Kicheche hongela sana umefanikiwa tena kutuletea kipaji kipya huyo jamaa anaitwa manyanya ni msanii makali sana namuona mbali sanaaaa naomba umpe hongera zangu
Pumbafu zako kicheche ww na huyo zezeta nyoote ni machenjeoo😂😂😂 ila napenda vile wanao wanakuheshim haijalishi ni watu wazima ao vip ila bado huonesha heshim kwa baaba yaoo tahira😂😂😂😂
Naludia ten huy jamaa a mathematical dah nimoja sana la talent hongera kwake namkubali san madafutal anapendezesha season kama teadoro mr kulufafa kweny prison break namkubali san💪🏻
Wanao mkubali msomi wa familia tujuane😊
Nipoooo
Nipo mbwa mimi 😅
Wakwanza mimi
Kicheche hongela sana umefanikiwa tena kutuletea kipaji kipya huyo jamaa anaitwa manyanya ni msanii makali sana namuona mbali sanaaaa naomba umpe hongera zangu
Kiukweli mi namkubali sana huyu msomi. Dah! Hongera sana broo kwa character yako, upo talented broo.
Uyo msomi ni mnoma Sana 😂 talent iko juu Sana 😂
Umesikiya ako ka brain blongotaaaa
Mimi nimempenda msomi na mkenya
Msomi anajua kaka😂
Sana😂
Kweli kabisa
Wa pili leo kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩 mnipe mauwa yngu wazee
Deajay Comme Tell wa kwanza hapa liker zanza
th-cam.com/video/t19bONSABx0/w-d-xo.htmlsi=uoWZmG3v9AVNZqkn
From episode 01 upto episode 07 watching from kenya❤❤❤❤like the comedy 100%
Tuko pamoja bro nafatilia nikiwa kakamenga
th-cam.com/video/t19bONSABx0/w-d-xo.htmlsi=uoWZmG3v9AVNZqkn
🎉🎉🎉
Nafatilia❤ nikiwa nairobi 😊
Wale wa Mathematical love..!!! Tunagonga like hapa kwa mwamba lazima vai tumng'oe..!! 😂😂😂😂
Huyu jamaa anatupakia kwa kweli😂😂😂😂
😅😅😅😅
Msomaji atanivunja mbavuuuuu 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥
Ila vai kiukwel umekufa kwa manyani hata uongeee sana n ishala tosha kuwa unampenda sana huyu kaka 😂
Hapa kuna msomi
Tomboy na chapombe
Hawa watu wananikosha sana yani wame tisha kinyama
Wanao mkubali msomi piga like😂😂😂😂😂😂
👏👏👏👏💯☑️
Ili penzi la kicheche na maua 😂😂😂 na huyu msomi mpigeni 😂😂😂
Wangapi wamempenda kicheche na zezeta lake tujuane 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Mi nimewapenda sana
th-cam.com/video/t19bONSABx0/w-d-xo.htmlsi=uoWZmG3v9AVNZqkn
Napenda uyu jamaa wa science 🔭 na mathematics skills professional professor
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo jamaa wa kuongea kizungu ana elimu nyingi 😅
Kicheche we are still Waiting for you to land here in kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 much love nice episode we are longing for more and more ❤
th-cam.com/video/t19bONSABx0/w-d-xo.htmlsi=uoWZmG3v9AVNZqkn
Watching Al the way from kenya alafu wapi likes za wakenya
Merci beaucoup kicheche nous voulons la suite si vite 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nimependa sana mke mkubwa yupo vizuli sana
Tahira na mwehu akili zao wazijuwa wenyewe 😂😂😂😂😂😂😂
Mlevi ananiacha hoi sana 😂😂😂😂 na uyo msomi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Nampenda pia huyu mlevi eet muache baba afanye mala tatu
Sijachelewa from zanzibar naombeni laiki japo 5
Hawa watto wako watatu nnao wakubali wa kujifany mwanaume,msomi na chapombe nawaelewa sana😂😂😂
Bila kumsahau mbavu
Yaan hunishindi mimi msomi nampenda sana😊😊
Tomboy wangu
Nampenda sana tomboy , msomi, na chapombe
😂😂😂😂😂 kama mm
Congratulations for all group, it's so nice to watch you again, mister mathematically,you make me laugh so much
Me too😂😂🇧🇮🇧🇮
Manyanya 😂😂😂
I'm impressive with that guy
Mshua wacha kuzenguo pumbavu zako😂😂😂❤❤❤❤
😂😂😂 ilo pochi la mjukuu wa nyamikuti mie hoi 🙌🙌
th-cam.com/video/t19bONSABx0/w-d-xo.htmlsi=uoWZmG3v9AVNZqkn
Uuuh jamn watu mko faster nikahisi m ndo wa kwanza bn kumbe mshaangalia wengi hv hongera zenu
kazi nzuri mwendelezo jaman msicheleweshe hii mnaicheza vzuri atari I like this❤❤❤❤🎉🎉🎉
Achana naoooo😂😂😂😂😂machenjeruuuuuuuu imbaaaa hapoooo
Machenjeuuu😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hivi huyu kicheche ni binadamu kweli ama... Sio kwa ubunifu huu😂😂😂😂
Nikimuona TOMBOY nasikia raha sana...au alishawah kuwa tomboy 😊
Ni kweli Vai U like manyani
Wetu ni king of génération yetu wa Congo tuna Ku penda sana 👑🇨🇩🇹🇿
Nawqpenda sana more love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Namuelewa sana Mr msomi manyanya
Waoooh nice movie amakweli mkuki kwanguruwe kwabimadam mchungu inaburudisha na ina elimisha❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wehu wawili wamekutana 😂 gonga like kwaajiri yao❤❤❤❤
😂😂😂walai nmecheka
Hahaha 🤣🤣🤣
th-cam.com/video/t19bONSABx0/w-d-xo.htmlsi=uoWZmG3v9AVNZqkn
😂😂😂Noma
Thx
Mr mathematically made my day😂😂 .. watching from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Msomi, umenifurahisha sana . Like za msomi hapa
Always following, much love from Kenya🥰🥰
Wa kwanza ku comment ku toka DRC Congo🇨🇩. Naomba like zenu 🇨🇩🇨🇩
Kicheche kikofia...Mpuzi nini......watching from Kenya..Much love mmanze
Huyu mwanasaikolojia jmn😂😂😂😂😂😂
Msomi atakuwa kasoma kweli,,jamaa anajitahd sana
Huyu msomi ana kitu kicheche mbanie atakupita na ninavyojua roho mbaya zetu unaweza😅
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂Ila maua nakupenda mwaya 😂😂😂😂🎉
😂😂😂😂jamanu movie tamu😅🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤kama wamkubali kicheche ebu go ng a apo😊
Wangap tunajifunz kupitia huyu jamaaa msomi mwanyanya😂😂😂😂 tjuane apa
Wanakula huku wanalia jmn msomi sio vizuri 😅
Msomi anatufundisha mengi much love kicheche❤❤❤❤
Pumbafu zako kicheche ww na huyo zezeta nyoote ni machenjeoo😂😂😂 ila napenda vile wanao wanakuheshim haijalishi ni watu wazima ao vip ila bado huonesha heshim kwa baaba yaoo tahira😂😂😂😂
Kicheche Na taila wake❤❤
😂😂😂 Maajaabuuu
Manyanya is very very good 👍👍👍😅😅😅😅😅😅
Continue commecent je suis contant pour votre organisation 😂😂😂😂😂
Ila kicheche bwana unanipa raha atari much love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I love Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
Maua ana sauti nzuri 😂😂
like zangunjamani from tabora tz.❤❤❤
Love you guys much love from kenya ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Msomi appetate ❤❤😂😂😂😂😂
Pokea maua yako mapema kicheche 🎉🎉💐💐💐💐 sema hii family ni 🔥🔥🔥🔥
Ila hawa watt kila cku wanapungua wangap wamelijua ilo😅😅
Kweli kabisa had mie nimeona alianza mkenya 😂😂😂
Naludia ten huy jamaa a mathematical dah nimoja sana la talent hongera kwake namkubali san madafutal anapendezesha season kama teadoro mr kulufafa kweny prison break namkubali san💪🏻
kabisa
Eti Na watto wko wamenikata mitama😂
Brother kicheche kizi unajuw san mungu akujalie zaid
Waliosoma Afya wanamwelewa Manyanya very Intelligent Man😅
Mmbwa kuachana nao,taila na mwehu wote ni machenjeo😂😂😂😂😂
Maua nakupnda unavyo vaa tu yani Daah🇰🇪🇸🇦
Sio kwa wtt wa kichech 😅😅😅 Yan kicheche kwel tail na mweu atakuw na mawaz yanaisha
uchawi utaishi lini kwa series za kicheche😂😂😂😂😂😂 kicheche hongela sana
Kuna Salamu Mzee kicheche alikuwa anasalimiana,,wakati wa mazishi,,kama Kuna yeyote aliyeskia vizuri naomba uweze kuniarifu...
Wakawa Leo naomba like zangu
Kaombe kwenu kwa kazi gani uliyofanya utafanywa kenge we
Movie umalizi unazingua apoo tuu ilaa tunakukubali
Hata umekosea herufi coz ya wakwanza😂😂😂😂
Kicheche salut
Wakawa nikuulize wakashata nani sasa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 Kicheche ni noma sana,wimbo wake Na maua ni bara
Unajua apa nimerudi mara mbili apa kwenye mwizi 😂😂😂😂😂
Sema kuna msela anashulee NAMZINGATIA😂😂😂
Ila maua yupo vzr sana nampenda
Uyu demu wa kicheche anajua kuigiaza😂😂
Kenya 🇰🇪 nutanafurahi sana nipeni like pia
Nampenda Dorrie......niunganishe naye jameni
Leo wakwanza daa😢😢😢😢 naombea like ata tano. Basi leo
Mathematica love😂😂😂😂😂😂😂
𝚃𝚑𝚒𝚜 𝚖𝚊𝚗 𝚒𝚜 𝚒𝚗 𝚊𝚗𝚘𝚝𝚑𝚎𝚛 𝚕𝚎𝚟𝚎𝚕
🤣🤣🤣🤣🤣🤣msomiii na chapombeew nawapenda sanaaaa😜
Hivi kweli huku msomi mjue Elimu anayotupa ni kweliii😢😅
Vai anaumwa nn ety😂😂😂😂
@@rosemarenga832Mathematical love😂😂
😂😂😂😂🤗
😂😂😂😂😂😂 napenda mmoja hakitoa wazo wanavyo sikilizana😂😂
Wapi binti chuga😂😂😂😅
pili pili inaitwa apeity😅😅😅
Wah vipi kuliendaje🎉❤..
Mmekawiya sana😢???
th-cam.com/video/t19bONSABx0/w-d-xo.htmlsi=uoWZmG3v9AVNZqkn
Niko wa kwanza toka congo
Mm wa kwanza ila haina sauti upande wangu nipeeni like ama nijinyurie
😁😁😁😁😁😁😁😁🤣kicheche na awala yake mtanitowa mbavu zangu 🇧🇮
Nipe like zangu mi wakwanza kbx ❤❤❤❤❤ kicheche
Kicheche katisha sana
Tom boy mzuri japo anakaza sura ila bado pw tu
Nampenda 😂😂
😂😂😂
Anaua sana tomboy
Aiseee familia ya Mzee kicheche mmetisha Sana series nzuri mashaallah ❤❤
Much love from 🇧🇮
Yan huyo msomi ndo i wish scene yake ingekuwa kila dakika
Kazi ime enda poa sana tena sana kaka Asante kwa kazi. Lakini zime kuwa fupi sana. Ila mungu a zidi ku bariki
Kila siku nyiny mnatak like naomben na mm bas 😢
Nimependa creativity ya mwizi kali sana
Khaaa na uchenjeu umepitiliza 😂😂😂
Hahahahahaha bado kapombe na mathematician wanaia balaaa hatari sanaaa
It's just the begining 😂😂mathematico like basi kaka
Maua mzuri Jamani 😅😅❤ BAs tu😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂huyo msomi hapa kwa kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤kecheche😂😂namauwa mbavu sina