VIDEO: DRONE KUBWA TANZANIA YAWASHANGAZA WATU, INAUZWA ZAIDI YA MIL 70, MARUBANI WAKE WAFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @samhendawallaa9984
    @samhendawallaa9984 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hewa hamna chochote

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 10 หลายเดือนก่อน +3

    Watanzani bure elimi hamna, Rwanda wanaunda Drone we unaleta ujinga wa kusema 70mm

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 10 หลายเดือนก่อน

      Nawashangaa sana hawa sjui milard 😂

  • @deogratiussaru3074
    @deogratiussaru3074 10 หลายเดือนก่อน

    Denge nyuki mmeshaipa jina😅😅

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 10 หลายเดือนก่อน +2

    Iperekwe Gaza huko ikasaidie

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 10 หลายเดือนก่อน +1

    MMH NILIFIKIRI WAMEJIONGEZA KWA KUTENGENEZA SISI WENYEWE!!
    KUSIA VYA WENZETU TU!

  • @ombenkallenge1924
    @ombenkallenge1924 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂yaani nilijua wameiunda wenyewe kumbe ya kununua . Wanipe pesa Kama sh million 20 niwaundie drone ambayo itakuwa inabeba Lita 40 na haitumii betri ni SELF RUNNING ROBODRONE 😂 .
    Nikimaliza kaz mtanikadilia pesa ya kunilipa ✍️😋

    • @leriq1
      @leriq1 10 หลายเดือนก่อน

      wachina wanasema "build and they shall come"...onyesha mfano.

  • @kenonvanwyk2888
    @kenonvanwyk2888 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 bongo bhana kumbe wenyew wamenunua nilidhani wame iyunda wenyew

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 10 หลายเดือนก่อน

    Battery Dakika 28 on air haaa

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamkuitumia kariakoo?

  • @edmundngongi5455
    @edmundngongi5455 10 หลายเดือนก่อน

    Bro vitu vingine vya kuripoti uwe unaangalia bwana

  • @wolinet1
    @wolinet1 10 หลายเดือนก่อน +1

    badala kufuanya utafiti njisi ya kuunda drone ya aina hii

  • @SophlaJackson-nt1nc
    @SophlaJackson-nt1nc 10 หลายเดือนก่อน +1

    Takataka kwa wenzetu hiyo

  • @mysonsobe9685
    @mysonsobe9685 10 หลายเดือนก่อน

    Kumwagilia au kunyunyizia?

  • @wilfredmlaki822
    @wilfredmlaki822 10 หลายเดือนก่อน

    Kasomea urubani wiki 4 yaani mwezi mmoja! Nchi ngumu sana hii!!!

  • @raphaelnyigo8740
    @raphaelnyigo8740 10 หลายเดือนก่อน

    Duuh nyie.. haya bwana, uzur nmetumia mb za offer😂

  • @clementarts131
    @clementarts131 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ila nyie hii ndio kubwa

  • @user-ky3hc1jn3e
    @user-ky3hc1jn3e 10 หลายเดือนก่อน

    Haya ndo mambo ambayo hatutaki

  • @clementarts131
    @clementarts131 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ila nyie hii ndio kubwa alafu ni dora 3000 😂😂

    • @CoinbaseWallet-se5cg
      @CoinbaseWallet-se5cg 10 หลายเดือนก่อน

      You wrong it's not 3k$ it's almost 30k$

  • @nmctanzania
    @nmctanzania 10 หลายเดือนก่อน

    Munasema haitumii rubani halafu tena munasema rubani wake anaongea. Kiswahili hiki

  • @michaelligwa9448
    @michaelligwa9448 10 หลายเดือนก่อน

    Milijua mmete geneza kumbe mnafurahia mafanikio yawengine tanzania kwakweli

  • @wolinet1
    @wolinet1 10 หลายเดือนก่อน +1

    inchi ngumu xanaa hii

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha

  • @tozzowilliams308
    @tozzowilliams308 10 หลายเดือนก่อน

    Aibu tupuu

  • @mazengojoswa6188
    @mazengojoswa6188 10 หลายเดือนก่อน

    Rubani anaongoza drone isiyotumia rubani duu

  • @frankrowland2884
    @frankrowland2884 10 หลายเดือนก่อน

    Embu mngefanya research china kuna drones nzur kwa bei nafuu alafu mnaongea kama mazur

  • @abi-onlinetv4181
    @abi-onlinetv4181 10 หลายเดือนก่อน

    Mnao laumu kama wao wametengeza. Tuoneshe yako uliyo tengeneza.

    • @ObligeeNdoni-pb4vs
      @ObligeeNdoni-pb4vs 10 หลายเดือนก่อน

      Stupid man! What questions? Kwa hiyo we unakubali drone inasamani hiyo kweli? Musioende kuwaumiza watanzania ovyooo kabisaaa.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 10 หลายเดือนก่อน

    Shenzi sana 😂😂😂 nchi ya kifala

    • @aminadjuma7555
      @aminadjuma7555 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @fctlinesfactlines2817
    @fctlinesfactlines2817 10 หลายเดือนก่อน

    Drone Pilot 😂😂😂😂 watanzania bwana Sama Grone Operator bwana

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 10 หลายเดือนก่อน

      Wanatuzingua huyo ni pilot gn?

    • @David-nr1if
      @David-nr1if 10 หลายเดือนก่อน

      Tofauti ya pilot na operator ... Unafahamu ?!!!😅😅😅😂😂😂😂