Kumbu kumbu ya mashujaa vita vya maji maji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Idara ya makumbusho ya taifa imeanza kukusanya taarifa muhimu za chimbuko la vita ya majimaji katika kijiji cha Nandete wilayani Kilwa, Lindi ili kuliweka kwenye mfumo maalumu na kuanzisha maadhimisho yake kitaifa katika eneo hilo badala ya Songea pekee ambako vita hiyo iliishia.
    Inaelezwa kuwa mwaka 1905 katika kijiji cha Nandete kata ya Kipatimu ndiko ilikoanzia vita ya majimaji kwenye makazi ya Kinjeketile Ngwale.
    Muhammad Nyaulingo yupo katika eneo hilo:

ความคิดเห็น • 1

  • @RukiaShaban-vx8hs
    @RukiaShaban-vx8hs ปีที่แล้ว

    Wali pambana Sana mungu awalinde sehemu walipo AMEN