Video 7 Saratani ya Mlango wa Kizazi by MST and PSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez mungu tuondolee maradhi hayo

  • @maryanahmed4190
    @maryanahmed4190 6 ปีที่แล้ว +5

    Wenye nao Allah awape afya na wengineo Allah awalinde na haya

    • @RayaIbrahim-mz4eb
      @RayaIbrahim-mz4eb 9 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Aaamiin 🙏 YYARAB Taqabali duw''aaa

  • @nyakajolinyamko4746
    @nyakajolinyamko4746 2 หลายเดือนก่อน

    Nashukur kwa maelezo mazuri ,Naomba kuuliza je baada ya kuonekana kuwa na dalili za awali na ukapata tiba je kuna uwezekano wa kupata maambukizi mapya baada ya tiba ya awali?

  • @mariamadam3880
    @mariamadam3880 6 ปีที่แล้ว +3

    mung,atuepushe wakina mama,Mimi ni mmoja wapo kama wewe Leila,ila tofauti ni moja mume Wang hanipi ushirikiano kama masharti ta dawa yanavyo sema hunungunika kuwa namnyima unyumba.bado nipo kwenye matibabu ya awali.

    • @ramsoncawinna5883
      @ramsoncawinna5883 6 ปีที่แล้ว

      Mariam Adam habar mariam, samahan naomba number yako kuna vitu nahitaj unieleweshe

    • @gladnesssamson7571
      @gladnesssamson7571 6 ปีที่แล้ว

      Mariam Adam pole

    • @IziriBBangu
      @IziriBBangu 5 ปีที่แล้ว

      Pole mariam kuwa na uvumilivu mung akupe afya

    • @asanatybabuu2523
      @asanatybabuu2523 5 ปีที่แล้ว

      Mariam Adam pole sana

    • @nyakajolinyamko4746
      @nyakajolinyamko4746 2 หลายเดือนก่อน

      Pole sana kipenz wahanga tuko wengi

  • @estamelejomah572
    @estamelejomah572 4 ปีที่แล้ว +1

    Nipe namba yako nashida

  • @hudeimbujji6392
    @hudeimbujji6392 3 ปีที่แล้ว

    Mko wap

  • @playstore790
    @playstore790 4 ปีที่แล้ว

    Mukowapi dokta

  • @esthermtenga1615
    @esthermtenga1615 6 ปีที่แล้ว

    ttc

  • @hudeimbujji6392
    @hudeimbujji6392 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namb dockta

  • @mwajumarashidi5615
    @mwajumarashidi5615 5 ปีที่แล้ว

    je mtu mweny kirus cha HPV atakuw na cancer ya mlang wa kizazi

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 5 ปีที่แล้ว

      Ndio kama HPV haijatibiwa

    • @ceciliankandi9167
      @ceciliankandi9167 4 ปีที่แล้ว

      Gharama ni kiasi gani kwa kipimo hicho?

    • @ceciliankandi9167
      @ceciliankandi9167 4 ปีที่แล้ว

      Kukosa nguvu kwa mwili hasa miguuni,matiti kuuma sehemu za kunyonyeshea ,kichefuchefu, na kizunguzungu ni dalili za saratani?