MASANJA MKANDAMIZAJI... Sio lazima kinachoua wengine kituue na sisi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 378

  • @eliakanyika4422
    @eliakanyika4422 4 ปีที่แล้ว

    Vi2 vya msingi hapo ni kufaata kanuni za afya ila wa situtishe na midor yao tumombe mungu atupatie ujasir wa kuendelea kupambana na uchumi wetu wa ndani tusitishwe na maneno ya hofu. Asantee masanja. Mungu utuepushe na janga hili.

  • @jamesherbalclinic
    @jamesherbalclinic 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Masanja mimi naomba Mungu akubariki sana na azidi kukupa maarifa zaidi maana ulichokisema au kufundisha ni kweli kabisa. Mungu akubariki sana mtumishi

  • @laurentkatongo9228
    @laurentkatongo9228 4 ปีที่แล้ว

    Masanja we ninyooko hata kama nimtumishi wa mungu,,,,,,,,,,,,,,, nimecheka kwenye nyimbo ya babaake na diamond yaaan god blessing u my brother na maisha malefu kwako watanzania bado tunaitaji kuendelea kukuona

  • @bernadethadouglasmbala2392
    @bernadethadouglasmbala2392 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana aisee, yaani nipo hapa Madrid najikuta napata nguvu mpya....things are under God's control 💪💪💪🇹🇿

  • @dullymsafi9030
    @dullymsafi9030 4 ปีที่แล้ว +15

    Kama umemsikia kameraman anacheka gonga like hapa twende sawa

  • @thomasrichard7465
    @thomasrichard7465 4 ปีที่แล้ว +16

    Zito kabwe njooo upokee ujumbe wako,,,,alafu tusitishane masanja kaishasema na mm Niko pamoja naye

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu .Hofu inauwa watu kuliko corona yenyewe.

  • @walburgajohn9437
    @walburgajohn9437 4 ปีที่แล้ว

    Daah nimekuelewa sana masanja mungu wetu ni mwaminifu na hatutapata huo ugonjwa kwa jina la yesu kristo!

  • @mcconester6846
    @mcconester6846 4 ปีที่แล้ว

    Masanja asante kwa ujumbe mzuri wenye kuondoa hofu hakikia umetumiwa na Mungu

  • @bahatlugwisha7299
    @bahatlugwisha7299 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yuko upande wetu atatupigania asante sana mtumishi wa mungu amen

  • @barakaelijosephat6655
    @barakaelijosephat6655 4 ปีที่แล้ว +22

    corona imetukuta imekuja bila taarifa na itaondoka bila taarifa in Jesus name akuna kufa MTU APA usikubali ofu itawale moyo wako mungu ata tuponya na ile janga

  • @christophermgoli1236
    @christophermgoli1236 4 ปีที่แล้ว +3

    Dr Emmanuel waelezee watakuelewa tu.

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 4 ปีที่แล้ว +10

    Daha Masanja msenge sana. 😂😂😂😂 yani leo moja nimeingalia zaidi ya mara 10 ,,kila nikiangalia nahisi kama ndio mara ya kwanza kuitazama,, 😂😂😂😂😂😂 what's corona!?? Corona ninani!?? una bunduki kisha unamuogopa corona 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @3eightysevennilla.927
    @3eightysevennilla.927 4 ปีที่แล้ว

    Hatari sana bwana Masanja. Dakika ya 21.... Maninja nao 😂😄😄😄😄😄😄😆😆😆🤣🤣😅

  • @loinareuben8760
    @loinareuben8760 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli,hakuna jipya chini ya jua yote,ahsante Yesu kwa uponyaji

    • @loinareuben8760
      @loinareuben8760 4 ปีที่แล้ว

      Yote yalikuwepo ni majina tu yanabadilika,hakuna kufa mtu

  • @janethpius368
    @janethpius368 4 ปีที่แล้ว +2

    Amina ubarikiwe sana mtumishi!! Mungu aturehem kwa HOFU maana watu wapo busy km wanatengeneza wao CORONA

  • @juliethgodwin9570
    @juliethgodwin9570 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mtumishi yaani wakitufungia ndani tu ndo watatuua zaidi watuache tu mi naamini imani ndio inayoponya Mungu yupo kazini

  • @happykilango4903
    @happykilango4903 4 ปีที่แล้ว

    Amen...nimejifunza sanaaaaaaa....nimebarikiwa sana na haya maneno....be blessed my brother Emmanuel Mgaya.

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀😀😀 Dr Masanja bana,, eti watu wanabanja,,wanabajuka kama baruti yakupasua mawe,, Hahahahaha,, Ila uko vzr sana, unapaswa kabsa kuwa Dactari

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 4 ปีที่แล้ว +4

    Comedy + Sayansi + Uzoefu + Ubishi = Maisha

  • @ey3022
    @ey3022 4 ปีที่แล้ว +3

    sawa Doctor na mtumishi wa MUNGU🙏🙏 hofu si nzuri

  • @veronicaerasto7249
    @veronicaerasto7249 4 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 umeongea point sana tulikuwa tunabanja mpaka basi hata ukiwa kwenye daladala ukijibanabana kukohoa likikataa kubanwa likitoka huko watu wote lazima wageuke.

  • @renatuskanuthy5743
    @renatuskanuthy5743 4 ปีที่แล้ว

    Mzee upo vizuri our next mp wa ludewa,aisee brooo unakichwa kizuri na kifua kizuri yaani kama ni mbanjo mmoja kibakuri kilikuwa kinajaa kweli corona kwetu imepotea,bt all in all asante kwa elimu nzuri frm sumbawanga

  • @danielfrank303
    @danielfrank303 4 ปีที่แล้ว +2

    Masanja Kaka ake mm jamn nmecheka mbaka tumbo laumaa hahha Mungu akutangulie akupe miaka kama hesabu ya mchanga wa bahalin hahaha uwe unatuchekesha katika wakat huu mgum wa taifa letu la corona😂😂😂 God bless you brother

  • @omarylugusha
    @omarylugusha 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah masanja umepiga misumali asee heshimaa #usitutisheee

  • @amosmasanyiwa4113
    @amosmasanyiwa4113 4 ปีที่แล้ว

    Dr masanja hongera xana kwenye hili swala la corona ujumbe umefika

  • @zubedamkini1748
    @zubedamkini1748 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahaaaaaaaaaa kwakweli nimecheka lakini ni kweli kabisa kakaangu hatuwezi kuibudu corona Mungu atusaidie

  • @evaomary4251
    @evaomary4251 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri mchungaji hatuwezi kuabudu korona nakumsahau Mungu

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 4 ปีที่แล้ว

    Yes! Yaan! Watu wameipa corona nguvu had sas inaonekana Mungu hana nguvu kuzid corona. Hapana ukwli ni kwamba Mungu ni mkuu mno tena sana na zaid ya sana. Tumwamin Mungu tu.

  • @rachelmatarishi3632
    @rachelmatarishi3632 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli pastor masanja ubalikiwe kwa message

  • @eliakanyika4422
    @eliakanyika4422 4 ปีที่แล้ว

    Masanja unanichekesha Sana nimefurahi hatareeeeeee

  • @ninatitus8545
    @ninatitus8545 4 ปีที่แล้ว

    Big up bro wengne hooofu kla mda kutafuta wamekufa wangap leo. Aaah jmn tumwombe Yesu na kla mtu kwa Iman yake chukua tahadhar tunazopewa lkn na hili litapita tumtangulize Mungu kwa kla kitu

  • @lameckmawazo8384
    @lameckmawazo8384 4 ปีที่แล้ว +3

    Umetisha ujumbe umekwenda kwanjia ya utani umepenye huwo nikwel TZ kunanunda

  • @paschalmpega1474
    @paschalmpega1474 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana Baba angu Emmanuel,,,,nakukubari ile mbaya,,,,Mimi mwenyewe nunda,,,lakin tahadhari muhimu

  • @lokendolokendo3804
    @lokendolokendo3804 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @evelynejuvenary2631
    @evelynejuvenary2631 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndo maana nakupenda Masanja, umenitia moyo💕... Barikiwa sana🙏

  • @sethjohnson7266
    @sethjohnson7266 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana Kaka mkubwa. Kwa Tanzania ni kazi kubwa kushinda ndani. Korona it aisha tu kikubwa ni kuendelea kumuamini mungu na kujikinga na Korona kwa kuzingagia usafi

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 ปีที่แล้ว +2

    Tuna ziitanga mukongo yapunda
    .apo kwa siprity ya wakenya dusidanganyane ww auwon vile wana undwa na police nathani nini ina fanya ? Ni kushindwa kukaa ndani . Hongera sana mugandamizaji.

  • @senyafredrick7248
    @senyafredrick7248 4 ปีที่แล้ว

    Kaka masanja hivi vizur vina sambazwa kwa njia ya maji maji ya mgonjwa sio hewa.ila upo vizur bigup bro

  • @faidhakigula540
    @faidhakigula540 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuna raha kufatilia watumishi wa Mungu unapona ghafla ,ubarikiwe

  • @barakakasanga5307
    @barakakasanga5307 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama ni watu ambao huwa nawaelewa ndan ya nchi hii naww umo brow. Mungu wa mbinguni na azd kukuinua kwa viwango vinavyo endana na utukufu wake

  • @jamilatongota5852
    @jamilatongota5852 4 ปีที่แล้ว

    Masanja uko sahihi,tuondoe hofu,tufwate ushauri tusikusanyike,tunawe sanitiser,na mengine mengi tujilinde,mola mwaminifu atulinde ameen ya Rabbi

  • @osmunda1katambara8
    @osmunda1katambara8 4 ปีที่แล้ว

    safii Masanja watuache na Mungu wetu

  • @farajapeter9707
    @farajapeter9707 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😀 gupicha gwa corona ahahahahahaa masanja, umenena vyema baba kwakweli

  • @brhchannel6618
    @brhchannel6618 4 ปีที่แล้ว +6

    Mimi Nakuelewaga sana Brother May God Bless You More

    • @sonsfebxonmbilinyi3472
      @sonsfebxonmbilinyi3472 4 ปีที่แล้ว

      Hasa watendaji wanawakataza watu wasiende magulioni- njaa itatuua

  • @salummwanjali3207
    @salummwanjali3207 4 ปีที่แล้ว

    Dr masanja kweli umevunja utani ndani ya ukweli

  • @annahayasanday7174
    @annahayasanday7174 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @godrickcharles5070
    @godrickcharles5070 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali Dr masanja nimeerewa😅😅😅 tunakoseswa vibe tu

  • @issaally9354
    @issaally9354 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli mchungaji umekulupuka sanaaa sanaaaa labda kwa sababu unajiwezaaa kipesa ivyoo Hata pale utapoitwa kuhojiwa unahis utatumia Pesa ila ulichokifanya si sahihi kabisaaa

  • @elianoel8398
    @elianoel8398 4 ปีที่แล้ว +6

    I've been blessed kaka, we are lucky nation to have people like you.. We don't need to entertain anything above the name of Jesus, i liked your Question WHAT IS CORONA??? When they mention how worst is corona we are mentioning how Powerful is the name of Jesus. No power shall be formed against us will prosper. God bless you man of God, We need perceptions like this to transform the nation over any difficulty situation, Our God will save us as he delivered us from The hands of Devil. BArikiwa sana Brother

    • @evansm8802
      @evansm8802 4 ปีที่แล้ว

      Amen.barikiwa pia kwa jina pekee above every other name.corona inclusive.

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa hujasemea wasafili wanaoingia nchini kwamba wasifungiwe ila umeongerea tulio nchini hatuumwi kama kenya Uganda watu wanafungiwa ndani wakati hawaumwi.hawakukuerewa.bwana awe nawe umuerekeze muheshimiwa mkuu wa wilaya dodoma akuelewe ubalikiwe.nilikua naitafuta baada yakusikia masanja aitwa kuhojiwa.kumbe. Nikawaida balikiwa Sana Yesu awe nawe enderea kuerimisha watanzania

  • @relaxationalmoments7029
    @relaxationalmoments7029 4 ปีที่แล้ว

    Nakuunga mkono mtumishi hatutakiwi kupeana hofu inayozidi kiasi! Ingawa ni vema kusahihisha kuwa haiambukizwi kwa hewa! Na pia si mafua na kikohozi tu, bali ni homa kali ya mapafu! In general big up!

  • @annaa.kijanjali7968
    @annaa.kijanjali7968 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana..lakini najiuliza huyu mchukua video anawezaje kumrekodi Masanja mpaka mwisho😂😂😂

  • @benisonmtembei585
    @benisonmtembei585 4 ปีที่แล้ว

    Asnt Sana kweli kama Kuna mtu ajakuelewa waniulize mm

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 ปีที่แล้ว +2

    kweli kabisaaaa, sio lazima tufee sote kwa'ungonjwa1 kweli😂😂😂

  • @stephanomsungu7450
    @stephanomsungu7450 4 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁eti atapata baba ako duuuu

  • @AKH_TZ
    @AKH_TZ 4 ปีที่แล้ว +2

    Ila ww masanja unatalent lakutisha sn big up sn😂😂😂😂😂

  • @Amani715
    @Amani715 4 ปีที่แล้ว +2

    Natamani niweke like kama 1000

  • @Amani715
    @Amani715 4 ปีที่แล้ว

    Yeeeees. Masanja umenimalizaaaaa. But what you saying is super true

  • @stevenmkisi924
    @stevenmkisi924 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahh my pastor u make me happy and strong too

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 4 ปีที่แล้ว +1

    Eti kwanini walipo barikiwa mibarabara mipanaa na miviwanda mikubwaa mbona sisi hatuja n'gan'gania,, kwenye korona ndio tung'ang'anie 😂😂😂😂😂😂😂

  • @nasraomari6872
    @nasraomari6872 4 ปีที่แล้ว +1

    We uko vizry sana kama babu magufuli maana alisema tusitishanr basi kwan hata mm najisikiaga sana vimafua tena mazito

  • @richsimfukwe6227
    @richsimfukwe6227 4 ปีที่แล้ว +3

    Yaaaan Dr ndooo utajua wazungu sio watu wazuri maana sisi maralia ipo kwetu wao awajiusishi wao Corona wanatuusisha na sisi

  • @getrudasimon7611
    @getrudasimon7611 4 ปีที่แล้ว +4

    Evidensi of jablosi .... Senta... Oganaizasheni senta.! (Madokta mrudi shule)

  • @erickmwangonda7814
    @erickmwangonda7814 4 ปีที่แล้ว

    Kwa mtu muelewa hatakuwa amekuelewa vizuri ila kwa ambae ajakuelewa uyo ata elewa tena nimekubali ili somo na asante🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @bonifacebenny2733
    @bonifacebenny2733 4 ปีที่แล้ว +1

    Masanja umeongea point hadi umefanya ninuniwe na wanaoipenda Corona

  • @lucianangwada8559
    @lucianangwada8559 4 ปีที่แล้ว +1

    Umenena mwana wa Mungu hicho ndo nachokupendeaga mtumishi mzee wa ngo'a mapepo panikizi utuzwe wewe namkeo nakizazi chako byluciana iraq bagdadi

  • @abdulrazaqabyoung4547
    @abdulrazaqabyoung4547 4 ปีที่แล้ว +3

    Big up san bro masanja wakokaya geteeee

    • @abdullyrashidi4636
      @abdullyrashidi4636 4 ปีที่แล้ว

      Mtumishi upo sawa watu wanna ogopa Corona mpaka wana kufuru kwa mungu tuamini mungu mmoja yeye ndie anayepaswa kuabudiwa

  • @jobamampuya5933
    @jobamampuya5933 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 👏👏👏👏 safi sana mtumishi.

  • @johnuroki1394
    @johnuroki1394 4 ปีที่แล้ว +1

    This is Tz,,,,,much thank pastor

  • @kenyanewzroom
    @kenyanewzroom 4 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Kenya ila ni uongo kusema kuwa tumeumbiwa roho ya kukaa ndani,si kweli. Nyumbani kuzuri ila ni jela vilevile,hatuna mazoe ya kukaa ndani.

  • @rahmambwesso9767
    @rahmambwesso9767 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa baba

  • @mwl.michaelsainethmlowe2641
    @mwl.michaelsainethmlowe2641 4 ปีที่แล้ว

    Sana hapo rev. Emmanuel Mgaya nimekuewa na endelea kufundisha hivyo hivyo

  • @charlesnassary6689
    @charlesnassary6689 4 ปีที่แล้ว

    hahaha masanja umenichekesha sana, kukaa ndani ndan Watanzania hatutaweza kabsa

  • @jordanjonas4921
    @jordanjonas4921 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah nimecheka sanaaaa

  • @FlorenceDDR
    @FlorenceDDR 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli Pastor 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @mikidadyyusufu8223
    @mikidadyyusufu8223 4 ปีที่แล้ว

    Daaaah masanja umeongea point sana ila manundaz hawatoelewa mm nishabanja kwenye bas natokea arusha mpaka wote wakageuka

  • @georgeisdory9998
    @georgeisdory9998 4 ปีที่แล้ว

    Dhaaaa jamaa sasahivi doctor... 👏👏👏👏

  • @brunopeter7384
    @brunopeter7384 4 ปีที่แล้ว +1

    Waandishi wanacheka Sanaa😆😆😆

  • @lenatiusjonas5464
    @lenatiusjonas5464 4 ปีที่แล้ว

    ameni mtumishi naukubar sana endelea kula mb zangu tu

  • @isackphinis5040
    @isackphinis5040 4 ปีที่แล้ว

    Utajiita majona tote maisha kaka umesha uchungaji tena imekuwa dr.

  • @revelianalphonce8115
    @revelianalphonce8115 4 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha kama umesikia kubanjaaaaaaaa gonga like hapa hahahahahah

  • @silyviapaul2676
    @silyviapaul2676 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Kaka sisi watanzania ni ngumu kujikinga kwa kweli kwanza tunapenda hupuuzia sana

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 4 ปีที่แล้ว

    Dr wa uzoefu,,,hahahaahaaaa Mungu akubariki Dr

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumuombe allah subhana watanghala atuepushiye hiyo dhahama maana njaa ndokila nafsi ilikir naikamsjudiya allah hakika ufalime niwako allah yaah allah tuepushiye haya maradhi ya corona aaamiiiyyynaaaa

  • @jamesherbalclinic
    @jamesherbalclinic 4 ปีที่แล้ว +1

    Hofu ni mbaya mno jamani katika maisha. Hebu tuweni na imani tu

  • @neemamahusho6193
    @neemamahusho6193 4 ปีที่แล้ว +1

    kweli kabisaaa tunapo kuwa na hofu tunaluhusu huyu pepo corona aingie ndani Tumpambane na hii pepo la corona kumwomba Mungu hakika Mungu atalifutilia mbali

    • @alidpangaleli3361
      @alidpangaleli3361 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaani your my rool mode mr nakukubali zaidi ya ww unavyojikubali kiongozi

    • @chicharitokalinga8038
      @chicharitokalinga8038 4 ปีที่แล้ว

      Amina mtumixhi ubalikiwe

  • @mwahesashedrack2145
    @mwahesashedrack2145 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahaaaaaaaaaaaa.
    Dr: E.Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaje
    Excellent!

  • @ronasapura3517
    @ronasapura3517 4 ปีที่แล้ว

    Ningechangia Ila naogopa kutafutwa😅😅😅🙌

  • @slyvesternzogera5340
    @slyvesternzogera5340 4 ปีที่แล้ว +1

    haukupangaga vitu vikae kwenye mstari hahahahahhah

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 4 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁🤣🤣🤣🤣masanja umenishinda tabia eti kwanini ukimbie likorona? korona yeye nani? haki ya mungu sikuwezi upo juu sana kama Corona yenyewe

  • @yusuphmasuke8173
    @yusuphmasuke8173 4 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe pastor kama unachekesha ila unatoa dozi kamili ukiinywa lazima upone

  • @isabelasimon9960
    @isabelasimon9960 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaaa. Aisee nimekupenda buree! Uuuuwiiiii! Eti tukanunue mavifaa ya gharama, alafu ukiisha??? Yaani kwakweli umeongea. Ubarikiwe kakangu. Maana huku mitaani hata kama una imani iliyo dhabiti, ukiwasikiliza wanadamu, unahisi kama inaanza kuyeyuka. Hii ndo ileee....ya wale waliotumwa kwenda kuupeleleza mji, wakarudi na mataarifa makubwa kuliko mji wenyewe, kwamba watu wa huo mji ni majitu makubwa....

  • @donkingtz3650
    @donkingtz3650 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelew vizuri mchungaji

  • @jacobsiame3769
    @jacobsiame3769 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa paster mgaya ukweli kutishana siyo mambo sisi tulio na hof ya mungu tunategemea uzima upo

  • @elyzahlizzy7674
    @elyzahlizzy7674 4 ปีที่แล้ว

    We masanja wewe shaulilako 🤣🤣🤣🤣🤣 but honesty, out here people are dying like craiz...😭😭

  • @lovenesgabriel5642
    @lovenesgabriel5642 4 ปีที่แล้ว +5

    Mnataka tuchoshane tusifanye mambo ya muhimu tuwaze corona weeeeee subutu yako corona looooooh umepotea njia

  • @rebeccabalele882
    @rebeccabalele882 4 ปีที่แล้ว +2

    Yan nimecheka ,nimefurah ,nikafarijika😂😂😂😂

  • @saulosalvatory5200
    @saulosalvatory5200 4 ปีที่แล้ว

    Corona apa ata mababu haiwaez..hahahahahha

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahahha aisee!! Nikweli aisee!! Wanatutusha sana aisee,,,,