😢 kutafuta atapata hahahaha.......,.🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😅

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y หลายเดือนก่อน +3

    Nyie mandonga kaazirika mchana kweupe 🤣🤣🤣🤣

  • @matadd9401
    @matadd9401 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri sana na nazidi kuafatilia kazi yenu❤❤❤❤

  • @maryammakata7849
    @maryammakata7849 หลายเดือนก่อน +3

    Poleni kwa kuuguza kwa sasa unaendeleaje Allah atampatia shifaa

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  หลายเดือนก่อน

      Alhamndulillah now Naendelea poa 🙏

  • @NtemweFlorence
    @NtemweFlorence หลายเดือนก่อน +4

    Pole kwa homa Dubu mungu akuponye 🙌

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 หลายเดือนก่อน +9

    12:13 mtego unauelezea kwa miongoni mwa unaotaka kuwatega...we zombie,haujui🤣

    • @cutestsmile5405
      @cutestsmile5405 หลายเดือนก่อน +1

      Haudjuiii....😅😅😅😅

  • @ndindamuema230
    @ndindamuema230 หลายเดือนก่อน +4

    Wow Kali sana

  • @ananiamakasy2050
    @ananiamakasy2050 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu nimwema kwa kuona kazi ipo kwa hewa inamanisha umepona kaka mungu akutie nguvu na azidi kukukupigania ila ninaushauri mbona nyani ngwengwe anachekesha sana ila mnampa vipande vidogo sana vya kuonekana kama kunauwezekano mpeni kipande kirefu kidogo. nyani ngwengwe kichaa sana nyie mpeni tu kipande kirefu tucheke sisi tuongeze siku za kuishii.

  • @bushibashii2778
    @bushibashii2778 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera kaka dubu ucjal salimia mzee wa Alafu wewe😂

  • @halimajay606
    @halimajay606 หลายเดือนก่อน +2

    Tukoni pamoja brother dubu uzima ndio muhimu kazi haziishi Allah azidi kukupa shufaa In sha Allah 🤲🤲

  • @HawaBedui
    @HawaBedui 29 วันที่ผ่านมา +1

    Jmn dubu menzko kitorondo amekuelew huyo mtaendana sana❤❤❤

  • @MwajabuMtitu-co6wx
    @MwajabuMtitu-co6wx หลายเดือนก่อน +1

    Kitorondo nakupenda bure my kwa unavojuwa kujieleza nimekupenda bure

  • @AnetGambo
    @AnetGambo หลายเดือนก่อน +3

    Usichelewe basi my wangu dubu

  • @DennisMisiko-j3u
    @DennisMisiko-j3u หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤kazi nzuri ɓt ushèleweshe

  • @guidottstechnologies
    @guidottstechnologies หลายเดือนก่อน +7

    Blessah Man Dubu

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v หลายเดือนก่อน +6

    Sema Nimewahi na Mm leo 🎉🎉🎉

  • @doctorsharifusharifutibatv8469
    @doctorsharifusharifutibatv8469 หลายเดือนก่อน +3

    Iko vizuri sana

  • @JeanIrakiza
    @JeanIrakiza หลายเดือนก่อน +8

    Mimi nilijuwa kwamba huyu Mama anaungana na Dubu

  • @BibishaSahara
    @BibishaSahara 28 วันที่ผ่านมา +1

    Santé sana kua Wale wote wepo ndani ya flm iyi Niko kalemie tunamipenda saaana mungu amipe maisha marefu

  • @NomaFantastic
    @NomaFantastic หลายเดือนก่อน +2

    Poa dubu kazi nzuri sana❤❤❤

  • @ZalhaMbarka
    @ZalhaMbarka หลายเดือนก่อน +3

    tunawapenda jamani wana Group dubu❤❤❤❤ila ntakuvua kilembe kila mtu aone sura yako 😂😂

  • @Lyrac91
    @Lyrac91 หลายเดือนก่อน +3

    Pole kwa kuumwa ila kazi tunaikubali from Kenya, utuongeze muda kidogo

  • @BailingPutin
    @BailingPutin หลายเดือนก่อน +2

    Dubu salimia kitorondo..nampenda sana kutoka Kenya.....the only part nmekua nikigoja😂kitorondo ameambia dubu anampenda

  • @machozimukucha
    @machozimukucha หลายเดือนก่อน +3

    Nawapenda wote ❤❤❤🎉🎉🎉🔥🔥

  • @azizaSeleman-d7m
    @azizaSeleman-d7m หลายเดือนก่อน +4

    at last dubu umepona Allah azidi kukupa afya

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 หลายเดือนก่อน +14

    Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys หลายเดือนก่อน +2

    Mama mchawi kapewa bomu moja mpaka akapigwa vigelegele 😅😂😂😂eeeh Dubu big up babaa❤👌

  • @ArabiDua-ct8bl
    @ArabiDua-ct8bl หลายเดือนก่อน +13

    Hongera kwa kazi mzuli ila kazi zenu zinacherewa

  • @sporamashanga4019
    @sporamashanga4019 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana Dubu Mungu akuponye

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 21 วันที่ผ่านมา +1

    Dubu mashallah 🌹 mungu akuweke kwenywe kazi yako mashallah nisalimy kitorod nampenda san mm kuliko madonga mtu kazi hawa mataira wawili .p moja na madonda waoo siwapendi mm

  • @KelvinDiksoni
    @KelvinDiksoni หลายเดือนก่อน +3

    Asante san kaka kazi nzur

  • @MasenyaKulindwa
    @MasenyaKulindwa หลายเดือนก่อน +5

    Inachelewa sana bonge la movie iwahishe kidogo

  • @MerryJonas-f7x
    @MerryJonas-f7x หลายเดือนก่อน +5

    Nzur sn hii naipenda sn hongeren umetufanya tusmile 😅

  • @degutchgaya
    @degutchgaya หลายเดือนก่อน +4

    Team Mandonga 🤩✌️✌️ Nyani Ngwengwe❤❤

  • @LucyAnthony-c2n
    @LucyAnthony-c2n หลายเดือนก่อน +3

    Ooooh pole yake lakini mjitahid msicheleweshee make Mt had inamtoka kichwani 😮😮😮 ila msijar tuko pamoja c ndo vipenzi vyenu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki หลายเดือนก่อน +2

    Move inazidi kunoga Dubu mauwa yako🎉🎉🎉🎉

  • @vailethfundi8708
    @vailethfundi8708 หลายเดือนก่อน +7

    Good luck keep it up🎉🎉

  • @Violethmsafiri
    @Violethmsafiri หลายเดือนก่อน +3

    pole Sana dubu Ila hongeren kwa kaz nzr

  • @OsmanHosea
    @OsmanHosea หลายเดือนก่อน +3

    Pol dub Hil kiu kwelii Kaz zen ziko vizulii san

  • @SabaTilan
    @SabaTilan หลายเดือนก่อน +1

    Hahhaha mwamtumu mwalimu😝😝😝😝😝😝zingatia tembea hahha

  • @Nochathegreat
    @Nochathegreat หลายเดือนก่อน +5

    Daah! Leo sjawaona ma champion WanGu Mabondia waGanGa😂😂😰..One..Two

  • @FeruziRamadhan
    @FeruziRamadhan หลายเดือนก่อน +5

    Jameni nitafutienii number ya dubu nimtumie pesa anajua Sana kuagiza iyi movie 🎬 I'm stay in South Africa 🇿🇦 nampenda Sana yanii

  • @FakhiMsingino
    @FakhiMsingino หลายเดือนก่อน +23

    Tunaomkubali dubu like ziwe nyingi

  • @joufflyngmutangaza306
    @joufflyngmutangaza306 หลายเดือนก่อน +2

    Courage dubu 👍👍👍🇨🇩